Poleni sana ndugu zangu ambao mna mna Matatizo ya lugha. 1.,lugha ya mama huijui. ,2: Kiswahili hujui sawa sawa na hasa kuandika 😢 3.Kiingereza ndiyo zero. 4,Ni hatari sana 5.,Tuende shuleni 😮 6.,Mungu ashukuriwe sana Kwa kuzifahamu lugha zangu kikamiilifu ❤ NI hatari kama hujui Kiswahili 😢 Tuache kuchanganya lughs Kiswangereza ni balaa 😢😢
Nimepitia comment nyingi naona wengi wamejawa na wivu tu mtu anakaa uingereza amezungukwa na watu wasiojua kiswahili alafu mnataka akija aongee kiswahili chenu cha mtaani
Hongera biti,Fanya uyapendayo Kwa kuwa unakuwa Cha msingi usije olewa huko ukafilisiwa,na kama inawezekana olewa kabisa au nichukuwe twende zetu niwe nafanya majukumu mengine hususa like la kisaikolojia ya .....
@@IbraahJuma-d7r acha aringe kwani akiwa ni mnyaturu ww unaumia nn au pambana ndugu yetu Aisha mungu akusimamie uendelee kipeperusha bendera ya Tanzania ulaya
Tulioishi nje ya nchintunaelewa sana huyu dadackuna muda unaweza kusahau kiswahili japo sio sana but kingereza kinakuwaga tuu kwa ulimi sana kuliko kiswahili watanzania ulimbukeni na ushamba muache kwa sasa binadamu yeyote ukiwa hujui kingereza ni ushamba kuna namna nyingi za kujifunza kwa sasa dunia imeendelea sana unakomaa na kiswahili kana kwamba maisha yako yote hutawahi kusafir english ni muhimu we endelea kukomaa na kiswaz tuu huyu dada namwelewa sana na ndio maana watalii wengi walikuwa hawaj tanzania kutokana na lugha saiv watanzania tumeelimika watu wanajifunza lugha nyingi na utalii unaoengezeka acheni ulimbuken bn
Binti bado ni mdogo huyu, kila kitu kwake anaona ni fursa, kwahiyo msimseme sana kuhusu lugha anayopenda kutumia, ila akikua ataona kawaida na atachapa kiswahili vizuri tu
jambiani kwanzaa acheni kumzungumzia vibaya mototo wa watu akuwakataza kwenda shule pumbavu zenu alafu pia kumbukeni kaenda akiwa mdogo uyo mpaka sasa bado dogo janja tu huyo ila mijitu ya chuki ndo ivo tena tafuteni pesa acha makasiriko mtoto mdogo pesa nyingi duu inakeraa iyo 😅
Kwani huu ni ushamba wa waswahili au ujinga wa wanaodhani usomi ni kuongea ka kiingereza mshenzi kwenye kiswahili lugha adhimu na taifa letu, kwanini uwe hivyo nilifikiri mwanzoni huyu ni mburundi kumbe kazaliwa mbagala . Kamenikera kweli kwa kuwa na ushamba huo.
Unafahamu zamani alikua anaongeaje kabla ya wewe kumuona hapo? Ukizaliwa mbagala hautakiwi kuongea kiingereza? Wewe sikiliza kinachoongelewa lugha ya kuongea ni maamuzi ya mtu sasa wewe unakereka na nini
Halafu uelewe ukiishi sehemu wanaongea lugha tofauti na ukizoea kuongea hiyo lugha inakuwa ngumu ukiongea lugha yako usichanganye coz kule hana wa kuongea nae kiswahili so kazoea kiingereza ndomana anachanganya
Kuna watu wamezaliwa kwenye mataifa ambayo lugha zao ni kiingereza kama zambia lakini tazama jinsi wanavyoweza kukopi na mazingira ya Tanzania pindi wanapohojiwa Tanzania alafu wewe mtanzania unataka kujifanya mzungu mshamba unayeishi mjini wewe.
Umeshasema wa Zambia wanakopi kuongea kiswahili lakini kumbuka huyu anaishi uingereza na lugha wanayoongea ni kiingereza kwani akichanganya lugha Kuna shida gani
Kiswahili ni lugha yetu na je c Kuna lugha za asili pia je huwa mnaongea hizo lugha za asili au ndio hamjui kabisa mkienda vijijini mkisemeshwa kilugha mnajibu kiswahili
Sahihi ila kumbuka huyu dada mapambano yake hapa uwanja wa Shule ya Sekondari Mwenge alikula vumbi vya kutosha shahidi Mimi yatupasa tumuache aishi takavyo kikubwa heshima tu , Keep it up Aisha Masaka Majengo tunajivunia weye
Acha ukoloni ndugu. Kiingereza ni lugha kama kiswahili. Mtu hutumia lugha anayohisi anaimudu vizuri katika kueleweka vile ambavyo angependa. Si tatizo yeye kuchanganya lugha ila ni tatizo wewe kushindwa kukubaliana na hilo.
