FRIJI BOVU AFUNGUKA FEITOTO KURUDI YANGA/ RAIS YANGA WAMEMALIZA UTATA WAO/ KATUMIWA BARUA HII HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน +1

    Atakuja kuwaletea tena Zengwe kuliko lile nipo paleeee

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw หลายเดือนก่อน +1

    akija poa tu

  • @babahappy-oc9yu
    @babahappy-oc9yu หลายเดือนก่อน +1

    Fei karibu nyumbani

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    HILI FRIJI linatuaminisha ujinga FEI misumari mingi sana kwa wachezaji wenzake aache ushabiki wa kipuuuzi na Fei wake wakakate viuno 😂😂😂

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye utajiri hapo ni changamoto tofautisha pesa za ukoo mzima na pesa za mtu mmoja mmoja moo awezi kutoa pesa mpaka ashauliane na familia GSM yeye pesa ni zake na ashauliwi na mtu pesa ktk kufanya jamo kuzitowa anatowa mwenyewe alafu mo ni mtu Wa mitandao sana na huko wanako sema yeye ni tajiri namba Moja kijana wanamtathimini mtu utajiri wake kutokana na heka heka zake mitandaoni awamfuatilii kindaki ndaki

  • @MagretCharles-g6m
    @MagretCharles-g6m หลายเดือนก่อน +1

    Tuna mkaribisha

  • @peterchalamila6198
    @peterchalamila6198 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kinacho kusumbua ni njaa tu hakuna habari ya kupenyezewa ama nini . Lakini ukumbuke unajidhalilisha bure, huna lolote, wewe,hepatitis posho wewe tumeshituka wenyewe.

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    HIVI HII MI-MEDIA SIJUI INA KIHELEHELE GANI fei toto ndio nani mpka arudi YANGA alishatusumbua sana huyu Dogo yy aeende tu MAN U na SIMBA akasujudiwe kama ndio raha yake, mpka AKOME sasa anataka YANGA kwani kazaliwa nayo hatumtaki akaendeleee kukata viuno mbele😂

  • @stevensosipita
    @stevensosipita หลายเดือนก่อน

    YEYE MWENYEWE NDO MWENYE KUAMUA WAKIYAJENGA SISI KAMA MASHABIKI TUTAONGEA NINI?

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 หลายเดือนก่อน +2

    Hatumtaki jamani kwa nini asuende tu simba

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x หลายเดือนก่อน

    Hatumtaki Aende Simba Kama Yy Alitudengulia Na Sisi Tumdengulie Kama Bwai Na Iwe Bwai Hatumtaki Wana Yanga Aende Akacheze Simba Au Kama Haitaki Simba Akacheze Jku

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

    HILI FRIJI linatuaminisha ujinga FEI misumari mingi sana kwa wachezaji wenzake aache ushabiki wa kipuuuzi na Fei wake wakakate viuno 😂😂😂