HOUSE GIRL EP 01 | S3 | Love Story 💕💞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • HOUSE GIRL SEASON 3

ความคิดเห็น • 781

  • @busatitv
    @busatitv  2 วันที่ผ่านมา +85

    Whatsapp group 👇👇
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0

    • @vumiliawaziri2007
      @vumiliawaziri2007 2 วันที่ผ่านมา +2

      Season 1,2 na 3 zote ni 1 story ni ile ile hakun kipya

    • @vumiliawaziri2007
      @vumiliawaziri2007 2 วันที่ผ่านมา

      Duh

    • @meninafilmstz
      @meninafilmstz 2 วันที่ผ่านมา

      Kimewaka out link hii

    • @MalembeAthumani
      @MalembeAthumani 2 วันที่ผ่านมา

      🎉😅🎉😅

    • @NaomyMollel-w3r
      @NaomyMollel-w3r 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwelii kbsaa​@@vumiliawaziri2007

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 3 วันที่ผ่านมา +334

    Ambao tulikuwa tunahisi tangu mwanzoni kama batuli ni kamati ya roho mbaya like tujuane 😂😢😢❤

    • @MirriamWanjala-h2r
      @MirriamWanjala-h2r 2 วันที่ผ่านมา

      Tuko pamoja

    • @FakikhAsmah
      @FakikhAsmah 2 วันที่ผ่านมา +3

      Pamoja 😂😂 natukonae sambamba Hadi kieleweke

    • @coolboymicky3651
      @coolboymicky3651 2 วันที่ผ่านมา +1

      Yaniii

    • @user-qt2of8pg7c
      @user-qt2of8pg7c 2 วันที่ผ่านมา +2

      Bibi zuu atamfundisha atabu😂

    • @user-qt2of8pg7c
      @user-qt2of8pg7c 2 วันที่ผ่านมา

      Bibi zuu kama anaona kila kinacho endelea kwa batuli😂😂

  • @LidyaKadogo
    @LidyaKadogo 3 วันที่ผ่านมา +346

    Tulioanza season 1 mpaka sasa season 3 tumeanza wapi like

  • @TheeMgHouse
    @TheeMgHouse 3 วันที่ผ่านมา +146

    Kw wenye wanatazama hosgel wakiwa kitandani like apo thkisonga🎉

  • @AnjellahMwendamseke
    @AnjellahMwendamseke 2 วันที่ผ่านมา +186

    Tunao mchukia batur kwa ambo anayotaka kumfanyia zuu like bc

    • @SaumuZuma-gm3hp
      @SaumuZuma-gm3hp 2 วันที่ผ่านมา

      Nmejua. Batul. Hanania. Nzur. Kwa. Zuu. Lakn.hajui.dazuu.analidwa.namizmu.ya.nyanyake.😂😂

    • @elizabethurassa9854
      @elizabethurassa9854 2 วันที่ผ่านมา

      Hatafanikiwa,bibi zuu atamnyoosha

  • @ZainabuKabache-tx7tu
    @ZainabuKabache-tx7tu 2 วันที่ผ่านมา +39

    Tunaomkubali zatiti Mr Tasha gonga like 🎉🎉🎉

  • @jayvannyclassic191
    @jayvannyclassic191 3 วันที่ผ่านมา +196

    Tuliokuwa tukingoja house girl season 3 tujuane na likes

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 2 วันที่ผ่านมา +75

    Batuli auna bahati mchawi bibi yake zuuh atakunyoosha kbs😏😏😏waliyo hona gisi Batuli aliweka ushawi wagonge like apa❤❤❤

  • @estermpare4078
    @estermpare4078 3 วันที่ผ่านมา +62

    Duuh watuu ata hamjaangaliaa mpk mwishoo mshaaanza kusema mimi wakwanza naomba like 😂😂😂!!

