EXCLUSIVE: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA BAADA YA HARUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
  • Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni mwa April 2017.
    Baada ya kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muungano mpya wa wawili hao, Daud amekaa kwenye AyoTV na kuzungumza Exclusive.

ความคิดเห็น • 432

  • @saladaniel907
    @saladaniel907 7 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hizi ndoa zina mambo mengi sana kwenye huko ndani, watu wengi wanateseka kwny ndoa zao ila wengi wanaogopa kufanya maamuzi magumu kwa kuogopa watu, naamini flora ni mwanamke shupavu , jasiri, big up mumy songa mbele na usirudi nyuma

  • @laini120
    @laini120 7 ปีที่แล้ว +2

    umesema vizuri ndugu Daudi, kujulikana katika ulimwengu wa roho ndo muhimu kuliko katika ulimwengu huu. katika jambo kama hili, wausika pekee ndo wanaujua ukweli pamoja na Mungu baba. media sio ya kufuata.

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 ปีที่แล้ว +62

    🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈🙈🙈Daudi Daudiiiiiiiiii biblia Unasoma Au Unasomewa??????? Nimeuliza2 🙆

    • @wemambaga3384
      @wemambaga3384 7 ปีที่แล้ว +3

      hata kujieleza hajui

    • @bugumbaharrison3063
      @bugumbaharrison3063 7 ปีที่แล้ว +1

      Fetilishaz Omar anasomewa huyo

    • @rahmaanderson2621
      @rahmaanderson2621 7 ปีที่แล้ว +1

      Fetilishaz Omar 😂😂😂nimecheka sana swal zur sana

    • @racheljaphetic9260
      @racheljaphetic9260 7 ปีที่แล้ว +2

      Bugumba Harrison 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 7 ปีที่แล้ว +2

      Fetilishaz Omar Umenimaliza. Anasomewa huyu ni wale wa Amen.😂😂😂

  • @rashididaudi4516
    @rashididaudi4516 7 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana kaka kamtunze uyo tena mkamate kwelikweli ajute kwann alichelewa kuwa nawe safiiiiiiii

  • @minleon8606
    @minleon8606 7 ปีที่แล้ว +1

    Hongera tena sana Bi Flora na Daudi.....shabik wako mkubwa kutoka kenya (my name sake Florence)

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 7 ปีที่แล้ว +15

    hongera sna frola na mungu ndo shaidi wa kila jambo na yeye kila sku yupo kwenye mambo ndoa njema na kila heri

  • @dvjtwentyfivedecember4398
    @dvjtwentyfivedecember4398 7 ปีที่แล้ว +5

    pole sana, akitoka kwako, ataenda kwa mwingine

  • @ntuligwamwasongwe5684
    @ntuligwamwasongwe5684 7 ปีที่แล้ว +10

    haaaa kumbe kunakulisit harusi makubwa, hizi madhabahu sasa zimekuwa uwanja Wa kuchezea mpira jamani Mungu atusaidie

  • @lightnessjoseph5608
    @lightnessjoseph5608 5 ปีที่แล้ว +3

    Wadamu mna mambo ivi nyie hamna makosa. Hamjui yaliyomkuta kazi midomo.tuuu Frola mtumishi wa Mungu songa mbele

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 3 ปีที่แล้ว

    Najulikana ulimwengu wa roho km. Umeskia maneno haya gonga like hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu Mungu jmn tunamchukuliaje?

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 ปีที่แล้ว

    Mbona wanafanana na Mbasha? du!! Dada hongera sana unajua kuchagua

  • @lenathakichonko4587
    @lenathakichonko4587 7 ปีที่แล้ว +2

    flora yupo sahihi Jaman mbona wanaume wanaacha ndoa zao nawanaenda kuoa nawanafunga ndoa misioni ajabu amefanya lamaana Sana

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +28

    hongera daudi maneno ya watu yasikupe shida watasema watachoka mwisho watakoroma achana nao

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 ปีที่แล้ว

      Zaudat Makula mdmg mmmmmmmm

    • @johnmhoja6878
      @johnmhoja6878 7 ปีที่แล้ว +5

      pole daudi kwa kuoa chakudoa

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +3

      john mhoja muogope mola wako jamani

    • @edgerchikondochikondo4990
      @edgerchikondochikondo4990 7 ปีที่แล้ว

      ahahahahahha wozaaa

    • @kibasiwakibasi5070
      @kibasiwakibasi5070 7 ปีที่แล้ว +1

      Zaudat Makula we we nawe ni walewala tu bila shaka umewahi kuachika, unatarajia kufunga ndoa ya pili linii?

