#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 157

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mafisadi musimupe makonda sumu, mwangalieni wajuku wenu mbelini kama makonda ni rais wa Tanzania hawatapata shida,my next presido of Tanzania makonda juuuuUUUUU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @evangelistmcsarahmvungi3626
    @evangelistmcsarahmvungi3626 7 หลายเดือนก่อน +29

    Yaaani kaka Mungu akulinde kaka yangu Mungu akuzingire kwa wigo wa malaika wake Michael na Rafael na jeshi la malaika Gabriel kaka Tunakuombea tunamuombea mama yetu mama yetu kipenzi mama tunayempenda na kumuombea mama mheshimiwa sana Mama Mheshimiwa mama Samia tunawaombea najua ulinzi utawqzingiza Mungu atawalinda mama akimaliza tu mda wake najua anakuachia hallelujah

    • @AllySinga-y7w
      @AllySinga-y7w 6 หลายเดือนก่อน

      Makonda unaupiga mwingi kaka naomba staili yk iwe silabas kwa taifa

    • @Solokomando
      @Solokomando หลายเดือนก่อน

      Mweshimiwa Makonda nakuombea Mungu siku moja uongoze nchi hi ukiwa Rais ahsante Mungu

    • @shadfaothmanrajab341
      @shadfaothmanrajab341 หลายเดือนก่อน

      🎉😢😢😮🎉🎉😂😮 b🎉😮😂😮😂🎉😮 in🎉😅
      L🎉🎉😢😅😅🎉😂😮 hi😮😂😮u😢🎉tx🎉🎉😅😅

  • @colethangwale9175
    @colethangwale9175 7 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda Mungu akulinde. Jamani nchi hii huko Dodoma makao makuu kuna watu wamenyang'anga'anywa mali zao macho macho na kila wanakikwenda ili wasaidiwe kupata haki zao hakuna msaada. Wameshikwa!!! Mungu akulinde sana

  • @yohanakissu4819
    @yohanakissu4819 7 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda Mungu akupe maisha marefu, yaani unafaa hata hapo juu ukalie ufalme wa nchi. Kwa kusema kweli kila kitengo unachowekwa unafanya kazi kwa weledi mkubwa. Wananchi Tanzania tuko nyuma yako Makonda. Nina wivu kwa kuwa hauko mkoani kwangu, ila piga kazi tu ndugu yangu, ipo siku utakaa hapo juu ili Tanzania nzima tufaidi uongozi wako. Big up sana makonda. Saluti kwako.

    • @zaishanga1622
      @zaishanga1622 6 หลายเดือนก่อน +1

      Big up babangu unanifariji sna Mfano wa mg barikiwa Mh

  • @loishiyelais91
    @loishiyelais91 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu azidi kukulinda na kukuwezesha
    mheshimiwa mkuu wa mkoa Paul christian makonda uko vizur tunakukubali sana

  • @Godfrey-l9k
    @Godfrey-l9k หลายเดือนก่อน +1

    Kaka namuomba mwenyezi mungu akulinde ktk kila hatua unayopiga ktk kuwapigania wananchi wa Tanzania, hakika wewe ni MAGUFULI mdogo

  • @AlphayoSaiteruLaizer89
    @AlphayoSaiteruLaizer89 7 หลายเดือนก่อน +4

    Big up sana Kamanda Paul C Makonda. Hakika hawa ndio Viongozi tunaowataka ktk Taifa letu. Wapige Spana Sawasawa Mkuu. Mungu akulinde uendelee kuwasaidia Watanzania hasa Wanyonge. Ambayo wao hawana Ndugu ngazi ya juu.

  • @ABIHUDMSONGA
    @ABIHUDMSONGA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mr makonda,mungu akubariki,kwa kazi njema

  • @JuliasiSatoti
    @JuliasiSatoti 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sikahi harusha nakaa hadeni tanga lakini misimamo wako nimehipeda sana baba Mungu wa pinguni akuogese maarifa yakutatuwa kero yawana harusha mkuu tobiko Makonda

    • @ojaytz5623
      @ojaytz5623 2 หลายเดือนก่อน

      Saitoti yule najua ama?

