ZEMBWELA AINGIA CHUMVINI, AFUNDISHWA JINSI CHUMVI INAVYOTENGENEZWA HADI KUVUNWA - MSWAHILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • ZEMBWELA AINGIA CHUMVINI, AFUNDISHWA JINSI CHUMVI INAVYOTENGENEZWA HADI KUIVUNWA - MSWAHILI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 129

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +25

    Inasikitisha Sana chumvi ni muhimu Sana, ila i nakosa soko na bei, poleni msikate tamaa ipo siku Mungu atajibu kilio chenu, Hongera Zembwela wewe nitochi andelea kumulika🙏.

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +3

      kabisaaa

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 ปีที่แล้ว +13

    Chuma cha Pua Zembwela.. hongera kwa Vipindi Vizuri vyenye tija.

  • @FahadAli-ig7kp
    @FahadAli-ig7kp 2 ปีที่แล้ว +14

    Wakati mwengine tunajitafutia magonjwa sisi wenyewe sasa tunachukua chumvi kutoka india ambayo bilashaka imewekwa cemicols nyingi sana tunawacha kutumia chumvi safi kwasababu ya ufisadi tu 😭😭😭😭

    • @johncharles323
      @johncharles323 2 ปีที่แล้ว +3

      Tuna selikali ya hovyo kabisaa kupinga vya ndani na kuunga mkondo vya nje Kuna siku hata viazi mhogo kalanga mahindi mchicha mtalazimisha tutumie vya nje kisa tu viongozi mna masilahi huko ,

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 ปีที่แล้ว

      Innalillahi wainna irai rajoon

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania ปีที่แล้ว +2

    Zembwela Una fanyakazi nzuri Sana kuelimisha jamii

  • @rozina2161
    @rozina2161 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri zembwela endelea kutufunza mengi tusiyoyajua mungu akubariki kwa kazi. Zako dah. Nlikuwa. Cjui kuhusu chumvi bt nimejua. Sasa much. Love from kenya 🇰🇪

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 2 ปีที่แล้ว +9

    Daaah huyu mzee anapambana sana kutuletea burudani sie waswahili wenzie

  • @zenjigreen5491
    @zenjigreen5491 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kwa mswahili
    Pamoja na Mpika chumvi

  • @johncharles323
    @johncharles323 2 ปีที่แล้ว +4

    mkubwa zembwela big up xana hiyo chumvi inapatikana wapi?

  • @mikelokamba1202
    @mikelokamba1202 ปีที่แล้ว

    Dah mungu ibariki tanzania na utuondelee mafisadi

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa kazi nzuriii.

  • @chaumaraali3777
    @chaumaraali3777 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani hii nichuvi safi kabisa serekali mnatak raiya tujiajiri lakini tuki jiajiri hamtusapot inauma

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri! Hao algae walioota juu ya maji ni pesa, wana soko kubwa nje

  • @trienette6224
    @trienette6224 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakubal shemeji .. mama cossy S.A

  • @sbm7319
    @sbm7319 2 ปีที่แล้ว +3

    Nifursa nzuri 💕 serikali inabidi iunge mkono lakini umenichekesha sana eti itakutambua😂😂😂😂

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana zembwela kipind kizur sana

  • @mwanawetuamiri6747
    @mwanawetuamiri6747 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamani Zembwela hata hujaosha miguu khaaa kweli tunakula vingi vichafu Mungu tu ndio anatusaidia

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 ปีที่แล้ว

      Twala majasho ya miguu na soski😂😂😂

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mashallah

  • @danielichristopher4317
    @danielichristopher4317 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Mr zembwela mswahil Ila naswali Sasa ikiwa chumvi mchawiwake mvua Sasa mbnaipondan yamaj haiyeyuki?