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 ปีที่แล้ว +16

    Mzee we jitwalie kimwana mambo mengine baadaye maake ukifuatilia sana mambo ya watu utakuta hata mimi hapa niliye comment hapa ninayo makubwa lkn hayaonekani

  • @stanfordwiliam239
    @stanfordwiliam239 7 ปีที่แล้ว +11

    Hauna Haya kijana, mmeliaibisha Kanisa la Mungu wewe na huyo maadam wako.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 4 หลายเดือนก่อน

    Nilitamani sana flora angelitatua matatizo na mbasha. Naamini mungu angeliponya ndoa yake. Mimi ni mtu mzima. Nilizipenda sana nyimbo za flora za kule nyuma na hata sasa alipokuwa akiwafariji wana ndoa kutokukata tamaa. ( song; Wakati wawili wanapo oana wao ni sawa na mito miwilii ...)Nyimbo zimejaa busara, uvumilivu na upendo. Sasa yeye alipoacha kufuata kile alichokiamini na kuiokoa ndoa yake hapo binafsi niliumia sana. Nilitamani sana nikae chini na flora. But Havent got a chance. Ila ninamtakia flora maisha mema na mumewe mpya. Kuwa mke bora na mvumilivu. Endelea kumwimbia Bwana

  • @evelynodhiambo2818
    @evelynodhiambo2818 7 ปีที่แล้ว +1

    he is very mature n intelligent l like him

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 7 ปีที่แล้ว

    akuna cha hongera hapo ni upuuzi mtupu mungu anawaona

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 7 ปีที่แล้ว +17

    nafkiri ulitakiwa umshauri arudi kwene ndoa yake na sio ulivyofanya..
    Mbasha anasema ana amani na wewe ila jua kama umechangia kuvunjika kwa ndoa
    tegemea uharibifu

    • @annyemashi5143
      @annyemashi5143 7 ปีที่แล้ว

      Joel Justin Mhavile point kabisa

    • @msengimsengi5507
      @msengimsengi5507 7 ปีที่แล้ว

      pia JAMAAA anasema anaelewa saikolojia,kama anaelewa kwann asimshauri atulie kwenye kwenye ndoa

    • @marysteven605
      @marysteven605 4 ปีที่แล้ว

      Haribika mwenyewe,unalaan kama ww umekamilika,au ulichangia mateso kwenye ndoa yake ya Kwanza,

  • @nargisabbas6454
    @nargisabbas6454 7 ปีที่แล้ว +7

    maisha mema kaka mungu awatangulie

  • @rosekhamis3511
    @rosekhamis3511 4 ปีที่แล้ว

    Upuuuuuziiiii, wacheni kulitukanisha jina la Bwana.

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 ปีที่แล้ว +11

    Wooowww i feel jealous wht a lovely couple on 🌍 love uuuuuuu. I wish Y'all the best.

  • @emmamwingizi4407
    @emmamwingizi4407 7 ปีที่แล้ว

    wow am amazed.! Kama mkristo wakristo wenzio watasema tu kuoa na kuachana mmh! Tena kwa mtumishi wa Mungu mmh ! Of course watu watasema na ni haki yao kusema! Kama mume wake alikosea na kuomba msamaha alistahili kusamehewa ndio ukristo. Usiposamehe Mungu naye hatakusamehe wewe makosa yako, hakuna aliye mkamilfu jamani anajuaje huyo mume mpya kama naye hatachepuka? Mungu aepushie mbali ataacha wangapi? Tukumbuke kila apandacho mtu ndicho atakacho vuna, na Mungu ni hakimu wa haki hapewi rushwa yeye.

