Huu wimbo umenifanya niwe mpole na kujaribu kujizuia sana, una ujumbe mzuri sana, Mungu wetu akubariki sana uendelee vyema katika hii safari ya wimbaji
Nivigumu sana mwanadamu wa kawaida kujua na kueleza madhara ya maneno maneno kama hivi . Naamini alioko ndani yenu Mkuu wa hekima na maarifa ametumia vinywa vyenu kifikisha ujumbe huu kwetu. Atukuze MUNGU BABA aliyemtuma ROHO MTAKATIFU kwetu. Mbarikiwe kwa kutii na kuruhusu awatumie mbarikiwe sana watumishi. Kazi ni kwetu sisi kutii ili tupone.
Mlifikilia Nini kuimba wimbo Kama huu unaujumbe kupita maelezo mubarikiwe roho wa Bwana azidi kuwaongoza kutunga nyimbo za kuelimisha watu hasa wamchao Mungu
Nifundishe kunyamaza Mungu🙏 Sometimes it's difficult to keep silent just bkoz of the pain you go through but holding thy tongue can save a lot even when you need to speak. Nyamaza tu!
Another masterpiece full of lessons to learn and emulate. The composer summarised a whole lesson on family life! Jamani talanta yako inabariki wengi, keep blessing us with your songs.
Anyone from tiktok helooo,, such a nice song
Amen....🙏🙏🙏🙏
TikTok brought me here
Hello too
This song has teach me that sometimes silence is the best answer 😊
Sana...barikiwa zaidi
Huu wimbo umenifanya niwe mpole na kujaribu kujizuia sana, una ujumbe mzuri sana, Mungu wetu akubariki sana uendelee vyema katika hii safari ya wimbaji
Amina.....nawe ubarikiwe zaidi na zaidi.
Nice song🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nivigumu sana mwanadamu wa kawaida kujua na kueleza madhara ya maneno maneno kama hivi . Naamini alioko ndani yenu Mkuu wa hekima na maarifa ametumia vinywa vyenu kifikisha ujumbe huu kwetu. Atukuze MUNGU BABA aliyemtuma ROHO MTAKATIFU kwetu. Mbarikiwe kwa kutii na kuruhusu awatumie mbarikiwe sana watumishi. Kazi ni kwetu sisi kutii ili tupone.
Amina kakangu.....Zidi kubarikiwa kwa maelezo mazuri na kwa kututia moyo.
Huu wimbo umenifanya kuwa mpole jamn daaah Mungu awabariki watumishi
Amen.....barikiwa zaidi
Lets make this song hit a million views watch even from your friends phone.....❤❤this is the best master piece...
🙏🙏🙏🙏🙏🙏blessings
I love the song i watch it daily
I like your idea😂
@FlavianMuteshi 😊😊😊😊
Najifunza mambo mengi kupitia wimbo huu; Barikiwa sana Mr Arnold
Wow.......Amina,ubarikiwe zaidi
Imebidi nikam kutafuta hapa from TikTok
Woe.....welcome,karibu saana uku....barikiwa zaidi.
Iko TikTok? I would like to have it
The boy with light bule is funny😅 haki wimbo pia iko na message kibasaa
☺️☺️☺️☺️.....nakusema....ila asanteh
Karibu ❤
Very funny aki😂😂😂the song is Soo nice
Just crying, Baba anisamehe popote nilipotelezesha ulimi wangu
🙏🙏🙏🙏
I love the song keep it up.
Many thanks....be blessed
I listen to this song morning n evening daily since i discovered it 🥹🥹♥️God bless you for this great message to us with such melodious voices
Amen and Amen......be blessed zaidi osiepa
Wimbo, una ujumbe mzur mbarikiwe but hizo marching mziache Mungu hapendezwi nazo
Asanteh......we shall adjust.
I remember listening to this song for the first time when l got an heartbreak l tell you l gained strength and focused.
Wow.....was it that serious....Lakini umepona
Nice song nimebarikiwa sana ongera kwa utunzi mzuri❤ Mungu wa mbinguni akubariki maradufu
Amina dadangu....nawe ubarikiwe zaidi my dear.
Wimbo mzuri Sana mbarikiwe napenda kuusikuliza mda mwingi Mungu awatie nguvu
Amina.....ubarikiwe sana Dada
Barikiwa sana wimbo ulio na ujumbe mzito wa kufunza amina❤❤
Amina...barikiwa zaidi
huu wimbo mzuri sana mungu awabariki unaujumbe mzuri sana Mungu awatangulie kwa kila hatua
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
Mlifikilia Nini kuimba wimbo Kama huu unaujumbe kupita maelezo mubarikiwe roho wa Bwana azidi kuwaongoza kutunga nyimbo za kuelimisha watu hasa wamchao Mungu
Amina Kaka,ubarikiwe sana mkubwa wangu.
