Masanja na Regan hivu huwa manatukumbuka kweli tulio kuwa tunawapa lift kwenye daladala kutoka tabata matumbi hadi mwenge mi najua umenisahau lakini.lakini mi nilipokuwa konda wa daladala mwenge mikoroshini nimewapa sana lift.kwa sasa mi ni dreva wa malori ya transit ila siko powa kimaisha.naomba hata unipe trekta nipige kazi kaka
ASANTENI SANA JAMANI MAMBO MSETO KWA INTERVIEW HII, MUNGU AWABARIKI SANAAAAA
AMEN MTUMISHI WA MUNGU, KARIBU TENA
Nataka kuwa kama ww
Daah brother hii nimeipenda na imenihamashisha kwakweli wish to see you
Nimecheka kwa furaha yaani its reality unahadisia lakini unaipa vionjo natamani isiishe
Siku tukionana lazima nicheke kwanza bro
Anafanya vizuri sana multi talented man.
Nakubali sana brother.
Dah!imekea ki janja sana hiyo Mchungaji wangu fro Columbus USA
Nakupenda sana masanja mbavu zangu mimi kaai
Napenda mlivyoimba na mkeo cku ya harusi yenu.Aisee mna vipaji kwa ajabu saana.Nyie MUNGU kawabariki
hahahaha...sasa tunasubiria album...nampenda Masanja saana.Una kipaji kikubwa kakangu
Masanja na Regan hivu huwa manatukumbuka kweli tulio kuwa tunawapa lift kwenye daladala kutoka tabata matumbi hadi mwenge mi najua umenisahau lakini.lakini mi nilipokuwa konda wa daladala mwenge mikoroshini nimewapa sana lift.kwa sasa mi ni dreva wa malori ya transit ila siko powa kimaisha.naomba hata unipe trekta nipige kazi kaka
Hahaha uko vzr masanja
Wanaoangalia video na kusoma comment tujuane aisee 🥳🥳🥳🥳
Namuona Dj kapigwa na butwaa 😂😂😂
Can somebody tell masanja ....ilove you him Godly
U made me laugh jmn nkpnda bure u made ma night uwiii I like ur inspiration though
Hatarii sana
MUNGU ni mwema sana
Masanja MJINGA 😯😁😁😁😁😁😁
filbert nashon sanaaaaa🤣🤣🤣
Kama mimi nili dandia treni 🚞 2011 kutoka Dodoma hadi tabora mungu tu
MUNGU akupiganie mchungaji
Kaka sehemu wanayouza kuku kutoka mbeya kuja Dar.. Ni kisaki Sio mlimba 😀😀
Namtambua sana huyu dogo kazi yake safi
Jamani wapi full interview hii fupi sana
Dah umenikumbusha mbali" mlimba dah"
Mbona hukuja na mkeo?Ingekua safi saana
This guy is so creative
Masanja Mkandamizaji alivyopokelewa UK kwa mara ya kwanza
th-cam.com/video/pkAe_pXmyN0/w-d-xo.html
Mjombaaaaa 😂😂😂😂😂😂
hiyo ni ubaruku to dar 😂😂😂😂 sasa sikuizi ubaruku si mjini kabisa
😂😂😂😂😂Mungu ni mwema
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😶haki masanja umejua kunichekesha
Hahaha album
Interview nzuri lakini fupi
hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁😂🤣
Ahahahahahaaa.
😀😂😂🤣
😂😂😂
😂
Dah umenikumbusha mbali" mlimba dah"
Bertha Mtenga masagati