Mungu awabariki sana wana choir , tunapo jitayarisha kumpokea mwokozi wetu Yesu Kristo katika maisha yetu anapo zaliwa , tuwe wanyenyekevu , tumsujudie , tufurahie , na kumuabudu . Amina
Mmefanya vyema kumtumikia mungu kwa uimbaji pia mm a umoja nilifurahi mlipo unganika na familia ya minja kumsitiri mama yangu mdogo tunawashukuuru nimemwona kwenye hiingimbo imenikumbusha mbali
Mungu Awabariki sn Arusha uinjilisti Choir. Hongera pia kwa nyimbo nzuri za kujiandaa kumpokea Mfalme
Mungu awabariki sana wana choir , tunapo jitayarisha kumpokea mwokozi wetu Yesu Kristo katika maisha yetu anapo zaliwa , tuwe wanyenyekevu , tumsujudie , tufurahie , na kumuabudu . Amina
Mmefanya vyema kumtumikia mungu kwa uimbaji pia mm a umoja nilifurahi mlipo unganika na familia ya minja kumsitiri mama yangu mdogo tunawashukuuru nimemwona kwenye hiingimbo imenikumbusha mbali
KAZI nzuri sana KIBASA NAWASALIMU SANA
Mungu awabariki sana
Hizi ndizo nyimbo kamili za krismasi.
Mungu awabariki.
Mbarikiwa sana
Hongera sana
Waooo
Enzi hizo , Biblia Husema AIC Studios Kijabe , kioindi Cha 'Wimbo niupendao' na Christopher Arap Mutai. Hello wanainjilisti Arusha🌹
Mbarikiwe sana