HUKUMU JUU YA GAZA (AMOSI 1 : 6 - 8).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
    ⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
    ⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....
    ⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
    ⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
    *** OUR PLAYLISTS***
    ⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: www.youtube.co....
    ⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: www.youtube.co....
    ⚫️ MAFUNDISHO: www.youtube.co....
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: www.youtube.co....
    ⚫️ UCHUMI: www.youtube.co....
    ⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: www.youtube.co....
    ⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: www.youtube.co....
    ⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: www.youtube.co... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
    ⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 504

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema Daimaa, Tuombe na kutubu saana.

  • @BeatriceAlexander-yw6mf
    @BeatriceAlexander-yw6mf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru Mungu kwa sababu ya fundisho zuri pia kama wana wa Mungu tunastahili kusikia na kupokea na kuelewa au kujua kile Mungu alichoongea na israel.Mimi nimejifunza kwamba tunatakiwa kumsikiloza sana Mungu kuliko hisia zetu

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y ปีที่แล้ว +5

    Israel stand firm God 🙏 is with you

  • @denismasao520
    @denismasao520 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vita vilivyokuwa vikipigwana na israel zamani vilitolewa muongozo na mungu na siyo mauaji holela na vilikuwa dhidi ya wale wanaopinga ibada ya kweli leo wengi wanamkubali mungu kuendelea kuiunga mkono israel ni kukosea hebu someni ,,1 korintho 14:33

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Soma Luka 21 yote mda wa mataifa kuimiliki Israel lazm uishe na huo ndio unabii

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 ปีที่แล้ว +15

    Naibariki ISRAEL NA MKONO WA MUNGU UWAJAZI NGUVU NA AMANI

    • @timesimai4537
      @timesimai4537 ปีที่แล้ว +2

      Utaangamizwa ww na hao mabwana wako wa Israel

    • @f.a6043
      @f.a6043 ปีที่แล้ว

      ​​@@timesimai4537na ww utafinywa na hao mabwana zako mkafiri wako wa hamasi

    • @bernardmuruguru5882
      @bernardmuruguru5882 ปีที่แล้ว +1

      Long live islaeri

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 ปีที่แล้ว

      israel hawana taifa niwakimbizi tuu wa ulimwenguni..wanastahili kufa

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo shetani hawezi kumwangamiza alieoshwa Kwa damu ya yesu anawaangamiza wanaomwabudu yeye Tu ​@@timesimai4537

  • @EsterMbawala-z3j
    @EsterMbawala-z3j ปีที่แล้ว +11

    Mungu ibarik Zaid israel

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu awezi ibariki Israel ya mchongo mpinga christo na mungu walikuja kama
      Watumwa heltra walitaka kuwamaliza wote na kuwachoma walienda uganda wakakataliwa Palestine 🇵🇸 wkawakaribisha sababu tayar imeandikwa lkn soon in sha ALLAH zionist terrorist wataisha ameen

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 หลายเดือนก่อน

      Hawa sio wle walioandikwa kwenye vitabu hawa wnatoka EUROPE 🇪🇺 soma history kwanza ndio uje ucomments

    • @LackWaMadandaa
      @LackWaMadandaa 5 หลายเดือนก่อน

      Mung ibarik hamas

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu watete watoto wa gaza na wanawake

  • @asiasued3655
    @asiasued3655 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ndo ajuae ukweli na ndo mwamuzi wa kweli kikubwa kuwapmbea dua wote

  • @didiertshimanga3665
    @didiertshimanga3665 ปีที่แล้ว +5

    Ee Mungu wangu ninamuomba ibariki na kushikilia Israel taifa lako teule.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      KALITEUWA BABAKO BAADA YA KUFIRWA 😂😂😂

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa matusi hako inaonyesha wazi kwamba wewe NI box la kubeba mashetani maana MTU husema yaujazayo moyo na amekujaza chuki juu ya wateule wa mungu​@@salimmalaka256

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@salimmalaka256makasiriko yanini sasa😂😂😂😂

  • @janethngelula6712
    @janethngelula6712 ปีที่แล้ว +11

    Eee Mungu Tetea Taifa lako Teule Israel

    • @denismasao520
      @denismasao520 2 หลายเดือนก่อน

      Soma 1korintho 14 :33

  • @ArnoldJobu-eo6hu
    @ArnoldJobu-eo6hu 2 หลายเดือนก่อน

    God bless Israel. everyday

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mnatumia jina la Mungu kuhalalisha mauaji dhidi ya wanadamu wenzenu.

