Yesu wangu usinipite mimi pamoja na familia yangu yote 👏👏👏 Mungu baba tunaomba furaha yako ndaniyamaisha yetu ndaniyanafsi zetu ilikufikia kwawepesi zilebaraka Bwana In Jesus Christ Name 🙏🙏🙏
Bwana yesu naomba umfunike mwanangu kwa damu ya yesu kila uchawi hautampata kwa damu ya yesu uchawi wote uwarudie mara saba wenyewe kwa jina kuu la yesu
Baba yetu bishop elibariki sumbe mungu wa binguni akutuze na akupe maisha marefu na ya heri pamoja na familia yako baba usige itii sauti ya mungu nigekua wap mimi hivi leo hakika nimemuona mungu aliyeko ndani yako baba asante sana
BWANA YESU KIRSTO naomba ukutane nami ciku ya leo nitete niondolee roho ya kuchanganyikiwa nikuone BWANA MUNGU kupitia ibada hiii, nitoe katika roho za mateso mm pamoja na familia yetu nami nitakupa utukufu
Hakuna mauti kwenye familia yangu hakuna kuchanganyikiwa kwa jina la yesu maneno yote ninayafuta kwa damu ya yesu kiatu cha mwanangu kirudishwe kwa moto wa jina la yesu moto ukawaakie uko walipo kipeleka waje wakitambaa kwa jina la yesu kristo Amen
Bwana Yesu naomba unisaidie kupata haki yangu ya mafao ninayostahili.
Naomba uondoe vikwazo vyote vya adui dhidi yangu na familia yangu. Amen!
Amen!
Nisaidie mwokozi nakuitaji Jehovah kwa jina la yesu Amen 🙏🙏🙏
Asante mungu kwakunijaza furaha yako ndani yangu nakunifunguwa vifungo vyafamilia amin amin
Eh, Bwana Yesu nnaomba unipiganie katika eneo la kazi yangu vita vinaniinukia
Ameeen ubarikiwe mtumishi kw ujumbe muzuri
Eee mungu wangu mponye bwanañgu nimgojwa wa kiuno ana sumbuliwa na jini mahaba
Ameni Ameni Mungu nipefurahq yako
Wakupewa sifa na Heshima ni wewe YESU MWOKOZI WETU. Asante sana YESU.
Yesu wangu usinipite mimi pamoja na familia yangu yote 👏👏👏 Mungu baba tunaomba furaha yako ndaniyamaisha yetu ndaniyanafsi zetu ilikufikia kwawepesi zilebaraka Bwana In Jesus Christ Name 🙏🙏🙏
Mbadilishe bwanañgu akujue ww mungu wangu eee mungu wangu mfungue ufaham wake umponye
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Amen Asante MUNGU wangu
Wakupewa sifa na heshima ni wewe Yesu
Mungu baba unikumbuke mimi nawatoto wangu
Mungu baba naomba furaha yako moyoni mwangu ipe furaha familia yangu
Ee.mungu.naomba.uisaidiye.watoo.mwangu.kwa.jina.layesu.amina
Amen tuna pokea furaha ya Mungu moyuni mwangu
Amen and amen baba
Asante yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana yesu asifiwe saana
Asant baba kwa neno lako nilitebea sina furaha siku nyigi kwakweli leo mungu asante umeniona naamin nimefuguliwa mateso yote baybay
Jina la Bwana libarikiwe ameen
Bwana Yesu usinipite niponye
Ameeeeeeen Mungu Apewe Sifa naatukuzwe Milele
Naazidi Kutufunguwa kiroho nakimwili🎉🎉
Eeeh MUNGU naomba hii furaha iwe kwangu na familia yangu ktk jina la YESU AMEN
❤❤❤❤❤ alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi
Aksante kwa sababu kweli Mungu amreundicha furaha kwangu ,Na chukuru Mungu sana kabisa
AMEN. Napokea Kwa jina KUU la YESU AMEN
