Simba 3-2 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 18/01/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Simba SC imepata ushindi wa jasho na damu ikiwachapa Mbeya City mabao 3-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Ilikuwa ni mechi ngumu pande zote, wakianza Simba kwa goli la Saidi Ntibazonkiza dakika 11 lakini Mbeya City wakachomoa dakikaya 13.
    Saido akafunga goli la pili kwa Simba, kwa mkwaju wa penati dakika ya 49 na Pape Sakho akafumua bomu la Sugunyo na kuipa Simba goli la tatu dakika ya 56 kabla ya Juma Shemvuni kufunga la pili kwa Mbeya Dakika ya 78.
    Katika mchezo huu pia Mbeya City walipata pigo kwa beki wao Samson Madeleke kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 66.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 151

  • @laminmaster9387
    @laminmaster9387 ปีที่แล้ว +6

    Pape Ousmane Sakho notre fierté ❤️🇸🇳👍

  • @felixlaislais6561
    @felixlaislais6561 ปีที่แล้ว +1

    Hongera MNYAMA. Simba nguvu moja

  • @edouardniyongabo9436
    @edouardniyongabo9436 ปีที่แล้ว +2

    Well done for Simba of Saido Ntibazonkiza 🇧🇮

    • @eliasgulinja442
      @eliasgulinja442 ปีที่แล้ว

      Hivi ni Jani aliyesema tunahitaji kocha mwingine na aliyepp kapwaya wp? tatizo mnaamini wazungu mbona Senegal wanatumia wazalendo na wanafanya vzr timu ilikuwa na muunganiko Sasa imeparanganyika kumbukeni Kuna mashindano makubwa yanakuja k
      wa staili hii hatutobo huu
      siyo muda wa kufanya majaribio
      Mgunda ni z
      aidi ya huyo Mzungu wenu

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 ปีที่แล้ว +6

    Muwe mnawaisha highlits bhana Azam mnaboa sana

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaaah maana wanakaaga nazo kama ugal bana aah

    • @suzanakameta9973
      @suzanakameta9973 ปีที่แล้ว

      Kibu unyimi wa kutoa pasi, mpaka kero

  • @allyadamu5893
    @allyadamu5893 ปีที่แล้ว +3

    Good

  • @kingseth1018
    @kingseth1018 ปีที่แล้ว +4

    Wa kwanza ndo Mimi Leo
    Naomba likes flani unyama
    Mgunda baba Rud kwenye nafasi yako TU

  • @ezekielyzakaria1995
    @ezekielyzakaria1995 ปีที่แล้ว +1

    Good Simba fan

  • @jikelasimba4178
    @jikelasimba4178 ปีที่แล้ว +8

    Hongera simba kwa ushindi mdogomdogo tunasonga

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

      Nahuu nimwanzo tu 🔥

    • @linamkinga4243
      @linamkinga4243 ปีที่แล้ว +2

      Jipeni moyo🤣🤣

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว

      @@linamkinga4243 "Jipeni moyo nanyi mtashinda" 👉 imeandikwa

    • @official_phay1174
      @official_phay1174 ปีที่แล้ว +1

      Una busara sana na Akili kubwa maaashallah huna mmb0 mengi Mungu akujaalie iv0 iv0

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

      @@official_phay1174 love u Momy ♥

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว +1

    Refa yuko perfect sana.... Sina mashaka naye isipokuwa kunamakosa madogo madogo sana kama hili aliyetoa kadi kwa kudhani Sakho alichezwa kwanyuma na mlinzi ambapo kwa hakika ni kwamba Sakho ndio kajigonga ktk mguu wa mlinzi wakati anakimbia......

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +2

    🦁

  • @jaycodestz1304
    @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

    Tuliwaooooona...........😂😂🙌

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 ปีที่แล้ว

    Goli bora la league

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 ปีที่แล้ว +2

    Dubai ya nyoko Asante penalty 😂😂😂😂😂

  • @dicksonmsuya1196
    @dicksonmsuya1196 ปีที่แล้ว +3

    Ndaga bhanyambala mmepigana sana

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 ปีที่แล้ว +1

    Frome dubaiiiii😂😂

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 ปีที่แล้ว +1

    Simba

  • @KixViscosity-jy8wt
    @KixViscosity-jy8wt ปีที่แล้ว +1

    Unyamaaaaaaaaaa Sana msimbazi

  • @NKONINGOMEDIA
    @NKONINGOMEDIA ปีที่แล้ว +4

    Eti wanasema tumeponea chupu chupu eti mashabiki wenzangu wa simba

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

      Waambie huu ni mwanzo t

    • @mwenealexis3111
      @mwenealexis3111 ปีที่แล้ว +2

      Simba songa mbeku Wacha wazembe waseme

    • @mariapialakanje3446
      @mariapialakanje3446 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi huyu kochs dah unamtoaje chama eti huwiiii jmn halafu iweke sasa ndo mssn wametufinga mawili jmn huyu vipi nae duhu hajajua na walimpeleka wapi Matola dah jmni

