Ilmu yako bado kiduchu... Kajifunze kwanza. Kwa hiyo ukipata matatizo HUTOYARAFUTIA UTATUZI... utasubir I kupangiwa yatatuke yenyewe?? 🥴🥴 Unaonekana hufanyi kazi unasubir I upate ULICHOPANGIWA.... hatar kwa huo ufaham wako wenye MARADHI.
Licho gundua wewe kwenye nyota ya mbuzi Una wivu nayo Sana Yani kila mwaka nyota ya kaaa ndio unapendelea sana ASA nabadilisha mabaya yote nageuza kuwa mema
Hii ni ilmu ya hisabu ndg.... Mie sipangi matukio. Muhimu utatue MIKOSI ulio nayo... Ili upate mafanikio. Na nyota yenyewe sijui kama unaijua tabia zake zilivyo... Karibu sana ndugu yangu.
Ahsante sana mwenyezi Mungu aendelee kukubariki katika elimu hii,naomba utabir wa matukio ya mwaka mzima2025
Shukran sana.
Karibu sana
Elizabeth mchumba wa hakim uko vizuri maharishi si kila tu anaelewa
Asante maalim kwa wanao elewa wewe ni kioo Cha jamii
Ahsante kwa kutufahamisha maalim
Karibu sana
Maaalim nashukuru ,nyota ya simba Mungu atujalie sana
Aribu sana ndg yangu.
Sione cha maana juu kila jambo hu pangiwa na Allah. Na yeye ndie anae jua vile litakapo isha
Umeonaee Yani uyu anapenda sana kukatisha watu tamaa
Ilmu yako bado kiduchu... Kajifunze kwanza.
Kwa hiyo ukipata matatizo HUTOYARAFUTIA UTATUZI... utasubir I kupangiwa yatatuke yenyewe?? 🥴🥴
Unaonekana hufanyi kazi unasubir I upate ULICHOPANGIWA.... hatar kwa huo ufaham wako wenye MARADHI.
@@MAALIMish usipende kushindana na watu unavyo shindana unaonekana wewe Una hofu ya Mungu ndani yako inaama wewe upo kwenye siasa ndio manake
Nyie hakuna mwaka Nyota ya samaki walitabiriwa mazuri 😂😂
Mungu atuepushe Kwakweli
😂😂polen msikate tamaa
Usifwate uyo wewe uyu anakariri Sana nyota za watu
Ndio hisabu zilivyo... Muhim mikosi ulio nayo itatuliwe tu.
Hayo matukio ni tafauti na MATATIZO.
balikiwa
Aamiyn
Asante sana Maalim
Karibu sana
Sa 6 kamili
Hatuoni kitu
Kuona au kusikia? 😮
Umekosea kuvaa mavazi ayo ayakupendezi unajishusha daraja uliokua nayo wewe ni wakuvaa kanzu na kofia ndio unapendeza
Anachojuwa nikutabir ubaya kila mwaka Kwa mbuzi 😅
Nilijua utaonesha dalili ya kuonesha nmekosea.
Endelea kutazama kipindi.
Karibu sana.
Maalim kwenye nyota ya ngombe hapo umekosea this is our best year asee sasa hayo mabalaa ulosoma hapo hapana kwakweli 😂
Sure 😂😂😂
Ni kama anatuombea mabaya asee sio utabiri huo😂@@harry5395
Hayatufikii Kwa jina la ALLAH
Na yatupitie mbaaaali😂hatuyatakiiii
Kabisaaa siyo MTU mzuri uyu@@abbyvanny
Maalim watu wengi hawajui nyota zap mimi ni mganga kapunga Lazaro nakutana na watu wengi hawajui nyota zao
Wafundishe mtaalam.
Hii ni ilmu inatakiwa ujue kanuni zake.
Karibu sana mtaalam.
Licho gundua wewe kwenye nyota ya mbuzi Una wivu nayo Sana Yani kila mwaka nyota ya kaaa ndio unapendelea sana ASA nabadilisha mabaya yote nageuza kuwa mema
Hii ni ilmu ya hisabu ndg.... Mie sipangi matukio.
Muhimu utatue MIKOSI ulio nayo... Ili upate mafanikio.
Na nyota yenyewe sijui kama unaijua tabia zake zilivyo... Karibu sana ndugu yangu.
@@MAALIMish mm mashuke Tabia zake zikojr
Kama kunamtu alipata majibu ya nyota yake kwa mwakajana akuje hapa anijuze wapendwa😅
Mimi kweli lipata changamoto kazini kwangu
Ww unaonekana ni. Mpya kwenye ukumbi wetu... Acha kiherehere kwanza.
Fanya uchunguzi kwako... Majib utawaeleza wenzio mwakani ukijaaliwa kufika.
Karibu sana.
Mbona haifunguki
Mbona azifunguk
Mbaka tar Moja saa sita usiku ndo itafunguka
Ni UPCOMING ---BADO HAIJAWEKWA
Visipotokea mm na nyinyi hamuwezi nimalizia bandle langu bure
😅 By the way.... Karibu sana.
Umeshiriki kusikiliza... Ndio vzur u Wajulishe na wenzio zaid watembelee ukumbi huu muhim zaid.
Yani wewe uwaga umekariri Sana nyota ya mbuzi kusome utabiri unatow utabiri wakuvunja maoyo yote nayageuz
Nikuvunje moyo wako kwanini?
Hayo ninayoyataja ni hisabu ndg yangu.... Muhim katatue MIKOSI ulio nayo.
Karibu sana.
Maalim mbona mwaka huu umevaa ki sharobaro? Kapelo ,miwani ,shati na suruali? Halaf ghafla kofia darzi hatuioni, kulikoni?
kwani kubadili muonekano ni vibaya
Mwaka mpya kwani Kila mwaka kanzu?
Kavaa pens au
Binadamu bwana kwani hizo sio nguo?
😂
Nyie hakuna mwaka Nyota ya samaki walitabiriwa mazuri 😂😂
Mungu atuepushe Kwakweli
Asante sana Maalim