ZUCHU AMVUTA DIAMOND NYUMBANI KWAKE AHAMIA WANAISHI PAMOJA AHAMIA NA NGUO ZAKE PENZI MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @MsKania-t6y
    @MsKania-t6y 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu awajalie wafunge doa

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni uwongo watNgazaji

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 2 หลายเดือนก่อน +2

    MUONGO MMOJA UNAPENDA SANA MAMBO YA KUZINI KWANINI USIMSHAURI HUYO DIAMOND WAKO AKAMUOA UTACHOMWA MOTO HATA JIVU LAKO LISIONEKANE ACHA KUSHABIKIA ZINAA KILA TUKIKUKANYA HUSIKII BASI ENDELEA TU

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  2 หลายเดือนก่อน

      😂 daah basi naanza kumshauri diamond amuoe mapemba zuchu

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 2 หลายเดือนก่อน

      @@NDIZIMEDIA SHAURI YAKO WEWE FANYA MASIHARA PUMZI INAKUHADAA MUNGU ANAKUONA NA UYATENDAYO KAMA KWELI UNAWAPENDA WASHAURI MEMA SIO KAZI YAKO KU PROMOTE UJINGA WAO UJUE KILA WALIFANYALO NAWE UMO ACHA HIZO HABARI ZIKO NYINGI NA ZA KUFURAHISHA NA KUELIMISHA SIO KILA SIKU UNACHUMA DHAMBI ZISIZO KUHUSU

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 2 หลายเดือนก่อน

      Ww yanakuhusu nini wenyewe wanajua na maamzi ni yao ww fanya yako na wataoana tu inshaa Allah

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 2 หลายเดือนก่อน

      @@mohammadoman8963 JINA LAKO NA MANENO YAKO NI TOFAUTI NAFIKIRI UNAANGALIA SANA DUNIA KAKA HEBU DAKIKA MOJA MOJA UWE UNASIKILIZA NA MAWAIDHA YA MASHEKHE WETU NANUKUU TU TUSIPOKATAZANA SIKU MWENYEZI MUNGU AKISHUSHA GHARIKA HAITOCHAGUA NANI KAFANYA NA NANI HAKUFANYA HAKUNA MTIMILIFU NI KUKUMBUSHANA TU TUMUOGOPE MWENYEZI MUNGU PUMZI ISIKUHADAE FIKIRIA GHARIKA YA COVID SASA HOMA YA NYANI TUOMBE MAGHFIRA KWA ALLAH TUMEZIDI SANA KUMCHUKIZA ALLAH LEO UNANIONA MBAYA LAKINI IPO SIKU UTAKUMBUKA MANENO YANGU ILA HATUJACHELEWA MAHALI MWENYEZI MUNGU ANATUJAALIA PUMZI BASI TUMUOMBE MSAMAHA INSHAALLAH MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI AMEEN

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 2 หลายเดือนก่อน

    Really ok, ❤❤ so love is in the air again, Zuchu is happy again. Good
    Diamond anzisha drama tena

  • @uaeuae1871
    @uaeuae1871 2 หลายเดือนก่อน

    Zari na tanasha wote walikua ivyo ivyo 😅😅

  • @SalmaSalma-rh1jr
    @SalmaSalma-rh1jr 2 หลายเดือนก่อน

    Wapo woteznz

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani walikuwa wameachana, nyie na uongo

  • @NassimAliahmed
    @NassimAliahmed 2 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhh soyo boure ngozi mbaya amdroga diamonde hhhhh ngozi tchanfou nini😂😂😂😂

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nenda kwanza shule. Bahati ya Zuchu huwezi kuziba