THE STORY BOOK: MAAJAMBU YA SEMION MUGLEVICH BINADAMU PEKEE ALIYE JUU YA SHERIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2020
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Wanao dislike watengeneze story zao Jamal oyeoye,,,, nipeni hata like mbili niendelee kuangalia
Wachawi hawakosi.
kabisa yaani
Nakupea yangu
Mmmmh
I agree
HAYA na Mimi leo wa 183 nipeni hizo like kama zote kama kuna pakuziuza nkauze😂🤣😂🤣🤣
th-cam.com/video/0J3nueIY29I/w-d-xo.html Hello New force nakukaribisha kuisikiliza ngoma yangu mpya,, Just click the link👆 naamini utaipenda
NAPENDA sana THE STORY BOOK coz inatufunza mingi much love from Kenya Nairobi CITY 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤👈
Hello
We together in this Sophy so educative
Eeeh hes one of the best
Hello
🤝
.....alikuwa ni tone la manii tu, sasa ni jabal, ila umri ushakwenda, na ashauwa watu wengi sana......mwisho wake ni mchanga tu.....
Professor Jamal king of the story in Africa 🌍
Nice 🔥
🅰
Kabs
Naipenda lafudhi ya professor na pia usimuliaji wake unaovutia sana na kusisimua sana
Sio lafudhi pekee ila Jamal kila siku atufundisha Misamiati....
Karibu kijichi
Imagine ako Single
Naomba email yako
Nangojea hiyo kaka ya Internet mostly maelezo kuhusu TOR browser ambayo hukiitumia hata kwa simu yako yakiganjani hakuna anayeweza kufuatilia taarifa zako..mambo mengi yanafanyika uko ni kama dunia tofauti na tunayoishi nayo kwani kuna child pornography,human eaters,hitmen,na kila aina ya web hackers unaowafaham..cant wait for the release
Jamani mi nilikua najua utakatishaji fedha ni kutengeza pesa bandia ...asante story book kwaku nielewesha
Professor J.P the great... Mungu akulinde upate elimu na maarifa wewe ni zaidi ya mwalimu
Story ndefu kama hizi ndio nzuri, maana tunasubir muda wa wiki nzima alaf tunapewa storybook ya dakika 20 inatoa mood. Safi
We unabando😂
💪💪💪💪💪
I really love this story keep bring some story like this 🙏
Prof. Jamal sijutii Mtiga kuondoka kwenye wasafi the story book maana ameacha mtu kweli kweli. Wa #354 ku'comment'
Ama kweli jamar story zako nzur sana very good bro
Wachelewa kama kawaida like ni hapa tujuane jamani
Wa 311 hapa si mbaya na me nikapata like kwa wale tunaotazama maajabu ya Simeon
Watu kama hawa wanatufanya tujihisi wazururaji hapa duniani. How do they do it!
😆😆😆 kwel kabsa yan
Unadhani uongo kweli kabisa unaweza ukalia,
Noumaaaa sana ukikaaaa na kufikiriaaaa kichwaaa lazima kiume
🤣🤣🤣🤣🤣
For sure brother
Jamal wewe professional kwl big up
Job
Tunaoangalia huku tunasoma comment tujuane hapa nipeni like kama zote
Me
@@aiyammshoka1096
@@aiyammshoka1096 pamoja sanaaaa
Indeed this is the proof that a human being has unlimited potential to do miracles that can affect the world positively.
@@superdrugtz poa
Mnm
I love yu❤
Huyu jamal hizi clip anazipata wap 😄😄sema huyo elchapo huyo alikua balaa sidhan kama anazidiwa nahuyu
@@hashimlowela294 netflix documentaries
Na mpenda sana huyu bwana kazi safi sana jamal hongera
Leo nimekuwa mwana comments wa 50.
th-cam.com/video/0J3nueIY29I/w-d-xo.html Hello beda nakukaribisha kuisikiliza ngoma yangu mpya,, Just click the link👆naamini utaipenda
If you play your cards right then you will survive 😌
Nice jamal we get knowledge💯
Kazi nzuri... Wasafi for life... Mtuletee Wasafi FM Kilimanjaro
Mr mrema mi ndio fundi mitambo very soon as possible
@@mchagashop1342 good job.. karibuni
Jamali bhn we noma sn aiseeh anae mkubali Kama mm rike nimjue
Aiseee we Jamar unatisha kwa story big up Bro
Huyu jamaa ni balaa
The Classic Man.... Jamal
Live nikiwa chooni huku napata story book japo wanasema starehe ya kukata gogo ni kushika tamaa basi mimi leo nipo na story book hapitwi mtu hapaa 😂😂😂😂😂😂🚶
😂😂😂hatari n nusu
😂😂😂
Ina mana hapo mkuu... uwazi
Ila jmn kamshinda pablo kwl maan yule mbaba hpn kwa kwl🙌🏼🙌🏼
unampenda
King of sory book akuna ninachafurahiwa nacho kama sauti yako unasauti nzuri asa mtu unapokua pekeyako sehemu tulivu basi utahisi vizuri sana ata congo tupo tunaifatilia kazi yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi poa Jamal live Nairobi Kenya
Pamoja sana 2ko pamoja 💪👍👍
Duh kwel shda upo
Pr.Jamal wewe ni King of storybook.
