Singida Black Stars 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/10/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 235

  • @AnnamarysCharles
    @AnnamarysCharles 2 หลายเดือนก่อน +104

    Kama unaamini yanga bingwa gonga like

  • @DullahNgombo
    @DullahNgombo 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wakali wa hizi kazi wpo kazini,nani kaskia gonga like ❤❤❤

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 2 หลายเดือนก่อน +5

    Weweeee tumeshinda tena congratulations my team and all staff God blessed and protect insha'Alla 💚💚💚💚💕💕🎉🎉🎉🙏

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 2 หลายเดือนก่อน +2

    Young Africans bingwa sana,,sana,,tena sana kabisa,,,weka mbali na nyang'au🤣💚💛💚💛💚💛💚😇😇😇😇😇💚💛💚💛💚💛🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯💯🎉🎉🎉

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga Bingwa 💛💚💛💚

  • @Enockgoyandi
    @Enockgoyandi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bingwa like nyingi

  • @JamesKikoti-v9s
    @JamesKikoti-v9s 2 หลายเดือนก่อน +25

    Yesu anakupenda wewe unaesoma coment hii nakushauli acha zambi

    • @fredyleonardy6987
      @fredyleonardy6987 2 หลายเดือนก่อน

      😂❤ nakupenda nita acha

    • @yakubsaidali8699
      @yakubsaidali8699 2 หลายเดือนก่อน

      Yesu sio Mungu, bali yupo aliemuumba Yesu uyo sasa ndio Muumba wa kila kitu mtafute umjuwe vizuri...

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@yakubsaidali8699huyo ambaye hata jini alilotengeneza o wako hamuogop ndiyo Mungu?hakuna Mungu mwingine yoyote ila Yesu, neno la Mungu ni Mungu mwenyew, atakuhukumu wew na manabii zako wote, na huyo unayedhan Mungu atahukumiwa na Yesu, Boss in judgement day
      Na ukumbuk issa si Yesu, ni tapel tu

    • @Shule-ya-Kiroho
      @Shule-ya-Kiroho 2 หลายเดือนก่อน

      Ameni

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 2 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 2 หลายเดือนก่อน +3

    😅😅😅😅mtangazaji amenifurahisha, eti maumivu yakizidi mwone Daktari.Pamoja na hayo Pongezi sana vijana wangu mwenyezi mungu awabariki sana Amen and Amen

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mechi bora kabisa ya nusu msimu🎉🎉

  • @MaryMpemba
    @MaryMpemba 2 หลายเดือนก่อน +4

    Singida mlisema mengi jana, mnasema nini leo💚💚💛💛🇹🇿

  • @NYANGEELUMBELOSimbi
    @NYANGEELUMBELOSimbi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa 💪💪

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakal wa hz Kazi WaPo kazni❤❤❤❤

  • @HamisiAmani-z9l
    @HamisiAmani-z9l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga ni kama maji usipo kunywa. Utayaoga utafuria. Utapikia. Utaoshea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ERICKFIDELYELIMELICK-f7s
    @ERICKFIDELYELIMELICK-f7s 2 หลายเดือนก่อน +4

    hii ilikuwa unatuchanganya misimu miwili iliyopita ila kwa msimu huu wa msemo we hogopi!!! yanga bingwa unaifungaje apa hakuna mpinzani nipeni like wezangu na Mimi

    • @derrickantwi5615
      @derrickantwi5615 2 หลายเดือนก่อน

      Hi Sir, What is the name of this language?

  • @RayMyonga
    @RayMyonga 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yanga bingwa

  • @JimyMnyama
    @JimyMnyama 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mechii ilikua kalii kwelii kwelii

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kimokoooooo...point3 muhimu

  • @harunayman
    @harunayman 2 หลายเดือนก่อน +5

    This is yanga.. bonge ya goli la kigaidi

  • @Madulusamwel
    @Madulusamwel 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa watt vp washindana wakubwa😂🎉😢😢😮😅❤

  • @scopy0428
    @scopy0428 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tulieni hili goli moja moja litamfikia kila mtu

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele nyuma mwiko button 💚🖤💛😊

  • @Esau-cj6bk
    @Esau-cj6bk 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli pacom aongezewe mshahara

  • @elardmassawe5513
    @elardmassawe5513 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga Champs

  • @AmanLyakurwa
    @AmanLyakurwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bingwaaa❤

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nacheka nikiangalia bench la fundi wa ynga. Ngumi wao 😅😅kupiga na wanajua unavyokuja watakupokea hivyohivyo

  • @MaryMpemba
    @MaryMpemba 2 หลายเดือนก่อน +3

    Professor pacome z

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hichi kimoja kinauma Sana maana ukitaka kujifariji kuwa kila siku wanashinda kimoja unakumbuka na ww ulifungwa hicho hicho Tena kibaya zaid n dakika zajioooooni na ulijiweka mwenyew.