    • @abdallahsalum9316
      @abdallahsalum9316 ปีที่แล้ว +1

      @@mariapialakanje3446 kuwa mpole huyo kocha mgeni Bado anatafuta wachezaji wa kuanza na wabadala wake..😁😁😁

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว

      @@abdallahsalum9316 uko sahih mzee babah 👍

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 ปีที่แล้ว

    Mbeya City --- walihitaji utulivu kidogo tu --- kwa Dunduka like --- walikuwa wanasawazisha,bila shida.

  • @maalimumasoudy6746
    @maalimumasoudy6746 ปีที่แล้ว +2

    INONGA NI MUHIMU SANA KWENYE KIKOSI CHA SIMBA

  • @Malvaboy.
    @Malvaboy. ปีที่แล้ว

    Nimependa iyo ya Kibu Denis naomba tu mungu ajalie kibu kipaji chake kirudi mapema

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 ปีที่แล้ว +1

    Goli la saidoo toka mwaka uanze duniani sijaliona

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 ปีที่แล้ว

    Jamany huyu refa mzuri kaumbika mnoo

  • @abelyjoseph3440
    @abelyjoseph3440 ปีที่แล้ว +1

    Wachezaji wenyew ndoto yao nikucheza nachama alafu chama anatolewa mapema kiukweli Mimi Simba dam dam lakini ichi anachofanya uyu kocha sijapenda naatuachie Simba yetu tu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

    Refa sio....Leo MAKOLO walikua WANAPIGWA..!

  • @Malvaboy.
    @Malvaboy. ปีที่แล้ว

    Manula awezi cheza vizuri bila inonga daah na Moses phiri

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว +1

    Simba tumeshinda lkn mmh

  • @salimsaid572
    @salimsaid572 ปีที่แล้ว

    Aloo sakho anajua boli na ana uwezo wa wakua kama chama, ila apunguze Papara, presha ama wahaka.
    Atakua vzr tena sana

  • @amibeamibe7261
    @amibeamibe7261 ปีที่แล้ว +1

    mabeki wa simba hawajaelewana vizuri, wanatatizo la kuchomoka na kumsahau kipa kuwa yuko peke yake nyuma angali anataka msaada. jambo jingine AISHI MANURA AACHE MAZOEA NA AACHE DHARAU YA MIPIRA KISA DK ZIMEKARIBIA KUISHA AU TIMU INA WACHEZAJI WACHACHE, ANAIGHARIMU TIMU.

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 ปีที่แล้ว +1

    Aisha atuambie bahasha ilikuwa na Bei gani...

  • @karakatamuumba4310
    @karakatamuumba4310 ปีที่แล้ว +2

    Ushindi mwembamba....simba timu mbovu...zingeongezwa dk 10 mnyma angekufa..walicheza 10 lakini wamewatoa jasho.hahAAa.

    • @magrethmalobola5470
      @magrethmalobola5470 ปีที่แล้ว

      Zinaongezeka dakika 10 na mpira dakika 90....😀

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      Fala kweli wewe ..ili ziwe dakika 100?

    • @mingomusa9697
      @mingomusa9697 ปีที่แล้ว

      Ungeziongeza wewe boya wewe

  • @changulla.awaith1203
    @changulla.awaith1203 ปีที่แล้ว +2

    Aishi Anadrop Siku Baada Ya Siku.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 ปีที่แล้ว +1

    Mmeshinda,lakini du! Pira "MADUNDUKA " kabisa.Hanna kitu.ole wenu.

