imani nikitu muhimu sana haijalishi umlevi ama umtumia madawa ama vp lakini imani unaweza mshinda shehe ama mchungaji mashallah kaka chid mungu akulinde katika hizo njia ambazo sio nzuri masha Allah wewe unamungu
Dah maisha kweli hayana rafsiri kamili,chid ambaye nilimuona akihojiwa na salama kwenye mkasi,chid alikuwa ameshine kinoma leo hii ndio huyu ninayemuona hivi ama kweli maisha ni fumbo km kilivyo kifo,usijione umemaliza wala usimcheke anayepitia kipind kigum,allah amfanyie wepes chid
Kwenye mkasi pale ndio tayari alishaanza kujiingiza kwenye madawa kama unakumbuka hata salama alimuuliza swali kuwa kuna tetesi ya yeye kuwa anatumia madawa ila chidi mwenyewe alikanusha
Maisha haya. We need to learn from these guys. Chidi alishika pesa sana na umaharufu alikua nao sana chidi. Mungu kumshika sana Imani kuzishika sana. Pia marafiki, makundi, ndugu, spendings zetu na muda ni muhimu kuwa navyo makini.
Unakera sana ww sasa unalinganisha nini hapo kwa chidi na Diamond wacha izo jieshimu kama unapenda chidi bac penda yeye tuu na sio kukosoa mwingine sasa hapo diamond kaingililia hapo nini
Dah! kwanini CAMERA MAN hajamtuliza mapepe huyo kinyozi wa pili mshamba mshamba..!Selehe Anakitu kiukweli yupo COOL SANA..... HE IS LIKE THE NEXT MILLARD AYO
Umeona ee ni dharau kubwa aisee hata namm amenikwaza huo sijui ustarabu Gani anaingia kwA watu na viatu vyake utadhani viatu vyake ni visafi mpuuzi wa kawaida ni dharau angeenda kwenye nyumba ya wasanii wengine tofauti na chid sidhani kama asingevua viatu kama alivyofanya hapo
Watu wanamuona chidi hayupo sawa....but yupo sawa na namkubali sana❤❤❤😊😊😊
Kwakua sawa hayupo sawa😅maskini chidi jaman sio chidi wazamani
Jamaa ana talent basi tu maisha ya makundi ni mabaya sana
Ila mungu atamrudisha alipokuwa mwanzo...namkubali sana huyu jamaa
Mguu mmoja wa chidbenz hauko sawa but mungu kamwezesha kiasi flani yuko sawa kwa afya ya mguu amina!!!.
Dah walah bila nguv ya serikal tutampoteza jamaa unga n atar aisee😢 kidonda cha teja n kipengel kupona
ila chidi kamuelimisha vizuri sana uyo dd na ana busara sana Mungu amsaidie alipo kwama amfungue🙏
Chidi ana akili sana. napenda sana interview zake👍👍
imani nikitu muhimu sana haijalishi umlevi ama umtumia madawa ama vp lakini imani unaweza mshinda shehe ama mchungaji mashallah kaka chid mungu akulinde katika hizo njia ambazo sio nzuri masha Allah wewe unamungu
Chidi benz love you❤❤❤❤❤❤ Mungu atakuenua tu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Pole brother, thank God always. Dunia ni majaribio🇬🇧🇰🇪
Chidy mkubwa sema apati respect yake🎉🎉
Kusema kweli sikuwahi kupenda hip hop ila chid alinifanya nikapenda huu mziki.wauza madawa walaaniwe kwa Jina la Yesu.very painful.
True
Dah maisha kweli hayana rafsiri kamili,chid ambaye nilimuona akihojiwa na salama kwenye mkasi,chid alikuwa ameshine kinoma leo hii ndio huyu ninayemuona hivi ama kweli maisha ni fumbo km kilivyo kifo,usijione umemaliza wala usimcheke anayepitia kipind kigum,allah amfanyie wepes chid
Kwenye mkasi pale ndio tayari alishaanza kujiingiza kwenye madawa kama unakumbuka hata salama alimuuliza swali kuwa kuna tetesi ya yeye kuwa anatumia madawa ila chidi mwenyewe alikanusha
Chid auko sawa ila Kuna pointi nimechukua kutoka kwako mwenyezi mungu akufanyie wepesi uludi kwenye afya yako uko vizur bhana
Saleh unahoji vizur sana mashallah ubarikiwe sana❤
Dakika ya 23:20 Chidi amezungumza ukweli kabisa "Mtu mshirikina huwa hapendi ukaribu na mtu muomba Mungu huwa wanakuwa wabinafsi sana 💪💪
Chid benzi mwanangu sana sema nimtu mmoja peace kinoma pia credt ziende kwa mwandishi wa habari kaendanae sawa
CHIDI IS A CRITICAL THINKER SMALL MINDS WILL NEVER UNDERSTAND HIM
Umesema ukweli mtupu
I'm from Rwanda but I started following tanzanian hip hop juu ya chid Benz he is phenomenon hakuna msani wa hop kuzidi chuma balani Africa I swear
Hes a real genius
Kama mmeona huyu kinyozi wa pili ni mshamba nipeni like zangu
Mshamba sana😂😂😂😂
Sio mshamba msenge tu😂
@@kirajlovely8115 unaumia nn sasa
@@idrissaabubakari859acha matusi
Uyu kinyozi wa pili ni kama ndo anaona camera leo kashazoea vioo vyake vya saloon apo😂😂😂
Nyumba nzuri chid benzi 👍🏽
Yakwakwe kwani?