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 2 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢mlikuja na mpngo wakutuumizia wachezaji wetu nyie na uku mtandaoni watuita ndugu kweli?? Uyu refa kachezesha vzr leo asingetoa toa njano mechi kipnd cha pili kingekua na tempa sana kajua kwenda na kasi ya mchezo metacha wa enzi zile tunafika final shirikisho karudi kwenye ubora wake akiwa singida

  • @RashidHassanWambali
    @RashidHassanWambali 2 หลายเดือนก่อน +5

    Paccome MTU na nusu

  • @RomboBoy-bl7ql
    @RomboBoy-bl7ql 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bingwaa

  • @PriscaMaswaga
    @PriscaMaswaga 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂 oooh mara yanga imeshuka kiwango yanga inabebwa yanga ni timu ya marefa yanga inateka marefa yanga inanunua mechi oh yanga inafung goli moja, goli mojaaaaaaa wivu tu🤪🤪😏😏😏😏

  • @Kyandoclaudi
    @Kyandoclaudi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wenenyumba wameludi 😂😂😂

  • @karenlema4317
    @karenlema4317 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa Singida ni wazuri mnoo sioni kama watapoteza zaidi ya mechi mbili

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 หลายเดือนก่อน

      Wabovu wanacheza rafu mnoo

  • @SamwelNyamaka-n1r
    @SamwelNyamaka-n1r 2 หลายเดือนก่อน +7

    kilicho baki ni mahakama tu ndo wanauwezo wa kuifunga yanga

  • @happynesfocus
    @happynesfocus 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yangaaaa

  • @priscageofrey1999
    @priscageofrey1999 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna wazee wa lion naona kesho watakua bungeni mamaee

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ana shinda mechi zote 30, with clean sheets

  • @ShaharaniIddi-i2b
    @ShaharaniIddi-i2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maumivu yakizidi muone daktari🎉

  • @ShukuruLaurent
    @ShukuruLaurent 2 หลายเดือนก่อน +1

    Match ilikuwa bora zaidi ila tumeshinda wana yanga

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน +3

    Singida walicheza mpira wa rafu siyo wakiufundi walikamia wangecheza mpira wa kiufundi wangeifunga yanga

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 2 หลายเดือนก่อน +5

    Goli la kiume kabisa hili

    • @AnnaJayden-k4m
      @AnnaJayden-k4m 2 หลายเดือนก่อน

      😂manake kwanza nicheke

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa jinsi ninavyoijua Yanga aitatoka kileleni mpaka Pasaka2025

    • @geofreymahally7115
      @geofreymahally7115 2 หลายเดือนก่อน

      Cio pasaka...iyo mpk ligi inaisha msimu wa 24/25

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 หลายเดือนก่อน +3

    NA mtashuka mapaka nafadi ya saba kuanzia leo

  • @greenparktv6926
    @greenparktv6926 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ngoja kolo akutane na huyu😂😂

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 หลายเดือนก่อน +3

    Zote zilistahili kuwa kadi kwa kweli

  • @agapitymavunde7371
    @agapitymavunde7371 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sio muda Kuna wakubwa watafumaniwa na hawa singda we ngoja😂😂😂😂

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂asante wachezaji wetu mmejitaidi wanafungwa black stars anaumia bunju/malalamiko fc

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzinga Wewe Kiboko Unajua Kutangaza Maumivu Yakizid PATA Ushauri Wa Daktari Kweli Haya Makolo Semeni Hilo Goli Ni Offside Maana Nyie Hamshelewi Kuzua Maneno

  • @JaphethChuwa
    @JaphethChuwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Muwe mnaongeza dakika bhanna 😢 ata highlights iwe na 15 or 25

  • @shevalsonmikael5434
    @shevalsonmikael5434 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makolo wapo kimya hawaonekani kuongelea rafu walizochezewa Yanga SC

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter 2 หลายเดือนก่อน

      achana nao wachumba tu

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ila yanga saiv Kasi imepungua na uchoyo wa pass umezidi, Yan kila mtu anatak kushind..hakikishen mnawalisha maStreika.

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 2 หลายเดือนก่อน

      kasi ipo sema kuna mechi na mech na wanaelekezwa sana ktk kutunza nishati na pia wanakamiwa na kila timu yani ili kila mtu aweke record ya kuifunga...

