MWANZO MWISHO KUHUSU ISRAEL VS PALESTINA BILA KUCHAGUA UPANDE . (PART 8 & 9 )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Ukifuatilia mgogoro wa Israel na Palestina ,’bezikale’ ni pande mbili za watu wanaogombani ardhi moja na kila mmoja akiamini yeye ndo mwenye haki.Kuna ambao wanaamini PRAY FOR PALESTINE na kuna wanaoamini ISrael ni taifa teule ya MUNGU kwahiyo wana haki.Na kuna ambao wanasikiliza FACTS wachague pa kukaa, alafu kuna sisi madini dotcom tunaokuletea katikati ya pande zote.Historia inasema nini? Na zaidi muktadha wake upoje kwasababu kuna mambo yalifanyika zamani,ukiyapima kwa muktadha wa sasa unaweza kujikuta umepoteza maana yote.So lets get in...Hii ni sehemu ya 3 ,usikose ijayo
Nimechelew kuskilz ledion ila sombay na enjoy uku TH-cam asanten sanaaaaa🔥🔥🔥
Muish wazeee appreciate Sanaa salute
Hamna mpinzani jamani
👊👍✌️.
KWli kabixa
👊👊👊👊
Umedadavua vyema ad raha
my brother Gideon na timu yako muendelee kuishi kwa baraka
Asanteni Sana madini dot