ANNA WA JUA KALI AFUNGUKA WATU WANAVYO MKASIRIA KISA KUMTESA DIBA, NI KISASI?, AMUONGELEA MIMI MARS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 256

  • @edithanicodemu8690
    @edithanicodemu8690 9 หลายเดือนก่อน +14

    Anna tunaelewa unaigiza lkn hizi ni hisia zetu katika kuigiza kwako team Diba tunaumia

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +19

    Anna nakupenda unawakilisha vyema wasichana wenye tabia hiyo 🎉🎉🎉❤

  • @AnnaWambura-w4r
    @AnnaWambura-w4r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Team diba tunaumia sana kwa ulichomfanyia diba wetu

  • @EvelinJuma
    @EvelinJuma 9 หลายเดือนก่อน +12

    Tunakupenda sana Anna ❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️🙏🇹🇿

    • @MwanamkuuSudi
      @MwanamkuuSudi 9 หลายเดือนก่อน

      Anna nakupenda my wangu

  • @joyhyqlt4398
    @joyhyqlt4398 9 หลายเดือนก่อน +6

    Natmn sana kuona bobo kaludi kwnye maisha ya Anna kwa mpngo maalumuu

  • @leahnjinge7136
    @leahnjinge7136 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sophia hupendez na hayo mawigi,,Baki natural

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 9 หลายเดือนก่อน +58

    Anna tuhurumie wanyakyusa 😢😢 jmn tutaweka wapi sura zetu 😔 chubhaa Mwaipopo atashikwa uchawi nipo hapa😅😅

    • @Shalet-or8ev
      @Shalet-or8ev 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂mwaipopo kaz anayo

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 9 หลายเดือนก่อน +5

      😂😂😂😂😂 kama ulikuwepo kwenye ubongo wangu

    • @neemamungure8592
      @neemamungure8592 9 หลายเดือนก่อน +1

      I agree with you 😅😅

    • @syliviamwakitwange3621
      @syliviamwakitwange3621 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mma bagwitu! Anna anaenda kuleta taharuki unyakwusani 😢😢

    • @festinafallanga4623
      @festinafallanga4623 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ulicho waza kama mm 😂

  • @AminaKida-ik8fc
    @AminaKida-ik8fc 9 หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉🎉🎉 kwa Anna Mana anaifundisha jamii hasa kwa mabinti

  • @julianamsengi547
    @julianamsengi547 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ila zaylisa maisha yake yakuigiza kuliko ya anna wa lamata hongera anna unacheza vizuri

  • @pcmchealthcare9339
    @pcmchealthcare9339 9 หลายเดือนก่อน +10

    Ahhaha tunajua dada unaigiza tuko pamoja

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anna uko vizuri sana yaani jua kali imenoga

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dada uko vizuri sana, ❤❤❤❤❤

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda wajina langu❤❤❤🎉🎉🎉🎉💯💯💯💯

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tulipiga kelele Ana apunguziwe jua,na aolewe ,sasa bdo anaolewa tena na yule amoendaye,na wanamgombania,yy ndo anachagua ba ndo tulitaka hvo tusimsakame,jmn jua limeindoka

  • @quintahariri8552
    @quintahariri8552 9 หลายเดือนก่อน +2

    Twakupenda anna ila watumizia diba wetu😊

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 9 หลายเดือนก่อน +9

    Da Anna mmmmwaaaaaa mmmmwaaaaaa mmmmwaaaaaa unaonekana mpole tu hao wanaochukia kiukwel ni malimbukeni tu maana haya ni maigizo tu unacheza vizur Sana hongera Sana kwakweli Mungu abariki Kaz Yako 😘😘😘❤❤❤

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 9 หลายเดือนก่อน

      🙄🙄🙄 ulimbuken tena ? Mbona kama makasiriko wajemen

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 9 หลายเดือนก่อน

      Kwan unadhani ss hatujui kwamba ni maigizo ?

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@JudithAdonis kama mnajua ni maigizo why mpanic utadhani ni kweli?
      Yan mnatia hasira kwakweli team Diba😅😅😅. Na kutokana na kuwatia hasira bas ujumbe umefika kwamba Anna ni muigizaji bora sanaa 😘😘❤️❤️❤️

  • @MaryManda-h1h
    @MaryManda-h1h 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole maria mungu akilinde

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 9 หลายเดือนก่อน

      Alipata ajali ya nn maria wetu bint mlokole

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mm mwenyewe nakuchukiaa kwa ulichomfanyia diba😢😢😢😢

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 9 หลายเดือนก่อน +7

    Sofia ni mrembo ❤

  • @JesacarNathaniel
    @JesacarNathaniel 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda Anna❤