Chidi’s is a nice and Humble person ❤️
Mbona kama mguu wa Kushoto kafura c poa jamani.
Kinyozi mshamba....Ila Chidy amekuwa na subra kinoma huyo demu kazingua ila Jamaa kanywa maji hasira zikashuka😂😂
Sema chidy kaongea sana point hum
Siyo vzr kuingia ndani kwa watu na viatu😊
Chini kweli Mchanaji yani ameanza kujieleza kwa kuchana kabla ya kuhojiwa😂😂😂😂
Maisha haya. We need to learn from these guys. Chidi alishika pesa sana na umaharufu alikua nao sana chidi. Mungu kumshika sana Imani kuzishika sana. Pia marafiki, makundi, ndugu, spendings zetu na muda ni muhimu kuwa navyo makini.
Pole kwachangamoto ya mguu Kaka.
Leo mara yangu ya kwanza kumuona mie husikia Chidy Benz tu kwa musiki
Interview za chid ni nzuri kuskiza zaidi ya nyimbo za diamond
Unakera sana ww sasa unalinganisha nini hapo kwa chidi na Diamond wacha izo jieshimu kama unapenda chidi bac penda yeye tuu na sio kukosoa mwingine sasa hapo diamond kaingililia hapo nini
Unataka uolewe na diamond au sahau ndugu😅@@ElizabethMushi-ff9bw
Chid benz anajielewa alhamdulilah ndio majaaliwa nyumba aliyo jaaliwa.chiz au mtu asiejielewa Hawez kumiliki mjengo kama huu Big up chid
I gotta respect for you.❤❤❤❤❤.mob love chidi.❤
huyu ni kwake,, alijenga miaka hiyo sema sahii kidogo ameyumba❤❤
Mama yake chid alikua mfanya kazi wa TRA Babayake Lama sikosei alikua mwasibu shirika la nyumba kwahiyo tafakari
@@kwisa4899 😀
Çhidi una sweat sana bro,toa vitu vikali bro
😂😂
Dah! nataman chidi angekuwa mzima kama zaman na angekuwa ana shusha mangoma akiwa kwenyehali yake ya kawaida
Pindi interview inaanza niliona kama chid anazingua hivi sema sio kesi imekuja kua fresh tuuu
Mbongo bwana kafika nyumbani kwangu kakuta geti limefungwa kalifungua kaingia ndani cha ajabu kaliacha wazi kashindwa kulifunga tena..kiukweli watanzania bado sana.
Kunakamera Man hawajaingia
😂😂😂
Unajua chidi Yuko happy maana amekubali Hali yake na anaongea ukweli I wish Iko cku ataheshimika Tena
Heshima ya chid is forever
Nakupenda kinoma chidi ❤
Duuu .madawa sio mazuri daah huyu kaka napenda nyimbo zake .mungu atakupa unafuu .utarudi kwenye gemu
Alishaachaga madawa muda
hlo lidada na msura huo mbayaaaaa na mchogooo wake mdomo mrefuuuuu
😅😅😅😅
My best from kenya big up chidi
Wonders will never end! Hii cyo kawaida huyu kinyozi wa pili ni mshamba halafu anaonekana ametoka kijijini
Dada mzuri na watoto
Kwel kabisa mshkaj upo frsh sana unahoji mtu anakua free na anafunguka mwenyewe tu
Kinyozi wa pili mshamba sana khaa 🙌😅
Uyo Jamaa Ana Akiri Sana, Ila Watu Wanamchukulia Pouwa Tu
Kweli kabisa
Nyimbo za chid zltuburudsha sana enz za utoto wetu
Dah! kwanini CAMERA MAN hajamtuliza mapepe huyo kinyozi wa pili mshamba mshamba..!Selehe Anakitu kiukweli yupo COOL SANA..... HE IS LIKE THE NEXT MILLARD AYO
legendary 🥳, one of my favorite
Huyo kinyozi alishindwa kusema tu WE ZOMBI HAUJUI? 😂😂😂
SALEH UNA UVUMULIVU SANA HUYU KINYOZI WA PILI MI NIMEBAKI HOI MNOO WEE NDIO ULIKUA UNA MUONA ILA KUMZUIA HAMNA WALA KUCHEKA HAMNA 😊
Moja Kati ya Rapper ambaye hana wa kuziba pengo lake haswa (Voice yake) Namkubali sana.
Huyo demu msenge sanaaa
Naomba kazi ya usoja priss 😊
Mungu amlinde mwanangu Chid...