  • @evangelistmcsarahmvungi3626
    @evangelistmcsarahmvungi3626 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yaaani huyu akae tayari wananchi tunampenda mama akimaliza tu mda najua atamwachia mwanae anawezaaa tena anaweza sanaaaa Mungu akulinde kaka

  • @EduwardMolleni
    @EduwardMolleni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wewe n mwambaaaaa na mungu akulinde sana

  • @DonasianoGwambegu
    @DonasianoGwambegu 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukuinua na kukubariki sana kwa kazi nzuri. Kazi Iendelee. Uko vizuri.

    • @iddyramadhani3349
      @iddyramadhani3349 4 หลายเดือนก่อน

      Kaka uko vizuri haya ndio tunayoyataka kuyaona na kuyasikia mungu akubariki saana njoo na huku TANGANYIKA yaani kigoma tumesahaulika kwer tusaidie nasisi

  • @JuliasiSatoti
    @JuliasiSatoti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba tobiko Makonda Mungu akulinde sana asante

  • @zakayoabdala2740
    @zakayoabdala2740 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hilijembe bhn kiboko aisee tunakuombea mkuu wetu wa mkoa wa arusha

  • @wazirparachichi5537
    @wazirparachichi5537 7 หลายเดือนก่อน +2

    Piga kazi mkuu uko vizur sana mungu akulinde

  • @ElishaKijanga
    @ElishaKijanga หลายเดือนก่อน +1

    Sema babaaaaa

  • @EmanuelMalisa-c8n
    @EmanuelMalisa-c8n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana makonda kazi na MUNGU

  • @DieuIlanga
    @DieuIlanga 16 วันที่ผ่านมา

    ❤makiniraisimtarajiwa

  • @frankkizigo2886
    @frankkizigo2886 7 หลายเดือนก่อน +1

    Spana tu,Mungu akulinde mkuu uwe mkuu zaidi ya hapo.

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @JumaKahomi
    @JumaKahomi หลายเดือนก่อน

    Mdodo wangu makonda mungu akubariki kwa kazi na ufuatiliaji wa haki za wananchi

  • @balongelwakaluta5102
    @balongelwakaluta5102 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwabariki wa Tanzania, tafazali musimuuwe MAKONDA. MAKONDA fanya kazi baba na uwe ange usihamini mtu kabisa kwani wa Tanzania wa baya awataki mtu kama wewe juu kesho watakufanya kama vile walimuuwa BABA YANGU MAGUFULI. Wewe ni MAGUFULI wa kesho hapo kwenu Tanzania. Ni mimi kijana toka DR Congo naishi Africa ya jusini.

  • @AdamTenda
    @AdamTenda หลายเดือนก่อน

    Makonda mimi nasema asante Mungu

  • @DonaldMakonda
    @DonaldMakonda หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wananchi tunaimani na wewe pia tunamshukuru mama kuona kipawa chako ccm oyeee

  • @DonaldMakonda
    @DonaldMakonda หลายเดือนก่อน

    Rais wa Tanzaniaaa ijayo hongera mama yetu ccm oyeee tuleteen makonda kwenye urais baada ya mama kustaafu

  • @GervasiMwacha
    @GervasiMwacha 7 หลายเดือนก่อน

    Tangu nizaliwe sijawahi kuona mkuu wa mkoa mwenye msimamo kama huyu. Wakuu wengine wa mikoa igeni msimamo huu nimeupenda sana. Mimi ni mkazi wa Kilimanjaro natamani sana awe mkuu wa mkoa huo maana Kilimanjaro imelala sana. Naamini angepewa tuu huo mka sekunde chache tuu Moshi ingetangazwa kuwa Jiji. Piga kazi mkuu tunakuombea Mungu akulinde sana maana binadsmu siyo wazu. Naamini zile raba za magu umezivaa zote. Umeziba pengo pia japo wewe ni mkuu wa mkoa tuu.

  • @MankhaMesheki
    @MankhaMesheki 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda mwenyenzi mungu akuoemaisha marefu

  • @JovitiMathias
    @JovitiMathias 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unaitajika sana morogoro

  • @DanielNdinadyo
    @DanielNdinadyo 23 วันที่ผ่านมา

    Kiukwrli makonda ww ni mtu wa pekee.hskika tunahitaji viongozi wenye Hofu ya mungu

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa siku moja atakuwa raisi wa tanzania. He has good traits kama magafuli. I wish ungekuwa mkenya. Kaka wewe ni mmoja kwa wengi. Ninapenda kuangalia vidéo zako. Hata umenizaidia kwa kazi yangu. Mungu akuzaidie.