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Zembwela👌

  • @juliebasso4563
    @juliebasso4563 ปีที่แล้ว +2

    😢😢kazi kubwa mno

  • @chaumaraali3777
    @chaumaraali3777 2 ปีที่แล้ว +2

    huna lolote lile ukijikuna unatoka unga asante zembwela daa nakukubali zembwel MTU kazi kama mandonga

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +6

    kwetu Lindi tunalima sana chumvi
    heti NIPO chumvin-kaka zambwela bwana

    • @ziadakisanga1011
      @ziadakisanga1011 2 ปีที่แล้ว +1

      Naomba nipe ata maelekezo kdg unalima vp

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 ปีที่แล้ว +6

    Ata Mimi limenikera kusamini vya njee wakati ndani vipo

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi mpo juuu Kila Sekta mpo

  • @nationalparkofafrica2184
    @nationalparkofafrica2184 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini babu zembwela anapenda sana pensi havai suruwali

  • @issakhan260
    @issakhan260 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli unauma ila aisee TZ hatushikani mkono hata kidogo

  • @amanikimbee6559
    @amanikimbee6559 2 ปีที่แล้ว +3

    Huko ndiyo chumvini halisia😀 Saana Zembwela

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +2

    Zinahitajika Gamboot spencial kwa kuzivaa kuingia humo ila pekupeku jama🤔

  • @abrahmanhamad6952
    @abrahmanhamad6952 2 ปีที่แล้ว

    Wasafi muje Pemba Zanzibar nasi tunazalisha chumvi

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 2 ปีที่แล้ว +1

    Zimbwela hiyo miguu utaacha fangasi kwenye chumvi😂😂😂😂

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanaishi wapi hawa wazalishaji wa chumbi

  • @GM-itire
    @GM-itire 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa wasomi wa #Mlimani wako pale utafiti sijuhi huwa wanafanyia wapi? Unasikia wanatapa Digri lakini utafiti wapi? Au kopi na kapesti!!🙈

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +7

    Tukichunguza vyakula tutakuwa hatuli vingi tu kwahy yote tumuachie Mungu ndy muweza wa yote

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว +1

      Usiaanze kulaumu nakutaka mungu akusaidie kwanz au mshukuru mungu kwakumleta binadamu nakupa maalifa mengi

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +2

      @@زيتونتنزانيا Niondolee makasiriko yako hapa nilipolaumu wapi ? Jifunze kuandika kwanza jina la Mungu kwanza kwa harufi kubwa kisha ndy uje hapa kureaply ok

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว

      Wewe nahisi chizi sijakutusi sija kuona mjinga nimekuambia kabla hatuangalia hayo magonjwa tunatakiwa tu shukuru kwa maalifa tuliopewa sasa hapo lazima uchukie au nabangi NA pombe zimekulali

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว

      @@زيتونتنزانيا Astaghafilullah Astaghafilullah Astaghafilullah. Sio kuandika jina kwa kiarabu ndy km umesoma dini lah waweza kuwa unaukosefu mwingi tu ktk akili yk mie np timamu siijui bange wala pombe ktk umri huu niliokuwa nao na sitakuja kutumia kilevi cha aina yoyote Allah aninusuru leo hd amri Kiama. Maajabu umekurupuka kuniona mm nalaumu wakati sijalaumu nimecomment kutokana na uhalisia wa video ilivyo tafuta Quran usome upunguze strees ulizonazo

    • @zulfaali780
      @zulfaali780 2 ปีที่แล้ว +1

      Zambwela nakupenda sana unavogea napenda Allah akulip

  • @Userog254
    @Userog254 2 ปีที่แล้ว

    Hamjanawa miguu Bora muwe na viatu rasmi vya kuvunia

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kazingua shamba gani la chumvi unaingia peku peku

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn 2 ปีที่แล้ว +3

    Yupo CHUMVINI😁😁😁😁

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwenye bei kidogo nilie

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 ปีที่แล้ว +4

    👌🇧🇻

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm chumvi Sina sifa mchuzini

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli inauma

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 ปีที่แล้ว

    tz ni nchi ya ajabu sana..viongoz hatuna. mnaruhusu chumvi kutoka nje,viwanda vya ndan vinakufa,sasa hapo hujaongeleaq sukar,mafuta,maziwa,ngano,vifaa kadhaa....halafu wanatoka kifua mbele kwamba wanaongoza nchi vzur

  • @vero57
    @vero57 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kuvuna chunvi kazi hivyoo

  • @nestorymapunda3988
    @nestorymapunda3988 ปีที่แล้ว

    Zembwela lud kwny kipnd cha good morning ndy xaf uko xiko

  • @chiefkaitaba8293
    @chiefkaitaba8293 2 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ingeuwa inafatilia hiki kipindi ingejifunza kitu,maana hiki kipindi kimekuwa kikionyesha vitu vingi vya kufundisha.