  • @carolinesidi-od4ni
    @carolinesidi-od4ni 3 วันที่ผ่านมา +42

    Wenyew tumetoka live busati tv Na kuja Kwa house girl weka like tukisonga

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 2 วันที่ผ่านมา +36

    Napenda sana zatiti ukiwa na furaha na tashaá na mama piya ongereni ki ukweli 🎉🎉🎉

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 3 วันที่ผ่านมา +72

    Season zangu bora mximu huu
    1. Hause girl
    2.penzi la mtoto wa boss
    3.wrong hause
    4.tarzan
    5.baba yangu kipofu
    6.ndupe
    Kama na ww wazifatilia hzo weka like tujuane🎉🎉🎉

    • @GreatestSwordsman
      @GreatestSwordsman 3 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja dee mm pia vilevile

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 2 วันที่ผ่านมา

      Tupo sote mojakwa moja

    • @angelmauja1846
      @angelmauja1846 2 วันที่ผ่านมา +1

      Dadeki ,tukikosa huku kule mambo ni moto

    • @EveKaari-r7r
      @EveKaari-r7r 2 วันที่ผ่านมา +2

      Umesaahau dada wa kazi ageuka kuwa mke , search utaipata n tamu sana pia ❤❤❤❤❤

    • @MaryPendo-gy4yr
      @MaryPendo-gy4yr 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mm kabisa

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 3 วันที่ผ่านมา +53

    Mungu azidi kumbariki kila mtu atakae like na kusoma comment hii ❤❤❤

  • @NadzuwaKilaga
    @NadzuwaKilaga 2 วันที่ผ่านมา +17

    Naomba da zuu shutkia bomu hilo dada wema huo utakuponza😢 janamqn Naomba like team strong 💪 ♥️ 😀

  • @Rehemasidi-n3p
    @Rehemasidi-n3p 2 วันที่ผ่านมา +15

    😂😂😂 Jameni team house girl kama umefurahi SNA kwa hii kazi nzuri iliyofanywa na team busati ❤eka like tukisonga Yani hii EP 3 wallah inakuja motooooo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PeninaMageni
    @PeninaMageni 2 วันที่ผ่านมา +47

    Huyu batuli hamjuh vizur bibi zuuh ooh 😂

    • @stellakadzo1624
      @stellakadzo1624 2 วันที่ผ่านมา

      Nkwambia kitamramba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tusubiri matokeo😂😂😂😂😂😂😂adi namuonea huruma vile😂😂😂😂😂😂

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 2 วันที่ผ่านมา

      Muace kitawalamba na candy wake

    • @SalomeMlelwa
      @SalomeMlelwa 2 วันที่ผ่านมา

      Subili akutane na moto wakeee kwa bibi Zuuuu

    • @RizikiMukucha-e7r
      @RizikiMukucha-e7r 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 วันที่ผ่านมา

      Hamjui,sio ajabu bbi zuu tayari ameshazoom na kuona kila kitu ila anampa mda tu,kitamramba sio mda

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 วันที่ผ่านมา +69

    Asalamu walekum😢 ndugu zangu wakristo bwana yesu asifiwe kama ulikiwa unasubusiria kwa ham house girl msimu wa tatu please like hapa tujuane🤲🤲🤲🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 3 วันที่ผ่านมา +46

    Huyu batuli hamjui bibi ake zuu eeh wow tuliisubir kwa hamu Busati Tv❤❤❤🎉🎉🎉

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 วันที่ผ่านมา +2

      Mwache bibi atakuja mtimua

    • @user-yp7qy2qf7k
      @user-yp7qy2qf7k 2 วันที่ผ่านมา

      Anacho kitafta atakipata tu​@@zainabzain3434

    • @razigirazigi5437
      @razigirazigi5437 2 วันที่ผ่านมา +1

      Eee hatakoma batuli

    • @privteemail4327
      @privteemail4327 2 วันที่ผ่านมา +1

      We mwache Tu litamkuta jambo😅😅😅😅

    • @HouseofCravings-HOC
      @HouseofCravings-HOC 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂 kweri

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 2 วันที่ผ่านมา +13

    Mm nilijua 2 huyu batuli sio mtu mzuri kbx ila nko na iman yaku mizimu ya bibi zuu italinda ndoa ya zuu & na kai❤❤

