MAMA AMTELEKEZA MTOTO KWA JIRANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @gamarahmed3258
    @gamarahmed3258 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mdada itakua kapata tatizo au ajali mana angekua wa kumtelekeza asinge mpeleka kwa mtu anae mjua😢

  • @mwanahamisrashid7787
    @mwanahamisrashid7787 3 หลายเดือนก่อน +4

    Geah nampataje huyo mama nimletee huyo mtoto nguo

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bora hata kmtelekeza kwa mtu kuliko hata angemuu mplekeni kituo cha watoto yatima samahni nimawazo tuu

  • @FlorenceHudley
    @FlorenceHudley 2 หลายเดือนก่อน

    Cute baby. Natamani nikamuone huyu mtoto kwakweli

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekuw Tz huyu mtt ningekuja mchukuw wallah duuh ataachaje mtt bila nguo jaman watuy wamekosa utuy duuh

  • @shabaniiddy5465
    @shabaniiddy5465 3 หลายเดือนก่อน +2

    Gea uyo mtoto nipeni mimi jaman😢😢😢😢

  • @FatmaNoor-ig8iy
    @FatmaNoor-ig8iy 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah mtt mzury jmn😢 anamuhitj mama ake jmn😭mungu amlinde n amkuze 🙏

    • @RamlaKimaro-f2y
      @RamlaKimaro-f2y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani me ningekua na uwezo ningekachukua haka kachubaba kazurii kashununu

  • @SalhaRamadan
    @SalhaRamadan 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah mtoto mzuri mungu amlinde mama mtoto awe salama na mola ampe afya njema huyo mtoto😢😢😢

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah mtoto mzuri! Masikini na vile anahitaji mtoto 💔😭

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ila mama ake inawezekana amepata tatizo amemlea amefikia hapo aje amuache Cyo kweli huenda kuna kilichomkuta jamani

    • @AnithMunuo
      @AnithMunuo 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ukute hata kapata ajali

  • @SalamaJuma-cw3th
    @SalamaJuma-cw3th 3 หลายเดือนก่อน

    Alio achiwa mtto ana Kuna nazi huku n muraaa wa tarime uyu icho kibongo ssa mtto mzuri sn msaidieni wenye uwezoo .

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Nimempenda huyo mtoto mashalll

  • @MeyGreen-ic5cq
    @MeyGreen-ic5cq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekuwa karibu ningemtunza hadi mama toto apatikane

  • @zaitunabdala8170
    @zaitunabdala8170 2 หลายเดือนก่อน

    Apo ukichunguza tatizo wanaume awatoi matunzo kwawatoto wao

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 หลายเดือนก่อน

    Labda mama yake kapata janga kubwa. Pole sana mamma lea tu

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani niwapi hapo 😢

  • @raniahAbdul
    @raniahAbdul 2 หลายเดือนก่อน

    Malalamiko ya mtoto mtundu yanashangaza .angekuwa wao wangesema mtoto mtundu .? Hamuwezi jua labda kapata ajali kafa njiani na hakuna ndugu anaejua mtoto alipo !

  • @saay4273
    @saay4273 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mtihani sana huwenda mam ake kapata tatizo 😢😢

  • @taliyagogo1481
    @taliyagogo1481 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah..

  • @SalmaBinyaga
    @SalmaBinyaga 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto mzuri maashaallah

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mtoto mzuri

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto mzuri jamani,Natamani angekewa karibu nimchukue

    • @RamlaKimaro-f2y
      @RamlaKimaro-f2y 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mtt ni mdogo amewahi tu kutembea akizidi sana ni mwaka mmoja na miezi mi4

  • @annajohn3377
    @annajohn3377 3 หลายเดือนก่อน

    M jmn inawezekana amepatwa natatizo mtoto mzur kenyew kamemzoe huyo mm

  • @ZainabuHussein-w5i
    @ZainabuHussein-w5i 3 หลายเดือนก่อน

    Mtt mzuri maashaallah

  • @cathpeter3565
    @cathpeter3565 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ghati anakuna naz koroma,, ananchekesha mm, alienda phoric

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mm pia nacheka mno 😄

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaniii💔💔😭.

  • @FatiaAhmed-m1u
    @FatiaAhmed-m1u 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto kashamzoea huyo mma maskini

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nipemi mimi hyu mtoto niko na shida ya mtoto😢❤❤❤

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 3 หลายเดือนก่อน +1

      Masikin usiache kumuomba Allah atakujaalia utapata

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 3 หลายเดือนก่อน +1

      Fatilia umlee

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu atakujalia utapata mtoto maana ni baraka

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน

      @@FredMaulid ameen

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน

      @@hawakiza6067 kila kitu awe wngu kabsa

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 3 หลายเดือนก่อน

    Geah ungeweka no yako angalau km mwenye chochote amsaidie huyo Mama aliyeachiwa mtt kw kipindi hiki.

    • @GeahHabibu
      @GeahHabibu  3 หลายเดือนก่อน

      Nicheki whatsap 0658 338878 nikupe namba ya mtu aliyekuwa karibu na mtoto uweze kutuma sadaka yako huko moja kwa moja

    • @latifalayla9990
      @latifalayla9990 3 หลายเดือนก่อน

      @@GeahHabibu mbona hiyo no kw WhatsApp sipati?

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@latifalayla9990+255

  • @btylove1870
    @btylove1870 3 หลายเดือนก่อน

    I swear natamani angeniachia mimi awe wangu forever!

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 3 หลายเดือนก่อน

      Ila Bora huyo aliyemterekeza kuliko wanaotoa mimba na wengine hutupa na wengine kwa hasira huwaua Bora na huyo maana atalelewa na walimwengu atakuwa na atasoma vzr then siku Moja akisikia ana kazi anaenda kwenye media eti natafuta mwanangu tumepotezana naye miaka kadhaa ila wazazi Kuna wakati wanakosea japo ni mungu wetu duniani hufungua milango ya baraka

    • @btylove1870
      @btylove1870 3 หลายเดือนก่อน

      @@FredMaulid Inasikitisha kuona wazazi hawana upendo na watoto wao! My dear mzazi wako sio Mungu wako wa dunia. Mza ni mzazi na Mungu ni Mungu. Hii tabia yakuwambia wazazi wenu ni Mungu wadunia ndio imesababisha wazazi wengi kuwatesa na kuwapelekesha watoto zao kisa wameambiwa ni waungu wa dunia! Mungu ni mmoja tu🙏 🤍

  • @Shuweamussa
    @Shuweamussa 3 หลายเดือนก่อน

    Jmn mtt mzur jmn😭😭😭😭

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie msilaumu sana anaweza kuwa ameshikwa na wale wanaojiuza mkachunguze vituoni 😢

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 3 หลายเดือนก่อน

    Nipeni mimi namtaka