Mkimbizi atekwa nyara Eastleigh

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Familia moja katika mtaa wa Eastleigh inahangaika kumtafuta jamaa yao aliyetekwa nyara na watu wasiojulikana zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Lul Noor Ibrahim mwenye umri wa miaka 38 ambaye ni mkimbizi alikuwa akiishi katika kambi ya Daadab, na alikuwa amekuja Nairobi kutafuta matibabu. Familia inadai kuwa huenda alitekwa nyara kufuati mzozo wa kibiashara kama anavyoeleza Gatete Njoroge .

ความคิดเห็น • 85