SOKA KIJIWENI: Abdallah Shaibu 'Ninja', na maajabu aliyokutana nayo kwenye soka la Marekani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2020
  • Ni mchezaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani aliyokuwa akiichezea Zlatan Ibrahimovic. Hapa amekutana na Dodi katika Soka Kijiweni, kipindi kilichoruka Jumatatu tarehe 3/2/2020 Azam Sports 2.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 32

  • @babaajnaty8629
    @babaajnaty8629 4 ปีที่แล้ว +4

    Watu wa #Darajabovu oyeeeeee kw mara y kwanz tunatajw #youtube

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +2

    Dodi lazima upewe sifa yako kipindi chako safi sana

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว +3

    Iyo ndio Zanzibar ya vipaji bana ....hakuna mpizan kwa ilo Zanzibar ni Brazil ndogo...

  • @fariduwezo9557
    @fariduwezo9557 4 ปีที่แล้ว +1

    Jangombe football for life

  • @gockoomzawa3389
    @gockoomzawa3389 4 ปีที่แล้ว +1

    Respect show nzur

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว +4

    DODI BABA LAO

  • @saidmbanga2867
    @saidmbanga2867 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji hajawahi kuniangusha

  • @johansenbashange2628
    @johansenbashange2628 4 ปีที่แล้ว +1

    LA si keshaachwa

  • @sellah4603
    @sellah4603 4 ปีที่แล้ว

    Ivi nauyo rast n shekh

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

    Amenenepa MASHALLAH

  • @filbertmatele9235
    @filbertmatele9235 2 ปีที่แล้ว

    Ninja unaujua San bro naamin IPO cku ntakua Kama ww my bro

  • @hassaothman1200
    @hassaothman1200 4 ปีที่แล้ว

    wwoooowww

  • @aryfaryfinho2164
    @aryfaryfinho2164 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmetuwakilisha vyema JANG'OMBE

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 ปีที่แล้ว

    AGASA VOET CLUB .

  • @mshiraziahmad29
    @mshiraziahmad29 4 ปีที่แล้ว

    Muyaa 😁

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 4 ปีที่แล้ว

    Mbele hakuongopi bora ulivyondoka

  • @jafarymustafa1904
    @jafarymustafa1904 4 ปีที่แล้ว

    Kelvin yondani koton hanaojiwa lini

  • @victorysingers9116
    @victorysingers9116 4 ปีที่แล้ว

    Dodi mbona hamumtafuti Yondani?

  • @Specialonejr
    @Specialonejr 4 ปีที่แล้ว

    Eti Urojo haujapashwa Moto?😅😅😅😅

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว

    mjomba umekwamia wapi mpaka umerudi tena?

  • @dawidjanowiak9228
    @dawidjanowiak9228 4 ปีที่แล้ว +1

    Musiishie Marekani tu igeni kwa Samata

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว

    Ebu nia mbie huyu mtangazaji si mzanzibar huyu mbona lefuz yake ya kizanzibar hana adabu huyu rabda amekaa bara huyu ni mzanzibar bwana mbon mpaka sura zake ni mzanzibar acha we🤣🤣🤣🤣🤣MLA urojo mwenzetu huyu

    • @soldiertz3131
      @soldiertz3131 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ni mbongo tu

    • @muslihelbarca6435
      @muslihelbarca6435 3 ปีที่แล้ว

      Ni mndengereko wa pwani huyo watu wa pwani hawajaachana sana na wazanzibar

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninja umetufumgulia dirisha Wazenji

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว

    Mtu na nusu

  • @sadatshia6776
    @sadatshia6776 4 ปีที่แล้ว +2

    Hyu mtangazaji namkubali anajua utan

  • @saidmbanga2867
    @saidmbanga2867 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hajawahi kuniangusha