  • @heaventvonline6791
    @heaventvonline6791 7 ปีที่แล้ว +1

    wat a lovely song. jamanii...

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +1

    what you plant is what you will Harvest one day bro una laana Mbeli ZA mungu

  • @poulwisdom8455
    @poulwisdom8455 5 ปีที่แล้ว +3

    umeoa mke wa Mtu pole

  • @mariamshaib2965
    @mariamshaib2965 7 ปีที่แล้ว +2

    acheni majungu Mwachien Mungu ndo anaejua.

  • @eunicemmcheleeunicemmchele4285
    @eunicemmcheleeunicemmchele4285 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sio mipango ya mungu unamsingizia mungu hawezi kuvunja ndoa, na kumwacha m2 mwingine anaumia, huo ni ubatili mtupu

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 7 ปีที่แล้ว +10

    hongeren mkaish kwa Amani

  • @saidipembe9341
    @saidipembe9341 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana Daud

  • @geofreysengi3666
    @geofreysengi3666 7 ปีที่แล้ว +11

    Nyakati hizi za mwisho tutajionea mengi

    • @happymsaki1720
      @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว +1

      Sio kidogo Ila kila unachopanda ndicho atakachovuna flora

    • @alfredlimu308
      @alfredlimu308 5 ปีที่แล้ว +1

      Na madhabahu zimevamiwa pia

  • @tummash1744
    @tummash1744 7 ปีที่แล้ว +3

    Flora wajua kuchagua vyembamba waziiii!😁😁

  • @suzanambaigwaakuinuemungua7069
    @suzanambaigwaakuinuemungua7069 7 ปีที่แล้ว

    umetuabisha vzr hongera

  • @zurisana8068
    @zurisana8068 7 ปีที่แล้ว +1

    he is cute and handsome.Congrats to the bride and groom.

  • @janieanthony4821
    @janieanthony4821 7 ปีที่แล้ว +10

    Hakimu ni Mungu anyway, wengne tunaongea tu!

  • @eliamanigolitagolitamsengi9348
    @eliamanigolitagolitamsengi9348 7 ปีที่แล้ว +2

    Hilo gari ni Second Hand na unajivunia. Umesoma saikolojia Chuo gani ndugu? Kama alishindwa kukaa na Emanuel Mbasha hata kwako atashindwa.

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 7 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaa kila m2 atabeba mzigo wake mwenyewe muwaache waowane💑💑💑

  • @chachakorosso9410
    @chachakorosso9410 7 ปีที่แล้ว +1

    congrats all is about God wishes

  • @aminanzeyimana3676
    @aminanzeyimana3676 7 ปีที่แล้ว +2

    watu mjiulize hivi flora mpaka kumwacha yule handsome kuna nini pana neno hapo pia mapenzi hayana umri

  • @paulosadoi8309
    @paulosadoi8309 7 ปีที่แล้ว +14

    hiyo ni mipango ya ibilisi

    • @alfredlimu308
      @alfredlimu308 5 ปีที่แล้ว

      Ni kanisa gani jamani tujue

  • @ayoubmwalyawa2824
    @ayoubmwalyawa2824 7 ปีที่แล้ว +3

    hiyo ndoa ya kuzimu tu

  • @sophybenedict5706
    @sophybenedict5706 7 ปีที่แล้ว +1

    hapa mi ndo sijaelewa......kwani Kuna kufunga ndoa tena baada ya kufunga na uliyefunga nae ni mzima yaani hajafa? watumishi wa Mungu ufafanuzi pliz I'm shocked with this .......wapi talaka ya alalishwa? .....mmmmmmmmmh!.... God help usv

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 ปีที่แล้ว +2

    Ivi hii inakubalika kweli🙋🏻....

  • @agnesslyatuu993
    @agnesslyatuu993 7 ปีที่แล้ว

    hongera dada Flora na Daudi siri ya ndoa wanaijua wana ndoa.