  • @frenkfrenk5064
    @frenkfrenk5064 ปีที่แล้ว +1

    Awa
    wachezaji cjui wanatumwa watuumizie wacheyaji wetu jamaa naona kamtia ngumi ya kisogo sako

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 ปีที่แล้ว

    Kwa marefa Hawa simba na yanga wataendelea kuwa mabingwa daima

  • @samirsaidi8386
    @samirsaidi8386 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mchambuzi 1 wakisenge naitj kumskia juu ya makipa

    • @samirsaidi8386
      @samirsaidi8386 ปีที่แล้ว

      We jemedali umekaa kimya sio

    • @amirlehao8945
      @amirlehao8945 ปีที่แล้ว

      Manuna nadhani ni wakati wa kumpunzisha

  • @AmosBPeter
    @AmosBPeter ปีที่แล้ว +2

    Refa kaharibu mchezo kawatoa mchezon mbeya waziwazi shindeni kihalali siyo kwa michongo ya wazi

  • @jayhassan3906
    @jayhassan3906 ปีที่แล้ว +1

    Hawa marefa wanalazimisha tm kubwa zipate ushind

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

    Kocha hatufai

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 ปีที่แล้ว +1

    Saido ulakoze sako ulakoze chane

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 ปีที่แล้ว +1

    Hawa.walikuja kuumiza wenzao mpira gani wa fujo hivyo @ Mbeya City😏😏😏

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +2

    Hivi awa ndo wale wa from Dubai ama tusubiri wengine wanakuja?

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      Na nyie si mngeenda hata Kilwa? Mbona mnaumia sana. Simba walienda vacation Dubai

  • @Malvaboy.
    @Malvaboy. ปีที่แล้ว

    Beki bila inonga bado sana mbele bila Moses phiri tuta kufa na match zapo mbele daaah

  • @chacha-255
    @chacha-255 ปีที่แล้ว +1

    Kuadadadeki wachezaji wanataka mishahara yao, mpango wa kuwasahulisha mishahara kwa kuwapeleka Dubai umefeli, Manuala kajiongeza mapema kaenda kubeti 🤣🤣🤣

  • @officiallcoolest_khid3223
    @officiallcoolest_khid3223 ปีที่แล้ว +2

    ety kibu ni yule yule 😂😂 mpenja

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว

      Ahahaaaa😃😃😃 ni yule yule braza

  • @experiuskamugisha6722
    @experiuskamugisha6722 ปีที่แล้ว +2

    Penati ya mchongo

  • @jacksonlaswy1388
    @jacksonlaswy1388 ปีที่แล้ว

    Hahaha apo kwanza ncheke

  • @thabedamian3813
    @thabedamian3813 ปีที่แล้ว

    Aishi cjui kwann anafungwa magoli ya kizembe🤔?

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 ปีที่แล้ว

    21:34 mpenja tuache na Kibu Denis wetu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว

    Huyu kocha ni mzuri ila hajacop bado mbinu za Gadiola mnene ingawaje wanapishana 7bu usajili huu haukumuandaa gadiola kisaikologia pia kocha mpya hajafahamu kama Mgunda hakuishindwa Simba bali ni mbwembwe tu za viongozi wa Simba laiti wangeuchuna wangetoboa tu na Mgunda so kinachoclick hapa ni hawa makocha kuelewana team itafanya vzr nje ndani.

  • @zuhramaulid1674
    @zuhramaulid1674 ปีที่แล้ว +1

    Hili ndo pira la ulaya mlokwenda kujiweka fiti 😂😂😂😂

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว

    Hawa wameonew aisee duh

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 ปีที่แล้ว +1

    Simba mmebebwa,Mbeya city wamenyimwa penati ya wazi kabisa ili mshindie vinginevyo ilikuwa sare

  • @michaelkitinga9594
    @michaelkitinga9594 ปีที่แล้ว

    Dirisha dogo mizigo yote unabaki kwenye timu na ndiyo inapangwa kucheza, hii kweli ni Ximba. Na huyu kocha ndiyo kaja kutunyima ubingwa.