  • @VeronicaMwasenga-p5g
    @VeronicaMwasenga-p5g 9 หลายเดือนก่อน +2

    Anna me nakupenda Sana

  • @sikudhanifaiz
    @sikudhanifaiz 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anna umenifanya nikiangalia jua kali nalia kisa ni Diba😢

  • @JumaJuma-li9rk
    @JumaJuma-li9rk 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤nakukubali Sana Anna mazengo

  • @restutachakwe7676
    @restutachakwe7676 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi kama wanyakyusa hatupendi kabisa

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 9 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤mashaallah anna twakupenda

  • @Mjuni3
    @Mjuni3 8 หลายเดือนก่อน

    Hapana nilikuwa nakupenda sana,,,Ila sahivi nakuchukia sana alafu hata ujali tu 😢

  • @ntacobazongira4557
    @ntacobazongira4557 9 หลายเดือนก่อน

    Lakin anapia tuhulumie team diba jamn 😢😢😢❤❤❤❤

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 9 หลายเดือนก่อน

    Anna ktk hili igizo tunaomba uwe na huruma bahnaaa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @nasraramadhani4515
    @nasraramadhani4515 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye jua kali sikupendi ila kawaida nakupenda

  • @happyfania9384
    @happyfania9384 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sofi

  • @jacobanania2741
    @jacobanania2741 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona upo vizuri

  • @rhobigwesso3308
    @rhobigwesso3308 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Diba Ila funguka Kwa Ndugu zako kilichokutokea ili Maisha yaendelee unamuumiza mama Diba ...juakali kunogileeee mweee🤣🤣

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anna kwakweli ww ni fundi sanaaaa

  • @EzekiaLaison
    @EzekiaLaison 8 หลายเดือนก่อน

    Duh anna unatuumizavtimu diba jaman tuhurumie wanyakyusaaa😂😂😂

  • @happyfania9384
    @happyfania9384 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi kumuona mahiiii

  • @MarryPatrick-t9r
    @MarryPatrick-t9r 8 หลายเดือนก่อน

    Anna utapgwa na kitu kzito mda sy mrefu na diba wamekuoania san

  • @HappyMatonya
    @HappyMatonya 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda anna

  • @Oman1234-y3s
    @Oman1234-y3s 8 หลายเดือนก่อน

    yami,mie nilikutana nae anna namtia kofi kwa hasira atakama anaingiza

  • @zainabunechesa8659
    @zainabunechesa8659 9 หลายเดือนก่อน

    Sikupendi umeumiza sana diba 😢😢😢😢😢

  • @LawrencePallangyo
    @LawrencePallangyo 8 หลายเดือนก่อน

    7:07Diba ni shidaaaaa yaani taabu kwelikwel arifu!

  • @anastazianikodemjoseph
    @anastazianikodemjoseph 9 หลายเดือนก่อน

    Big up wajina Ana ❤ ila dah diba anatia hurumaa

  • @edsonmlashan3472
    @edsonmlashan3472 8 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli mimi nikiangalia nasikia uchungu na vuta filing kiasikwamba mpaka sukari unajikuta
    Ina shuka kwa sababu ya filing

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sisi hatutaki ulie au ulizane sisi shida yetu uolewe tuone vingine vyakuendelea. Mnarefusha vitu

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae wa mwisho mtoto wa 2005 anajishaua eti oh wanaume wa hovyo mara nina ela sihitaji mwanaume huyu umri wake mdogo sana

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 9 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊ila mademu wabaya ndio wanaringa unackia bado nipo nipo kwanza dah

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anna ana mama wa hovyo sana, angekuwa akimchukulia mabwana wake, sasa anamshauri aingie Kwa bobo ili awe jaribu aweze kumchukua bobo, zai nae kajisahaú yakwake yamemshida kwa profesa sasa kawa mpiga Debe, badala ya kupigania penzi lake na prof anakalia ushabiki ambao haumuhusu

  • @LawrenceMakata
    @LawrenceMakata 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ana funguwa moyo mwamba akawii kulia na kumpenda mtoto

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Anna kweli umezingua, hata kama ni script iko hivyo😂😂

  • @The0nly.winnie
    @The0nly.winnie 9 หลายเดือนก่อน

    I love Anna ❤️

  • @MagdalenaPius-g1q
    @MagdalenaPius-g1q 9 หลายเดือนก่อน

    Ninyi ndio mnae ona mnaigiza sisi watazamaji hisia ni kali tunaona diba anateseka anna mungu anakuona mm mwanzo nilikuwa upande wako saiv najikuta nakuchukia tu

  • @KarimaKarima-u5c
    @KarimaKarima-u5c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman maria kwan kafanyaj

