Mama Na Mwanao Kitawapata Nyieeeeee Mtalia😢😢😢 Endelenii kujiona Mmefika Mkasahau Kuwa Nyie Mmefadhiliwa jee nasra usinge olewa na huyo Mama akakaribishwa mama na ww huyo mume wa Mwanao angekataa ukae Hapo ungesema ana Roho Mbaya haya sasa endeleni kujiachia
Mbna fupi, ila sio vzri kuwatreat wadada kazi vile,, kitu wanachosahaungu maboss ni kua maisha yao yapo mikononi mwana mdada wa kazi maanake hyu ni mtu ambaye anakuandalia hdy chakula vipi akiamua kukutilia sumu , si utakufa tuu rahisi
Mama Na Mwanao Kitawapata Nyieeeeee Mtalia😢😢😢 Endelenii kujiona Mmefika Mkasahau Kuwa Nyie Mmefadhiliwa jee nasra usinge olewa na huyo Mama akakaribishwa mama na ww huyo mume wa Mwanao angekataa ukae Hapo ungesema ana Roho Mbaya haya sasa
endeleni kujiachia
Dad wakazi naipenda jmn tuleteen ya tatu
Nasra nakupenda❤❤❤❤
Good Job Allah protect you Awawekeye wepesi Allahuma Amina 🙏
Jamani mnavomtesa dada wawatu 😢😢😢
Mamkwe hovyo kabisa 😂😂
🙄Jmn mnaniumizia kpenz changu(mai)😟😟 kama mmemchoka muachen aje kukaa kwangu😒😒😒
Wa kwanza Kenya naombeni likes ata mbili
😂😂😂😂😂Nasra eti sijisikie
Twizy Dady Family ❤❤❤
Jamaa anafuraisha eti mtushinda jaa 😂😂😂😂 nimekula baati mbaya😂😂😂😂
Kali
Hili limama mkwe mbona liroho sana jamani mhh, Rudi kwako au unata kuolewa na mkweo
Ndio unapata kachanganywa na mwanawe 😢
Waaaaaaaa❤❤❤Lisa ww😊
Oyaaaa 😂😂ongezeni masaa banaa 😂imefika patamu mara boom, YATAKWISHA 🎉❤
jmn ongezen dakika bas😢
Kazi nzuri jamani 🎉🎉🎉🎉
Waaaah kakaangu kazi njema 🎉🎉🎉
Nice
Kazi nzur jamani
Waaaah 😢inahitaji moyo ak.Mko vizuri .Leteni ya tatu haraka.
Ingwa n kuigiza lakn hakuna kitu sipendi kama kuona mtu anasemwa kuhusu chakula. Hongeren kaz nzuri
Safi sana twizy umesimama kama mwanaume
Waaa😢😢😢😢
😢😢😢😢sijui nicommet nni akt 😭😭mateso haya
Nasra umenenepa sana uko tofauti na nyakati ulicheza kesho yangu
Amechukiza au
Mama mukwe Ana ata haya kwa mkwewe.
Kazi nzuri
Mai.pole sana humu wamekuweza kwa kwel lakin na wew umeweza episode 3 plz
Bro kazi poa
Inashawishi Kuicheki mda wote By Dizzo
Twizy bana ❤❤❤much ❤❤ from Kenya
😢😢nasra nakumis wewe karembo upo
Mbna fupi, ila sio vzri kuwatreat wadada kazi vile,, kitu wanachosahaungu maboss ni kua maisha yao yapo mikononi mwana mdada wa kazi maanake hyu ni mtu ambaye anakuandalia hdy chakula vipi akiamua kukutilia sumu , si utakufa tuu rahisi
Kazi tamu sana
Huyu jamaa hapa studio yupo serious kinoma hacheki
Jamani mbona ma house gerl huwa hamutupendi kwani uzuri ndo sababu wakati kakuowa aliona wazuri wangapi mpaka kakuowa wewe ebukuweni munajiamani😂
😂😂😂😂 unajua nacheka dogo lemy uwa unasoma maandiko yenyewe by mr white tz pande za iringa
Mashallah ❤❤❤
Mnaweka dk chache sana had so poa😊
Uyo mama mukwe ndio kaletwa na njaa apo😢
Wow mko swa
❤❤❤𝐰𝐨𝐨𝐨𝐳𝐚𝐚𝐚𝐚🎉🎉🎉
Yan uu wivu wote coz tu mdada wa kazi ni mzuri kumshinda
Nasra yani ushanza na moyo mchafu na mama yako ila najua tu ipo siku kila mtu ataonekana na yale anayafanya....😅😅😅😅hapa ni kunoma anyway
Naomba like jaman hata moja
Gaii mbona mnaekaa minutes kidogo ak
Hili limama mkwe daaah!!!
Ma mkwe jau sana
Tama yah mama mukwe
😢😢dkk ni chache afu utamu kwel duh!
Hahahahaha jamaaa anaomba unyumba et kidogo twizy uneuwa
Nasra😂acarohombay kwadada wakazi
Waa nne leo❤❤
Kaka Remy muone kano mzurry Na kuku Bali sanaa
Nasra 😢😢😢
Kazi kukaa ukweni
Uyo muke ana roho mbaya akiwa na mama yake du una wapa sumu awo duuu😂
Dady kwanza mkwe atoke apo upambane na mke wako asipo kubali mai sasa utaoa mai ni mrembo ana mambo
Nyie kuwatreat hivi wafanyakazi wa ndani ndio maana mnafanyiwa vitu vya ajabu ikiwemo visasi na ukatili kwa watoto wenu
Kimama mkwe kiroho mbaya sana
Mama aondoke
Oborahivo umejionea bro
Wa kwanza
Gai uyu mama mkwe anae kimdomo kinom
🎉🎉🎉🎉🎉
Nilikua naingoja kwa ham
iMovie ya manyanyaso kiac hiki,siwezi watch,inaniskikitisha mno
❤❤❤❤❤❤
Mamkwe na mwanae ni ovyo kabisa ao niwakufukuzwa
Hyu mama nae ovyo
𝐌𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐤𝐰𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐧𝐧 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐞,,,𝐌𝐚𝐲𝐢 𝐣𝐢𝐩𝐞 𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐦𝐚𝐭𝐞𝐬𝐨 𝐲𝐚𝐭𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚😢
Twizy dady ameloga nin maan mmh wa moto kwer
Nangoja ya tatu
😢😢😢🎉🎉🎉🎉
From kumamoto Japan mama mkwe acha roho mbaya unataka kuolewa na mkweo na ww au?
Ndo umfukuze ,acha roho mbaya
Remy kaz nzurry
😂😂😂❤
Jamn mbon amna hulum na mlembo wa watu
Yaan anaroh kama korosho
Atali saan
🇴🇲
𝙺𝚊𝚣 𝚗𝚣𝚞𝚛 𝚝𝚠𝚒𝚗𝚣𝚢