Chid nakuelewa sana, big up
Swaleh ndio umeondolewa hvo kwa chidi hta hukuingia ndani 😂ila kwa jirani umeingia 😊
Uyo shoga anazingua kinoma yana sijui ni mshamba wawap
😂😂😂Dah... Chidy kiboko🙌😂🇰🇪🙏
Nakabali san broo tunakatah unyonge
Najuwa Ungemuliza Chid kuusu hichokitambaa harichofunga Mguuni Mtangazaji Ungepigwa Maana hanambonge Wa Mdonda🤣👍
44:33 😂😂😂😂 🔥🔥🔥🔥
CHIDI NI MWISHO WA MATATIZO 🔥🔥🔥
Madawa sio mazuriii
Yoko fresh bro
Kinyozii msenge tuu uyo wa pili
Aaah xan
Hapo naweye siyo kwako😂😂😂ila interview zako kali wanaomkubali chidi gonga meza😂
King Kong.
Itakuwa kwa bibi yako
Msanii anaweza kufanya uduwanzi na ukimuuliza kwann...hizo point unakazopewa utakubali tu...😂
Chidi mjanja mjanja sana anapoteza mda asiulizwe maswali mengi 😅😅😅😅
Huyu ni muongo eti nyumba ni chafu...yaani maisha yamempelekesha
Uyo kinyozi mshamba sana
Gonga like kama umemsikia Chid akisema akuu! Huku anabetua kibega😂
Benziiiiii chid auna baya enjoy bhana na maisha yako
😂😂😂ayo mapete uyo kinyozi wa pili na anavyojiringisha kwenye camera sasa km hizo camera zipo kwa ajili yke😂😂
Demu Mashamba sana mbayaa
Mtangazaj umezngua ndani na viatu tena
Umeona ee ni dharau kubwa aisee hata namm amenikwaza huo sijui ustarabu Gani anaingia kwA watu na viatu vyake utadhani viatu vyake ni visafi mpuuzi wa kawaida ni dharau angeenda kwenye nyumba ya wasanii wengine tofauti na chid sidhani kama asingevua viatu kama alivyofanya hapo
STAY STRONG RASHID!!!!...
Huyu Chid anahitaji msaada wa kutolewa kwenye kilevi cha hovyo
Maneno yake ni ya kujikinga nk ila Mungu amsaidie kwa kila jambo
Mfano maneno gani?
LEO jamaa kakuchosha maana anazunguka tu😊😊😊😅
Kama unakubali interview za chidy Gonga like tujuane for love
Kinyozi😂 analinda brand
Amemanisha pesa za muziki nyingi ni za shetani ukimkataa anazichukua ela zake... uweeeeh...kwani the second kinyozi ana tatizo gani😂
Kwani kinyozi wa pili kaleft nn 😅😅mbna mbwembwe ivo
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ila kinyozi wa pili kheeeee
Huyo. Dada jeuri yk angekutana na interview ya ney wa mitego amletee usenge angeona
Mguu wa chid 😢😢,unahitaji msaada jamani
Chid anajua kuishi na watu vizuri
Hahahaha hiyo dawa naitaka alopakwa chidi 😂😂😂
Halafu huyu jamaa alimuimba jamaa ammalizie kumnyoa chidy ili auze sura. Boyaxana xana huyu Yani amepania mnooooo. MSHAMBAXANAAAAAAAAAA
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 huyo kinyonzi wa 2 bonge Moja la shamba
Chid tunampenda sana anavyoongea.vichekesho vyake kiukwel tunampenda
Saleh ameanza kuwa na mazoea MABAYA wakati hua ana nidhamu etii ndanii na VIATU daah wee jamaaa halaf kwa watu
Kinyozi wapili mmemujua 😂😂 ni dj misondo
Dish bado Alison sawa
Yani maisha hatari kakutwa na nini sijui chidi😢
Chid inaonekana anapenda watu sana kikubwa saidi ni mtoto wa mama anampenda sana mama yake ila ana akali kubwa sana kuliko tunavyo dhani
Kama unamkubali mwamba like apa tujuane😊
Sema huyu kinyoz amezgua sn km mtt choko kwr
Chidy hayuko sawa,lakini kijana mwema ana roho nzuri
Uyo nilimuona tp top shabik kapanda jukwaan acheze nae yy akamsukuma na kumtukana
Nilitaka kuangalia mpaka mwisho lakini kinyozi kanikera nimeacha 😂😂😂
Sialikua anaweka pozi kuna mtu alikua anampiga picha😆😆😆kila mtu anaushamba wake mvumilie tu
😂😂😂😂pole
😂😂😂😂😂
Uyo kinyozi wapili😅😅😂
Huyu kinyozi wa pili anajikuta juma jux au dotto magari😅😅
chid ni true star,
hahahahah nilikuwa nasubili namm nione huyo kinyozi wa pili atafanya nin jamaa kaanza kujiandaa kule ndani hahaha kweli mshamba wa camera
Chidi, TID, gigy money ni kazi kuwahoji