  • @mubanduvuai7876
    @mubanduvuai7876 2 ปีที่แล้ว +1

    Sas mbona chumvin unaipend kuisema

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 ปีที่แล้ว

    Kiroba cha mfuko wa chumvi kimoja kina uzwa TSH 15000/=🙌🙌🙌😄🏃

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +1

    Vya kwetu havifai vya wenzetu safi tutafika? Serikali waliangalie upya turudi kwenye chumvi yetu ya ndani kuliko ya nje

  • @vincentmaswi128
    @vincentmaswi128 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba namba za huyo muuza chumvi make soko ninaloo

  • @ahmadyahya9961
    @ahmadyahya9961 2 ปีที่แล้ว +3

    Zembwela eti mimi naikuta kwenye kikopo tuu nyumbani

  • @assanisass6641
    @assanisass6641 2 ปีที่แล้ว +1

    Labda magufuli angekuwepo🇧🇮

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 2 ปีที่แล้ว +5

    Serikali walione hili huwa viongozi sijui wanafanya nini kudaadeki

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +2

    vitendwa kazi vinahitajika

  • @kondesaidi5728
    @kondesaidi5728 2 ปีที่แล้ว +2

    Apo ndo wanapo wakamatia kwenye baolojia🙆

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 ปีที่แล้ว

    Duuh poleni.... Kazi kubwa hila changamoto ya soko

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 ปีที่แล้ว +1

    Tunakula mambo fungus,mijasho ya miguu mmmmh

  • @Userog254
    @Userog254 2 ปีที่แล้ว

    Watasaidia kwa kudai ushuru badala ya kuwasimamia masoko,
    Ili walipe kodi

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 2 ปีที่แล้ว +1

    MnisIdie kwa hiyo iyo chumvi inatoka chini kwakuchimba au🤔

    • @Mzawaoddszone
      @Mzawaoddszone 2 ปีที่แล้ว

      Hapana ni maji ya bahari wana yakausha

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว

    Ukiona miguu inauma ujue una fangasi 😄😄😄

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilhali kuna ngazi mpaka za chini kabisaa

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว

    Ndioooo zembweraaaa

  • @jofreyzacharia8050
    @jofreyzacharia8050 2 ปีที่แล้ว

    Zembwela yuko chumvini.....

  • @nyokaroadtv5828
    @nyokaroadtv5828 2 ปีที่แล้ว +1

    Zembwela aingia chumvin 😃😃😃

  • @vero57
    @vero57 2 ปีที่แล้ว +1

    Apa napo agalia najisikia chumvi mdomoni

  • @lodrickhubert9093
    @lodrickhubert9093 ปีที่แล้ว

    Umeonja? Ladha yake vp?

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 2 ปีที่แล้ว +1

    Zembwela taikondo imelala eti uwezi kuruka mtaro! Akujui huyo?!

  • @salekhvidal8346
    @salekhvidal8346 2 ปีที่แล้ว +1

    Yakuonja ipo

  • @jiiwolf2900
    @jiiwolf2900 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu kaingia chumvin

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachunvi

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh kumbe shughuli nzito ivo jamani sijawahi kujua !!