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 9 หลายเดือนก่อน +2

      Maandiko umepewa chamsingi chukua hizo Aya nendakasome ili ucomfemu hayo anayosema kama nilkweli kuliko kulaumu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@joycedimoso8648 MAANDIKO YA KISENGE HAYO

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 8 หลายเดือนก่อน

      Kama yakisenge kwann mnaamin torat na Injiri zakisenge za wayahudi?

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna anao halalisha Wala anae penda hayo mauaji sisi hatuwezi kuzuia unabii wamungu usitimie unabii huo umeandikwa miaka mingi hata Yesu mwenyewe bado hajazaliwa coz hicho nikitabu Cha torat nasio waparestin tu Bali wote waliokaa Hilo eneo walipitia hayo coz Hilo eneo lipo kinabii Wafilist, wakaanan, waamori, wapelez nawengineo walipitia hayo hata mimi nawewe bado hatujazaliwa Wala wapalestina bado hawajaja hapo Gaza na bado nabii zingine zipo hazijatimia bado ambazo nimbaya zaid zinakuja chamsingi nikuomba Mungu atupe mwisho mwema lakin yamungu hatuyawez tumuachie mwenyewe mungu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@joycedimoso8648 KWANZA MUACHE SATANYAU A AMINI KAMA ANAYO DINI WANAUWA WATU HALAFU MNAMUUNGA MKONO KWA KUSEMA MAANDIKO??? KAMA WANA DINI KWA NINI WANAMTUKANA NABII ISA NA MAMAKE???

  • @LackWaMadandaa
    @LackWaMadandaa 5 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU IBARIK HAMAS NA PALESTINA
    IWE MWISHO WA UZAYUN
    AMEEEN
    AMEEEN

    • @IsaackmugoMugo
      @IsaackmugoMugo 3 หลายเดือนก่อน

      They're supposed to swept out these global forever antichrists...

  • @NaziaAli-d2x
    @NaziaAli-d2x ปีที่แล้ว +2

    inshallah mungu atawa essay idea

  • @barakajosephmwangalika2603
    @barakajosephmwangalika2603 ปีที่แล้ว +6

    Shalom Jerusalem... 🙌

  • @IbrahimSamweli-z9v
    @IbrahimSamweli-z9v 3 หลายเดือนก่อน

    Na imani Mungu yu pamoja na taifa teule la Israel.Hivyo vita wataishinda na hekalu la tatu litajengwa.Na huo msikiti utatolewa.Mungu hashindwi na chochote.

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zanguni katika BWANA YESU, NA MUNGU. wa mbingu na nchi jitahidini kuyasoma haandiko ndipo mtakapo ipata amani ya ulimwengu mzima, msipende kutumia hakilizenu za kibina damu mtapata shida sana kwa kinacho endelea someni MAANDIKO mpatemaarifa ya MUNGU, katika roho na kweri Hosea 4: 6.

  • @IsaackmugoMugo
    @IsaackmugoMugo 3 หลายเดือนก่อน

    Israel heart of God

  • @georgemaziku6610
    @georgemaziku6610 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni Ibariki inchi ya Israel

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      KWANI KUNA MUNGU WA ARDHINI?? WEWE BWEGE KAMA SATANNYAU.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      ​​@@salimmalaka256kuna mungu wa islaeli na kama mungu wa dunia wewe mwenyewe Kwa matendo yako utajua unamwabudu mungu wa dunia au mungu wa islaeli aliemtoa yesu kufa msalabani Kwa ajili ya dhambi za ulimwengu

  • @JdTarzan
    @JdTarzan ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki israel

