Haleluya kwa Bwana ! Mungu na azidi kuwaangazia Nuru yake hakika mmetubaririki sana sana sana! Mwl hakika pamoja na wanakwaya wote mnatumika vyema shambani mwa Bwana!❤️
Kuna watu wamejaliwa kipaji cha kuandika nyimbo. Huu wimbo umeyabeba vizuri maudhui ya "Yatosha Jangwani". Mpangilio wake, instrumental ilivyopigwa, waimbaji walivyouimba, video setting yake, aaah vyote ni HALELUYA tu.
Mungu azid kuwabariki katika utendaji kazi wake! Karibuni tena Musoma mtaa wa Makoko
Tutakaribia maana huko pamekuwa nyumbani kwetu tumepamis
@@elikanashadrack4678 amina!!! Nitatuma mtu anaitwa Teriza afikishe salaam zangu kwa kwaya
Hallelujah... Nyinyi sasa ndio tulikuwa tunawatafuta mkatubariki MAKAMBI 2024. hapo july. Amen.
Amen Bwana na atende
Simu ziite😂😂
Amina tubarikiwe sote
Amina, Yatosha jangwani. Mungu awabariki
Barikiweni sana Nyasubi kwaya KAZI yenu njema
Hongereni sana nyasubi kwa wimbo wenu mzuli sana sasa YATOSHA JANGWANI
Amina tubarikiwe sote
Amen tubarikiwe sote
Haleluya kwa Bwana ! Mungu na azidi kuwaangazia Nuru yake hakika mmetubaririki sana sana sana! Mwl hakika pamoja na wanakwaya wote mnatumika vyema shambani mwa Bwana!❤️
MBARIKIWE SANA NYASUBI SDA CHOIR
Wimbo unaujumbe unaogusa sana
YATOSHA JANGWANI YESU TUVUSHE🙏
Amen tubarikiwe sote
Ouyeah!!.... Hallellujah mubarikiwe sanaa wapendwe!!
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe sana Nyasubi
Amen tubarikiwe sote
Bwana Mungu awabariki sana chama.langu
Amen
Beautiful song,bravo to the song writer but glory is to our almighty God
Amen! Let's our almighty bless us all
Niwe Mkweli Mnanibariki sana Nyasubi.
Hongerenii kwa wimbo mzurii mbarikiwe
Barikiwa mkuu
Ameni
Hongera nyasubi mubarikiwe.
Nabalikiwa sana nahuu wimbo jaman Amina sana
Mbarikiweeee sanaaaa🎉🎉🎉pr ngelela na kwaya kwa ujumla Bwana na awape upendeleoo kwa kila muhitajilo kama kwaya🙏🙏🙏
Amina askof wangu
Mbarikiwe sana kwaya yng pendwa nimewamis sana Mungu atuvushe salama jangwani
Amen tubarikiwe sote
Mbarikiwe sana kwa utumishi wenu kwa njia ya nyimbo
Mbarikiwe sana na Mungu awatunze
Wimbo mzr sana mbarikiwe sna nyasubi choir
Amina
Amen tubarikiwe sote
Amen tubarikiwe sote
Ngelela has Never Disappoint Us, Mungu Awabariki Nyasubi
Mbarikiwe sanaaa nyasubi kahama.
Wimbo mzuri sana hongerani Nyasubi mungu awabariki
Nawapenda watu baba, Mungu wa Mbinguni azidi kuwatumia.mmetisha kweli yatosha jangwani
Wimbo umeenza kunibariki kabra haujatolewa .jaman nabarikiwa Sana sana
Amen tubarikiwe sote
Nawapenda mnooo nyasubi. Barikiweni mnooooo
Amina tubarikiwe sote
Huu wimbo kwa mtazamo wa kibinadamu sijaona Kama Kuna kwaya imeimba vizuri wimbo wa Jangwani kama nyie
Bwana ni mwema wakati wote❤
Amen San,mungu anawaona
Jangwani kunachosha mie huyo nakimbia zangu kwenda kaanani😊
Karibu yatosha jangwani
Kwaya yangu pendwa.....Mungu awainue kwa ujumbe mzuri....Yatosha kukaa jangwani
Amina
Mungu awabariki sna watu wa mungu
Amina...Yesu tuvushe ng'ambo ya pili, yatosha sasa jangwani'
Amen tubarikiwe sote
Waoooo! Wimbo mzuri umenigusa sana MUNGU AWABARIKI NYASUBI🙏,GOD BLEES U NGELELA KEEP IT UP👊🙏
Amen, tubarikiwe sote... Wasalimie watumishi wote wa TRVF
Well composed and touching song. God bless you!
Wimbo mzuri na mmeimba vizur sana wanakwaya wote mbarakiwe🙏
Mwaweza kumbuka tulikoanzia nawaombea Msonge mbele mwl wenu Yohana wanda mji vzr mbarkiwe tuko pamoja
Barikiwa Sana mwlm wetu karibu tuendelee kulisongesha gurumu la Bwana
namuona msafili na ngelela salam ziwafkie jamn
Amina mbarikiwe kw ujmb mzr
Mungu awabariki sana watu wa mungu
Hakika jangwani kuna changamoto nyingi mno. Barikiweni sana waimbaji.
Mungu awabariki sana watumishiii
Tubarikiwe sote
Ama kweli Yesu yu karibu kurudi ili haya yote tunayopitia kama wanaisraeli yatafika mwisho...
Nmebalikiwa sana
Mbarikiwe sana nawapenda
Mbarikiwe sana nyasubi choir hakika mmegusa mioyo na Mungu ametukuzwa
Amina tubarikiwe sote
Kwaya yangu pendwa mbarikiwe Sana na Bwana 🔥🔥🔥
Mungu awabariki sana kwa wimbo huo mzuri
Mbrikiwe sana watumishe wa Mungu
Wanishangaza kijana , heko sana wananyasubi
Mungu awabariki
Mungu wabariki Sana nyimbo nzuri
Mbarikiwe mufike bari
Mbarikiwe kwa wimbo mzr🎉
Amen tubarikiwe sote
This is Powerful
Mbarikiwe sana wimbo mzuri sana
Amina Nyasubi
🎉 Tunasubiri Album ya mwaka huu
Nawapenda sana nyansubi
Karibu Sana tubarikiwe sote
Yatosha jangwani mbarikiwe Sana
Good song
Kuna watu wamejaliwa kipaji cha kuandika nyimbo. Huu wimbo umeyabeba vizuri maudhui ya "Yatosha Jangwani". Mpangilio wake, instrumental ilivyopigwa, waimbaji walivyouimba, video setting yake, aaah vyote ni HALELUYA tu.
Barikiwa Sana mtumishi Kwa kututia moyo sifa na heshima zimrudie Mungu aliyewekeza karama hii takatifu
Namuona baba yangu MUGUSIMungu akupe nguvu
Nikweli yatosha jangwani 🙏🙏🙏
Quit amezimg
Safi Sana watu Wangu wanguvu,
Wimbo makini mbarikiwe sana
munanikumbusha mbali san jaman wapendwa
Amina
Jamani msiishie tu kukoment. Hebu twendeni tu like subscribe na kisha kushare wimbo wa maana kabisa huu.
Ameen sanaaa
MUNGU awabariki
Oooh waoooh
Amen.
Ame amen
🔥🔥🔥
yatosha jangwani
❤
Nawapenda sana nyasubi sda