    • @ahmadyahya9961
      @ahmadyahya9961 2 ปีที่แล้ว

      Ndio maana tukaambiwa hela ili uipate lazima ufanye kazi kwa bidii ukitaka kwa urahisi Kama za kalynda jiandae na maumivu zaidi tuu

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว

      @@ahmadyahya9961 weee Kalyinda tena 😂😂😂😂

  • @katyalengajua6716
    @katyalengajua6716 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wa chumvi tumekuelewa

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe kuwekeza kwenye chumvi hakuhitaji hata mtaji mkubwa

  • @hemedhamis1652
    @hemedhamis1652 ปีที่แล้ว

    Lakiiiiiiiii.....hiafiki hata 10000😂

  • @Eliaaroni
    @Eliaaroni 2 ปีที่แล้ว +4

    Chakula changu Leo kina chumvni San 😩

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣 Paka lodi 🤣🤣

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 ปีที่แล้ว

    😄😄😄et aingia chumvini

  • @asl6295
    @asl6295 2 ปีที่แล้ว

    Mkubwa wa Jiko

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 2 ปีที่แล้ว +2

    wapili

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 ปีที่แล้ว +1

    Mvua ikinyesha wanapata asara

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipo na mtaalam wa chumvini

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Wtzn atupendi vyakwetu ndivyo tulivyo hasa viongozi wa serikal ndio wanaongoza

  • @azizaedina8088
    @azizaedina8088 2 ปีที่แล้ว +1

    🥺🥺🥺🥺🥺

  • @ramadhanikibenga4284
    @ramadhanikibenga4284 2 ปีที่แล้ว +4

    Chumvini huko 😂😂😂😂😂

  • @ABDICOM-xu3dr
    @ABDICOM-xu3dr 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimechanuka Leo.. Nilikuwa nadhani chumvi yatoka kwenye mawe😁😁😁😁

  • @HamidKhan-sb2xk
    @HamidKhan-sb2xk ปีที่แล้ว

    Kila kitu toka nje ni sawa na wakwetu kiubora au ni bora zaidi lakini.hayo yana puzwa na kuwekwa pembeni. Eti India inaleta chuvi safi kama wame vuna mwezini au phephoni jamaani tuamke Africa? ? ? HU Mchezo ka watoto ikome ujina basi tena. Dollars zaibiwa na haha bearing.

  • @KIREDIOO
    @KIREDIOO 2 ปีที่แล้ว

    Wapumbavu nyie mnaandika usenge et aingia chumviniii🤣

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว +1

    Weifa Za Tz Kwanini Azina Pawa

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    Umevuna chumvi hapo chuvini

  • @zeddymourice4249
    @zeddymourice4249 2 ปีที่แล้ว

    Niende vip nawewe njoo🤣🤣🤣🤣

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 2 ปีที่แล้ว +1

    zembwela anakazia kila saa nipo chumvini

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 ปีที่แล้ว +4

    Sili tena chuvi😢

    • @SinemaZaChina
      @SinemaZaChina 2 ปีที่แล้ว +1

      awaapi piga chumvi wewe mbna fresh tuu

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว +1

      Kula ubuyu

    • @SinemaZaChina
      @SinemaZaChina 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/-DRWNWN_xXU/w-d-xo.html
      hawa waindi sasa

    • @aishaaly1287
      @aishaaly1287 2 ปีที่แล้ว

      @@SinemaZaChina nakuona Master mind

    • @peninahkariuki4679
      @peninahkariuki4679 2 ปีที่แล้ว +1

      😅😅

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 ปีที่แล้ว +1

    Usalama upo kweli

  • @itNeza
    @itNeza 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Tunakula Mengi, Wiguu... 🙄😏🤔

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 ปีที่แล้ว

    Kweli utamu utamu 🤣🤣🤣🤣

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +1

    Haina hata mchanga ni kuharibu biashara TU hawana lolote tatizo hivyo vowanda ni vya wahindi Kwa hiyo wanalima wwnyewe kule India Kisha wanaleta nchini kutuuzia SS Asilimali yetu hawazitakiingebidi hiyo biashara ya kuleta chumvi ifungwe Ili wafaidike wa nyimbani mama ameliona Hilo naamini atalitendea kazi

  • @sulekato4330
    @sulekato4330 2 ปีที่แล้ว

    Chumvi ya mawe kilo sokoni buku

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/_XMH4Y2Jd4A/w-d-xo.html
    Kumekuwa na bashasha kwenye kombe pendwa hapa nchini TANZANIA kombe la mapinduzi cup linatarajia kurudi tena MWAKANI 2023