SOKA KIJIWENI: Uso kwa uso na nyota wa Kagera Sugar, Awesu aizungumzia kadi nyekundu dhidi ya Yanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Timu ya Soka Kijiweni kutoka #AzamSports imefunga safari hadi Kagera kukutana na mchezaji kinara Awesu Awesu ambaye amepiga stori kibao na Jamal Abbas 'Dodi' na kubwa zaidi ni ile kadi nyekundu aliyooneshwa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la #AzamSports dhidi ya Yanga SC uliopigwa Juni 30, mwaka huu.
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 52

  • @edymaguu3036
    @edymaguu3036 4 ปีที่แล้ว +5

    Awesu awesu fundi wetuu wa kizanzibar

  • @jongochilumba447
    @jongochilumba447 4 ปีที่แล้ว +2

    Naikubari kazi yako mzee Abasi

  • @dadasim2749
    @dadasim2749 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanao wa Zanzibar Unatuwakilisha Poa AWESU

  • @leonardhamis4162
    @leonardhamis4162 4 ปีที่แล้ว +5

    Gonga like kama unakubali awesu fundi

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 4 ปีที่แล้ว +2

    Dodi upoo juu

  • @godfreymichael2445
    @godfreymichael2445 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @michaelmwanakatwe2884
    @michaelmwanakatwe2884 4 ปีที่แล้ว +2

    Interview kali sana lkn dakika ni chache but anyway awesu anajua sana ila national team inabidi awe Yuko kariakoo tu

  • @ali.o.rashid6688
    @ali.o.rashid6688 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama kuna sehemu watu wana vipaji vya mpira basi ni #Brazili na #Zanzibar

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว +1

    Bao zuri kbsa hakubahatisha halidhamiria

  • @faustinijoseph9357
    @faustinijoseph9357 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @marthalucas9377
    @marthalucas9377 4 ปีที่แล้ว +3

    Haina ubishi hiyo mechi asilimia mia mme hujumiwa

  • @clearsearch9304
    @clearsearch9304 4 ปีที่แล้ว +2

    Dodiiii fundi

  • @erickkundy5322
    @erickkundy5322 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndilo swali nililotaka kuuliza kua ni kwanini huyu mchezaji Awesu hayupo kwenye timu ya taifa ya Tanzania. Huyu mchezaji anajua mpira, ana nidhamu na anajitambua sana.

  • @harunamohamed4443
    @harunamohamed4443 4 ปีที่แล้ว +2

    Mara ya pili kwa awesu

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi yanga ila AWESU AWESU nenda simba kwenye mipango ya kueleweka utafika mbali

  • @mtakisylivanus5951
    @mtakisylivanus5951 4 ปีที่แล้ว +2

    Awesu alionewa

  • @erickkundy5322
    @erickkundy5322 4 ปีที่แล้ว +2

    Awesu ana kipaji kikubwa sana. Aende Azam. Yanga na Simba ni majina tu na upendeleo ndio maana hawana kombe lolote kubwa nje ya mipaka ya Tanzania.

  • @haggymilito2158
    @haggymilito2158 4 ปีที่แล้ว

    #madeinzanzibar#

  • @moccoboymoccoboy4769
    @moccoboymoccoboy4769 4 ปีที่แล้ว +2

    Poa kaka bado seseme iniesta atujamuona

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 7 หลายเดือนก่อน

    Hio ni clear penalty shida hamna VAR

  • @nuranzubail8134
    @nuranzubail8134 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini haitwagi national team ?

  • @muukizzy8653
    @muukizzy8653 4 ปีที่แล้ว

    Nataman unge kuja jangwan awesu awesu sikupingi miaka yote 🤝 🤝🤝 🤝🤝 🤝

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +1

    Paul Ngwai umezidi uoga.Duuu!

  • @hassansunir6565
    @hassansunir6565 4 ปีที่แล้ว +1

    fund wa soka

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣lakini tumahukulu huyu refalii maana amewabeba yanga mwisho ya siku tumekutana na simba 🤣🤣🤣🤣 si mlitaka nusu fenali

  • @daudiandrew365
    @daudiandrew365 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dogo fundiii

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 4 ปีที่แล้ว

    Dodi ilopipa lijerudi chini yaaaaani dodi kama nakuona vile unavyo jikojoleya 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarymkomwa4617
    @omarymkomwa4617 4 ปีที่แล้ว

    ....

  • @paschalantsi1613
    @paschalantsi1613 4 ปีที่แล้ว +2

    Awesu njoo yanga tunakuhitaj

  • @comicvisual8661
    @comicvisual8661 8 หลายเดือนก่อน

    Kipindi unakitendea haki mkuu

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว +1

    Wachambuzi waliichambua wakasema ilikua penat

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +1

    Awesu anahojiwa kwa mara ya pili

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 3 ปีที่แล้ว

    ndodi bukoba tu hapo begi kuuuubwa kama unaenda spain

  • @swedially4911
    @swedially4911 4 ปีที่แล้ว +2

    Host wape nafasi unaowainterview waongee, unaintervine sna maongezi yao, hatupati maudhui

  • @kabongahamisi4713
    @kabongahamisi4713 4 ปีที่แล้ว

    Dodi kama dodi

  • @elodycostantino5230
    @elodycostantino5230 4 ปีที่แล้ว

    Awesu anakitu kina mkaba anatamani kukisema anaogopa kupotea kwenye soka hii bongo bana sema ukweli wakupoteze mwendoo wauongo2

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona mtangazaji anaongea tu yeye eeeeh

  • @mathiasiborocha1209
    @mathiasiborocha1209 3 ปีที่แล้ว

    Bro Awesu tuliziya walibebwa wakakutana na 4G

  • @allywaziri479
    @allywaziri479 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona ume mrudia huyuu

  • @abdallahmwalongo6607
    @abdallahmwalongo6607 4 ปีที่แล้ว

    Mtafute Shamari Lawi aeleze amejifunza nini kuhusu kwenye sheria ya penalties

  • @gustavrweikiza2594
    @gustavrweikiza2594 4 ปีที่แล้ว

    Haha we jamaa unajua kunifrahisha

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 4 ปีที่แล้ว

    Sauti zingatia muko mbali na maiki

  • @yonakiza1471
    @yonakiza1471 4 ปีที่แล้ว

    Fundi wa mpira

  • @renatusndimubenya1324
    @renatusndimubenya1324 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji anajifanyia interview mwenyewe....umedominate mahojiano wewe 😅

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

    Dodii anaboa kwelii hampi nafasii mtu kusema kabisa haina maana hata