FURAHA DOMINIC MSHINDI JIMBO LA KAWE DSM KURA ZA MAONI CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • #KilichoBoraKabisa

ความคิดเห็น • 44

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 4 ปีที่แล้ว +1

    Siri ya ushindi siku zote ni kujiamini na kuamini kuwa Mwenyezi Mungu ndiye hupanga kila kitu big up FURAHA DOMINIC a.k.a NO 68

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 4 ปีที่แล้ว

    Siku zote Mimi uwa naamini kuwa leader is born and then is made, si unaona dogo ana confident ana maneno mengi, anaendana na kauli ya hapa kazi tu!

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila kwa mdee bado tunakazi nzito kumung'oa

  • @godfreybigeyo9105
    @godfreybigeyo9105 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nani kamtuma? Huyu anaweza kupambana na sauti ya zege ? Nimecheka sana ccm hawako makini

  • @amoszima7781
    @amoszima7781 4 ปีที่แล้ว

    Hongera bwana kaka

  • @million.onlinetv659
    @million.onlinetv659 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kilichopangwa na munguu hakuna binadamu wakupanguwaaaaaa

  • @texastexas2545
    @texastexas2545 4 ปีที่แล้ว +2

    Fadhiluna ulitaka ashinde mmeo make umekomaa amenunua watu unaushahd? toa ujinga wako.

  • @yonapaulo5360
    @yonapaulo5360 4 ปีที่แล้ว

    hongera kwako broo pambana hapa sasa kazi tuu

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 4 ปีที่แล้ว +2

    Hlf bado Ni kijana
    Nenda kawatetee vijana wenzako bungeni

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว

      AKUTETEE KIAJE 🤣🤣🤣 PAMBANA NA HALI YAKO NA YEYE YUKO KUPAMBANA NA HALI YAKE 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @barakachacha6434
    @barakachacha6434 4 ปีที่แล้ว +1

    Very smart

  • @adamally8791
    @adamally8791 4 ปีที่แล้ว

    Hpa huyu hpana tumepigwa, mwee yani hpo tumepigwa kweupe na wajumbe, hakuna kujieleza hakuna kusema naombeni kura alafu mnampa kura hpana

  • @georgempuya9343
    @georgempuya9343 4 ปีที่แล้ว

    Maswali hakuna heeee halafu wote mnaitikia kwa pamoja mmmm hapo kuna jambo limejificha, huyu dogo ninamashaka nae huenda alinunua kabla haiwezekani wore mseme hakuna swaliii kwa pamoja.

  • @fadhilunarajabu5896
    @fadhilunarajabu5896 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka kusema jambo ambalo wengi hawwlijui mpaka huyu jamaa akajiamini kupita kiasi

  • @godfreybigeyo9105
    @godfreybigeyo9105 4 ปีที่แล้ว

    Hata kura hajaomba. Hiki nikituko

  • @amosnaly3865
    @amosnaly3865 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania bado kiongoz hatengenezwi hivyo ni lazima afanye kazi watu wajue , sasa kazi hamna kura kuomba hamna ila na nukuu hana maneno mengi ya kusema ana iachia meza kuu, sasa meza kuu kazi yao ni kuhesabu tu kula na wajumbe ndo wapigaji kura

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 4 ปีที่แล้ว

    Yani hata sera hana duh

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtoto wa dada yake magufuli kwa wasio jua

    • @sirfabiano767
      @sirfabiano767 4 ปีที่แล้ว +5

      Kwaiyo kama ni mtoto wa dada yake na Magufuli tufanyeje

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 4 ปีที่แล้ว +3

      Uchaguzi una mahusiano gani na mtoto wa dadake magufuri

    • @mecksonjoseph7892
      @mecksonjoseph7892 4 ปีที่แล้ว

      Kuma huyu

    • @ramadhaniomarishauri9905
      @ramadhaniomarishauri9905 4 ปีที่แล้ว +1

      @@sirfabiano767 usifanye chochote, wewe kaka kimya tu.

    • @treyvissy9854
      @treyvissy9854 4 ปีที่แล้ว +1

      Mtu katoa tu maelekezo kwamba ni nani ? Unakuja kutukana .. yaan kuna watu vichwa maji sana ..

  • @masaluamos5331
    @masaluamos5331 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mbona alijiamin kabla

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว

    Naomba tumpe gwajima uko mbele huyo awezi kupambana na halima mdee, gwajima ndio atamuweza

    • @marymasanyiwa5738
      @marymasanyiwa5738 4 ปีที่แล้ว

      Huyo mtoto wa dadaake magu usishangae huyo mdee akakaliswa kwa lazima

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 ปีที่แล้ว

      Bora gwajima, kujiamini bila hoja ni upuuzi

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 4 ปีที่แล้ว

      Unadhani anatafutwa wa kwenda kutoa mahubiri kwa wapiga kura?

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 ปีที่แล้ว

      @@mzalendomzalendo2567 kwa hiyo peter msigwa na mama rwakatare walitafutwa wakapige maombi bungeni?

  • @beatrice3671
    @beatrice3671 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatoshi huyo kwa mdee, kwanza alijiamini kuwa atashinda alijuwa kabisa ukimuangalia tu.

    • @samshidika5365
      @samshidika5365 4 ปีที่แล้ว

      Uyo Ni mjomba wa wa mzee chato moja io

    • @sharondivine8994
      @sharondivine8994 4 ปีที่แล้ว

      True, body language inaonyesha alishajua atashinda

    • @lizzy2423
      @lizzy2423 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Kada wa CCM Kwa Taarifa tu hajazunguka kuhonga wala kuomba kura, waliozunguka pole zao, yeye alisimama na mungu na utendaji wa kazi zake ndani ya Chama, Usipojiamini wewe utakuwa kiongozi gn,? Ukisikia mungu yupo ndiyo km ilivyotokea Kawe

  • @yonapaulo5360
    @yonapaulo5360 4 ปีที่แล้ว

    hongera kwako broo pambana hapa sasa kazi tuu