Huyu ni roho mtakatifu aliwapa maneno mazuri ya huu wimbo
Je mnaweza funza choir nyimbo
God bless you so much brother Arnold and the entire team for such wonderful song .. infact i have to listen to this song all the times🎉🎉🎉🎉
@@stevekatwa1141yes yes yes....arnold see this comment
Naupenda sana. Huu wimbo unanibarik mno.Roho wa Mungu azid kuwaongoza
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow you are amazing
Wow, thank you osiepa....ve blessed
Nawapenda sana nabarikiwa nisikilizapo❤❤
Amina 🙏🙏🙏🙏
Wow,I'm blessed 🙌 Glory
Wow, it's like the song is trending again👏👏👏👍
It's never getting old.....we're here again.
Nyimbo nzuri......mubarikiwe🙏
Amina
Ongera sana wa jina kwa wimbo huu mzuri,naamini unaenda kunibadilisha
Amina kakangu.....Ubarikiwe.
Mzidi kubarikiwa mfike mbali nyimbo nimeipenda sana❤
Amina.....nawe ubarikiwe zaidi
Wimbo mzuri ujumbe mzuri
Asanteh sana kakangu.ubarikwe zaidi
Wow am blessed
Non SDA but sijui mbona napenda hii wimbo 💓❤️
Wow.......Ubarikiwe sana
The same to me sjui kwann naiweka kila mara nairudia hainikinai kabxa Mungu awabariki sana
@Mathias-yi5bo wow....more blessings dear
Asantii @@AJM_Ke.
Very true from the book of micah 7:5 ❤❤
Amen🙏🙏🙏🙏
How can this song not have a million views....lets get it done.Like if you agree
🙏🙏🙏🙏
Let's do it
Wow nimependa huu wimbo
Huu wimbo unabariki sana❤❤❤
Amina ......nashukuru sana.
"silence". The best principal.
Well said.....that's true.
Wow am blessed 🙏💖
Amen ......be blessed too dear
Huu wimbo umenifanya niwe mnyamavu Hali ambayo imefanya hata familia hainielewi kanywe na nimeendelea Sana.Nimesonga hatua kubwa❤
Hongera sana
Amina kaka.....zidi kubarikiwa
I'm this kind of a human hua naongea Kila kitu😢,, from now end I'll be listening to this song,,,, promise myself to change 🙏🙏
Wow....so nice...be blessed dear.
Wow wow.....so nice of you....be blessed more
Greeeeey❤❤❤❤
Amina 🙏🙏
my daily prayer .Knowing well that tongue is the most dangerous weapon.
Wow......Amen
A wonderful God bless you and continue using in His vineyard.
Amen and Amen...to God's glory
I'm proud................. Tulifanya kazi nzuri Arnold.....
Saaana 🙏🙏🙏🙏
Mubarikiwe watumishi wa mngu
Amen 🙏 🙏 🙏
I love this song very much
🙏🙏🙏🙏🙏
Song full of Wisdom. Will listen daily so that I'm daily reminded.
Ooooh 👌 👏
Be blessed bro
This song is such a nice lesson that sometimes silence is the best weapon,,,❤ it
Amen....🙏🙏🙏🙏🙏
Am here 1000 times not having enough of it . Am blessed ❤🙏
😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tiktok brought me...very good song. We should just stop that soldier from dancing
Thanks dear......consider it done next time.🙏🙏🙏
😂😂😂the soldier has no problem.im here because of him.The gospel is delivered by many people
@brianagire9203 😅😅😅😅😅He got it right🤣🤣
Nice one I like it keep up be blessed 🙏🏾😊
Thank you, I will
Naupenda buree huu wimbo
Amina ......barikiwa sana
I really love this song😩😩🙏🙏
Amina 🙏🙏🙏🙏
Amen
May God bless SMS for the great job you're doing
Im blessed this Sabbath afternoon
Napenda huu wimbo
Amina.....barikiwa kaka
I just can't stop listening to this song because it keeps me going❤❤🎉
Wow......be blessed sana
Wimbo mzurimbarikiwe sanaaaa ❤
🙏🙏🙏🙏
Good msg indeed.love it
Thank you...be blessed 🙏🙏🙏🙏
I love the song......may the lord give the full interpretation deep in our hearts
Amen Bro
I like that song,,,,,, umenipea ujumbe mzuri
Amen Jedii...ubarikiwe zaidi
Nifundishe kunyamaza Mungu🙏
Sometimes it's difficult to keep silent just bkoz of the pain you go through but holding thy tongue can save a lot even when you need to speak. Nyamaza tu!