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 3 วันที่ผ่านมา +24

    Oyooooooooooooooooo Asanteni sana timu busati kwa kutubulidisha tuko na nyie pamoja

    • @OtiliaExavery
      @OtiliaExavery 2 วันที่ผ่านมา

      Mbonq hii imekua fupi sana jaman

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 3 วันที่ผ่านมา +14

    Wenye walikua wanadubili hiyi like zangu hapa Burundi njo nyumbani🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @user-iv6yx5ot6f
      @user-iv6yx5ot6f 2 วันที่ผ่านมา

      Myumbani wapi nigukute wap kinama kamenge buyenzi bwiza aho calama niambie nigukute

  • @SaufatBaraka
    @SaufatBaraka 2 วันที่ผ่านมา +10

    Tuliochelewa kuona season3 like hapa❤❤

  • @Liam-rh7ps
    @Liam-rh7ps 3 วันที่ผ่านมา +16

    Season 3 mm ndo wakwanza jmn nipen likes zangu😂😂😂

  • @aisha-j4x
    @aisha-j4x 2 วันที่ผ่านมา +12

    Ila zatiti nakupenda sana wenye wanapenda zatiti like hapa

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q 2 วันที่ผ่านมา +4

    Mko wapi mashabiki was buzati TV,like jameni ❤

  • @DorcasKwamboka-y5m
    @DorcasKwamboka-y5m 3 วันที่ผ่านมา +7

    Finally season 3 tuko hapa kama kawa i'm watching from Dubai 🎉🎉

  • @SandrineDupfiki
    @SandrineDupfiki 2 วันที่ผ่านมา +13

    Waooo warundi tunaopenda house girl tujuane 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 2 วันที่ผ่านมา +6

    Da Masozi napendag sauti yko My Dear 😘😘😘

  • @zawadikimaro4087
    @zawadikimaro4087 2 วันที่ผ่านมา +8

    Safi Sana zuri MUNGU akuepushe kabisa na huo uchawi wake.

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 วันที่ผ่านมา +4

    Jaman wanaosubiri harusi ya zatiti na mr tasha gonga like hapa tujuane ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @LucySingini-m1w
      @LucySingini-m1w 2 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤💃💃💃💃

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 วันที่ผ่านมา +4

    Team strong tujuane💪💪💪kma waamini batuli katumwa na candy gonga likes tukosonga

  • @ZubedaAnirkojo
    @ZubedaAnirkojo 3 วันที่ผ่านมา +11

    Naomba like japo 5 na mm

  • @BennTiach
    @BennTiach 2 วันที่ผ่านมา +5

    Hapa kazi tunayo. Batuli umeyakanyanga mama

  • @StephanieJerono-zu2we
    @StephanieJerono-zu2we 2 วันที่ผ่านมา +7

    Msijifanye hamjaona kendi amesave tajili badala ya tajiri😂😂😂

    • @BennTiach
      @BennTiach 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @selestinakazuvi7213
      @selestinakazuvi7213 2 วันที่ผ่านมา

      Jamani jamani watu mnaona tu michapio

    • @violangaira
      @violangaira 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @judymwikali8809
      @judymwikali8809 2 วันที่ผ่านมา

      Macho wewe 🤣🤣🤣🤣

    • @TeresiaJohn-wk3sz
      @TeresiaJohn-wk3sz 2 วันที่ผ่านมา

      😂

  • @Djikondj-on4le
    @Djikondj-on4le 3 วันที่ผ่านมา +7

    n'a ni asia penda zuu kumusaidia ule dada wakazi wake n'a kai nipeni like zangu

  • @hamisichau8975
    @hamisichau8975 2 วันที่ผ่านมา +3

    Waliokuwa wakingoja kwa hamu kubwa sana season 3 house girl tujuane kwa like

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waoo safi nimewai mm mshangazi wa b Kai Hil batuli somoy unajidagaj wallah Tena utajuta ww nao wezio waliokupa kazi wap bibi zuuuu busat tv📷 lete vitu ww waif za Bure za warabu 🇴🇲