  • @IzackMakole-ul5tt
    @IzackMakole-ul5tt 2 หลายเดือนก่อน +4

    Maua kwa NKANE DENIS kutoka mfungaji kuwa winga mpka Beki msumbufu

  • @NgeshangwebeshigeoaNgeshan-r1m
    @NgeshangwebeshigeoaNgeshan-r1m 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga ni hatali sana

  • @mwajumarajabu7173
    @mwajumarajabu7173 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi ndio yaanga❤

  • @masoudmohd2944
    @masoudmohd2944 2 หลายเดือนก่อน +3

    MECHI BORA YA LIGI BILA,SHAKA MPK SAS

    • @chijatugala4825
      @chijatugala4825 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa maana hii hamjabebwa

  • @EuzebiusNguluchuma
    @EuzebiusNguluchuma 2 หลายเดือนก่อน +2

    na tutawafanya vya hovy mwaka huu

  • @CBCinspirations04
    @CBCinspirations04 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo kadi duh😂😅

  • @NadhiraSaid-m4x
    @NadhiraSaid-m4x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jana singida walikuwa na kisasi ni haki

  • @godfreylemenga2152
    @godfreylemenga2152 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mechi tough, ila sauti za spika hazikuwa kwenye ubora unaotakiwa.

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yangaaaaaaq

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 2 หลายเดือนก่อน +1

    Singida walikuja kivita, hadi benchi la ufundi wanataka kuzingua !!!

  • @LuluByams
    @LuluByams 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa Mara 30

  • @HosseinSuleiman
    @HosseinSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +1

    baba ni baba tu ,cikio halizid kichwa 😂😂😂😂😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน +2

    Subs xa Gamond! Balaa

  • @CollinNoc
    @CollinNoc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba atapigwa nyingi sana

  • @DaudiEmanuel-yv3jt
    @DaudiEmanuel-yv3jt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Black star ubingwa ni wetu hamna mpinzani nbc😅😅😅😅

  • @agnesngalanda113
    @agnesngalanda113 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 2 หลายเดือนก่อน

      @Anna-Jayden-k4m wewe kama ni mwanamke jitahidi ,hizo lugha unazotumia,ni kama hapa siyo mahali pake bt thanks AZAM nao wanafurahia hilo kuziruhusu.

  • @almasiahmed547
    @almasiahmed547 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga bingwa makolo mimav inawabana chupi zinawapasuka shesh type kwani nyie mlikula ngapi mavi yenu bado azamu tawi lenu.

  • @IveenEmmanuel
    @IveenEmmanuel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii imechi watu weng walitegemea itakuwa nzuri lkn ikawa tofauti na vile tulivyozan kutokana na lafu zenye matumizi makubwa ya nguvu na firimbi kuwa nyingi

  • @emilyfocus5639
    @emilyfocus5639 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sema bana Ochebe ni kocha, anamzidi hatua Moja Gamond mbele, Mimi ni Yanga lakini huo ndio ukwel

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 2 หลายเดือนก่อน +1

      Eti anamzidi hatua moja...Kwa vigezo vipi we kolokwinyo unaejivika Uyanga

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 2 หลายเดือนก่อน

      Angemzidi wangechukua point 3

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 2 หลายเดือนก่อน

      Anamzidi kuchezea rafu wachezaji wetu

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wachezaji wa Singida hawana adabu kila wanamzingira reff sana wako indiscipline

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 2 หลายเดือนก่อน +5

    hivi Yanga inavyokamiwa hv kila mechi watu bado watabaki na imani kuwa anabebwa? Kadi zinamwagwa kama mvua😂hahaha... Yanga msilegeze kila mechi yenu ni kama fainal na mnajionea wenyewe hakuna haja ya kuambiwa muone

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 2 หลายเดือนก่อน

      hadi benchi la ufundi

  • @AdelaJohn-h1p
    @AdelaJohn-h1p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Timu ina mafundi mda wowote unakandwa2

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 2 หลายเดือนก่อน

    💚💛💚💛💚💛

  • @asumaykikoti7196
    @asumaykikoti7196 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto walileta dharau sana hawa😅😅😅

  • @LatiffahMalundah
    @LatiffahMalundah 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂 maumivu yakizidi Pata ushauri wa daktari

    • @BushiriRashid
      @BushiriRashid 2 หลายเดือนก่อน

      Daktari WA wapi

  • @jimmytimothy-t8u
    @jimmytimothy-t8u 2 หลายเดือนก่อน

    yanga aliangaika sana

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahahaha dah hili goli kabla mpira haujapigwa na Pacome kipa kapiga magoti kuupisha mpira uingie wavuni

    • @shadrackmwalyanga2913
      @shadrackmwalyanga2913 2 หลายเดือนก่อน

      Kama Spider kamara alivourudisha ndani mpira uliotoka nje halafu akamwambia Kijili auweke ndani. Kamara na kijili walipewa hela na gsm ili Yanga ashinde kwa mara ya 4 mfululizo.

