Hivi pensheni ni fedha za nani?je ni wangapi wanapata mshahara wa sh 2,000,000/-,kama ninacho pata siyo nilicho changia,zinatoka wapi hizo za ziada?je hizo za ziada ni haki yangu?
Hii sio sahihi Mnawadhulumu watu haki zao Mishahara ni midogo sana Wafanyakazi wanastaafu wakiwa hawajajijenga hata kidogo Wengine hawana nyumba Walitegemea hayo malipo kujipatia makazi and then kuendelea na maisha Mnapowapa kiasi hivyo watafanya je??? Halafu akifa watoto wake watafaidia nini??? HUU NI UDHALIMU MKUBWA SANA
Hivi kama mwenye mshahara wa milioni2 kwa mwezi anapata kikokotoo cha miloni30😢 vipi yule anaye pata laki5 au 6 kwa mwezi😅huu ni uonevu jamani.we mzee hiyo milioni 2 wanapata inaweza kuwa ni asilimia kumi ya wafanyakazi wote tanzania nzima asilimia 90 wengi wanapata mishahara chini ya milioni moja kwa mwezi. Manaumiza watu jamani 😢😢😢😢
Hayo mahesabu fanyieni familia zenu jamani msicheze na maisha ya watu .baada ya kuwachosha miaka yoote na sasa ni haki ya kiinua mgongo,matokeo yake mnawavunja kabisa na viuno
Nchi Ina vyanxo lukuki vya fedha pesa zipo walipen wazee wa watu hamkuwaandaa Wanaadeni ambayi walikua walipa mara baada ya kulipwa,walipen ndio make mrekebishe
Hii ni zambi kubwa. Kwa sababu kwa mfano huu Kwa kikotoo cha zamani angepata lumpsum ya zaidi ya 180 mil. na monthly pension ya zaidi ya 800000/=. Ukweli ni kwamba hii ni dhuluma isiyovumilika. Magufuli alikuwa sahihi kusitisha matumizi ya kikokotoo. Huu ni wizi WA Moja kwa Moja na ni dhuluma kubwa kwa wafanyakazi. Hiyo lumpsum anayolipwa ni sawa na mshahara wa MTU aliye kazini hapahapa Tanzania.
Kuna wastaafu wangapi wanaishia mshahara wa million 2 kwa hapa Tanganyika?Kabla ya Kikokotoo mstaafu angechukua zaidi ya million 46 mkupuo ila sasa anapata million 30.Nani anaweza kuamini kuwa hayo ni maboresho?
Wizi mtupu mungu anawaona
Hii ni dhuluma kubwa Mungu anawaona, malipo ni hapa hapa duniani
Mnatuumiza wastahafu wenye mshahara mdogo
Daah yani ela yako unapangiwa namna ya kupewa
Mbona wamekuwa na mambo mengi sasa
Hatutaki jamani mbona mnatulazimisha?
Hakuna maisha Bora yeyote acheni kudanganya watu
Kwa kweli. Hii ni dhuluma kubwa sana kwa mfanyakaxi. Naomba serikali.iangalie upya sheria hii..Ninkero na stress kubwa sana kwa mstaaf na familia yake
Hivi pensheni ni fedha za nani?je ni wangapi wanapata mshahara wa sh 2,000,000/-,kama ninacho pata siyo nilicho changia,zinatoka wapi hizo za ziada?je hizo za ziada ni haki yangu?
Hii ni mbaya saana,ni dhuruma mbaya Sana. Hanna huruma kabisa,uonevu huo
Mnachotufanyia sio haki hata kidogo
Hakuna Cha maisha Bora ila ni unyanyasaji kibadilishwe haraka
Hapo shida ni wabunge hawjui wanaumiza mpaka familia zao
Hii sio sahihi
Mnawadhulumu watu haki zao
Mishahara ni midogo sana
Wafanyakazi wanastaafu wakiwa hawajajijenga hata kidogo
Wengine hawana nyumba
Walitegemea hayo malipo kujipatia makazi and then kuendelea na maisha
Mnapowapa kiasi hivyo watafanya je???
Halafu akifa watoto wake watafaidia nini???