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r 3 วันที่ผ่านมา +8

    Zuu huruma zako zitakupoza 😂😂

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy วันที่ผ่านมา

      Hawez kuzulika chochot

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 3 วันที่ผ่านมา +17

    Mzigo huu hapa tunaanza kwa kishindo ila batuli ww 👉👉👉

    • @user-iv6yx5ot6f
      @user-iv6yx5ot6f 2 วันที่ผ่านมา

      We muache batuli ipo siku

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy วันที่ผ่านมา

      Wal sio siku Yani han muda mwingi

  • @PurityKdzo
    @PurityKdzo 2 วันที่ผ่านมา +4

    Tumefika season 3 napenda sana hii tamthili ya house girl🥰😋🥰🙏

  • @ZulfaA-z7d
    @ZulfaA-z7d 3 วันที่ผ่านมา +13

    Wale waliolala satisa jana usiku kusubiri season 3 house girl....like yang y qwanza🎉🎉

  • @AminaMagulati
    @AminaMagulati 2 วันที่ผ่านมา +11

    Mama Tasha nakupenda sana wewe mstalabu sana

    • @busatitv
      @busatitv  2 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 วันที่ผ่านมา +12

    Kweli ni wamwanzo au macho yngu😂😂

    • @FatmaBakar-hl4ib
      @FatmaBakar-hl4ib 3 วันที่ผ่านมา

      Ahah

    • @GreatestSwordsman
      @GreatestSwordsman 3 วันที่ผ่านมา

      Aakaaaa

    • @TimothHofa
      @TimothHofa 2 วันที่ผ่านมา

      Jamaniii napenda kuja mwigizajii naombeni msaadawenuu

  • @EUNICEBENDERA
    @EUNICEBENDERA 3 วันที่ผ่านมา +5

    Tunatamba nayooo😅😅

  • @Mariam-u6z6f
    @Mariam-u6z6f 3 วันที่ผ่านมา +10

    Wa 1 jaman

  • @RehemeAlfonce
    @RehemeAlfonce 2 วันที่ผ่านมา +2

    Habari zenu jamani i hope mko powa karibuni tena kwenye movie yetu pendwa ya HOUSE GIRL ,season3

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nilikua naisubir kwahamu sana house girl msimu wa 3 karibun mtupe burudan busati TV

  • @AmneHabshy
    @AmneHabshy 2 วันที่ผ่านมา +1

    Finally it's done season 3 ishaingia nimwendo wa kuendelea na movie yetu ya house girl kazi nzuri sn mungu awabariki❤

  • @RoseJoseph-e7l
    @RoseJoseph-e7l 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mambo zenu wadau. Mm hata sjui ni wa ngapi na hata sjui like zna umuhimu gan nielewesheni basi

  • @selestinakazuvi7213
    @selestinakazuvi7213 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ila kendy umeigiza kuwa binti asiye na heshima hata kidogo kwa mzazi wake, mama yako unamwita Mwanzani umeshindwa kumuita mama jamani hatariiiiiiiiiii

    • @ZenaAfreka
      @ZenaAfreka 2 วันที่ผ่านมา

      nakwambia anamshinda ata kibendu muuni lkn anamheshimu mamaake

  • @KambaleTemauzenge
    @KambaleTemauzenge 3 วันที่ผ่านมา +4

    Jaman huyu batuli mbona sio mtu mzuri

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw 2 วันที่ผ่านมา

      Ila kitamramba mda si mrefu😂😂huruma niona mm jaman😢

  • @twinkledestar4277
    @twinkledestar4277 2 วันที่ผ่านมา +2

    Season 3 muache kuomba like tumewachoka kuna mambo meng ya kuchangia

  • @جاااحظمجنون
    @جاااحظمجنون 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tuliokuws pamoja kwa live tujuane hapa❤❤❤❤

  • @AryonWambui
    @AryonWambui 2 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda mapendo ya kibendu na mpenzi wake waishi vizuri pis kibendu kumbadilisha tabia

  • @MarykwambokaNyamboye
    @MarykwambokaNyamboye 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mapenzi ingine hamuongelelei ni ya kipendu ❤❤❤❤