Bwana yesu naomba umfunike mwanangu kwa damu ya yesu kila uchawi hautampata kwa damu ya yesu uchawi wote uwarudie mara saba wenyewe kwa jina kuu la yesu
Amen 🙏 Napokea uponyaji kwa Jina la Yesu kristo mnazarety
Amen Bwana achilia furaha yangu
Baba Naomba uakaachilie furaha ndani ya moyo wangu🥺🥺🥺🥺 sitaki uchungu tena
Mungu wangu naomba kazi Kwa mime wangu
Amen and amen
Mungu najiungamanisha na madhabahu hii napokea sehemu ya miujiza yangu
Bwana yesu tupiga nice kwa wale waliyo iba mtandao
Baba yetu bishop elibariki sumbe mungu wa binguni akutuze na akupe maisha marefu na ya heri pamoja na familia yako baba usige itii sauti ya mungu nigekua wap mimi hivi leo hakika nimemuona mungu aliyeko ndani yako baba asante sana
Amen mungu utubikania🙏🙏🙏🙏🙏
Ee Mungu naomba furaha yako ndani ya moyo wangu
Nimepokea yote kwa jina la jesu ❤
Amina
Nisaidiye piya mm ni mjamzito nijifungue salama eee mungu wangu tegemeo langu ni wewe
Amina.mungu.nwema
Mungu ni saidiye n'a mimi ni pâte pesa île Niji unge nawegine kwa kukujengeya
Mungu tusaidie baba
Mungu npe amani na upendo pamoja na furaha
Aminaaaaa aminaaaaa jina la Yesu liinuliwe
Amen and amen baba in the might name of Jesus christ
Unaweza mungu uko mwema.,🇨🇩🇨🇩
Ameen🙏
Amen amen
Amen Amen ❤
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amen🙏🙏🙏
Amen 🙏
Mungu Naomba utuondolee huzuni na majonzi waponye wazazi wangu na family yote.
Amen Amen Amen
Amen Amen
Amen nimeisha vuka
Watu ao wateketezwe kabisa katika jina la Yesu
Amen and 👏👏👏👏
Furaha ya mungu
Amen Amen 🙏
Asante yesu kwakunifunguwa
BWANA YESU KIRSTO naomba ukutane nami ciku ya leo nitete niondolee roho ya kuchanganyikiwa nikuone BWANA MUNGU kupitia ibada hiii, nitoe katika roho za mateso mm pamoja na familia yetu nami nitakupa utukufu
Najiunganisha kwenye madhabahu ya vuka yorodan kwa jina la yesu christo alie hai Aminaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tutaendelea kutuma , tutatuma tunakubali kuujenga nyumba ya Mungu
Amen
Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amen amen baba
Amen Amen!!!!
🙏🙏❤🙏
Tunapona kwa nguvu ya Mungu
Yesu ana no panda sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Faithful GOD 🔥
Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Hakuna mauti kwenye familia yangu hakuna kuchanganyikiwa kwa jina la yesu maneno yote ninayafuta kwa damu ya yesu kiatu cha mwanangu kirudishwe kwa moto wa jina la yesu moto ukawaakie uko walipo kipeleka waje wakitambaa kwa jina la yesu kristo Amen
Ansante baba
Amen baba
🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Siku ya leo nime jiunga Na mazabau ya vuka yordani ,Mungu wa bishop wetu ,atu kumbuke Na Atu funguwe Siku ya leo
Yesu usinipite
Hallelujah ❤
Amen 🙏 amen 🙏
Hallelujah
Amen hallelujah
Amen Amen Amen 🙏
Furaha ya bwana ninguvu yangu ninguvu zetu
Thank you Jesus
Salamu naomba msaada wa maombezi kwenu mateso ni tele
❤❤❤❤❤
❤
👏👏👏👏👏👏👏
👏👏👏
Amen 38:59
Hapa Tutapata mafundisho sahihi Nabarikiwa leo
, 👏👏👏👏
Ameen 🙏🙏
Ameen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