  • @BarakaNgwila
    @BarakaNgwila หลายเดือนก่อน

    kazi nzuri

  • @skinnygypsy8629
    @skinnygypsy8629 7 หลายเดือนก่อน +11

    Tunataka marais kama hawa

  • @YohanaUbamba-ce3kw
    @YohanaUbamba-ce3kw 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naomba mungu uwe rais Wa nchi yetu jamani makonda wewe umeletwa na mungu

  • @AnnaMangula-z5e
    @AnnaMangula-z5e 3 หลายเดือนก่อน

    Rais wa kesho huyooooo🎉 14:37

  • @paulkiptanui7136
    @paulkiptanui7136 12 วันที่ผ่านมา

    Mimi Mkenya na napenda huyu mtumishi wenu namma anavyo fanya kazi yako kea haki

  • @RashidMuhawi
    @RashidMuhawi 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda tunakutaka dar es salaam mambo hayaend

  • @VitalisVitus
    @VitalisVitus หลายเดือนก่อน

    Mama , mh, dr, rais, @dr, rais, samia suruhu hassan, naomba Mungu akupe ujasiri huyu mtu anatakiwa apewe sehemu tata ni problem solver please mama sikia kilio chetu@makonda

  • @ERNESTUTONGA
    @ERNESTUTONGA หลายเดือนก่อน

    Chapa kazi mheshimiwa

  • @TheFatumandaro
    @TheFatumandaro 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Chapa Kazi !

  • @FrankSamweli-ol9gj
    @FrankSamweli-ol9gj 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kaka yangu,na aendelee kukupa ujasiri, songa mbele, TUNAKUOMBEA,

  • @HusseinFarizal
    @HusseinFarizal 7 หลายเดือนก่อน

    makonda big up ww ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa taifa hili.
    big up mh.makonda 👍

  • @justacemutazaha
    @justacemutazaha 7 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu makondo natambua kuwa hata wewe unajitambua kua unaujasiri wa hali ya juu sana.Naomba Mungu awe mlinzi wako mkuu.Watu tupo tunaona.Hata wale wanaokubeza wanajidhihirisha kuwa hawana nia njema na watanzania.

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda njooni Kenya kaka

  • @ERNESTUTONGA
    @ERNESTUTONGA หลายเดือนก่อน

    Namkubalisana makonda

  • @hassanikihale1404
    @hassanikihale1404 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mkuu wa mkowa

  • @Aishaawadhimsloki
    @Aishaawadhimsloki 7 หลายเดือนก่อน +3

    Uchaguz unakaribia😂😂😂

    • @DonaldMakonda
      @DonaldMakonda หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde wewe na mama samia ili baadae uwe kiongozi wa nchi nzima

  • @LazaroIssack
    @LazaroIssack หลายเดือนก่อน

    Makonda nakuomba mama atakapo malixa awamu yake ya pili chukua form ya urais pls,

  • @AyoubLipuga
    @AyoubLipuga 29 วันที่ผ่านมา

    Makonda mwaamba warifuwote ukionekana tuu Wana kimbia

  • @AnnaMangula-z5e
    @AnnaMangula-z5e 3 หลายเดือนก่อน

    Rais wa kesho huyooooo🎉 14:37

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 7 หลายเดือนก่อน +2

    PAUL MAKONDA ASIPOKUWA RAIS MAMA HUYU MFANYENI WAZIRI MKUU NCHI ITATEMBEA

  • @MwaijaMtawala
    @MwaijaMtawala 7 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali kaka❤

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน

    Makondaa hii kubwa kuliko. ❤❤❤

  • @MaruzukuNasibu
    @MaruzukuNasibu 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda alwa akujalie umri mleef Niko kagera ngara

  • @FrankRwechungura
    @FrankRwechungura 7 หลายเดือนก่อน +2

    Baraza la Mawaziri naomba mnisamehe jana nimewaotea Ndoto mbaya...nmeota Mh. Paul MAKONDA amekuwa Rais wa Tanzania ila Kawatumbua mawazir mpaka mmeandamana😂😂😂