  • @carolinenyadzua2458
    @carolinenyadzua2458 3 วันที่ผ่านมา +4

    Team Strong gonga like ukipita 🎉🎉🎉🎉🎉hatujali ng'ooo😂

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kibendu nili handsome boy jmn😂😂 chukua 🌹🌹 yako kibendu nimekupenda bure

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 3 วันที่ผ่านมา +9

    Wakwanza likes bac

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 3 วันที่ผ่านมา

      Kwel watu hatulali tushaidaka tayariii 🤣🤣

  • @FatumaJuma-vk8nv
    @FatumaJuma-vk8nv 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wanabusat wapo chapu we uogop 😂

  • @user-je4hu9ux7i
    @user-je4hu9ux7i 3 วันที่ผ่านมา +2

    Chooni pia mnaenda na simu 5 mins mshajaa😂😂😂

  • @yaredmdabuko
    @yaredmdabuko 2 วันที่ผ่านมา +1

    Gonga like moja kuubwa sana kwa season 3.😊

  • @jecintermumbua2829
    @jecintermumbua2829 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteni sana wana busati akuna kuboeka mpaka mwisho❤❤🎉🎉

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 วันที่ผ่านมา

    Waaaah himeanza vibaya kwa zuu taari Dada wa kazi uko taari kufanya kile halitumwa,, Jameni tumuombeheni zuuh na Kai kwa hajili ya ndoa Yao,, pia na Tasha wako kwa safari ya kuenda kijijini,, mungu hawatanguliya

  • @shamillahsuleiman3431
    @shamillahsuleiman3431 3 วันที่ผ่านมา +2

    😮😮😮😮😮mko rada aje😂😂😂

  • @valentinembwika2321
    @valentinembwika2321 3 วันที่ผ่านมา +2

    Naona hapa ni wanyuma kweli 😅

  • @Tatufadhili-ud6se
    @Tatufadhili-ud6se วันที่ผ่านมา

    Hii house girl imenifunza mengi ambayo nilikua siyajui kwa kweli mbarkiwe wote wana busat tv ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from kenye

  • @SofiaSofia-nc9rw
    @SofiaSofia-nc9rw 2 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani kumbe batuli ametumwa na gupa poleni sana hiyo kazi hautoyiweza lLa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @LucySingini-m1w
      @LucySingini-m1w 2 วันที่ผ่านมา

      ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @swetie6584
    @swetie6584 2 วันที่ผ่านมา +1

    haya na mm naomben izo liked😊

  • @davidmlesha5493
    @davidmlesha5493 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nilijuatu batuli hakuja kw wema

  • @RrShd-vq1xy
    @RrShd-vq1xy 3 วันที่ผ่านมา +3

    Jana hata hajaangalia movie mnaomba like tayari🥲🥲haya na mm mnipee likes zangu😂😂😂

  • @user-qg7wx1ou5b
    @user-qg7wx1ou5b 2 วันที่ผ่านมา

    Kama kuna wananchiiiiii humu ndani tunaangalia house girl toka season 1 adi 3 leo tukutane jumamosi uwanja wa amani zanzibar nawapenda wote❤

  • @MagiMagi-zk3es
    @MagiMagi-zk3es 2 วันที่ผ่านมา

    Batuli kitakuramba mbona unataka kumiza zuu wanaoamini kikundi cha batuli na roho chafu watakikuta tuchuane kwa like

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kwanza leo likes za kutosha nawapata nikiwa Oman 😂😂🎉

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 2 วันที่ผ่านมา +1

    kwann bibi haon kama mjuu wake anatakiwa kupoteza mimba 😢😢😢😢😢sijapenda jaman

  • @UwamahoroFefe
    @UwamahoroFefe 2 วันที่ผ่านมา

    Karibuni tena vipenzi ,toka season 1 mpaka season 3 tuko pamoja na tutazidi ku support kazi yenu,mi niseme tuu ukweli napenda sana hapa kwa mama yake mr tasha