  • @gomangomangoma7397
    @gomangomangoma7397 7 ปีที่แล้ว

    Hey where is this place, !? ,uuuu I like the Rock, ,, it's beautiful, ,,, ;

  • @josephinemlay626
    @josephinemlay626 7 ปีที่แล้ว +3

    nimependa tu nyimbo

  • @paschalmkutho4635
    @paschalmkutho4635 7 ปีที่แล้ว

    mmmmmmnh!!! Mungu atusaidie sana.

  • @lydiahbhoke2284
    @lydiahbhoke2284 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anajua nani aliyesababisha heshima ya agano hili kufa let God judge them

  • @stellakissinga3857
    @stellakissinga3857 7 ปีที่แล้ว

    asee this guy.....

  • @oscamahanga7825
    @oscamahanga7825 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani Sisi binadamu sio mungu kazi yetu kubariki watu ikiwa ni la mungu litabarikiwa ikiwa sio mungu mwenyee hatalikubali kwa kuwa kinyume cha baraka nilaan

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 7 ปีที่แล้ว +2

    furaha ya moyo na amani ya moyo ndio vinavyohitajika mungu awabariki Insh'Allah 🙏🙏🙏

  • @mariethaawaki3008
    @mariethaawaki3008 7 ปีที่แล้ว

    mkizingatia hayo ninauhakika mtaishi kwa amani na nafsi yangu inashuhudia hivyo.ila tahadhari kwa wanawake waliotengana,tafadhalini msipende kuwa wa kwanza wala wa mwisho kukimbilia kuolewa kwa sababu yoyote ile hasa kama una watoto,hii ni kwa sababu maisha yanaweza kuendelea na ukashirikiana a wanaume wenye tabia njema na maisha ya kasonga bila kuathiri utu wako cha msingi ni sara ,maombi ya mara kwa mara ya kufunga,mazoezi, tafakari za kina na kazi tu ndivyo vinavyoweza kukusaidia kukupa amani na siyo mwanaume kwa tafsiri hiyo mnayodhani lengo ni kulinda mstakabali mwema wa watoto kitabia na kimaono.

  • @mercymichael799
    @mercymichael799 7 ปีที่แล้ว +3

    Hata yesu alivyokuja dunian awakumkubali wote usiogope maneno ya watu songa mvele

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna mpango wa Mungu hapo, Mungu hadhihakiwi japo sisi hatukupewa kuhukumu, msihalalishe madudu yenu kwa Neno la Mungu, hiyo ni mipango yenu ninyi.

  • @abbyshayoi5929
    @abbyshayoi5929 7 ปีที่แล้ว

    ongela sana mungu amekupa ubavu wakweli mungu akujalie

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว

    ni uchungu sana bro

  • @benjaminikaminsa8526
    @benjaminikaminsa8526 5 ปีที่แล้ว

    Yan huna hata aibu, et mtumishi wa Mungu! unaoaje mke m2'! kweny ulimweng wa roho hyo ni bado mke wa mbasha, kwasabab ashalipiwa mahar hyo!

  • @nancycherotich9381
    @nancycherotich9381 6 ปีที่แล้ว

    Jina ya wimbo please

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว

    Nice song!

  • @josephmongi5756
    @josephmongi5756 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha ukumbafu wewe Huyo ni mke wa Mbasha hata mbingu zinajua tena walokole mmepoteza dira sana

  • @WapendaSoka
    @WapendaSoka 7 ปีที่แล้ว +2

    BROTHER you're in love so dont talk much as if the whole world is upon you
    just pray ndoa yenu idumu mana naona changamoto ya Umri kama kitu kikubwa sna kwenye mahusiano

    • @linahcharles3981
      @linahcharles3981 3 ปีที่แล้ว

      Mmmh kijana anakaa mdogo kushinda madam

  • @musibra6645
    @musibra6645 7 ปีที่แล้ว +12

    Hivi hawa kinadaudi wana nini????
    jmn tukibarikiwa watoto tue waangalifu ktk kutoa jina.
    I think huu ni msimo wakina Daudi .............