Kama tupo bongomani mamae yani et kiswahili hawezi kuzungumza kwa ufasaha na vipi ukienda vijijini kwa wazazi wako wakikuongelesha zile lugha zetu mama unawajibu kiswahili maana kama kiswahili kinakushinda basi hata lugha ya wazazi huwezi kabisa acheni ujinga bana wabongo tunapenda kuiga upuuzi
So , but, like, serious, then hadi mahojiano yanaboa, bora nisikilize mahojiano ya Dube, Bangala, Chama nk wanaongea kiswahili, kajifunze kuongea una boa
Namfahamu,Aisha.nimemfundisha ikiwu singida,mtinko.alikua na bidii kweny michezo.god am bless
Poleni sana ndugu zangu ambao mna mna Matatizo ya lugha.
1.,lugha ya mama huijui.
,2: Kiswahili hujui sawa sawa na hasa kuandika 😢
3.Kiingereza ndiyo zero.
4,Ni hatari sana
5.,Tuende shuleni 😮
6.,Mungu ashukuriwe sana Kwa kuzifahamu lugha zangu kikamiilifu ❤
NI hatari kama hujui Kiswahili 😢
Tuache kuchanganya lughs Kiswangereza ni balaa 😢😢
Nimepitia comment nyingi naona wengi wamejawa na wivu tu mtu anakaa uingereza amezungukwa na watu wasiojua kiswahili alafu mnataka akija aongee kiswahili chenu cha mtaani
Hongera biti,Fanya uyapendayo Kwa kuwa unakuwa Cha msingi usije olewa huko ukafilisiwa,na kama inawezekana olewa kabisa au nichukuwe twende zetu niwe nafanya majukumu mengine hususa like la kisaikolojia ya .....
Nilikuwa nakupenda ila unaiga uzung ndo shida IGA Kwa samatta , na kikee kaish London olmost ten years we ndo kwanza mwaka
Mnyaturu wa kikio unalinga sana
@@IbraahJuma-d7r acha aringe kwani akiwa ni mnyaturu ww unaumia nn au pambana ndugu yetu Aisha mungu akusimamie uendelee kipeperusha bendera ya Tanzania ulaya
Acha wivu
Tulioishi nje ya nchintunaelewa sana huyu dadackuna muda unaweza kusahau kiswahili japo sio sana but kingereza kinakuwaga tuu kwa ulimi sana kuliko kiswahili watanzania ulimbukeni na ushamba muache kwa sasa binadamu yeyote ukiwa hujui kingereza ni ushamba kuna namna nyingi za kujifunza kwa sasa dunia imeendelea sana unakomaa na kiswahili kana kwamba maisha yako yote hutawahi kusafir english ni muhimu we endelea kukomaa na kiswaz tuu huyu dada namwelewa sana na ndio maana watalii wengi walikuwa hawaj tanzania kutokana na lugha saiv watanzania tumeelimika watu wanajifunza lugha nyingi na utalii unaoengezeka acheni ulimbuken bn
Huyu mtoto mzuri sana
Huu wanja anapakwaga na nani 😅😅😅😅😅
Binti bado ni mdogo huyu, kila kitu kwake anaona ni fursa, kwahiyo msimseme sana kuhusu lugha anayopenda kutumia, ila akikua ataona kawaida na atachapa kiswahili vizuri tu
Dada mshamba sana
Daaaaar😂😂😂😂😂😂bongo wote waigizaji mbele ya maiki.
jambiani kwanzaa acheni kumzungumzia vibaya mototo wa watu akuwakataza kwenda shule pumbavu zenu alafu pia kumbukeni kaenda akiwa mdogo uyo mpaka sasa bado dogo janja tu huyo ila mijitu ya chuki ndo ivo tena tafuteni pesa acha makasiriko mtoto mdogo pesa nyingi duu inakeraa iyo 😅
Facts
Upo sahihi watu wanachuki jamani wengine wanaiota uingereza ndotoni tunatakiwa kumpongeza Binti kwa kupiga hatua
Kufika ulaya neno la kwanza kichwani mwako unaanza na but,no, yeah,Well,so,nk
Kwani huu ni ushamba wa waswahili au ujinga wa wanaodhani usomi ni kuongea ka kiingereza mshenzi kwenye kiswahili lugha adhimu na taifa letu, kwanini uwe hivyo nilifikiri mwanzoni huyu ni mburundi kumbe kazaliwa mbagala . Kamenikera kweli kwa kuwa na ushamba huo.
