MKOANI PEMBA (KUTOKA BAHARINI, BANDARINI MPAKA HOSPITALI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 3 ปีที่แล้ว +5

    Pemba raha wallahi ...Maashaallah

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว

      Raha sana, endelea kubaki nasi ili tukuletee video nyengine

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah kwetu

  • @faradaysmoo1952
    @faradaysmoo1952 3 ปีที่แล้ว +5

    Najivunia kuwa Mpemba

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว

      Na mie nkwetu voh, endelea kubaki nasi ili tukuletee video nyengine

  • @maryamabdallah4235
    @maryamabdallah4235 3 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia kulelewa pemba na ninawapenda wapemba sana

    • @khamismaulid6839
      @khamismaulid6839 3 ปีที่แล้ว

      If u dont love wapemba inamanisha you dont love reality hah

  • @mohammedabdullah3868
    @mohammedabdullah3868 3 ปีที่แล้ว +1

    Hujapiga picha vizuri watuonyesha barabaara tu

  • @kibalabibisha6778
    @kibalabibisha6778 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilikwenda 2019mara kwanza kizuru sana

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah, ni kisiwa cha iman na aman

  • @aliothman2264
    @aliothman2264 3 ปีที่แล้ว +2

    Home sweet home PEMBA

  • @HarunaSaidy-rd8rs
    @HarunaSaidy-rd8rs ปีที่แล้ว

    Ok

  • @Di-official97
    @Di-official97 3 ปีที่แล้ว +2

    Pemba nkwetu

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว

      Na mie nkwetu voh, endelea kubaki nasi ili tukuletee video nyengine

  • @binbadru1654
    @binbadru1654 3 ปีที่แล้ว +1

    zanzibar ndio kwetu

    • @w4058
      @w4058 3 ปีที่แล้ว

      Zanzibar naam Unguja na Pemba lazima lazima tujivunie na kushikana kunyanyuwa hali za wananchi wanyonge ambao wako vijijini

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 ปีที่แล้ว +3

    Balahau ndio kwetu huko

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว

      Na mie nkwetu voh, endelea kubaki nasi ili tukuletee video nyengine

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 3 ปีที่แล้ว +1

      @@clovetv_pba mnakaa sana hamutuletei kitu

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 3 ปีที่แล้ว +1

      @@clovetv_pba basi fanya tena utuletee mambo ya kwetu ingia mitaani bankuu

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmasaid9765 kuna mambo hayajakaa sawa, ila soon inshallah utafurahia. Kila wiki unapata clip mbili za maeneo na mahojiano mitaani.

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba  3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmasaid9765 lengo letu ni kuingia mitaani na kufanya mahojiano na watu tofauti lakini tunachelewa coz tupo katika matayarisho ya kupata vifaa vya sauti vyenye kutoa sauti ya uhakika.

  • @nabilasaidkhalfan4401
    @nabilasaidkhalfan4401 2 ปีที่แล้ว

    Pemba yetu oiyyeeee , wapemba ndio sie wenyewe wenye kisiwa chetu cha marashi karafuu , ndio wazaliwa halisi wakisiwa cha pemba

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 10 หลายเดือนก่อน

      Ubaguzi utawamaliza

  • @raihasalim7316
    @raihasalim7316 2 ปีที่แล้ว

    Pemba "Nkwetu"