Baba crown ni atari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mercedes ipo kam toyota mark X😂😂😂 ✊🏻✊🏻 Crown ni ndege ya chini ,,,,, kaka snash crown ni bora sana ila Mercedes ni brandi tu aina kitu
Hakuna gari ambayo haitaki genuine parts tunaziharibu gari zetu kwa sababu ya fake stuffs tunazoziekea! Toyota genuine parts might be very expensive than others companies
Hao jamaa weupe pee. Umetaja compressor kidogo watoke nduki 😀 Crown - comfort, cheaper to maintain, space cause hii ni full size sedan. Benz - status, fuel efficiency, stability
Snash mambo vp nilikuwa nahitaji kununuwa wife ile ya Vodacom ambayo nimeona baazi ya video zako uliweka tangazo lao mwishon na maelezo kidog, ila kabla sjaenda kujaza form ningeomba maelezo zaid kuhusiana na malipo baada ya malipo ya mwanzoni na je kwa huku zanzibar (unguja) inapatikan pia, na je 5g huku inaweza kufanya kazi, Nisaidie bro kupata maelezo kwa kina nasumbuka sana kwa mb unaunga zaid ya mara 3 kwa siku na bado haitoshelezi. Kijana-
Mimi nimetumia zote crown na benz ukweli ni kwamba crown tamu sana benz tu brand lakin crown habari nyingine🔥🔥
Nime kuelewa saana🙏🙏🙏
Crown sema g
Hao jamaa zako hawajui magari
Baba crown ni atari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mercedes ipo kam toyota mark X😂😂😂 ✊🏻✊🏻 Crown ni ndege ya chini ,,,,, kaka snash crown ni bora sana ila Mercedes ni brandi tu aina kitu
Kwa mbio benz ipo vizuri ila kwa ulaini na uluxury crown ina balaa sana
Double wish borne ni unyama kwenye crown very luxury plus long wheel base inakupa comfort moja matata sana🔥
Tisha sana kaka hii channel tutaisimamia sisi wapenda magari 😁😁
wakwanz leo🎉🎉
Hao ni wauza magari au madalali wa magari hebu muwe mnatofautisha
Dah brother me ushauri wangu kwako fanya mazoezi mahana Kwa Ali iyo utanenepa Zaidi ya apo
Hii inaonesha jinsi gani mlivyo shallow wazee, no content at all bali ushabiki tu. Zungumzieni practicality ya magari sio kuongelea mafuta tu.
Hakuna gari ambayo haitaki genuine parts tunaziharibu gari zetu kwa sababu ya fake stuffs tunazoziekea! Toyota genuine parts might be very expensive than others companies
Hao jamaa weupe pee. Umetaja compressor kidogo watoke nduki 😀
Crown - comfort, cheaper to maintain, space cause hii ni full size sedan.
Benz - status, fuel efficiency, stability
Review ya The Expendables 4 lini Mzee?
Wakwanz leo nipeni like zangu tafahdal
Snash mambo vp nilikuwa nahitaji kununuwa wife ile ya Vodacom ambayo nimeona baazi ya video zako uliweka tangazo lao mwishon na maelezo kidog, ila kabla sjaenda kujaza form ningeomba maelezo zaid kuhusiana na malipo baada ya malipo ya mwanzoni na je kwa huku zanzibar (unguja) inapatikan pia, na je 5g huku inaweza kufanya kazi, Nisaidie bro kupata maelezo kwa kina nasumbuka sana kwa mb unaunga zaid ya mara 3 kwa siku na bado haitoshelezi. Kijana-
Call +255 756 445 759
@@snashtzpoa asante
Jaman tusapot kusubscribe account ya snash ili tuwe wengi jaman tushare
🙏🏽
Huwezi kufananisha Benz na vitu vya ajabu kaka…Wenye Crown wote utawasikia wanasema Crown ni mercedes benz za Japan 😂