Unafahamu zamani alikua anaongeaje kabla ya wewe kumuona hapo? Ukizaliwa mbagala hautakiwi kuongea kiingereza? Wewe sikiliza kinachoongelewa lugha ya kuongea ni maamuzi ya mtu sasa wewe unakereka na nini
Halafu uelewe ukiishi sehemu wanaongea lugha tofauti na ukizoea kuongea hiyo lugha inakuwa ngumu ukiongea lugha yako usichanganye coz kule hana wa kuongea nae kiswahili so kazoea kiingereza ndomana anachanganya
Yani asiwe mzungu kusaau kiswahili chake baba na mama singida watakuaje kama unakaa na wazungu
Kwamba mzungu akirudi kwao atachanganya kiswa English?????
Kuna watu wamezaliwa kwenye mataifa ambayo lugha zao ni kiingereza kama zambia lakini tazama jinsi wanavyoweza kukopi na mazingira ya Tanzania pindi wanapohojiwa Tanzania alafu wewe mtanzania unataka kujifanya mzungu mshamba unayeishi mjini wewe.
Umeshasema wa Zambia wanakopi kuongea kiswahili lakini kumbuka huyu anaishi uingereza na lugha wanayoongea ni kiingereza kwani akichanganya lugha Kuna shida gani
Yaan nmeshangaaa sana yaan eti hanashindwa kuongeaa kishwahil kw Ufasahaaaa
Kiswahili ni lugha yetu na je c Kuna lugha za asili pia je huwa mnaongea hizo lugha za asili au ndio hamjui kabisa mkienda vijijini mkisemeshwa kilugha mnajibu kiswahili
Sahihi ila kumbuka huyu dada mapambano yake hapa uwanja wa Shule ya Sekondari Mwenge alikula vumbi vya kutosha shahidi Mimi yatupasa tumuache aishi takavyo kikubwa heshima tu ,
Keep it up Aisha Masaka Majengo tunajivunia weye
Acha ukoloni ndugu. Kiingereza ni lugha kama kiswahili. Mtu hutumia lugha anayohisi anaimudu vizuri katika kueleweka vile ambavyo angependa. Si tatizo yeye kuchanganya lugha ila ni tatizo wewe kushindwa kukubaliana na hilo.
Kama tupo bongomani mamae yani et kiswahili hawezi kuzungumza kwa ufasaha na vipi ukienda vijijini kwa wazazi wako wakikuongelesha zile lugha zetu mama unawajibu kiswahili maana kama kiswahili kinakushinda basi hata lugha ya wazazi huwezi kabisa acheni ujinga bana wabongo tunapenda kuiga upuuzi
kama tuo bongo man hahahah
Mbona wachambuzi wenu wanachamganya na hamuwatu?kani
Wanaboa na lugha zao ongea kiswahili mnachosha na lugha mchanganyoko
Huyu dada ni mrembo
WATANZANIA TUBADILIKE NA TUACHE ULIMBUKENI NA UMASKINI WA LUGHA KWANI AKIONGEA KINGEREZA SHIDA NINI
Aache ujinga ..aongee kiswa ...
Tungependa kujua historia ya huyu mchezaji kutoka alipoanza kucheza nchini hadi kucheza ulaya
Rasmi kaanza Alliance pale mwanza, akaja Yanga, Kisha Sweeden, kwa Sasa yupo Aston Vila Uingreza. Hiyo Ni kwa ufupi.
So , but, like, serious, then hadi mahojiano yanaboa, bora nisikilize mahojiano ya Dube, Bangala, Chama nk wanaongea kiswahili, kajifunze kuongea una boa
Hujalazmishwa😅😅 mtoto wa kiume
Dada sawa unacheza uingereza ila c uongee kiswahili tu mana iyo lugha nyengine haikutaki dada
Sio Haimtaki Ni Kingerez Kinampenda Ila Analazimsha Kiswahil
Kubadili lugha Sio rahisi kuna maneno unasahau kweli mpaka uyavute kwanza
Punguza ubabe
Dah wabongo mnapenda kupangiana maisha asa mtu asiongee kingereza 😂
Wakenya ni wapumbavu
Acheni chuki kwa mtoto wa watu. Tanzania lugha za Taifa ni mbili - Kiingereza na Kiswahili. Akichanganya lugha sio ishu. Mpeni breki.
Hakuna lugha za taifa mbili tz Kuna lugha ya taifa moja ambayo ni kiswahili na kiingireza ni lugha rasmi sio ya taifa
Bora ww@@FahadAbubakari-y3f
😂
@@FahadAbubakari-y3f Sioni tatizo lolote kama atachanganya. Watu tu na kasumba zao.
@@FahadAbubakari-y3fsekondari wanafundishia lugha gani? Vyuon je? Acheni umbea kushabikia ujinga muacheni aongee kama hukusoma kivyako waache walosoma