DR SULE AFUNGUKA SIRI NZITO UGOMVI WA DIVA NA MUME WAKE ABDUL JINI LINAWAENDESHA / BADO WANAPENDANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @manaratv__
    @manaratv__  4 หลายเดือนก่อน +1

    UMEJIFUNZA NINI KUTOKA KWA DR SULLE KULINGANA NA INTERVIEW HII?

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo diva anataka abaki pekeyake. Abdul sio mtu wa kwenda club starehe yake ni wanawake diva amruhusu aoe mke wa pili ndio atapumua🙄🙄🙄

    • @RoverRoom
      @RoverRoom 4 หลายเดือนก่อน

      😢😢Abdul tapeli arudishiwe Maua yake

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 4 หลายเดือนก่อน

      Yuakutapeli wewe simwenye yuatapeli mkewe wewe shida Yako ni nini ukisikia mashetani yanayo vunja ndoa za watu ndo ili shetaniiii lenyewe Sasa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน

    Dr hana chalufanya kutwa yupo kwenye media kuangalia wanaogombana na wanao chambana Subhannallah

  • @FajmaHilali
    @FajmaHilali 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sio husda huyo Abdullh hajatulia hatakidogo hatawakisomewa kama hajakinai nafsi yake kashao wangapi natabiayake ndo hiyo hiyo

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 4 หลายเดือนก่อน

    Wallahi huyu dr sule sasa ameshaacha kulingania watu dini ameingia kwenye uganga wa kutibu watu na kutatua matatizo yao jwa kutumia majini,mrudie mungu wako sheikh unakoelekea sio.

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu sio sheikh huyu ni mganga kitambo watu wa Pwani Kilwa Road tunajua vizuri dada zake wote wameachika kwa waume zao kawapa kazi huko kwenye kituo chake sasa nyie mnajua leo km mganga poleni😂😂😂

  • @JumaHasani-wp4xz
    @JumaHasani-wp4xz 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh umenipa somo sana maana mimi pia niko ktk mtikhani huo

    • @maalimjuma10
      @maalimjuma10 4 หลายเดือนก่อน

      Wafate Mashaikh watakusaidia, sio hawa Matapeli wa mtandaoni. Anachozungumza Sulley ni Falsafa na akili yake tu, na sio mafunzo ya dini kwenye mchakato wa Talaka au Kujivua

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 4 หลายเดือนก่อน

      Hapo bado hujapata sheikh, uyo sio sheikh wa FIQIH, apo anakoroga tu

    • @mudrikramadhani32
      @mudrikramadhani32 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmadSeif860Kwahy wewe unaelimu kuliko sure?

    • @khamisfarouk9493
      @khamisfarouk9493 4 หลายเดือนก่อน

      Mwanamke akidai talaka kisheria antakiwa arudishe mahari ata km kaingiliwa

    • @Jafreez
      @Jafreez 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acheni fitna kwa wenye elimu.

  • @nasraalbusaidi2772
    @nasraalbusaidi2772 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba Number ya DR. SULLE

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 หลายเดือนก่อน

    SULE UNGEWATUMA HAWO MAJINI WAKO 🤧🤧🤧🤧🤧SULE SIKU HIZI UMECHEMSHA

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiislaam ukirudi katika dini yako ya kikristo automartic usha achika ana jua hilooooooo

  • @maalimjuma10
    @maalimjuma10 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu analeta Falsafa kwenye ndoa, badala ya kuzungumzia hukumu za kisheria ktk kuachana. Hamna Shaikh hapo

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 4 หลายเดือนก่อน

      Sheikh ulitegemea mambo ya fiqh kwa mutabagh wa wanachuon hamna hapo dini yake uyo ni ya kusoma kwa kiswahili hata martin za kiarab hazifaham vzr

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 4 หลายเดือนก่อน

      Uon hata kweny sheria ya khuluu anasema mwanamk hapasw kulipa nyng 😂😂😂😂😂😂😂mm cjasoma dini ila sulley mweupe sana

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww sio shekhe wala hujawa Shhekhe, ayo mambo ya FIQIH achananauyo, ww ni mzee wa Pete tu.

    • @sleyumngolo
      @sleyumngolo 4 หลายเดือนก่อน

      Kwako wewe ila sisi tunajua ni shekh Tena msomi

  • @nasraalbusaidi2772
    @nasraalbusaidi2772 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba Number ya Dr. Sule

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน

      Achana nae, huyo si sheikh. Hata hapo kwenye fat-wa kuna makosa