  • @benonibatambaki9202
    @benonibatambaki9202 ปีที่แล้ว +13

    Mwenyezi Mungu yupo na wachaa Mungu, kwaiyo sisi wanao unga mkono mashoga jeushoga nimpango wa Mungu ,, watu ,tunapo sikia isilael ,tunaisi hawo niwachaa Mungu ,je vitendo vinavyo fanyika reo ,kweli niwachaa Mungu,je myaudi anae erezwa ndug unamfaham,,wayaudi kwasasa ndo waenezao ushoga, Mungu yupo anaedhaniwa kua muovu siku ya Kiana tutao emwenyezi Mungu ,SAIDIA wanyonge masikini ,wajawako waparastina ,AMENII

    • @StevenKihiyo
      @StevenKihiyo ปีที่แล้ว

      Duh,, we mtu sijui mwandiko wako kama unasomeka ukiandika na kalamu.. 😂😂😂 labda utumie penseli.

    • @f.a6043
      @f.a6043 ปีที่แล้ว

      ​@@StevenKihiyo😂😂😂

    • @davidkitumbi6457
      @davidkitumbi6457 ปีที่แล้ว

      Umejaribu kuogea kitu Kwa wanao fikilia, kama unataka kujua kweli chuguza pamoja nasi Usearch Zouloula 100 Imani mcimbwa on TH-cam tuedelee pamoja.

    • @IBRAHIMSULTANMALIK
      @IBRAHIMSULTANMALIK ปีที่แล้ว +1

      AMIIIIIIIIINNNNNN

    • @GMD820
      @GMD820 ปีที่แล้ว +2

      Amen.

  • @GabrielPaul-tq4kk
    @GabrielPaul-tq4kk 4 หลายเดือนก่อน

    God be with your people Israel.

  • @samsonsimeon9944
    @samsonsimeon9944 ปีที่แล้ว +22

    Israel lazima ashinde Ee Mungu uwe pamoja na Israel

  • @SigifridAloyce
    @SigifridAloyce 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua

  • @MunezeroHabiba-td3mv
    @MunezeroHabiba-td3mv ปีที่แล้ว +7

    Laana tullahi alaihim

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว +9

    Hakunakitabu chamunguzaidi yabibilia isipokuwa kunajanjajanja zilifanyika nawenzetu waislamu kubadirisha badirisha aya kadhaa wakatengeneza Quran , yaani walifanya mapinduzi kuupinduwa ukristu mpaka Leo mapambano yapo, lakini ukweli wamungu bibila ndiyo kitabu harisi kutoka kwamungu, Asanteni sana,

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Uwiiiiiiiii mbavu zangu mieeee

    • @YohanaMsekefu
      @YohanaMsekefu 2 หลายเดือนก่อน

      Huo ndo ukweli unashangaa nini​@@MYME-u5d

  • @NurudiniRashidi-g2g
    @NurudiniRashidi-g2g 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu wasadie wasiendelee kuuwana

  • @HanaMangula
    @HanaMangula ปีที่แล้ว +9

    Amen Bwana ilinde na uishindie Israel usiku na mchana Taifa teule la Mungu Duniani, abarikiwe akubarikiye, alaniwe Kila akulaniye

    • @Mkumbojl
      @Mkumbojl ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😢😢😢😢

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wapeuweza na nguvu Israel na maarifa zaidi katika vita hii maana ushindi wao ni ushindi wa Mungu

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 3 หลายเดือนก่อน

    Unaeleza vizuri Sana ,Mungu akubariki.

  • @Mathews-j1i
    @Mathews-j1i 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu kusudi lako ni ndio na amina

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Mungu na Mungu mkuu na kunawanawamungu mm namwamini Mungu mkuu siyo uyo wamashoga siyo myo mgombanishaji

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      Mashoga wamejaa znz nasikia huko buguluni wamejaa hao tunaweza kuwahoji humwabudu Nani? Wao watatujibu Kwa lugha fasaha ya Kiswahili Kwa nini kutafuta wa huko nje wakati tunao mlagoni watuambie wanaabudu wapi na dini Yao ipi ?