    • @VianaKokutensa
      @VianaKokutensa 9 หลายเดือนก่อน

      Alpata ajal

    • @KarimaKarima-u5c
      @KarimaKarima-u5c 9 หลายเดือนก่อน

      @@VianaKokutensa ohoo kumbe duh

  • @mwajumahmkali9557
    @mwajumahmkali9557 9 หลายเดือนก่อน

    Anna bana acha kumuumiza Diba wetu , hatujakubali bana ujmbe wa sasa hapana msimamo wako wa kwanza wa kumpenda Diba ulikua powa sana ngoja kwanza tuangalie mambo mengine

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 9 หลายเดือนก่อน +5

    We love you Anna wetu😂😂😂😂

  • @NeemaMbewe
    @NeemaMbewe 9 หลายเดือนก่อน

    Kama namuona anganile sut za njano avai tena

  • @evampunji4945
    @evampunji4945 8 หลายเดือนก่อน

    Ila Anna muhurumie diba bwana weeee

  • @salimnasoro8792
    @salimnasoro8792 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakuchukua Anna kiukweli 🥹😭

    • @redemptervictor5006
      @redemptervictor5006 9 หลายเดือนก่อน

      Jamani Ni movie unamchukia anna laki Kuna Godliver

  • @EllyMatemu
    @EllyMatemu 9 หลายเดือนก่อน

    Hata mm jamani cjapendezwa na maamuzi ya Ana

  • @PaulinaPaulo-i6y
    @PaulinaPaulo-i6y 9 หลายเดือนก่อน

    Unajua sana kuigiza Anna ubalikiwe

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mah wangu nakukubali billi yupo wap saiv

  • @charlessebastian8483
    @charlessebastian8483 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nje ya jua Kali nakupenda ila kwenye jua Kali nakuchukia sana na safari watu wa mbeya watakuroga 😂

  • @Roby-nw8sz
    @Roby-nw8sz 9 หลายเดือนก่อน

    Hata kama ni Kaz lkn umetuumizia Diba wetu khaaaa

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada Mimi sikuchukii, mtese Diba mpaka aache movie akimbie...... huyo Diba alinirushia maji mlimani city. Ongeza zaidi mpaka wakubebee bango 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AtuKiwale
    @AtuKiwale 9 หลายเดือนก่อน

    Anna usimtese diba anaumia sana

  • @emanuelmwatwebe5875
    @emanuelmwatwebe5875 8 หลายเดือนก่อน

    Umetuweza wanyakyusa 😅😅😅

  • @VestinaDessu
    @VestinaDessu 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaelewa unaigiza lakin unatuchoshaa jamani diba wetu

  • @TatuNgatare-g3l
    @TatuNgatare-g3l 9 หลายเดือนก่อน

    Kani Malia alifanyaje

  • @ElizabethKondeki
    @ElizabethKondeki 9 หลายเดือนก่อน

    Toka hapa umemumiza diba akustahili kuumizwa

  • @HappywWilibrodi
    @HappywWilibrodi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kwel ila mbn tunaumia hvii😅😅😅Yan mpk tunalia wengn😂

  • @MariamTambwe-w5o
    @MariamTambwe-w5o 8 หลายเดือนก่อน

    Anna nmekulaan mm kwa diba

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mie Anna Simchukii kwa sababu najuwa Ana cheti kabatini kwa hiyo mwezi mchanga

  • @MariamLwimo-vm8mm
    @MariamLwimo-vm8mm 8 หลายเดือนก่อน

    Saf umeitendea haki

  • @VailethBenjamin-z6n
    @VailethBenjamin-z6n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakkubal Sana Anna unaigiza vizuri sanaa

  • @mr_ringlights9082
    @mr_ringlights9082 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe tutakurogaaa usicheze na wanyakyusa

  • @upendompinga1488
    @upendompinga1488 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Maria n mm Mars nlkuwa nawazaaa sanaa nkajua namfananishaaa jmn

    • @Faizii254
      @Faizii254 9 หลายเดือนก่อน

      Yea n yeye

  • @Pauline-m5o
    @Pauline-m5o 9 หลายเดือนก่อน

    Jmn diba wetu unatutesea diba wetu

  • @davidalphonce2658
    @davidalphonce2658 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni wa kupiga makofi tu

  • @imakulataedward1985
    @imakulataedward1985 9 หลายเดือนก่อน

    We ni mpole tunakujua

  • @cholocholo4264
    @cholocholo4264 9 หลายเดือนก่อน

    NI KWELI ANA IKO HIVYO KWAKWELI UKO SAWA NIMEKUKUBALI SANA KATIKA SINEMA ZAKO HASWA HII ILA IMENIUMA KAMA UKWELI VILE MAANA JINSI ULIVOMKATAA DIBA NIMEUMIA SANA SANA ILA WALE MAMA ZAKO WALLIOKUSHAURI NIMEWACHUKUA SANA UTAFIKIRI NI JAMBO LA KWELI, KIUFUPI ANAA UKO SAWA KWENYE FILAMU

