MWANAMKE KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU KUOLEWA NA MWANAUME MWENYE UMRI MKUBWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @rebekadorothy6625
    @rebekadorothy6625  7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana .🙏🙏🙏

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante, pole sana kwauliyo yapitia mwanamme kama huyo hamuwezi kudumu.

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      Mwanatz Asante sana. Hapo ilikuwa enzi za ujana my dear lazima upitiye misukosuko kabla hujampata mtu sahihi. Namshukuru Mungu nipo kwenye mikono salama.

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

      @@rebekadorothy6625 pole Sana wengi wako ivyo Ila tunashindwa jinsi ya kutoka maana tuna watoto,age nayo ni shida,

  • @paulbruce2668
    @paulbruce2668 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli nafatilia video zako Sana kazi nzuri

  • @khadijahbanana5602
    @khadijahbanana5602 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri mate

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      Khadijah Banana Asante sana class mate wangu.🙏🙏🙏

  • @JeniferJunior-qi3le
    @JeniferJunior-qi3le 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nataman niolewe na mwanaume alienizd Ila simpat jaman so ongera dada

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว

    Kwa iyo now umeolewa na mzungu dada hope so

  • @HappyBosco-ly4et
    @HappyBosco-ly4et ปีที่แล้ว +1

    Naomba no zako dada

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  ปีที่แล้ว

      @happybosco-ly4et nitafute Facebook sitting number yangu ya simu kwa mtu yoyote yule

  • @magrethpeter1918
    @magrethpeter1918 2 ปีที่แล้ว +1

    Bora nimejuwa dada

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      Magreth Peter Asante sana na karibu tujifunze.

  • @ocenathrkalwans6545
    @ocenathrkalwans6545 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada Rebeka mbona history yako ni kama yangu? Na chukua sana wanaume weusi

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 ปีที่แล้ว

    Aise mm naishi nae yupo hivo ananisema nnje hadi kwandugu zangu analalamika Sana kila kosa ataliwedogo kesi ila Mimi haniambii kosa linalomsumbua anacheka namm vizur kumbe kabla yakunipigia cm Alisha wapigia ndugu zangu kuwambia makosa yangu Ila mm anacheka vizur na mm ndugu zangu wanapiga cm wananiambia umemkosea mumeo hapa mbona niponae tunapiga story wana niambia yote aliosema wananiambia usiseme alituambia tusikuambie kitu hatanguo nikivaa vizuri anakataa anataka nivae dera nakua mmama nikivaa dera wakati anadai nimenenepa Sana nimezeheka naonekana mkubwa kwake sasa navaanguo iliniendane nae hataki anataka nivae dera yani haeleweki ananipenda au hanipendi kwakua nimnafiki tunalingana umri alificha umri wake kumbe tunalingana sasa kwavisa vyote naumalaya wake sasa namchukia Sana natamani nitoke Ila sinapakwenda marafiki zake wakawa hawanipendi eti mm nimkubwa mambo mengi siwezi kuyamaliza wakati tunalingana na huwez kujua kwani sote niwanene anataka niludi kua mwembamba wati siwez kurudi kule nimesha zaa mwaume mdogo sio mzuri kabisa niher awemkubwa kwako hawezikuona aibu yakutembea barabaran naww

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว

    Daaah yani me sina hata cha kusema yani aagh haya mahusiano na wabongo yamenifika happppaaaaaa🤮

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba nisaidie namba yako Dada yangu kipenzi

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      My Queen Tafadhali naomba unitafute facebook or Instagram. huko unaweza nitumia messege niytakujibu.Asante

    • @linluxe101
      @linluxe101 2 ปีที่แล้ว

      Nitakutafuta piaa

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepotia kwenye izo changamoto.ndio maana naitaji mchumba mtu mzima. Yan mbaba sio kijana.

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  3 ปีที่แล้ว +1

      Thumna Thumna Pole sana ila cha kwanza lazima umshirikishe mungu kwa kila jambo lako unalopia liwe zuri au baya lazima umuombe mungu.

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rebekadorothy6625 nimesikiliza changamoto zako, ila mi zakwangu nimekupita bila breki tena kwa mwendo kasi mnoi😀😀😀

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  3 ปีที่แล้ว +1

      @@thumnathumna5946 hahaaaaa umenichekesha kweli. pole my dear

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

      @@rebekadorothy6625 😀😀😀😀Asante ndio dunia. Bado napambana na ali yangu. Nimekubali matokeo.

  • @HappyBosco-ly4et
    @HappyBosco-ly4et ปีที่แล้ว +1

    Mimi nataka mtu ambaye yupo serious ila awe mzungu

  • @Joshua-n5l
    @Joshua-n5l ปีที่แล้ว

    Siwez kulipa kwa nnjia ya sim kawaida mpaka nilipe kwa kadi

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  ปีที่แล้ว

      @User-ld1fq9dd5a hiyo siyo website yangu so malipo waliyoyaweka ndiyo wanataka walipwe hivyo kama Huna card huwezi kulipa. Hizo dating websites ni za nje sasa wanapokeaje malipo ya simu?

  • @ocenathrkalwans6545
    @ocenathrkalwans6545 2 ปีที่แล้ว

    Nimeachana na uyo jamaa nikiwa na machungu na kumwacha mtoto wangu akiwa mdogo niliondoka bira kisha na kwenda Dubai mpaka sasa nipo dubai

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mamie, Mwenyezi mungu akuongoze na kukuonyesha njia iliyo sahihi ktk maisha yako.

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtu km uyo dada yy ndie anakuwaga mfanya maovu kwahy uwa unajihami kwamba na ww unafanya ayo

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว +1

      Maryam Contantine Huwa inakuwa hivyo. Mwanaume mwenye hizi tabia huwa yeye ndiyo anafanya hivyo kwa kufikiria kila mtu anatabia kama yake.

  • @ocenathrkalwans6545
    @ocenathrkalwans6545 2 ปีที่แล้ว

    My dear yote ulio ongea ndio niliyo yapitia kwenye ndoa yangu niliyo achana nayo

    • @rebekadorothy6625
      @rebekadorothy6625  2 ปีที่แล้ว

      Ocenathr Kalwans Pole sana my dear. Mwenyezi Mungu Akuongoze upate mtu sahihi kwenye maisha yako.