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@SmilingCityMap-xb9md😂😂😂😂😂😂

  • @StephenKingwaa
    @StephenKingwaa 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu kwa wote hii ni upuuzi ya wayahudi

  • @LaurenceGingo
    @LaurenceGingo 7 หลายเดือนก่อน

    Hayoyote mungu alieumbambingu naarz anajua iliahadi yakeitimmie maana wanao pigana nimtu nakakayake mmojaalibalikiwa namwingine hakubalikiwa ndochanzo chamgogoro😢😢😢

  • @StellaCharles-zk4kb
    @StellaCharles-zk4kb 6 หลายเดือนก่อน

    Taifa la Mungu na alimmkabidh ibrahim baba wa iman

  • @benonibatambaki9202
    @benonibatambaki9202 ปีที่แล้ว +2

    Ira Mungu yupo

  • @David-fq1rd
    @David-fq1rd ปีที่แล้ว +3

    Israel abarikiwe, ashinde vita,

  • @EfathaSanga
    @EfathaSanga 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu aipe nguv Israel katik vta

  • @SugalMohamed-vg7rc
    @SugalMohamed-vg7rc 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki Israel na huwapee ushidi

  • @mariamsalum673
    @mariamsalum673 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi wakiristo mnawapenda wahahudi wala nyinyi hawawapendi. Waliuwa mitume wengi pamoja na huyo yesu, mnaomwita mungu.

    • @AlumanaPilla
      @AlumanaPilla ปีที่แล้ว

      Nani niMungu mkuu hana mpinzani ni Mungu mtakatifu

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 ปีที่แล้ว

      Mungu mkuu Tito 2:13

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Shida yk nn km wao wanatuchukia sisi tunawapenda

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      ​@irenekaluse321😂😂😂😂3

    • @jameslaban3482
      @jameslaban3482 4 หลายเดือนก่อน

      Usifosi tufanane mbwa wewe

  • @WiliamMoro
    @WiliamMoro ปีที่แล้ว +1

    Mungu tetea watu wako na vifo katika vita hivi kunahitajika suluhisho linalotoka kwako mungu muumbaji

  • @kilimanistudio
    @kilimanistudio 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU IBARIKI ISRAEL NA AIPIGANIE

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 ปีที่แล้ว +2

    Hamas, Hamas , kwa nn mnaumiza watu wasio na hatia acheni , Mungu ingilia kati baba

  • @PauloFanueli
    @PauloFanueli ปีที่แล้ว +4

    Mungu asaidie teule takatifu labwana ameen

  • @CharlesOnyango-sb7nt
    @CharlesOnyango-sb7nt 8 หลายเดือนก่อน

    Israeli ni Kobe la macho ya Mwenyezi Mungu kwa ivyo Mwenyezi Mungu kwa ivyo Mungu na watu wake.

  • @JamesTimba-bz1by
    @JamesTimba-bz1by ปีที่แล้ว +4

    Ee Mungu ibariki Israel

  • @ZeraErasto
    @ZeraErasto ปีที่แล้ว

    Mungu tetea watu wako🙌🙌

  • @deusNjimba
    @deusNjimba ปีที่แล้ว

    Hao islael. Huwa wanapiga. Na kuteka nyala. Gaza imeenda

  • @dottosweetbert8879
    @dottosweetbert8879 ปีที่แล้ว +2

    Nyongeza:
    Amosi 9:15 ni tamko la Mungu kwamba ATAWAPANDA TENA WANA WA ISRAEL kwenye nchi yao ambayo hakuna mtu atakuja kuwaondoa pale.

  • @AmosOmary-s7w
    @AmosOmary-s7w 3 หลายเดือนก่อน

    Wasenge

  • @stevemwangi1142
    @stevemwangi1142 ปีที่แล้ว +6

    Elohim Yu pamoja na watu wake Awashindanie

    • @omaar5693
      @omaar5693 ปีที่แล้ว

      sio ELOHIM tena ndugu..
      ni Allah
      maana imeandikwa
      zefania 3:9
      Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la Bwana, wamtumikie kwa nia moja....
      nenda kila upande duniani utaskia wanamuita mungu ALLAH... ELOHIM imepigwa chini

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      Acha uongo wewe Allah ? Ndo kitu gani , Ilo andiko wala alimaanishi lugha ya kiarabu lugha inayozungumziwa ni lugha kabla ya mnara WA Babeli,

