PATANISHO : MAMA BONIFACE - SIO MIMI NAMFUKUZIA WAKE WAKE, NI TABIA YAKE MBAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Aki Gidi na Ghost mmetutesa na hii patanisho kama umeimiss kaa mm gonga likes tujuane
Kweli ata mimi nilikua nashidwa nini baya@PRETTY BABYGAL
YAP WAITED FOT YEARS
@@pagampo6717 ujj
Welcome Gidi na Ghost.leo nipewe likes pliz cjai pewa.number one leo team kujiamini(Jeddah )
..nafukuza wake wake? that is the best clause in this patanisho....i can't get enough of this
No 4 Leo team kujiamini mpo
Mama anaongea kama cherehani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu jamani ati kama cherehani
🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu jamani ati kama cherehani
Mama ni jasiri hadi nimempenda tu bure😁😁😁😁
Always listening from Abu dhabi nice show
Leo Gidi umeongelesha Ghost vizuri. Thanks🙏🏾
Pickup radio jambo kwa kazi nzuri,nasikiliza nkiwa narok
Ghost makes my day😆😆...hicho kicheko chake noma!!
Siku hizi Patanisho sio regular
Mama ni moto
Mkisii hawezi ongea pole pole,????swali tu!
b
+974 nipeni like
Wakisii hatuki jokes🤣🤣🤣
Huyo wa Dubai asijidanganye kma mzee hakutaki utaishije na wazazi,,utakulwo pesa zako baadae wakupige teke,,mama mkoya na bonii sina advice yenye😂😂🏃♀️🏃♀️
Huyu mama ni yunuke wa okiondo kabisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 wakisii automatic 🎤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tigagonkora 🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍
Gaki tiganseke gaki🤣🤣🤣🤣
Ni moto.
Giddy:amekuwa akileta wake unawafukuza
Mama:eeh! Nafukuza wake wake aky I die🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Too hilarious 😂
@@francojr6597 😂😂😂😂😂
Waau
Hi n kali sana
No 1
Mama yafa apewe heshima jamani
Mokaya usitegemee yeyote, wee ni mme kama wale wengine-jismamie mavituz zako,punguza lawama
Weeew...hyo mama nikama kameme yawah....
I missed this bobaracho and keroka boy patanisho
What are you saying
Wamama ni wabaya I experienced it
Mama alifukuzana. 😂😂😂.
This is true.
Heshima gidi
😂😂😂😂 Huyu Mama ni moto
Omongina oyu nomotindi waa
Ataki mchezo yawa.
@@francojr6597 Gaki moto wa kuotea mbali
@@delvinsalah7494 Huyu hawezi kuwa my mother inlaw walai
@@everkwamboka9800 Huyu better ukae qwenu
Mama pili pili
Wakisii ndani ya nyumba
What are they saying?
Huyu gidi ni funny sana
Is this yunuke of okiondo show?
😁😁😁ghost aki unanifanyanga nicheke yangu yote.
🇹🇿🇹🇿
Gidi unachomaa eti mokaya ameanza 4 nil🔥🔥🔥🤣🤣🤣
Gaki nabo okorasa pi pi pi pi
Gaki Kemunto ee nabo okorosa gwa 🤣🤣🤣
In Gusii land, ukisikia mama anaitwa Yunuke, ujue ni Stima
🤣🤣🤣🤣seriously
Haaaaaaaa
Wanajua ako na pesa ndio maana 😄😄😄😄😄😄
😂😂😂😂mimi pia nilikuwa nashangaa kwani ni father ibrahim
Translation :anasema hajui hata hina huyo mama anaitwa,hajui penye ametoka ,hajawahienda kwake amuone...anaambia Bonie anafanya vitu zenye hata Mungu atampiga kiboko...
😂😂😂😂😂 county mzima
Inaki help me with your phone number please kwamboka
Bamintooooiiiii😢
47 oooh my 🤣🤣🤣
Wacha2 usiendelee🤣🤣🤣🤣
Ghost wacha kucheka pekaako tuambie hawa waarabu wanasema nini😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 mokaya alianza game ikiwa four nill
Si ako na watoto pia yy wawili
Hiyo French yote tunataka translation 🙆🏾♀️! At least Mum amemwambia the truth and what he needs to do 👏🏾💪🏾
Aii kiswahili pliz
4 nill joo hii ni tricky 27 na watoy 4 sisemi kitu..
Ndaaaaaaaaaani
Mnafanya kazi mzuri wana jambo, pia kwa upande wa kusistiza amani download amani by Said Bakhlaa kupitia mdundo.com
By said bakhlaa
Mungu wangu uko serious wewe 4kids
nafukuza wake wake😂😂😂
Wakisii tukutane nyuma ya tent please chiabagoire piiiii ntokonyara gochitanga nande
Kei chitange😄
😂😂nabo okorosa
@@hillaryogoro2218 kwaigwa bono Buna omomura ateba four kids c wake na ameoa wengi
Agochakera 4-0
@@hillaryogoro2218 ense yaerire piiiii
Egento eke nekiya batebie bairore wee...