  • @kingyehoshafatitvbornerys2496
    @kingyehoshafatitvbornerys2496 6 ปีที่แล้ว +1

    Hata uyo pasta a.k.a Tambi msenge tu na anakibarua cha kujibu kwa Mungu

  • @gladnesslevy3158
    @gladnesslevy3158 7 ปีที่แล้ว +4

    Yetu 👀👀

  • @lightnessgodfrey7843
    @lightnessgodfrey7843 6 ปีที่แล้ว +1

    Big up madam. I appreciate you. One love Daima.

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 ปีที่แล้ว +19

    Mungu ndio hakimu nakila mtu atabebe mzigo wake

  • @fotinata7181
    @fotinata7181 7 ปีที่แล้ว +3

    Ila inataka moyo unaweza kuzimia kk mbasha mungu akupe uvumilivu

    • @jacobmakono389
      @jacobmakono389 6 ปีที่แล้ว

      mbasha usihofu!jeuri ya huyo mke Mungu ataikomesha!

  • @erastojoackim4195
    @erastojoackim4195 7 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni uzinzi, Mnadhalilisha imani ya kikristo.

  • @anethphilipo8855
    @anethphilipo8855 7 ปีที่แล้ว

    Dah hii kali ya mwaka na ujinga umo kweli na mwanaume atakuwa ana pepo

  • @salomemattanga7633
    @salomemattanga7633 7 ปีที่แล้ว +2

    Jamani watu wa Mungu tujuzane hivi ndio iliyofungwa kanisani inaweza kutenguliwa mahakamani? wakati Mume au mke bado yupo duniani?

    • @jacobmakono389
      @jacobmakono389 6 ปีที่แล้ว +1

      ...watakiona cha mtema Kuni!

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 ปีที่แล้ว +1

    Yeeaap
    ndio maana huwa Wanajiita WASANII wa Nyimbo za INJILI

  • @geofreymose659
    @geofreymose659 7 ปีที่แล้ว

    kwa mkristu ndoa ni moja tu na hakuna talaka, huyo aliapa kwa mungu wake kuwa atampenda mbasha ktk shida na raha.. leo yko kwako kesho kwa mwingine.

  • @rispahongare9587
    @rispahongare9587 7 ปีที่แล้ว +1

    KIJANA DAUDI UMEMUOA MKE WA MWANAUME MWINGINE. MUNGU ANACHUKIA TALAKA.NAYE HATA WAKATI ANAPOIMBA AJUE KUWA SHE IS AN ADULTROUS WOMAN.FLORA UMEPOTEA MUNGU WETU NI MUNGU WA MSAMAHA.KUKAA KWENYE HUDUMA MUDA MREFU SIO KUKOMA KIROHO.OKOKENI.

    • @johnignas179
      @johnignas179 5 ปีที่แล้ว

      Kweli hawajaokoka ni mawakala wa shetani waliokoka hawapoivyo

  • @saraharon8301
    @saraharon8301 6 ปีที่แล้ว +1

    Frola ucjal Maneno ya watu dumisha upendo na amani ktk ndoa yako.

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 7 ปีที่แล้ว

    John muhoja mwongope mungu kila mtuu ana matatizo yake na kila mtuu siri yake mwenyewe hujui mpaka kufikia ivyo

  • @angelalphonce2962
    @angelalphonce2962 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mtu aluwaza Sana akasemahataYuda tunaweza mkuta Mbinguni . Kwahyo Kuna Mambo mengine niyakutazana tuu Mungu ndie ajuae

  • @stewartmillanzi1596
    @stewartmillanzi1596 6 ปีที่แล้ว +1

    I really don't understand some Christians...it's driving me nuts.

  • @restadiusdaniel6238
    @restadiusdaniel6238 7 ปีที่แล้ว

    Usioe mke wa mtu bali uwapatanishe ili Mungu akuinue na ainuliwe kwao kupitia kwako, ya Mungu mengi...........................kama ni kusudi la MUNGU waoane tu ............maana hakuna NAMNA.