  • @BarackaWandere
    @BarackaWandere 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhh ? Haya bana wanna yanga mda wen huu wa kufulahi au siy

  • @IdrissBayran
    @IdrissBayran 2 หลายเดือนก่อน

    Quality mbona haiko vyema video

  • @ZuberySheketo
    @ZuberySheketo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watan hatahii ni offside 😂😂😂😂

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน +1

    Awa timu singida sijui mbona kama wanapigana vita mmmmh

  • @OchuMbega
    @OchuMbega 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

    • @AnnaJayden-k4m
      @AnnaJayden-k4m 2 หลายเดือนก่อน

      Ushindwe kulia wewe unakipata kimoja Tena unakitolea jasho balaa

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AnnaJayden-k4mKama wewe ulivyotoa jasho kwa kimoko

  • @EmmanuelKalist-o8b
    @EmmanuelKalist-o8b 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga sio bingwa Bali YANGA ni T.B.S

  • @Pascaltz
    @Pascaltz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila jamani singida wanajiwa mpira

  • @NgusamkengiRajabu
    @NgusamkengiRajabu 2 หลายเดือนก่อน +1

    yanga bingwa hakuna ubsh

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aziz ki what a misss

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Makoro gori la offside 😂😂😂😂😂

  • @makuru_matiti
    @makuru_matiti 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna ile kauli muosha uoshwa 😂😂😂😂

  • @RojaSimkoko
    @RojaSimkoko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uhakika yanga bingwa bongo haina mpinzani

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanga ndoo kawaida yetuu tunawasumbiria anzamu taree 2

  • @Mosetalent9
    @Mosetalent9 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bado inabebwa sana

    • @Makassy-b9y
      @Makassy-b9y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Duh! umeangalia mpira kweli?

    • @KainzwaBuzohera
      @KainzwaBuzohera 2 หลายเดือนก่อน +1

      Em niambie, kwenye hii game YANGA kabebwa wapi???!!!!!

    • @Mohamedkindema-p5t
      @Mohamedkindema-p5t 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmm😂😂😂

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 2 หลายเดือนก่อน

      KUNAWATU WANATUMIA BILINGANYA KUTAZAMIA...MSIMSHANGAE AFU KAVP KACHEZESHE WEWE

  • @AmecChee
    @AmecChee 2 หลายเดือนก่อน +4

    Simba mutakutana nae singida wala musimalize maneno

    • @franciscogosbert9603
      @franciscogosbert9603 2 หลายเดือนก่อน +1

      Singida wa kikaza hivi na simba,,simba hatoki

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@franciscogosbert9603kabisa

    • @JastineWilibard
      @JastineWilibard 2 หลายเดือนก่อน

      Ivi wanakutana talehe ngap

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 2 หลายเดือนก่อน

      Singida atakula goli 4 kweupeee

  • @imanichacha940
    @imanichacha940 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wana Singida msitegemee kuona timu kubwa zikicheza na Singida bata stars ktk uwanja wa Namfua aka Liti 😂. Na msubiri mechi ya simba kuiangalia kwenye TV au uwanja wa Liti tupande Alizeti?

    • @AtwifMabrouk
      @AtwifMabrouk 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lenu hamuendi UWANJANI
      Na hata Mukienda MUNAIZOMEA Timu yenu na Munajifanya Muna UCHUUNGU na SIMBA na YANGA

  • @SamuelIsaya-v7i
    @SamuelIsaya-v7i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana chama langu

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Refa Mse..Kweli Yaan Kagawa Kadi Mpaka Ajuw Nani Aliyefanya Faulo..Yeye Anatoa Kadi Tu🤪🤪🤪

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAWA NAO WALITAKIWA WATAFUTE KIWANJA KAMA CHA ARUSHA,UKILETA UJUAJI UKWATAFUTIA YANGA KIWANJA KIZURI UNAYATAKA MAJANGA.,

  • @JaphetKihame
    @JaphetKihame 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga nibingwa

  • @oigenvaheha2648
    @oigenvaheha2648 2 หลายเดือนก่อน

    Metacha alipokuwa yanga mbnn alikuwa hataki hivi😢

  • @kelvinshaban6941
    @kelvinshaban6941 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kimokoooo bablaiii