    • @omaar5693
      @omaar5693 ปีที่แล้ว

      @@francisjoseph1074
      nitakubali kuwa mimi ni muongo endapo uyanipeleka sehemu katika hii dunia neno ALLAH halijaskika...
      ustegemee kuwa litakuja Neno MUNGU duniani litumike kote zaidi ya neno Allah
      ndio sababu ametupa adhan asikie anaetaka na asiyetaka

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      @@omaar5693 huo ni mfumo WA kiarabu , Kusema Mungu Allah! Walioweka kua nilazima usali kiarabu ndo Mungu wao asikie hiyo ni Imani potofu , mfano kipindi waizrael wapo utumwani Musa alikua akizungumza lugha ya misri we unafikili wale waizrael walio zaliwa kule walitumia lugha ghani sigha ya misri kwanini uhubiri Kwa lugha watu wasioielewa ? Nakupa fact nyingine waizrae kipindi wako Baberi zaidi ya miaka 70, unafikiri waliabudu Kwa rugha gani na akati watoto wamezaliwa utumwani Babeli ni lazima wazungumze kibabiloni ndo mana bible ipo Kwa kila lugha lengo MTU aelewe sasa mfano Daniel kitabu chake ameandika Yuko utumwani Babeli na Ile ndoto ya mfalme isingetafasiliwa Kiswahili tungeelewaje ? Lazima uhubiri injiri Kwa lugha inayoelewka lengo watu waelewe waislam wamekomaa na kiarabu ndoman hawaelewi kitu? Bali wanakariri, hiyo hoja yako ya adhana ni dhaifu sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      ​@@francisjoseph1074UNAULIZA ALLAH NDIO NINI KUMBE MANYANI YAPO MENGI DUNIANI 😂😂😂😂

  • @keynanwiki
    @keynanwiki ปีที่แล้ว +2

    Mungu ukumbuka watu mwaka.

  • @MwajumaMhogo-ye4yr
    @MwajumaMhogo-ye4yr ปีที่แล้ว

    Mwenyezi MUNGU wasaidie Waparestina

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 ปีที่แล้ว +7

    Mungu hachezewi anawona Kwa Kila njia ataamua yeye itakavyo kifanya mungu ni mjuzi atawaonyesha nani anataka kumuingia mungu na waja wake atajibu kwa muda sahihi ,mungu akitaka kulifuta taifa Hilo na ikabaki kuwa history Hana hata sekunde Moja na ikawa funzo Kwa wengine

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hilo taifa halitafutika maana mungu hajawahi kuwa na wazo la kuwafuta ila shetani amekuwa na wazo wafutwe hajawahi kufaulu japo amejalibu mala nyingi Kwa kutumia mataifa yenye nguvu na silaha Kali hajafua dafu bado taifa la islaeli lipo pale na litadumu kuwepo hata ujio wa yesu mala ya pili ndivyo mungu amesema

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 8 หลายเดือนก่อน

      @@SmilingCityMap-xb9md ULIKUWEPO MUNGU ALIPOSEMA??? CHIZI WEWE

  • @ElizabethMburu-s2j
    @ElizabethMburu-s2j 3 หลายเดือนก่อน

    Heli walaabu wapigwe kuisha sawawa na matende yao huwatenda wakenya saudia ata huko wafike nitapenda❤❤❤❤

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck 3 หลายเดือนก่อน

      Saudi hawataki wanawake wa kwenye ni malaya tu ndio maana tu awshikisha adabu hapa saudi

  • @maliyamaliya1312
    @maliyamaliya1312 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hafundishw n wala hajahafilik wanawaum wtt wadog n wanmke pamoj n innocent people adhab y Mungu itakua ndio malipo yao kwa muda sahihi

  • @kilimanistudio
    @kilimanistudio 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu utete ukristo Israeli huko Israel

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Mungu ushikae maagano thibitika

  • @andersonmbaga9107
    @andersonmbaga9107 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awa piganie nakuwatetea