  • @josephkisembe6663
    @josephkisembe6663 7 ปีที่แล้ว +4

    Maisha ya ndoa n magum sana jiulize kwann mwenzio aliachwa.

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 7 ปีที่แล้ว

    Mbona Bi Flora Wambemenda Dogo Huyo DAMN.

  • @nchambinzugwa9367
    @nchambinzugwa9367 7 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona

  • @emanuellyamuya6635
    @emanuellyamuya6635 7 ปีที่แล้ว +1

    no woman no cry..... hatupaswi muuliza mungu kwann alitoa ubavu utaotutesa wenyewe....ila ishini nao kwa akili.

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 ปีที่แล้ว +1

      Emanuel Lyamuya Kikristo ndoa inatenguliwa na mahakama sababu hata cheti chenyewe kimeandikwa Kiserikali na si Kikanisa tafuta cheti uone maajabu

    • @Da_Gee
      @Da_Gee 4 ปีที่แล้ว

      @@marygaspar6429 Mary Gasper , watu wanabwabwaja tu.... Hata hawajui wachoongea kufuata mkumbo tu.
      Kwenye biblia kuna harusi ilifungiwa kanisani ipi???
      Talaka inaruhusiwa tu kwa uasherati, eti aliomba msamaha hivi mnajua hata Mungu amekataa na kulaani incest?
      MTU anambaka mdogo wako, unamsamehe na mnaendelea na ndoa, yeye Flora hana moyo ana plastic eee, msome biblia vizuri talaka inaruhusiwa tu....
      Kwa uasherati kwa wanandoa, hivyo flora ana haki zote kuolewa tena.
      Endeleeni kubwabwaja, wenzenu ndo hao zaidi ya miaka mitatu sasa.....🤩🤩🤩

  • @inyanjebetty2536
    @inyanjebetty2536 7 ปีที่แล้ว

    dada flo naomba uniambie aliye imba ,huo wimbo,,, furaha ya moyo wangu,,,unaniguza niambie tafadhali barikiwa

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 5 ปีที่แล้ว

    Kijana umeoa mtumba ! mtumba wa Africa ! wajua mtuma wa ulaya angaa una nafuu lakini mtumba wa kiafrica !!!

  • @hollynessgoldwater8931
    @hollynessgoldwater8931 7 ปีที่แล้ว

    Mungu alisema atakupa mwenzi wakufanaan na wewe sasa imekuwaje inamaana mbasha hakuwa alekupa Mungu na bado ulikuwa kwenye huduma kweli hii Huduma mnamuhitaji Mungu aachanae na mume wake na kuolewa na Mume mwingine afanya nini? kasome maandikooo tafadhali

  • @okerosagwe8142
    @okerosagwe8142 7 ปีที่แล้ว

    Ndugu bado mungu akuhitaji, tubu na ukamugeukie mungu wako kwa maana you don't care what the Bible says.

  • @alfanmuruwa5601
    @alfanmuruwa5601 7 ปีที่แล้ว +15

    na Huyo ni mtoa Huduma kweli kweli Dogo jiangalie maana hata gwajima ataendelea kupewa Huduma

    • @leezarbennito4143
      @leezarbennito4143 7 ปีที่แล้ว

      Alfan Muruwa 😆😆😆

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

      Alfan Muruwa umenivunja mbavu. GWAJIMA hahaha. mbona ni mtoto mme mwenyewe

    • @alfanmuruwa5601
      @alfanmuruwa5601 7 ปีที่แล้ว

      Aha Aha Aha Aha hapo tu

    • @الاالاا-ي3ن
      @الاالاا-ي3ن 7 ปีที่แล้ว +1

      Alfan Muruwa gwajima tena .sio mtu wa mchezo mchezo ila nimelia kwa kumkumbuka mbasha