HUU NI UDHALIMU MKUBWA SANA
Hivi mbona mnaweka mfano kwenye mshahara wa million 2 wakati sisi wengne hata laki 7 hatujafika
Hiyo ni dhulma Mungu atatenda tu hatutak hadithi hiy ni wizi
Mimi stakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wuwiiiiiiiiiiiii mmeanza mambo mengi yanayofanya watu wadhurumiwe
Hivi kama mwenye mshahara wa milioni2 kwa mwezi anapata kikokotoo cha miloni30😢 vipi yule anaye pata laki5 au 6 kwa mwezi😅huu ni uonevu jamani.we mzee hiyo milioni 2 wanapata inaweza kuwa ni asilimia kumi ya wafanyakazi wote tanzania nzima asilimia 90 wengi wanapata mishahara chini ya milioni moja kwa mwezi. Manaumiza watu jamani 😢😢😢😢
Acheni mambo ya kikokotoo,sheria ya mkataba wangu was kazi hausemi hivyo rejea
Hayo maisha ya watu MSI hezeee
Vipi kikokotoo huko mtarekebisha lini kama bunge la bajeti lilivyoahidi mwaka huu?
Ametoa tu mfano au kuna mtu anaweza endesha maisha Tz hii kwa hiyo laki nne ?
Hayo mahesabu fanyieni familia zenu jamani msicheze na maisha ya watu .baada ya kuwachosha miaka yoote na sasa ni haki ya kiinua mgongo,matokeo yake mnawavunja kabisa na viuno
Hakifai mtu afe na chake
Wapumbavu wakubwa kama mmeongwa Mungu stawalani ondoeni upumbavu wenu kaelimishe mkeo
Ni ushenzi uliopitiliza
Hakuna msitaafu anaeoemba kikokotoo hiki,msidanganye.Vyama vya wafanyanya kazi viliwasaliti wafanya kazi
Mshahara wa mil 2,000,000/=!!!!!!!!!
VIONGOZI HAWA HAWA UKIWAPELEKA WAKAWAONGOZE MATAIFA YA WAHARABU MPAKA SIDHANI KAMA WANGEKUWA KATIKA NAFASI HIZO.
Hakuna maisha bora kwa kila mtanganyika bali ni maisha mabaya kwa kila mtanganyika hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa CCM 🚮
Wafanyakazi tuungani kupinga kikokotoo kipya
Nchi Ina vyanxo lukuki vya fedha pesa zipo walipen wazee wa watu hamkuwaandaa Wanaadeni ambayi walikua walipa mara baada ya kulipwa,walipen ndio make mrekebishe
Hii ni zambi kubwa. Kwa sababu kwa mfano huu Kwa kikotoo cha zamani angepata lumpsum ya zaidi ya 180 mil. na monthly pension ya zaidi ya 800000/=. Ukweli ni kwamba hii ni dhuluma isiyovumilika. Magufuli alikuwa sahihi kusitisha matumizi ya kikokotoo. Huu ni wizi WA Moja kwa Moja na ni dhuluma kubwa kwa wafanyakazi. Hiyo lumpsum anayolipwa ni sawa na mshahara wa MTU aliye kazini hapahapa Tanzania.
Acha kuongea pemba tunatak mafao yet kikokotoo pelek kwako
Ni shida!
Wezi wakubwa nyie
Wezi tu nyie
Mimi nimefanya kazi zaidi ya miaka 30 mmenipa milioni 21 mwisho wa mwezi mnanilipa laki mbili mnategemea nitaishi vipi???
Du pole.sana my
Wakajifunze nchi nyingine mifuko ya pension wenye maamuzi ni wanachama ndio wenye sauti katika uwekezaji n k serikali ni msimamizi tu tu
Hicho kipindi cha maudhi pumbavu
Kuna wastaafu wangapi wanaishia mshahara wa million 2 kwa hapa Tanganyika?Kabla ya Kikokotoo mstaafu angechukua zaidi ya million 46 mkupuo ila sasa anapata million 30.Nani anaweza kuamini kuwa hayo ni maboresho?
Pumbavu nyie hatutaki elimu wastaa wanaibiwa vibay
Nyie wababaishaji kama mmetumwa na wathulmaji MUNGU atawalan