  • @Ibrahimmeshilieki
    @Ibrahimmeshilieki 5 หลายเดือนก่อน

    Israel lama ishinde vita walh❤❤

  • @MARTINNSELU-t1d
    @MARTINNSELU-t1d ปีที่แล้ว +3

    Naitamkia Baraka Israel katika jina la yesu

  • @MonikaKhayesi
    @MonikaKhayesi ปีที่แล้ว +2

    Mungu unikumbuke utakapo likujia kanisa kalo

  • @HarsonMtui-jf3po
    @HarsonMtui-jf3po ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu twakuomba utuwrzeshe tuishi kwa Amani yako

  • @pelespeter3993
    @pelespeter3993 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki izarael

  • @ecibakechabilombele5139
    @ecibakechabilombele5139 ปีที่แล้ว +2

    Asante. Johova abarikiwe.

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 ปีที่แล้ว

    Waachee wauwe nawaowataenda kuchezea moto mkali akhera

  • @wagyabiraso7029
    @wagyabiraso7029 ปีที่แล้ว

    Bwana tenda sawa sawa na mapenzi yako

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mungu wa wakristo ni mmwagaji damu za watoto na wanawake wasio na hatia maana Israel anaua watoto na wanawake . Hajaacha segemu shule , misikiti, makanisa, mote anaripua nakuua watoto wakristo oyee mungu wenu mnywa damu za watoto na wanawake si shangai maana haya mlianza zamani saiv mnaendeleza tu umwagaji damu na ufisadi.

    • @JonasMathias-s6m
      @JonasMathias-s6m 5 หลายเดือนก่อน

      Sisi tuna angamiza kizazi,chote ambacho kinaenda kinyuma na MUNGU mkuu,wa Israel hatuta bakisha hate paka,Kama vile MUNGU alivyo wamaliza waamaleki KWA MKONO was mfalme,sauli ndivyo gaza na wakaao humo,watakavyo angamia

    • @amournassorsaid7694
      @amournassorsaid7694 5 หลายเดือนก่อน

      @@JonasMathias-s6m wauwaji mafirauna wa 2024 dini ya umwagaji damu kwa mabomu
      Hao Israel hawaujui ukristo kujipendekeza tu .
      Endeleeni ila mujue dhulma haidumu na kila nafsi itakufa ni suala la muda tu hata wewe ni Maiti mwrnda.

    • @isakwisamwamlenga
      @isakwisamwamlenga 4 หลายเดือนก่อน

      Atakuwa kajifunza Kwa allah na mudy

  • @erickmsimbe5424
    @erickmsimbe5424 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @hassanmkufya2867
    @hassanmkufya2867 ปีที่แล้ว

    Mungu hana taifa la wauwaji kama mayahudi

    • @annycarmly9232
      @annycarmly9232 ปีที่แล้ว

      Kaombe upewe mafundisho...🙂
      Alafu hao warabu wanawapotezaa na dini yaoaskini😂😂.. mungu yupi anakwmbia he de kansani umevaa bomu ukarpue etu utapataa thawabuuu..😂😂 n ushuzushuzi uo... Embu upokee yesu leo upate amani na utulivu wa moyo

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      Naam 🇮🇱

  • @ZainabMilanzi
    @ZainabMilanzi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hukumu ya Gaza itawarudia makafiri ashahadu allailaha innalilahu washahadu Anna Muhammad rasululah

    • @jameslaban3482
      @jameslaban3482 4 หลายเดือนก่อน

      Ashahadu ya nyoko 😂

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 3 หลายเดือนก่อน

      Na wale wanaopigwa nyuma ila mbele wameziba waliopo znz

  • @TausiAdam-qz4mu
    @TausiAdam-qz4mu ปีที่แล้ว +2

    Subhana allah kama hujui chocht bora unyamze woo wayahu wanao ndumisha ndoa za ushoga

  • @ramadhankhamiss2943
    @ramadhankhamiss2943 ปีที่แล้ว +1

    Maandiko nawewe mpo tofaut sana

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤ israel

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 ปีที่แล้ว +16

    God bless Israel all the Christian are with you in prayer prayers and prayers. Thank you Minister Netanyau for your speech we have faith and this is a courageous nepentance we are tired of being bullied straighten them up again keep their manners they have exceeded their religion and ethnicity who on earth and whoever interfares call🙏