    • @alfanmuruwa5601
      @alfanmuruwa5601 7 ปีที่แล้ว +4

      kwa kweli huyu mwanamke kamfanyia kitu kibaya mbasha hafai Kabisa

  • @ignaskalindo4369
    @ignaskalindo4369 7 ปีที่แล้ว

    Eti mippango ya Mungu kwa upandewangu Mimi labda mipango ya. .mungu

  • @irenelaswai9758
    @irenelaswai9758 7 ปีที่แล้ว +2

    flora ajatulia kiruka njia kaka angalia nawew usije achwa ka mwenzie

    • @masaimollel8251
      @masaimollel8251 5 ปีที่แล้ว

      Huyo ni shetan maana hakuna ndoa mbili mbele. Mazabao ya mungu

  • @halimamzuri9299
    @halimamzuri9299 7 ปีที่แล้ว

    kwahiyo kilaukipata matatizo ktk ndoa utamuacha mumeo nakuolewa na mwingine sasa utaolewa nawangapi we mmama unawafundisha nini wanao usisahau unabinti mkubwa na anaona uchafu wako.Makubwa dunia imevaa nguo ndoa zakikristo zinavinjika now days😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sylivesterezekiel5712
    @sylivesterezekiel5712 7 ปีที่แล้ว

    Kijana mdogo!!! duh! ulikoswa lika lako?! leo kwake kesho kwako! nyoka wa kijani ndani ya majani ya kijani! kitendo cha kuvunja ndoa ya mwanaume kama wewe, na kuoa mke wake, kaa ukijua nawe ipo cku, swal! tunamwabud nan?! Uwepo wa mngu ni mkbwa chin ya dunia, kuliko mwanadam anavyofkilia.

  • @gabrielwambura3397
    @gabrielwambura3397 7 ปีที่แล้ว

    narudia tena kama kuna mtu amevunja ndoa ya mbasha asijifanye mjanja mungu kamuona, usishupaze shingo utapata matatizo waombe massamaha na watz Kwa ujumla wao

  • @maryawino4166
    @maryawino4166 7 ปีที่แล้ว

    mbasha while u were asleep some1 was busy wedding ua ex-😂😂😂😂😂😂wyf flora mungu anakuona tu

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 7 ปีที่แล้ว +1

    Flora flora flora Nigerian people will ask how many time did i called you three times ulitafutaje na ulianzaje wakati ulikuwa kwenye ndoa,real this is the end of this world oh God help us unaachaje mume ukaolewe tena mh kwa kweli Mungu ndiye anayejua zaidi

  • @aronathanas4997
    @aronathanas4997 7 ปีที่แล้ว +5

    kweli mzigo mzito mtwishe mnyamwezi

    • @gloriamdemu832
      @gloriamdemu832 7 ปีที่แล้ว

      Alvaro Aaron yani comment yako imenichekesha sana

    • @marycharles9716
      @marycharles9716 7 ปีที่แล้ว

      pumbafu sana umeoa au umeolewa

    • @mercyshadrack4013
      @mercyshadrack4013 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana wewe dogo nakuonea huruma flora kaja kupumzika tu kwako..

  • @victoriamwambene313
    @victoriamwambene313 7 ปีที่แล้ว

    ongera flora

  • @marydavid2882
    @marydavid2882 7 ปีที่แล้ว +1

    Umebigi kweli
    Umepiga mbizi kwenye tope

  • @elizashilla8303
    @elizashilla8303 4 ปีที่แล้ว

    MPUMBAVU sana we

  • @agnesslyatuu993
    @agnesslyatuu993 7 ปีที่แล้ว +1

    wanadamu hata maiti wanaisegenya aaah muangalieni Mungu msisikilize maneno ya watu hawana mema.wengine wanaona wivu.Kasema ex wako Mbasho kuolewa au kuowa ni bahati.

  • @fabiorairumva6052
    @fabiorairumva6052 7 ปีที่แล้ว

    We kaka una maneno mengi sana.Biblia gani imeruhusu kwamba mwanamke, achike na kwenda kuelewa na mwanaume mwingine?hiyo ini sababu kuto kusoma neno na kuelewa.Harafu una jifanya una julikana katika ulimwengu wa jiloho.Una jindanganya sana.Hata mbinguni wanajuwa kuwa umeiba mke wa mtu.