Master mind...one day yes
Mimi nakukubali sana, sio hawa wadaku wa kiume wa online za Tz wanaotuletea habari za uwongo na za kipuuzi.
Safi sana jamal
Jamal WEWE ufunguo wa jamii🇰🇪👍
May God bless u more an more,wit wisdom,,napenda story book k
Tuletee escape from sobibor
😍😍
Ni kwely naitamni san iyoo wailetee
Daah we mweu una balaa yani unajua
Binadamu juu ya sheria ni yupi
Mimi hapa wa 7.7 from Meru Kenya❤❤❤
Dakika ya 32:14 sio bilion 5 ni zaidi ya billioni 500 umesahau kidogo. Tuendelee....
th-cam.com/video/0J3nueIY29I/w-d-xo.html Hello Adorugi nakukaribisha kuisikiliza ngoma yangu mpya,, Just click the link👆 naamini utaipenda
Professor 🙌
Jamal ,I salute you keep bringing more stories,I love story book frm , Kenya
Huyo jamaa ni genius sana...
Jah bless you mr. Jamar
From Kenya jamal,,we ni mkali kweli,,tuundie kisa kuhusu antarctica
Professor naomba story ya hushpapi
Hashapapi mbna ipo itafute kwa kiswahili
Jamal Mustafaaaaaaa 💥💥💥💥
Mwenyez MUNGU anamngoja we muache ajisahau kutubu wakat nafasi bado anayo
Am from Kenya end have been following your stries love them.Wapi like za kenya to Jamal please.
Muglevich!!!!stop risking our life 😯😯😂😂
Mtiga atumsikii saiz
We are always appreciating u Proffesor
Oya bro unaweza kuhadithia hadithi ya kabuga jupo kwenye list ya most wanted
Mwamba unanikosha sana na Mimi nakupa jina the don of voice
Hakukubari Sana Mr💥💥💥💥💥
Aisee jamal hiyo story ya internet nimeipenda sana. Natumia internet zaid ya masaa 14. Sasa Nahitaji kuifahamu internet zaidi na kweli 5G ina madhara kwa binadamu au ni propaganda tu watu wanasema
I love the story book
Matumizi mazuri ya elimu 😂😂😂😂
Bilishaka
Umemsifu sana lkn hana sifa hata kidogo za kina Escobar ama el chapo na hawezi kuja kua star mkubwa kama hao. Huyo matukio yake hayatishi sana na ana kinga ya serikali ya urusi.
Uko sahih El chap na Escobar wal hatar san
Shukran professor jamal
I really love it super duper fly. Makala safi kabisa 🔥🔥🔥
Tuletee hadithi ya Dr martin luther king jr
Professor ua the best... U know how art is, unasaut nzur, keep it up...
Mhh , kweli anasauti nzuri
Uje utuletee na story ya dark web ....internet ya siri.yenye atutumii watu wengi
Mh how😭😭😭
Waving ipo hiyo dunia inamengi jomba
Exactly please Prof tufanyie hii
Ipo tyr
Elijah : mbona dark web ni internet rahisi saana kuliko anavyo wazima? Inalomba tu u download dark web browser kama Tor browser ukimaliza ina faction tu kama internet zingine
Kazi Safi I sey..cangrats
your proffesional
Wewe ni hatari kaka nakubali sana kazi yako, nimeangalia kwenye wasafitv lakini haitoshi nimekuja na hapa. Endeleza kazi nzuri kaka
Aise huyu jamaa nimkali sana pia ana hakiri sana anajituma kwa kusaka mambo magumu
Zinaniacha hoyiii story hizi zawaharifu
You are a good professor
All the way from🇰🇪🇰🇪
Jamali uko vzr hongera sana
Jamal Msimulizi Bomba zidi kutufumbulia mengi
The great story teller ❤❤
Jamal we ni zaidi ya professor
I love watching this stories
Dunia hii Kuna watu wanaishi kama Mungu.kila kitu kipo chini yao
Great work
From kenya
Nakubari bro asante sana
You're always the best
Love this story
Story nzur mnooooooo
Leo nimewahi mzee baba
Huyu mwamba nilimsomaga historian yake nikadhani masihara duuuhhhh Kuna viumbe asee
Daah huyu katumia vizuri elimu yake
Jamal 💪✊
Uko vizuri Jamal april,appreciate you
Naomba utoe tofauti kati ya saikolojia za watu.
Nice mno nawapenda wote
kazi Safi bro hongera kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
watu km hawa wanatufanya tujihisi wazururaji DUNIANI sasa wao wanafanyaje jamanii 😂😂🙌🙌🙌
Mambo
Jamal mustafa ....profesor
Kati ya simulizi zote hii bwana April nimeikubar na nimeipenda mnooo
Jamal umetisha sana 💪💪
duuh!!! hiyoo sasa balaaa boss of bosses😂😂
Naaam Kweli baba nimekubali