  • @UpendoObedy
    @UpendoObedy 9 หลายเดือนก่อน

    Yeah and that's it is 🎉🎉

  • @EmmyLiana-so1ck
    @EmmyLiana-so1ck 8 หลายเดือนก่อน

    😍😍

  • @NaomiEden-tu2rk
    @NaomiEden-tu2rk 9 หลายเดือนก่อน

    Anna nimekuoenda umecheza vizuri japokua unachokitafuta utakipata😂😂😂😂
    ila Timu Diba acheni kupenda mtelemko unafulahiaje mwanamke ambae kwao hawajataka utoe chochote alafu unategemea ufulahi yaani ukiona ivyo jua lazima litakuwakia mpaka nywele ziishe😂😂😂😂 like zote kwa timu ana uwezo mkubwa sana 🎉🎉🎉🎉

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa allah ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @eshamatano862
    @eshamatano862 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi na muhurumia diba

  • @faiy.d
    @faiy.d 9 หลายเดือนก่อน

    Nikimuona Eva najiona Mimi coz anakaa mmbea sana😂😂 na kwa mapenzi Mimi ni Sophia sijui Nina mtu ama hakuna

  • @kiya0910
    @kiya0910 9 หลายเดือนก่อน

    Uwalisia gan ww shenzi

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 9 หลายเดือนก่อน

    Ana jmn kua nauruma atakidog mbn umekua shetan

    • @VanessaFadhil-lq1fx
      @VanessaFadhil-lq1fx 9 หลายเดือนก่อน

      You're the devil here leave emotions aside and enjoy the entertainment if you can't handle the heat then get lost.

  • @khamisomar5659
    @khamisomar5659 9 หลายเดือนก่อน

    Manara ndugu yangu tumia akili usifanye ndoa kisanii! Wewe unatafuta mchumba kisha unamuanika mitandaoni wema si wote lazima watu watakunyang'anya tu ndoa za kiislam haziwi ivyo mke ni turufu sio kila mtu amuone mtandaoni

  • @ElishaGeradi
    @ElishaGeradi 9 หลายเดือนก่อน

    Jua kali

  • @jasminngoya110
    @jasminngoya110 8 หลายเดือนก่อน

    Anna unamtesa kaka Gabo jamani😂

  • @zamratallly4191
    @zamratallly4191 9 หลายเดือนก่อน

    Tunataka upate furaha mana umelia sana, sio kuacha watu 😅😅😅😅

  • @NajmaRamadhan-ig2cw
    @NajmaRamadhan-ig2cw 9 หลายเดือนก่อน

    kuigiza ni hisiaaa 😒

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hakuna mtu anakupenda Anna 😢😢😢

    • @NajmaHassan792
      @NajmaHassan792 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😢

    • @LilianNyagali-zu5ex
      @LilianNyagali-zu5ex 9 หลายเดือนก่อน

      watu tunachuki jaman na uyu Dada simpend hata kam anaigiza

  • @msodockkayamba2973
    @msodockkayamba2973 9 หลายเดือนก่อน +1

    Iliwahi nitokea mie ndoa bado cku3 wagen washatoka mikoan wapo nymbn napigiwa cm ukwen hakuna ndoa ijien mahari zenu😢😢😢😢
    Asikuambie m2 maumivu yake

  • @properwelding7948
    @properwelding7948 9 หลายเดือนก่อน

    Millrady tusaidie kuwauluza yukowapi kitundu nikweli yupo au kuna tatizo wamemtoa kiufundi

  • @AshaVitalis-w8w
    @AshaVitalis-w8w 9 หลายเดือนก่อน

    Hanna tunakuchukia sana wewe na Lamata

  • @AngelineBashombana
    @AngelineBashombana 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anna mon actrice préférée...

  • @JaphetLimbeSeko-ps3zp
    @JaphetLimbeSeko-ps3zp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bado haujasema Anna, hili jambo likimfikia Professor, you will be in trouble.

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 9 หลายเดือนก่อน +1

    Gabo amefanya mara ya kwanza nifatiliye tamsilia ya jua kali ao za kiswahili kwa sasa.
    Gabo mauwa yako 100%

  • @NeemaShirima-y9f
    @NeemaShirima-y9f 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani Anna😭😭 Diba unamtesa

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 9 หลายเดือนก่อน

    Anaa ndio umegeuka zalia Yani naira kwa dulla makabila ok kwaiyo boboo ndio hajimanara acha zako usitumize