Diamond ndio msanii mwenye mawazo tofauti na wenamzuki wengine shukrani zake katika jamii alishaanza siku nyingi kutoa misaada hospitalini mara ... leo kwa mama ni jambo la kufurahisha sana maana sijawahi kuona mwingine akifanya mambo mazuri kama huyu kijana mdogo mwenye mafanikio, hongera sana ntaendelea kukusuport hata kwa kusikiliza nyimbo zako
Mama! Jina langu ni Rebecca, nimezaliwa kenya. Nina iishi Ujerumani toka nivlivo kuwa miaka 14. I love Songs kutoka Diamond. Msamahani kwa Kiswahili yangu. maanake Niko now 38 jears old. your son have to do it like that. he nows what i mean. Rebecca
Lilakh Hassan unajua wamama wengine huwapa sumu kali sana watoto wao huyu nama kama ni mstarabu alitakiwa amuweke mond karibu na baba ake tyaan anaona kama yeye ndio mwenye right na mond pekeake

Mungu akubariki sana Diamond, wazazi ni siri kubwa saaana saana ya ku barikiwa.
diamond hongera sana kwa kumpenda mama yako respect kwako kaka
Asante Dayo...nami pia Mungu anijalie niweze kum surprise mamangu one of this fine days..Mungu akupe miaka mingi Mamangu.
Jambo la maana kufikiria, kumpenda na kumjali mama yako....hongera Diamond Platinumz......
mama ni mama. gud work
God bless you Diamond for embracing the greatness of MAMA.
safi sana diamond mlipotoka ni mbali kwakweli mwache mama yko afaidi
nimefurahi kumwona wema pale
diamond good boy, ni kweli hakuna km mama ongeraaaaa.
Hongera chibu da mama n mama umefnya kitu kizur sana
+rebecca simwa hujambo dada wewe watoka kenya upande gani?hata mimi ni mkenya?diamond be blessed for ever
Woooow
Tx a lot mond kwa kumjali mama no one like mumy
Ongera mamamonde lov
Diamond mungu akuepushe nakila shar
big up sanaa mondiiii
mama matunda ya mtt tumia mama
Masha allah ta maman a de la nafasi
Daah dangota nomaaaaaaa
Mama! Jina langu ni Rebecca, nimezaliwa kenya. Nina iishi Ujerumani toka nivlivo kuwa miaka 14. I love Songs kutoka Diamond. Msamahani kwa Kiswahili yangu. maanake Niko now 38 jears old. your son have to do it like that. he nows what i mean. Rebecca
Andrea
nice
ama hkika akuna kama mama love u mama nmwaaaah
mtoto wwte mwenye akili timamu hawezi kuyaingilia mambo ya mama yake na baba yake kwa kua hujui ugomvi wao vipi uungilie itende haki kote kote
Lilakh Hassan unajua wamama wengine huwapa sumu kali sana watoto wao huyu nama kama ni mstarabu alitakiwa amuweke mond karibu na baba ake tyaan anaona kama yeye ndio mwenye right na mond pekeake
Lilakh Hassan kweli
Vizuri
NANI KAMA MAMA DIAMOND WEWE UTAHISHI NA BARAKA ZITAKUANDAMA
Mnunulie n.a. baba yako nae😠😠😠
Vizuri