    • @MargaretMutheu-z1k
      @MargaretMutheu-z1k ปีที่แล้ว +3

      Lord win for your people Israel

    • @ZainabuKolongo
      @ZainabuKolongo ปีที่แล้ว +1

      Mungu simama na Israel 🙏🙏🙏🙏

    • @Emmahmwende-bo6zc
      @Emmahmwende-bo6zc ปีที่แล้ว +1

      Israel forever in Jesus mighty name

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 ปีที่แล้ว

      Have heard someone claim to be a christian in israel since the war begn,christian originated from west..so go to america not israel

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 ปีที่แล้ว +1

      WALE WANA ADHIMISHA SIKU YA MASHOGA DUNIANI MUNGU NDO AWABARIKI

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki palastine

  • @sameerbaksh98
    @sameerbaksh98 ปีที่แล้ว

    Umedata

  • @CharlesSimtaji-pq7ys
    @CharlesSimtaji-pq7ys ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana unajua kuelezea ukweli safi sana

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 ปีที่แล้ว

    Wanaibidhia bibilia yaaani wabishi saana

  • @corneliusondera6759
    @corneliusondera6759 ปีที่แล้ว

    Israel our ancestors land you win but you should remember your God of Hibraim

  • @marynguru6754
    @marynguru6754 5 หลายเดือนก่อน

    Israel taifa teule la MUNGU

  • @sofiajoel1235
    @sofiajoel1235 7 หลายเดือนก่อน

    Israel oyeeeee acheni kupaniki😊

    • @hajimwinyi6816
      @hajimwinyi6816 7 หลายเดือนก่อน

      Oeee watu wanaumia😢

  • @josephologi5503
    @josephologi5503 ปีที่แล้ว

    Fight till palestina surrender I do support israel because am from Israel but living along lake Victoria

  • @samsonbavuma2237
    @samsonbavuma2237 ปีที่แล้ว

    Kwa nini mnasema kuwa lile linalotarajiwa kujengwa pale ni hekalu la tatu wakati tayari yamekwisha jengwa pale mahekalu matatu? Luna like lililojengwa na mfalme Sulemani likabomolewa na Nebukadreza,na Wayahudi walipotoka Babeli Zerubabeli akalijenga.Na mnamo mwaka wa19KK.Mfalme Herode akaanza kujenga lingine hapohapo na ndilo lililobomolewa na Jemadari Tito wa Rumi mwaka 70 BK.

  • @KareemHemedi-j7c
    @KareemHemedi-j7c ปีที่แล้ว

    Kuma LA mama zenu. Msimtaje mungu kwenye kwenye ukatili huu wa kutisha akuna taifa takatifu duniani wewe mchungaji mpumbavu acha ujinga

    • @jennifermassawe1522
      @jennifermassawe1522 ปีที่แล้ว

      Huna akili Mungu h atetewi kwa kutukana

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Mungu wetu hasaidiwi kujitetea we endelea na kilichokujaa hawa watu bwana

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa matusi ya kinywa chako imeshajulikana deleva wa moyo wako shetani na huwezi kuwapenda islaeli kama wewe waongozwa na lusfa utawachukia utake usitake maana huyo aliemo ndani yako amemchukia yesu tangu adamu na Eva ukifunguliwa na yesu utawapenda waislaeli utake usitake utawaelewa tu

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂❤🇮🇱

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Israel taifa taifa teule mtashinda

  • @PauloNiima
    @PauloNiima 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujibu wa mandiko tutambue nyakati izrael ni mtini tujifimze

  • @LeonardMathiasi-vm8jn
    @LeonardMathiasi-vm8jn 5 หลายเดือนก่อน

    Hamasi acheni kuchokoza Israeli tulieni mtaagamia sana ndunguzeni hamwezi kupingana na taifa la MUNGU

  • @JamesItoba
    @JamesItoba ปีที่แล้ว +3

    Mungu awe pamoja na israel

  • @ezronmalongo7775
    @ezronmalongo7775 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Yakobo simama na Israel,wape Israel ushindi dhidi ya maadui zao

  • @nextleveltalent1576
    @nextleveltalent1576 ปีที่แล้ว

    Wayahudi hawamjui yesu wew jnaongelea israel ipi hahababahah balaa la mvhambuaji hewa hili

