SOKA KIJIWENI 28/03/2022 | Abdulaziz Makame 'Kitanta' na story zake nje ya soka
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 มี.ค. 2022
- Ni kiungo wa Namungo FC ambaye amewahi pia kuitumia Yanga SC, Abdulaziz Makame 'Bui' ambaye amekutana na Dodi kwenye Soka Kijiweni.... Makame ambaye kwa sasa anajiita 'Kitanta' amefunguka mengi ikiwemo sababu ya yeye kujiita 'Kitanta'.... kumbe jina hilo ni la rafiki yake!!!!!
Makame pia amefunguka ishu ya yeye kuonekana kuwa ni mkorofi awapo dimbani na sababu za kucheza rafu mara kwa mara. - กีฬา
Nakubali sana interview zako na bui au seif Abdallah karihe hawa watu wacheshi sana huchoki kuwaskiliza
Namkubali sana jamaa🔥🔥🔥
My idol Bui uhakikkaaaah sanaa Yani mm pia no 6 na makelele uwanjani kama yote
kaka unajuas sana sema punguza jaziba tu
Nakukubali baba mshambaa ⚽️⚽️⚽️ 4......
Akachoka kwel akachoka sana
Kweli broo unajuwa mpira ila punguza kidogo utoto
Huyu jamaaa anajua sanaaaa
Jamaa ni mcheshi sana
Watu wengi tuna vipaji lkn bahati ya kupendwa ni qadar za Mungu xo wacha tucheze tu Allah ndo anajua yaliyo moyoni mwetu
Kweli ndugu umenena,
dodi tunamtaka DEOGRATIUS JUDIKA MAFIE
Mh Chirwa amenichekesha kweli
4 and the kids were very sad when they made the effort
Kitanta 🙌😁
Obi Mikel wa Tanzania
Kiungo bui
Uyu angetuliza akil yake angefika mbali
Good man but ....
Huyo.mtoto.wakwahani.bui.havuti.bangi.lani.moshi.wabangi.ushamuingia.kichwani
Kitanta A boy
Hy na Azam cy faul
Ako kakinanda kanyimbo gani
Tatizo lake hajielewi lazima abadilike kitabia ajue jukumu lake atafika mbali sn
Hiyo Ni faulo Angalia mkono wake ndyo Ulio msukuma mchezaji wa azamu
Ladhimen alizingua san
Bui fundi wa mpira 💪
Makame is very talented but he is unlucky boy
Fund
Anaujua
Sawa kiungo ⚽️⚽️⚽️
Retee…….akachoka kwerii 😹😹
NIZAMU KWA KIJANA NI ZIRO . NA SHULE NDOGO KICHWANI . KIFUPI HAJITAMBUI
nidhamu ipo msikiti ni na makanisani huo ndio mpira bro
Haaaaah
🤣🤣🤣 mcheza rafu zakijinga ndo mana marefa na vibendera wamekariri
Mechi ya Polisi na Yanga Arusha haukucheza ww acha uwongo
Dodi unaijua vyema kaz yako baba unajua yan ni kwa weled wa juu
amenichekesha cherwa alivikuwa anashangaa
Fundi huyu wamjenge huyu hana utulivu tu
Ww na mkude akili moja ila mnajua
Tharau nyingi ndio maana hamfiki popote
Ww umefika wap
Faulu ipo ila sio ya kumfanya bui akaonekan kuwa hana nidhamu
Mleteni Saido ntibanzonkiza
Kampushi kidogo Kwa mkono😁
Bui fundi
Alimsukuma na kumgasi gasi sio lazima amvunje mtu
Kwahy kwenye mpira airuhusiwi kumgasi mchezaji mwingine?
Inshu dogo hujielewi una uzanzibari sana hasira umeziweka mbele wakati mchezo hautaki hasira
Abui alianza kumpush jamaa
BUI.ANAJISIKIA.SANAA.NDIO.TATIZOOO
Unaupiga mwingi ila unaonekana ni duli au Mr misifa.
Uyu mwamba namuelewa sema punguza jazba dogo
Mmbo mengi buy ila anajua can