  • @evarestmwarabu5228
    @evarestmwarabu5228 ปีที่แล้ว +1

    Hii timu ikikutana na yanga jiandaeni kisaikolojia

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

    Unamfanyia sub chamaa khaaa😩😩

  • @bashirumkopi2638
    @bashirumkopi2638 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 manula 🤪🤪

  • @katoivan8212
    @katoivan8212 ปีที่แล้ว

    Huyu kocha wa mapy anatak kutuaribia timu yetu jamani asimutoe Tena chama kbs

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 ปีที่แล้ว

    Huyu refa ni mnazi wa Simba mtupu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 ปีที่แล้ว

    Hili li timu ni la hovyo Sana yani chama ni mkubwa kuliko Simba yote hii ni maajabu🤣🤣

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Huyu kocha Asituchanganyie Mafaili Amuulize mgunda Nini maana ya Chama kucheza dakika 90 asituumize mioyo yetu bhana

  • @katoivan8212
    @katoivan8212 ปีที่แล้ว +1

    Simba wamexhind kibabe

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣Sakho fala sana

  • @aminatalki6314
    @aminatalki6314 ปีที่แล้ว

    Asante penait

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 ปีที่แล้ว

    Huu mchezo umenisikitisha mambo matano.
    1) aina ya penalty
    2) kutolewa chama wakati ndio sababu ya goal la kwanza na pengne ange sababisha mengne.
    3)ubora wa kibu mchezaji ninae mtegemea ila mashut yake anaangua maembe ilikua bora angekuepo chama pale.
    4) simba wamerudi tuliko toka umakini wa mabek.
    La mwisho na nilakizembe aishi kutaka kushika mpira uliopo kwenye line wakati ilikua ni mpira wa kupiga kofi.
    Ukiniuliza wapo ielekeapo simba nitakwambia ni mfarakano tu baada ya miez miwili maana wengne tunaipenda simba tukiona chama anacheza kwani ni mtu mwenye akili sana hatukatagi tamaa akiwa uwanjani. Najiuliza jee coach hapendi uchezaji wa chama?
    Matola mshauri coach kua chama ni muhimu kwani team zote hutoa maelezo mkalieni chama na kukaliwa kwake ni watu 2 husababisha kuipa team ushindi kwa kutumia pengo lililobaki hivyo ndivyo team zinavyo shinda huu ushinda mwana simba mwenzenu sikufuraahia ila bora tu tumeshinda.

  • @ayobow56
    @ayobow56 10 หลายเดือนก่อน

    Sakho nihatari

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +2

    Mshkukuruni saido madunduka nyie

    • @greysonponera7080
      @greysonponera7080 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga uende mbinguni

    • @badrumbaruku
      @badrumbaruku ปีที่แล้ว

      Kwa akil zako mbovu tumshukuru saidoo kwa nn yule c nimchezaj wa simba au ni wakwenu nyie utopolo kule kwenu katoka kwa sababu tim lenu ni bovu la kutupa utopolo saiv cc simba anaetuzingua ni kocha ila simba ina wachezaj kwalit kabisa

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa, kwani sio mchezaji wetu? We kiazi kwelikweli

  • @saidijafari2812
    @saidijafari2812 ปีที่แล้ว

    Tatizo sio chama tatizo jana manula kaleta usenge sana magoli yote mawili ya kizembe

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 ปีที่แล้ว

    Yani unamtoa chama

  • @agnethaalinda6183
    @agnethaalinda6183 ปีที่แล้ว

    Kanute hajawahitoka mchezoni bila kadi jmn.

    • @niyogushimaoscar9248
      @niyogushimaoscar9248 ปีที่แล้ว

      Ni casemiro alie chemuka ni mtu wakazi hawezi kukubari uende hivohivo bro

    • @salimsaid572
      @salimsaid572 ปีที่แล้ว

      Aaaaa na uyo rifa kazipenda izo kadi

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 ปีที่แล้ว

    Kwanini huyu matola asimshauri huyu koch jmn huwii

    • @Jastus100
      @Jastus100 ปีที่แล้ว

      Matola hayupo

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว

    Aisha manula kabewa bahasha

  • @radiammchecheto5050
    @radiammchecheto5050 ปีที่แล้ว +1

    ila huyu coach sizani kama hanamuda hapo simba kwajinsi anavyo panga timu.akimaliza mechi kumi mniite dog niko pale

    • @saidsalum6101
      @saidsalum6101 ปีที่แล้ว

      Wewe dog ngoja tuanze mapema kukuita mbwa mkubwa wewe

  • @EdsonJonas-qj1mq
    @EdsonJonas-qj1mq ปีที่แล้ว

    kuumia kwa Innonga kutatutesa sana wana simba. Labda kwa kiraza ambae alikua haoni kazi ya Innonga. Kocha apewe muda

    • @niyogushimaoscar9248
      @niyogushimaoscar9248 ปีที่แล้ว

      Wew umeliona hilo wachezaji wanyuma hukana kitu wanacuambuwa chama tu wakasahawu defense ya simba inalegarega sana

