MADAM FLORA: "NINA WATOTO WENGI / WAMETOKA KWENYE TUMBO LANGU" | REFRESH...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 ปีที่แล้ว +5

    Sitaki kutoa commenti nyingi utoe album hata usipotoa maneno yako na unachofanya powa kabisa hongera sana.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +2

    Sawaa

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 2 ปีที่แล้ว +2

    Waimbaji Mungu awasaidie sana hamjawa mfano mzuri ktk ndoa zenu na wimbi hili limekuwa kubwa sana,mmetuvunja moyo hata kusikiliza nyimbo 🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @josephinenyangi9484
      @josephinenyangi9484 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani wao so binadamu usiwahukumu

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 2 ปีที่แล้ว +1

      Vyakung'ang'ania ndoa wakat unapata shida eti kisa ww ni muimbaji sijui jamii itakuonanye ndio unakufa kama yule wa nigeria aloimba ekueme

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 ปีที่แล้ว

      Hivi wewe mdada unajitambua kweli?wangapi wanaong'ang'ania kwenye ndoa and then wanapigwa mpaka kuuliwa? Usipende kufatilia maisha ya MTU kwani msanii wa nyimbo za injili hana moyo? Usiposikiliza wew nyimbo zako wengi wanasikiliza kuacha kwako hakuwezi kuathiri wengine aibu yakwako wew huna jipya

    • @bellabakera
      @bellabakera 2 ปีที่แล้ว +1

      Unataka wafie kwenye ndoa kama rafiki yao wa Nigeria.

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 ปีที่แล้ว

      @@bellabakera afazal Bella umemjibu kaniuzi sana huyo anaesema et waimbaj hawajawa mfano mzuri kwani yeye mtakatifu?ama mumewe anae yeye tu na ajueje kama anajiamin

  • @aileenlema8103
    @aileenlema8103 2 ปีที่แล้ว +2

    Madam Flora naomba uwafunde hao wasanii ambao kila kukicha wanapost ujinga mitandaoni,wajifunze kutoka kwako

  • @christinangimba4062
    @christinangimba4062 2 ปีที่แล้ว

    tuwasiliane madamu!!!!!

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 2 ปีที่แล้ว +1

    🙂🙂🙂

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee

  • @rafikingango
    @rafikingango 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni Baraka sana 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🙏🙏👉🏼👉🏼👉🏼
    th-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/w-d-xo.html