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe mwenyewe haumjui Yesu Kristo 😂😂😂

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna wa kuweza kuifuta Israel katika ramani..! Kama jinsi wanavyojidanganya kwa akili zao.
    🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 ❤❤❤

  • @siniremeraanicet7851
    @siniremeraanicet7851 ปีที่แล้ว +16

    Hizi ni dalili za nyakati za mwisho

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 ปีที่แล้ว

    Ninyi ni wapuuzi sana....mnatumia maneno ya mtu kuhalalisha haya mauaji

    • @emmanuelmaungo6972
      @emmanuelmaungo6972 ปีที่แล้ว

      Mbon upo na hasira sana ndugu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Woiiii wachilamu hao jomoni

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      Yaani hatuwezi kulitumia Neno la MTU mwasisi wa ubakaji wa watoto chini ya umli wa miaka 9 na kuhalalisha ubakaji Kwa kisingizio cha ndoa wala hatuwezi kutumia maneno yake aliyopewa pangoni Kwa kukabwa kabali wala hatuwezi kumuamini MTU alielazimisha aaminiwe Kwa mapanga na malungu hiyo no no no tena Hana haki ya kukubaliwa kabisa

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@SmilingCityMap-xb9md😂😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@irenekaluse3213😂😂😂❤

  • @captshaky
    @captshaky ปีที่แล้ว

    HIO SIO REAL DOME

  • @deusNjimba
    @deusNjimba ปีที่แล้ว +14

    Mimi nashagaa waislam kutetea. Wapalestina. Wakati. Somaria. Hapa kalibu hawajawahi kulani mauaji. Ambayo. Yanafanyika happ. Sijui. Fikila zao zikoje

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 ปีที่แล้ว +5

      Wa Palestine hio ni inchi yao wa Israel walikija kuomba kama kutaka kupanda mazao Kisha wakavamia inchi na kijenga majumba soma history vizuri huyu anae tafsiri nae shoga tuu bibilia ilikua zamani sio hii ilio andikwa na wazungu wa mayahudi

    • @sebastianmanufred5855
      @sebastianmanufred5855 ปีที่แล้ว +4

      Wanaamini kua apo ndo kitivo cha uislamu wakati huo msikiti ni hekalu la king Solomon wameita all aksa jiulize wakati wa solomoni uislamu ulikuwepo

    • @MohamedHussein-mn4gz
      @MohamedHussein-mn4gz ปีที่แล้ว

      ​@sebastianmanuunajua historia msenge wwfred5855

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 ปีที่แล้ว

      ​@@saumbliz8983nchi ya waisrael ni ipi

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@sebastianmanufred5855ndio ulikuwepo coz nyie mmekuwa wakrsto kwa sababu ya yesu ambae ndo krsto kabla ya yesu wakrsto waliitwa je

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok ปีที่แล้ว +7

    Hawaamini kwa sababu Ili mataifa tupate neema kupitia wao na kristo atakaporudi watamwamini zekaria 12:10-13 na kuokolewa Rum 11:25-30

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n ปีที่แล้ว +1

    Wayahudi hawawapendi wakristo wala waislam, kama watafanikiwa kuwamaliza waislam watawageukia wakristo!

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akuangamize ww na hao unaowatetea

    • @lupironewstv4645
      @lupironewstv4645 ปีที่แล้ว +2

      Amosi 1:7
      lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.

    • @FaustinByendeye
      @FaustinByendeye ปีที่แล้ว

      Poa kbs

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 ปีที่แล้ว

      Akuangamize na wewe unaye shabikia wanadamu wenzako wavyouwawa

    • @janeobure3006
      @janeobure3006 ปีที่แล้ว +2

      Kwani nani alianza mashambulizi hayo.mchokozi ni nani?

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 ปีที่แล้ว +2

      Wewe uangamizwe kwa jina la yesu

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo tuzidi kuwaombea Israel kila iitwspo Leo Israel asiishiwe silaa. Israel asife, Israel wasikose chakula wafanikiwe milele kama ilivo ahad ya MUNGU zechariah 8:1-10