Kaka wa Mbwana Samatta, Mohamed Samatta yuko ndani ya SOKA KIJIWENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Mohamed Samatta, kaka wa Mbwana Samatta, mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars leo amekamatika katika kijiwe chake na Jamal Abbas a.k.a Dodi. Nani ana KIPAJI KIKUBWA kati ya ndugu hawa. Fuatilia

ความคิดเห็น • 22

  • @mbwanalau57
    @mbwanalau57 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana mdogowangu
    Wambie kuwa hatuwezifanana
    Katika maisha na tungefanana
    Basi tunge uwana
    Kwamimi namshukuru mungu sana kutu weka tofauti nandiomana mpaka unatuona hapa mungu ashukuliwe sana

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mtaa wetu uitwe SAMATTA STREET

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 6 ปีที่แล้ว +3

    Hapo sawa

  • @abdelehmanmwenda7811
    @abdelehmanmwenda7811 6 ปีที่แล้ว +2

    kipindii chako nii kizuri Sana'a Ila naomba humuoji fundii wangu Hassan keesy Ramadhaniii!!!!

  • @mwamba-tv6821
    @mwamba-tv6821 6 ปีที่แล้ว +1

    good Sana kijiweni

  • @mountcholo7039
    @mountcholo7039 6 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ndugu zake sura zimefanana

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 ปีที่แล้ว +8

    Dodi Abbas nagurupu lako mulikua muweke heshima wakati muadhini ana adhini,mukae kimya mpaka amalize

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      nkjua kuna aya yasemea mambo yenye udhuru kama hiyo

  • @ghls7611
    @ghls7611 6 ปีที่แล้ว +5

    Bongo ubinafsi wangekuwa watoto wao wange andika street na sanamu wangeweka,lakini mungu kawalani watoto wao hawajui lolote.

    • @ibmsingers
      @ibmsingers 6 ปีที่แล้ว

      Huyu Jamaa ni Fundi Sana

    • @mizumo6935
      @mizumo6935 6 ปีที่แล้ว

      Sikukubali Ata kidogo

  • @muhammedkhamis416
    @muhammedkhamis416 6 ปีที่แล้ว +2

    Iyo nembo anaeka akitaka ata jina unaandikisha ukitaka

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

    mbunge hatar saafi sana

  • @kalebuqulla1721
    @kalebuqulla1721 6 ปีที่แล้ว +3

    ebu mtokezee na fundi wang okwiiii

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 ปีที่แล้ว

    mafundi wpo mbagara kuna m2 alikuwa anaitwa six bet daa sjui yupo wp

    • @erickhaule8680
      @erickhaule8680 6 ปีที่แล้ว

      Kiluwa Salum six yule jamaa wa majimaji tz prisons au

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 ปีที่แล้ว +1

    aaah fenture Fundi wa mpira pare. kati alt mwanao wasso hapa naona upo na Loja isiaka au upepo daa atl wangu

  • @stn4873
    @stn4873 5 ปีที่แล้ว

    Muddy ni fundi sana kuliko mbwana....mbwana kafanikiwa tu.

    • @twalibuiddy1889
      @twalibuiddy1889 5 ปีที่แล้ว

      wewe kumbehuju vichwa vya kuku vinapatikana zaidi matejoo eso unga lmt pamoja na mbauda. arushaaaasasass