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l วันที่ผ่านมา +1

    Msingetumia cava ya season one hyo cava ya interview ni nzuri

  • @NicksonKahindi
    @NicksonKahindi 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nickson kutoka kenya 254 ndani mapema tuuuu

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nyumba ya wakina yolanda ni vichaa kwanzia mama na watoto wake😅😅

  • @CynthiaKavaya
    @CynthiaKavaya 3 วันที่ผ่านมา +2

    Batuli umeanza kuuthi sana

  • @GloryCute-h9y
    @GloryCute-h9y 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ila nyie watu mna wahiii 😂😂 naombeni like zangu na mm

  • @elizabethobaigwa9521
    @elizabethobaigwa9521 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wow kazi nzuri sana

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani yujuane tuu kwa salam mm ni mtania niko kenya nimeanza mwanz mpk sasa tupo pamoja nawapenda mtot wenu like kwa busat tv😊

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt 2 วันที่ผ่านมา +1

    Eeee Nimechelewa walai but anyway am Back Safi xn kwakuteta season 3 Wana busati Asante sana jaa bless more 🎉

  • @MwanamvuaMtunguja
    @MwanamvuaMtunguja 3 วันที่ผ่านมา +1

    Waoooh nilikuwa naingoja sana s3 Jmn hatimae imetoka

  • @sirielypetrombise519
    @sirielypetrombise519 3 วันที่ผ่านมา +4

    Good one

  • @piusalfons
    @piusalfons 2 วันที่ผ่านมา

    Alotabasam kipengele Cha kibendu na mpenziwe kukumbatiana like

  • @reginakulwa4494
    @reginakulwa4494 3 วันที่ผ่านมา

    Yaan napenda Sana kumuona zatiti akiwa na fraha yeye na Mr Tasha 🎉❤🎉

  • @RizikiMukucha-e7r
    @RizikiMukucha-e7r 2 วันที่ผ่านมา +1

    Walio sikia neno lawa zungu like apa 😂😂😂hila rahma una mambo 😂😂😅

  • @mohamedabdallaseif
    @mohamedabdallaseif 2 วันที่ผ่านมา +1

    Team kenya tulioanza kutoka season 1 naomba like

  • @عبدالرحمن-ض9م
    @عبدالرحمن-ض9م 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mapenzi ya KIBENDU yameanza kuchanua

  • @neemaliweli5040
    @neemaliweli5040 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waliokua wakingoja season 3 kama mm gonga like hapa

  • @omarsaid_1607
    @omarsaid_1607 2 วันที่ผ่านมา

    Asanteeni kwa season 3,,,hongereeeni Sanaa kwa kzii nzuriii!!!!

  • @RizikiStadza
    @RizikiStadza 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team kibendu tupo nakukubali kichaa wangu badilika utunde ua hilo 🎉🎉

  • @HarrietNeema-d9v
    @HarrietNeema-d9v 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wangu wakwanza leo❤❤❤❤ karibuni Kwanye season 3 wapendwa❤❤❤

  • @MussaMashaka-nw8ws
    @MussaMashaka-nw8ws 2 วันที่ผ่านมา

    UsimdharU mama ako na baba ako jamni kama cendy anavyo wadhalau wazazi wake kama unaniunga mkono gonga like

  • @SophiaAntony-im3du
    @SophiaAntony-im3du 2 วันที่ผ่านมา

    Siyo vizuri kutumwa kuvuruga maisha ya watu

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 3 วันที่ผ่านมา +2

    Alfu waomba like mnakera jamani 🥺🙄 daaah!!

  • @WardaSuleimn
    @WardaSuleimn 3 วันที่ผ่านมา +2

    Weew 🎉🎉🎉🎉🎉wenzangu waliokuwa wakiisubil km mim mpo

  • @RovisaElias
    @RovisaElias 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliokuwa tunatamani season 3 ianze tujuane hapa kwa like

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mama Kibendu muace Candy siku atadundiya puwa ndoatajuwa ataliya sisis tukimtizama uku tukicekeleya kwasababu hashauriwi acana nae kabisa mukosaadabu mkubwa😢