Good Job..Mau Mpemba.. endeleza Utamaduni asilia na ngoma zetu asilia. RVS - Hii ngoma munaionea. Hebu ifanyieni detailed video shooting na Sauti nzuri. Msewe na Kibati nk hizi ngoma zinafanyiwa shooting za ovyo sana. Anyway Ahsanteni sana kwa kutupa Burudani.. From USA..
Hongereni sana nyote mulioshiriki kwenye Ngoma hii. Munafanyakazi nzuri sana kuitunza ngoma hii..😁💪
Jamani pemba kwetu raha mungu awabariki nyote
Sawa lakini wanawake mmewaka utupu kufunga kanga za viuno makalio yao yanaonekana jamani tupunguzeni magoma na michanganyiko na wanaume
Good Job..Mau Mpemba.. endeleza Utamaduni asilia na ngoma zetu asilia.
RVS - Hii ngoma munaionea. Hebu ifanyieni detailed video shooting na Sauti nzuri. Msewe na Kibati nk hizi ngoma zinafanyiwa shooting za ovyo sana. Anyway Ahsanteni sana kwa kutupa Burudani..
From USA..
😄😄😄😄 Makane nuhusi jaman
Hiii ngoma lazimwa uwe na jini kichono
Jamani me kwa kweli msewe unanikosha mpk bc 😂😂
Mau mpemba atari
Pemba peremba
Siwo msewe asli huo
Mau kapata mambo atakayo