    • @sadatisabihi3818
      @sadatisabihi3818 ปีที่แล้ว

      Na mteseke tu umbwaa nyie hahaaaa

  • @abelyjoseph3440
    @abelyjoseph3440 ปีที่แล้ว

    Mimi shabiki kindaki ndaki lakini Mimi sijamwelewa huyu kocha kumtoa chama mapema nandomtu amabaye anajua afanye Nini nawenzake tupate ushindi mm nashauli uyu kocha wamuweke pembeni kwanza mgunda ashike timu yake maan atatukosti hata kimataifa huyu

  • @faudhiamalllata290
    @faudhiamalllata290 ปีที่แล้ว

    Nguvu moja

  • @olendukai3242
    @olendukai3242 ปีที่แล้ว

    Jamani Wana msimbazi wapishi wengi huaribu mchuzi kwa huyu kocha mlie tuongezea Bora mgunda Mara 10 ukweli mechi ya jana tumeudhunika kweli kweli ingawaje tumeshinda lakin kibahati mbaya mbaya anatoaje chama nje jamani hatuja furahi kwa kweli

    • @jayshakichampionkiller5959
      @jayshakichampionkiller5959 ปีที่แล้ว

      Mechi ingeisha kwa 3 1 kocha Yuko sawa

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      CHAMA 🔥 NI MOTO HALAFU MNAMTOA, yaani chama 🔥 ukimtoa uwanjani ni sawa na mpishi kusahau kuweka chumvi kwenye chakula, hakinogi wala….. mwacheni chama acheze

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      CHAMA 🔥 NI MOTO HALAFU MNAMTOA, yaani chama 🔥 ukimtoa uwanjani ni sawa na mpishi kusahau kuweka chumvi kwenye chakula, hakinogi wala….. mwacheni chama acheze

  • @saidijafari2812
    @saidijafari2812 ปีที่แล้ว

    Sasa kama goli la pili kitu gani kilichomfanya akae mbele kiasi kile Kwan atataka nae akashambulia mbwa huyu

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว

      Yaan bado mpira aliudakia nje kilichompeleka ndani kitu gani

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃

  • @mboneajeremiah6073
    @mboneajeremiah6073 ปีที่แล้ว

    Manula kabet

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 ปีที่แล้ว +1

    Ila sakho ni mchokozi

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว

    HIGHLIGHTS ZA YANGA MNAWEKA DAKK 14 ZA SIMBA DAKK 22 MBWA KWELI NYIE

    • @superherotv1750
      @superherotv1750 ปีที่แล้ว

      Usifananishe wa2 wa dubai na mtogolee

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      Unaumia ukiwa wapi ndugu?

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว

      @@superherotv1750 Mnaudubai gani mbeya city jana kawatoa jasho hadi mnaomba msaada kwa refa

    • @justinemangari2890
      @justinemangari2890 ปีที่แล้ว

      Ndg inategemeana na idadi ya magoli yaliopatikana siku hiyo, likiwa Moja tu highlights itakuwa na dk chache, eb fuatlia hicho kitu ndg,

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 ปีที่แล้ว

    Kibu mmmm

  • @robertmboya7842
    @robertmboya7842 ปีที่แล้ว

    MANYULA KAONA AIBU MPAKA ANANG'ANG'ANIA MPIRA WA WATU

  • @mwanaidihamisi1341
    @mwanaidihamisi1341 ปีที่แล้ว

    Ila uyu kihimbwa noma

  • @visentdismas7433
    @visentdismas7433 ปีที่แล้ว

    Mhh

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 ปีที่แล้ว

    Beya hatari

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 ปีที่แล้ว

    Refa mbovu

  • @jumakinzeke2059
    @jumakinzeke2059 ปีที่แล้ว

    Simba tujitafakalu

  • @gwijitv
    @gwijitv ปีที่แล้ว

    DiamondPlatnumz - Yatapita ( Official Video )
    th-cam.com/video/xCCcd71GXYE/w-d-xo.html

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 ปีที่แล้ว

    Mechi hii simba mmefungwa mmependelewa saana

    • @jwisetv4833
      @jwisetv4833 ปีที่แล้ว +1

      Sawa hizo sio shid a zetu ni shida za walamihogo

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      We si utopolo? Unaumia ukiwa wapi?

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

    Ila simb kip wanachotafuta hilo likocha lao mav hilo