MZARAMO WA SIMBA-WAZEE WA ZNZ WAMEMPA SIKU 7 KAYOKO ZA KUOMBA RADHI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @ImaNmweli
    @ImaNmweli 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ongela sana mzalamo

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Njia pekeee ya kutatua utata wa marefa wapuuzi na warushwa nikuwapiga wamwagike damu wengine watajifunza na kuto zichezea mechi za simba mana watajua kwamba watapigwa haswa

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana. Endelea kuwa Elimisha

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahahahaha kabisa kayoko anatuumiza sana Simba kila akichezesha anatuonea

  • @ExcitedAlpineVillage-kp4jz
    @ExcitedAlpineVillage-kp4jz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    toa namba sisi wafanya biashara mnitangazie

  • @ExcitedAlpineVillage-kp4jz
    @ExcitedAlpineVillage-kp4jz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    toa namba

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 40 นาทีที่ผ่านมา

    Mtangazaji hafanani na kipindi hajui kumuhoji mtu

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna mambo ya kuomba radhi tena. Kafanya matendo mabaya na machafu sana.
    Huo ni ujinga na upumbavu mkubwa sana
    Ramadhan Kayoko ni lazima ashtakiwe, afikishwe mahakamani na apewe adhabu kali sana, ambayo itakuwa funzo kwa marefa wote wa ligi kuu pampja na viongozi wa bodi ya ligi wanaoshirikiana na waamuzi wa mchezo ya mpira wa mguu Tanzania.