Jaman imenifanya nicheke hatar eti nafukuza wake wake😂😂😂
Aky wakisii na kiswahili🙈🙈🙈
hukua umejenga,ulioa bibi akae wapii
Kijana ndo mubaya asiwelekelee mamake makosa kijana mwenyewe hajui kuongea na mzazi
Hehehe
I just love my country people. Mama Yunuke just like all morally upright mothers has to question her son's morals. The rate at which Mokaya is marrying is alarming. Watu waliacha kuogopa magonjwa? Mokaya style up and stop with your immorality, ukimwi bado upo na inauwa.
😹😹😹nimeona tik tok ikabidii nikuje TH-cam
😂😂😂 Nabo okorosa
😂😂😂😂😂😂😂😂ati awapee pesa ya dubai
Mama uko sawa.but huyu mokhaya hi ndoa haitadumu.
Vichekesho vikubwa 😂😂 si madogo haya
Nafukuza wake wakee? 🤣🤣🤣
Shagala amewatumiako pesa sasa amekuwa mzuri
Mama anapenda shagala kabisa
Kweli wallah. Wameona pesa
Gidi hamna translator
Hahaaaaaa
Weee huyu ni Kerubo Nyanychama Posipori...redio mbovu
😂😂😂😂
Gidi wacha kuchoma aty umeaza 4/0
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂🤣😂aki wazazi wengine cjui nn inakuanga mbaya 😭😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@liznzembi5906 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Embarambara ndio huyu sasa
Hae Gidi na Ghost mtu anapedwa ukipata dooh lakini ukikosa unachukiwa
Hapo mamako ako sawa dawa kufa kabisa
Kweli.kijana..mama.ako.sawa..enda.pole.pole..unaowa.mama.mwenye.ako.na.watoto4..na.wewe.uko.na.27..mimi.niko..na..4..na.sai..niko.na.40..wacha.michezo.kijana..siyo.mama..ndiyo.shida..shida..ni..wewe.kijana
Mukaya ongea na doshi yako uridhike na uliye.nae achana na mma wwe
Watoto si shida bonny simama kama mwanaume watu uoa ata watoto 5,6 lkn kuekelea mzazi c poa aiiii tulikosea wapi lkn wakisii taah
Ghost🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kukua mkisii ni shida tupu walai
+973 nawakilisha mbaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwa ndoto
😂😂😂😂😂nafukuza wake wakeeeee ka soprano kalinibamba😂😂weeeeeee hii ni ki china ama ni kiharabu waaah ghost utacheka leo kitu husikii😂😂😂hii ata gidi ameshindwa kukatiza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Murii nilijua tu atacheka
MUKO VIZUR GIDI NA GHOST KATIKA VIPINDI VYENU HAHAAAAAAAAA KICHEKO CHA GHOST NI MOTO MPAKA OXFORD TUNAUPATA
Gidi wacha kuchoma picha ati 4/0 weee Gidi
wakisii yawa huwa wanaongea ni kama wako na vita 🤣🤣🤣🤣🤣
Haha hahahahahaha
Ona hii
th-cam.com/video/3nxmUvZawZw/w-d-xo.html
Gidi Ati umeanza 4-0
Wakisii tukutane nyuma ya tante
🤣🤣🤣🤣🤣
Tante ni nini?
Nabo okorosa 😂😂😂😂😂🙄🙄🙄
Eeeeh gaki nabo okorosa
Ekeene nabo okorosa
Naki Otarose gaki, 4/0 mbobe agocha.
Nabo okorosa amaene😅😅😅
Alice gazemba sisi hatuwezi fukuzwa utakua safe 🤪🤪
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Haaaaaa umenimaliza Sasa unapanga kunipeleka lini?
Ebu tujipange twende😂😂😂😂😂😂😂
@@alicekmusic3925 any time from now naweza 😂😂😂but sitaki ifike dec
Hata wewe Bonie umechanganyikiwa akili kabisa..yaani wachawi wakwenu wamekufikisha hapo😳😳hakuna mzazi atafurahia uolewe kwake na watoto wanne..4kids??? Wewe utazaa wangapi
What your problem if they love each other
@@amashbaibe8361 silly question ..
Huhuhu,yawa wakisii jameni y letting jamii ya kisii down this way mnaleta ukisii na hasira yote kwa radio harafu hasira ikawa raha kwa Gidi na Ghost🤣🤣🤣...hehehe Bonface muongo but hii kuoa bibi na watoto 4-0.anyway it depends thou!!
That laugh is irritating I love Gidi
Sisi wengine tumekujia io kicheko🤗wee sio lazima usikie
Mokaya ni player na yaonekana hataki advice ya mamake
Mokaya ndiye mjinga akh ety aaje watoi wake wawili alafu alete mke mwenye ako n watoto 4 hiyo n noma.
Anachezwa baadaye hao watoi watarudi kwa baba zao