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 7 หลายเดือนก่อน

      Ni ndoto nzuri na ifike wakati wa Mungu iwe hivyo lakini umetia chumvi na chonganishi mengine umezua

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 7 หลายเดือนก่อน +4

    Watendaji wengi wa serikali hawana uwezo kwa nafasi walizopewa hii ndyo shida ya kupeana nafasi kwa kujuana uozo nchi nzima hapa makonda yupo kwenye kampeni ya uchaguzi nchii ni geresha toto hakuna uhalisia wa mambo na watanzania wengi ni mbumbu hawajui yaliyo nyuma ya pazia

    • @MagrethMallya-we8ui
      @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน

      Hakika unaona Kileo nikionacho na mimi, hongera.

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa maana hata mradi wa Maji wa Wilaya za Mwanga-Same - Korogwe .. hakuna kinachoendelea cha maana. Maneno tu bila matendo.. wote ni waovyo

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli. Tatizo wanapeana nafasi kwa kuzungatia undugu na urafiki na sio uwezo wa akili, ujasiri na uzalendo katika kutenda kazi na Weledi

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 7 หลายเดือนก่อน

      Unachekesha mafisadi mna mawazo mgando

    • @yohanakissu4819
      @yohanakissu4819 7 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe umeanza kumuona Makonda leo ndio maana unasema hivi. Kumbuka huyu alikaa Wilaya ya Kinondoni akafanya vizuri sana hadi kupandishwa mkoa, tena Dar ambapo ndio kitovu cha nchi. Napo akapasua anga hadi nchi ikapanda ki uchumi. Tija ya huyu jamaa akiwa Dar tuulize sisi wa mkoa huu. Baada ya hapo akawa kimyaaa. Alipoteuliwa ukatibu mwenezi akapasua anga tena, leo hii yupo Arusha mkoa unaanza kung'aa, sasa hiyo kampeni ya uchaguzi huko kote kamfanyia nani ili achaguliwe? Kifupi ni kwamba wewe yaseme tu mazuri ya Makonda bila kujali tofauti yenu ya ki vyama vya siasa.

  • @ADAM-m2t8o
    @ADAM-m2t8o 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ulinzi wa Mwenyezi Mungu unatosha kwako

  • @MuingwamainaMaina
    @MuingwamainaMaina หลายเดือนก่อน

    akimaliza mama muda wake akupe nchi wan̈anch wote tufaidi Satunda ya makonda

  • @skinnygypsy8629
    @skinnygypsy8629 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anachujuwa itikadi za magufulli Safi Sana,hata kuwa Rais unafaa

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akulinde

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 7 หลายเดือนก่อน

    Mweka hazina ana sauti amazing

  • @AnnaMangula-z5e
    @AnnaMangula-z5e 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @JuliusSamwel-s8v
    @JuliusSamwel-s8v 6 หลายเดือนก่อน

    Mweshimiwa makonda ilitakiwa uwe mkoa wa mara nimkoa ulio shindikana

  • @FintanMkeshi
    @FintanMkeshi หลายเดือนก่อน

    Hy kalewa na sivinginevyo

  • @raymondkaria1451
    @raymondkaria1451 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ipate tena watu kama ww kumi Mkuu wetu

  • @EliapendaMollel
    @EliapendaMollel 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee ❤

  • @AnnaMangula-z5e
    @AnnaMangula-z5e 3 หลายเดือนก่อน

    Rais wa kesho huyooooo🎉

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 7 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA--KIBOKO YAO-- We call him the guy with ANAKONDA Movement and style. HIS SIMPLY THE BEST

  • @JohnMwale-m1e
    @JohnMwale-m1e 27 วันที่ผ่านมา

    makonda wewe nikiogozi mngu akurinde sikumoja uwemunara mukuu watazania

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyi bongo noma😭😭😭😭😭😭

  • @simonjoseph1775
    @simonjoseph1775 6 หลายเดือนก่อน

    IPO SIKU MAKONDA ATAAPISHWA AMIRI JESHI MKUU .........

