Tumbo joto la panda maandiko yakosekana kivumbi mchana peupe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @YussuphKansela-l4j
    @YussuphKansela-l4j 12 วันที่ผ่านมา +7

    A.alaikum warahma tullahi wabarakat .Leo namshukuru Allah kwa kunijalia neema ya uhai na kua muislamu.leo hii mm niwakwanza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Walykum wabarakatuh warahmatullah wabarakatuh masha Allah

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 12 วันที่ผ่านมา +7

    Maashaa Allah ❤..
    Nipo Safarini Usiku huu.. Natoka DAR naelekea MOROGORO.. .. Àlhamdulillaah, Nafuatilia vyema Sheikh Salim Daawah.. .. 🎉 ..

    • @AlisaidAlis
      @AlisaidAlis 12 วันที่ผ่านมา +3

      ALLAH AKUFIKISHE SALAMA INSHA ALLAH

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 12 วันที่ผ่านมา +3

      @AlisaidAlis Aamiyn

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา +1

      Allah akufikishe salama

  • @hassansharif5716
    @hassansharif5716 12 วันที่ผ่านมา +5

    Mansha Allah brothers. Keep up the good work

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 12 วันที่ผ่านมา +4

    Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.

  • @mamasiham9287
    @mamasiham9287 12 วันที่ผ่านมา +4

    Allhamdullilah

  • @sadamhirbo8246
    @sadamhirbo8246 12 วันที่ผ่านมา +3

    Sh.salim sometime you make me laugh 🤣🤣🤣 juu unapeleka Hawa makafiri vizuri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 12 วันที่ผ่านมา +3

    Makafiri wanazungumza maneno elfu Moja kurekebisha Uongo uwe kweli, hata hivo wanafeli.

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali 11 วันที่ผ่านมา +2

      Hao Wakristo ndivyo walivyo tu. Huwa Wanakataa hata maandiko yaliyomo ktk Biblia Wanayoiamini. (Yaani, Wazungu waliisha walisha Nguruwe hadi zikawakolea vichwani mwao)

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 12 วันที่ผ่านมา +3

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 11 วันที่ผ่านมา +1

  • @kingbabushka
    @kingbabushka 12 วันที่ผ่านมา +6

    Leo wakwanza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 12 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa kakamatwa kooni hafurukuti😂😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 11 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh Hassan punguza jazba na ukali wa maneno, haina haja kushindana.

    • @molee00
      @molee00 11 วันที่ผ่านมา +2

      Hii ndio shida yaku ALLOW hawa KNOWN Time Wasters, kama Shadrak, Martin, Mach4, etc, etc, ku Uliza Swali za upuzi zaku Waste Time!
      This is how You get Into an arguments with silly Questions trom Time Wasters.

    • @molee00
      @molee00 11 วันที่ผ่านมา +2

      Hii ndio shida yaku ALLOW hawa KNOWN Time Wasters, kama Shadrak, Martin, Mach4, etc, etc, ku Uliza Swali za upuzi zaku Waste Time!
      This is how You get Into arguments with silly Questions trom Time Wasters!!

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 12 วันที่ผ่านมา +3

    Ayah saba alizo teremshiwa mtume Muhammad ni suratul faatiha

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 11 วันที่ผ่านมา +2

      Sheikh Hassan anajua ila kuna watu hapo kiwanjani kazi yao kupoteza muda, kama huyo aliuliza swali.

  • @josemu870
    @josemu870 9 วันที่ผ่านมา

    Allahamdhulla

  • @F.j84
    @F.j84 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hahaha mm ni mkaazi wa malindi na hizo story za kufungwa mskiti ati mbwa ameingia ni kuishiwa na maarifa😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา +1

      🤣😅😂🤣 wakristo wana Story mingi sana

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 11 วันที่ผ่านมา

    Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 9 วันที่ผ่านมา

    Patamu hapa😂

  • @Sal.0
    @Sal.0 12 วันที่ผ่านมา +4

    Nusi Waste Time na hii Swali ya kila siku ya MAJINI!
    Huyu Martin ni jamaa waku TUMWA kwenu, ku WASTE Time yenu, ili wengine wasi pate Faida!
    Huyu Martin na SHADRAK wame lipwa 109bob, kuja ku waste time yenu!
    Martin has WASTED a good 20mins of your Time!
    Do You Not know how to recognise These Time Wasters???
    TabarakAllah Team.

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 12 วันที่ผ่านมา +3

      Sometimes the time wasters are the ones that end up seeing the light at the end of the day and would serve as a good lesson to those of his ilk. It could be part of the plans of Allah . We should not always be quickly dismissive of such characters. Allah knows best.

    • @Sal.0
      @Sal.0 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@HisMajesty64
      That is NOT True!
      Known Time Wastes like Shadrak and Martin, Raphael, etc, etc, are PAID to come and Waste Time.!
      Only Genuine Questioners have the potential to see the Truth!
      The REST, are Time Wasters

  • @Shillingi
    @Shillingi 12 วันที่ผ่านมา +2

    Asalamu alekmu! Huyuu hua hana maswali zaid ya hiyoo (NASI) na kubishana to

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Walykum wabarakatuh warahmatullah wabarakatuh ni kweli

  • @harundaudi701
    @harundaudi701 12 วันที่ผ่านมา +4

    Masheikh mnafanya kazi nzuri lakini mnapoteza muda kubishana. Punguza jazba na maneno mengi yasiyo ya msingi.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Inn shaa Allah

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 10 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@salimdaawah123ni yapi hapo maneno yasiyo na msingi? Allah yaalam

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 วันที่ผ่านมา

      @@HisMajesty64 hakutueleza tuko tiyari kurekebishwa

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 11 วันที่ผ่านมา +1

    MashaAllah Allah awabariki sana mashekhe wetu Allah atunusuru sote inshaAllah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 วันที่ผ่านมา

      Aameen ameen ameen sote

    • @rahmaali6662
      @rahmaali6662 10 วันที่ผ่านมา

      Amiin yaa Rabbi