Well said my sister......be blessed sana
Wimbo Bora sana huu unamafundisho sana
Amina 🙏🙏🙏
Praise Jesus this is beautiful 😍
Amen.....be blessed Loice
Such a touching song❤❤
Amen....God bless you
Another masterpiece full of lessons to learn and emulate.
The composer summarised a whole lesson on family life!
Jamani talanta yako inabariki wengi, keep blessing us with your songs.
Well said bro....I'm so humbled...May you be blessed bro.
@@AJM_Ke. You are welcome.
This song melts my soul😍😍
Ooooooh wow......😊😊😊be blessed...more is coming
Amazing ♥️♥️♥️💥💥💥💥👏👏👋👋👋👋
Many many thanks
Can't wait for hymns God bless you
Coming soon
Vita ya maneno...nifunge mdomo
No more kelele.....silence all the way.
@@AJM_Ke. I would love see you personally...adwaro ni awer to aluor
Wimbo mzuri sana 🙏
Amen.....baraka
Glory to God forever 🙏 🙌
Amen and Amen
Asante watumishi mungu nisaidie nisiwe mbishi🙏🙏🙏
Saaaaana....zidi kubarikiwa
Amen
Huuu wimbo umenitowa machozi
Barikiwa zaidi rafiki yangu
😭😭😭😭😭😭wanione zuzu kwa Jambo lolote lisilo la juzu😭subira iwe nguzo ulimi🙏🙏God bless you Arnold Juma and Anne Koyo🙏such a blessing🫂🫂
Silence is Golden
Silence is Golden
Silence is Golden
Indeed!
Utukufu ni wa Bwana Yesu Kristo asifiwe
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
Nice song the tongue is a powerful way to either bring a blessing or a curse
Exactly.....be blessed
The song is really amazing not only this but all ur songs
Wow......👌👌👌👌
i love the matching its superb
🙏🙏🙏🙏Amen....be blessed
I love this song is such a vibe
Wow....🙏🙏🙏🙏
This song ilitolewa 1year ago but is hitting like ilitolewa jana what a powerful message...
Amen.....we thank God and pray for more inspirations
It’s been around since 2022 😅
I have been watching this since last year..... This song is just 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wow....
Many thanks bro...I'm so humbled
Since I came across this song it has become our home anthem. Sooo blessing. The guy in glasses did justice to the song 😊
Wow.....A big Amen 🙏 👏.
Be blessed sana
The very best of the best songs ❤️❤️❤️ it keeps me going
Amen and Amen....To God's glory
I love the song much be blessed
Amen.....blessings
Barikiwa sana, huu ni zaidi ya ujumbe
Amina Baziel.....ubarikiwe zaidi rafiki yangu
Good message aki.God teach me to be quiet
Wow.....thank you 🙏🙏🙏🙏
Someone said "if you must listen to SDA music,you must have kamusi😂😂,bila kamusi walai hakuna kitu utaelewa,this song is an example😂😂🥰🥰🥰lovely
😅😅😅😅Rahisi hii
Siku hizi i notice that too. Saa zingine title alone unatafuta kamusi!!
But beautiful message in here after getting through the vocabulary
@carolineomori1032 wow🤗🤗🤗🤗uliamua kufanya research....I owe you another good song🤭🤭
@@AJM_Ke. yes nilitafuta kamusi . Hapa lugha ngumu kabisa
It's touching na pia ni funzo
Amina....ubarikiwe sana
Huu wimbo mliimba vyema, God bless guys, alafu vikanyagi
Amina......Ubarikiwe sana
@@AJM_Ke. 🙏
I am in love 💗 with this song .may God bless you everytime u produce another hit song like this
Wow....blessings 💪💪💪💪
Mbarikiwe sanaaa wimbo mzuri kwel
Amina
Very good song from our ambitious young artists from Gusii. Congratulations guys
Big thanks bro....I'm so humbled
a beautiful song.
👌👌👌👌🙏🙏
🤲🙏 mubalikiwe sana
Amina.....ubarikiwe zaidi
Nice song,even te rithm & te actors are well trained
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪💪
Hiyi nyimbo imenifanya kuwa bubu nakuhesabu maneno ninayo yasema Mungu awabariki
Amina....barikiwa zaidi na zaidi
@@AJM_Ke. AMEN tubarikiwe sote
Barikiwa
Amen....ubarikiwe zaidi
I love this song,it has changed me completely ❤
Wow......more blessings brother
This is my morning anthem
Ooooooh wow.....Amen
Mubarikiwe sana mulio imba wimbo huu wa kuelemisha
Asanteh....barikiwa sana
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
Amina.....nawe ubarikiwe zaidi
Good job Arnold,i love that song sana
Amen and Amen