    • @EmmanuelMhondela
      @EmmanuelMhondela 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndo mnasababisha abadilishwe ngaz Kila mara

  • @MathiasNiwandinda
    @MathiasNiwandinda 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 7 หลายเดือนก่อน

    Njoo tengeru Makonda

  • @CharlerMinja-u6p
    @CharlerMinja-u6p หลายเดือนก่อน

    Network inasumbua sana my

  • @annajohn-ee7wn
    @annajohn-ee7wn หลายเดือนก่อน

    Samahani mweshimiwa mimi nimefukuzwa kwenyekazi kwasababu zisizo eleweka naombaunisaidie

  • @JonathanSimon-k5r
    @JonathanSimon-k5r 2 หลายเดือนก่อน

    Unaye mungu was kweli😅😅

  • @EmmanuelMhondela
    @EmmanuelMhondela 2 หลายเดือนก่อน

    Kutoka biharamro kagera tunakukubali mh, makonda kaz nzur na one day yes god have a plan special for you

  • @bonifacemuthama-pi7vs
    @bonifacemuthama-pi7vs 7 หลายเดือนก่อน

    Utafika Kenya lini?

  • @JonathanNtauta
    @JonathanNtauta 7 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi Mungu akurinde na mabaya yote atete na watesi wako hakika naomba Mungu akurinde zaidi

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wameru wakorofi

  • @ChristopherMkimaro
    @ChristopherMkimaro 7 วันที่ผ่านมา

    Uko vinzur jembe letu piga kazi

  • @zainabumohamedy6988
    @zainabumohamedy6988 6 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana makonda

  • @samsonmgosi1906
    @samsonmgosi1906 7 หลายเดือนก่อน

    Ok kazi nzuli

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน

    Our true leader

  • @Bahatisha-w7d
    @Bahatisha-w7d 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda naomba uje kenya usafishe uozo maana kenya hakuna haki kabisa tumetawaliwa na ufisadi tu

  • @HmashaAlly-m6h
    @HmashaAlly-m6h หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu jamaa Anafaa

  • @MetodWiliam
    @MetodWiliam หลายเดือนก่อน

    Komba arambeyeye

  • @NABILMOHAMMEDABDULLAH
    @NABILMOHAMMEDABDULLAH 6 หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @PeterJackson-kk3by
    @PeterJackson-kk3by 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda ulindwe kila saa

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu anakikana kuwa AUC chairman

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua 7 หลายเดือนก่อน

    RG MAKONDA WANANCHI WANA IMANI NAEW KWA USHUJAA WAKO WA DHURUMA UTATERI KWA SASA TATIZO LA JIJI LA ARUSHA NI WADUDU AMBAO WAPORA WATU SIMU NA FEDHA

  • @LothKaaya
    @LothKaaya 4 หลายเดือนก่อน

    Mamaetu Samia Hana jamaamwingine kama uyu jamani ili waitengeneze ccm inyooke uyu makonda sjui nimpe zawadi Gani sjui Hawa watu niwachache sana sana kwenye hii nchi namuomba. MUNGU sikumoja atakuweka maali pajuu kwani wafalme wa zamani yeyote alietenda haki MUNGU hakumuacha na nchi yake na watu wake MUNGU aliwabariki mnooo

  • @Salma-nl3je
    @Salma-nl3je 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sina cha kusema ila nakuombea uwe rais

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 7 หลายเดือนก่อน

    Big up ma men

  • @florinehezron4593
    @florinehezron4593 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wenyeviti wa vijiji ni mateso matupu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ccm wananchi hawaichukii. Mambo yanayofanyika

  • @EmmanuelAkyoo-bm9zb
    @EmmanuelAkyoo-bm9zb 2 หลายเดือนก่อน

    Chukua from baba ya urais au ugombee umbunge wilaya ya Meru tunakuombea unafaa Kwa wanyonge

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaiba mamilioni, hawaonekani,! Mwizi akiiba kuku jela. Hii ni kali kuliko.

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 หลายเดือนก่อน

      au anachomwa moto

  • @jamilasaid4415
    @jamilasaid4415 หลายเดือนก่อน

    MTOTO WA JPM

  • @CastoryGonda
    @CastoryGonda 2 หลายเดือนก่อน

    Natumai utakuwa raisi wa jae bahada ya mama

  • @ProgensiaMinde
    @ProgensiaMinde 6 หลายเดือนก่อน

    Heri tumbo lilokuzaa na maziwa ulionyonya