USHINDANI SIO MZURI, TUFANYE KAZI (EFM FULL INTERVIEW)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Zorah amesema hayo wakati akitambulisha wimbo wake mpya wa #TUNAPENDEZANA katika kipindi cha Transformer cha EFM kinachoendeshwa na watangazaji Jonijoo na Almando.
    Pia amesisitiza kuendelea kufanya shughuli zake za kimuziki mkoani Tabora na kuwahakikishia watangazaji na mashabiki wake kuwa ataendelea kukaa Tabora kwa kuwa anaamini anafanya kazi zake vizuri zaidi akiwa huko.
    Aidha ametumia fursa hiyo kuwaasa vijana waliopo nje ya Dar Es Salaam kufanya kazi zao huko kwa kuwa mafanikio ni popote sio lazima uwepo Dar Es Salaam. Ameapa kuwa mfano kwa vijana watakaofanikiwa kimuziki wakiwa nje ya Dar Es Salaam.
    Interview hiyo imefanyika tarehe 26.07.2024 jijini Dar Es Salaam.
    Unaweza kusikiliza wimbo wa #TUNAPENDEZANA na nyimbo zingine za ZORAH kupitia Link hii linktr.ee/Zorah_
    © 2024 Kassu Music • All Rights Reserved

ความคิดเห็น • 22

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 19 วันที่ผ่านมา +1

    SHUA YAKO KALI MKUU AMINI #ZORAH

    • @Zorah_
      @Zorah_  19 วันที่ผ่านมา

      @@pascosalvatory5274 Asante sana kaka🙏

  • @soliventshonlazy7286
    @soliventshonlazy7286 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏

  • @itsasdan
    @itsasdan หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🎉🙏

    • @Zorah_
      @Zorah_  19 วันที่ผ่านมา

      @@itsasdan 🔥🙏🙏

  • @sifadeboy2482
    @sifadeboy2482 หลายเดือนก่อน

    Noma sana kaka

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏

  • @MarcBoniphace-lj8lz
    @MarcBoniphace-lj8lz หลายเดือนก่อน

    Icon tabora

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏

  • @pajopa_mine
    @pajopa_mine หลายเดือนก่อน +1

    Confidence Yako kak Ni Motooo 🔥

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      Asante sana bro🙏🙏🙏

  • @ZUMBAVEVO
    @ZUMBAVEVO หลายเดือนก่อน

    Zorah kama zorah Hit maker

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      My Brother🙏🙏🙏

  • @pajopa_mine
    @pajopa_mine หลายเดือนก่อน +1

    Anaongea Kam Msanii Mkubw Efm Kimewalamba🔥🔥🔥😁

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @Majaliwa-qt8tz
    @Majaliwa-qt8tz หลายเดือนก่อน

    good functionality

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @KabulaOmela
    @KabulaOmela หลายเดือนก่อน

    Nimeiona

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      Good👏

  • @KabulaOmela
    @KabulaOmela หลายเดือนก่อน

    Nimeiona

    • @Zorah_
      @Zorah_  หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