Mahojiano na Mshindi wa Green Card Lottery Mtanzania
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...
Vizuri Sana
Congratulations for the advice you have given our brother
Watching from Nairobi .....kazi safi..
Hongera Sana kaka, EBM big up bro 🎉yah, mm naomba favour ndugu yetu ,nahisi ni wengi wetu tunatamani kujua from day one WHEN SOMEONE IS SELECTED Na kujaza DS - 260 , malipo ya green card kwa hapa Tz inakuwa kiasi gani, vipimo vya afya na chanjo ,malipo ya VISA ,nauli kwenda Usa according to season approximately, hivyo tu Kaka tupate mdokezo aise kwamba tuwe na maokoto around how much coz kule kuna mambo ya mortgage and other bills. Ahsante 🎉
Congratulations brother
Jambo sijuwi kucheza naweza pata maelezo vipi niko congo
habari mkuu mfano mtu amenyimwa visa mara mbili kwa ajili ya kwenda kusoma, kwa situation kama hiyo inaweza kumuathiri katika kuomba na kushinda Green card lottery?
asante
Je, mtu akishinda anaweza kukutafuta kwa ajili ya kupata host marekani na kusaidia katika transition kutoka inchi aliyo hadi marekani?
Uliongea kuhusu pcha wakat wa kujaza fom je ni pcha gan ambayo inahtaji tofaut na hz za passport tulizozizoea
Hongera. Ninaswali wengine wanasema kama ukiwa single ni vigumu kuchaguliwa je ni kweli? Swali la pili kama awukusoma secondary n'a hawuna expérience ya kazi hâta moja. Je unaweza kusajiliwa?
Kuna uwezekano wakunyimwa visa after kuwin green card
Fb anatumia jina gn huyu mwamba kwa anaejua account yake
Unaweza ukashinda alafu usiende Kwa kipindi hicho ukaja kwenda mbeleni??
Hapana
Pia naona haya ni mahojiano yaliyofanyika mwaka 2001 nini?@@grace101
@@grace101 nigee namba yako tuwasiliane
Hungera sana ndugu ila naomba kuuliza swali maana naimani niwatu wengi wanaitaji kujuwa ni je kwa wale ambao hawana Elim wameishia daresa la 7 alafu pia kazi walizonazo nizile wameo jiajili was wenyewe sio za Kampani wala taasisi yoyote je Hao watu wanamna hoyo wananafasi kweli au
Kaka mfano nimeshinda green card alafu mda uo sijajipanga kwenda huko iyo inakaaje
Umeskiliza lkn ww
❤🇧🇮
Kama mtu ana nauli yakwenda. inakuaje
Ana au hana?
Ukishinda nauli utapata tuu, niamini mimi😂
Sisi tupo kigoma kagera ujiji tunahitaji kuja dareslaam kuomba Green Card lotery na pia kuomba kuonana na wewe
Congratulations for the advice you give to our brother