BI MKUBWA AGOMA KUMUACHA BWANA BAADA YA BWANA KUPATA MKE MWINGINE/AOMBA WAWE WOTE WAWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 944

  • @feylove5587
    @feylove5587 3 ปีที่แล้ว +138

    Jaman Leo naitaj like zangu jamn maana sijawai pata laik umu

  • @dedemishi3848
    @dedemishi3848 3 ปีที่แล้ว +25

    Ata Kama lakini pia haifai,8yrs kuishi na mtu sio mchezo,ndio wengine watiwa moto

  • @hilarymgoto4233
    @hilarymgoto4233 3 ปีที่แล้ว +71

    Ila uyo mwenyekiti asingetakiwa amnyanyue hivyo mwanamke ni uzalilishaji.

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 ปีที่แล้ว +15

    Mwanaume atarudi tu mwenyewe kwa mke mkubwa uzuri wa mke nyota ya maendeleo.

  • @ummymsangi1204
    @ummymsangi1204 3 ปีที่แล้ว +27

    Mwenyekiti gan anazalilisha mwanamke hivyo hamna polis Kwan wakike

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani huyu mwenyekir hovyo

    • @seulendisimikanyi817
      @seulendisimikanyi817 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atakupa mwenye heri na wewe cha muhimu tuliae usishindane na mwanaume sifae ya mwanamke ni utulivu

  • @mtitagirloriginal9472
    @mtitagirloriginal9472 3 ปีที่แล้ว +31

    Mmmh sio vizuri jaman mama wa watu kamzoea mwenza wake na mapenz sio ufundi mapenz mazoea tu mwenyew anahaha masikin😥mi najua maumivu ya kumzoea mtu namuonea hurum

  • @vinaah3437
    @vinaah3437 3 ปีที่แล้ว +10

    Wamama wengne wanashabikia, ukiona mwenzio unanyolewa ykotia maji🙌

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 3 ปีที่แล้ว +8

    Wana wake tuwenaakili jamani.mwanaume anamchezea mwenzako anamuacha anakuja kwako na wewe unampokea bila ndoa.na unaringa eti mume aniachie.

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli ndo maana wanamume
    Mnafanyiwa matukio ya petroli sio kwa kudhalilishwa na kuachwa namna hiyo.

  • @marysiom6321
    @marysiom6321 3 ปีที่แล้ว +20

    Huu ni udhalilishaji jamani,
    NDIO WANAWAKE Mkome kuwabeba wanaume wasio na kitu,

    • @husnamfuko6136
      @husnamfuko6136 3 ปีที่แล้ว +1

      Mh

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +2

      Mm nmekoma tena nmekoma kwel

    • @joharichaima4309
      @joharichaima4309 3 ปีที่แล้ว +2

      Yani wanaume ambao hawana kitu ni balaaa bora tu uliache likatafute lenyewe

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +2

      @@joharichaima4309 mm ya hivo ctak ata kuyaona kwenye macho yangu pyuuuuuuuu.

    • @marysiom6321
      @marysiom6321 3 ปีที่แล้ว +2

      @@joharichaima4309 umeonaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @upendoabraham2942
    @upendoabraham2942 3 ปีที่แล้ว +21

    Ndo Mana tunawachoma Moto😅😅😅😅😅😅😅hakuna kutuacha ovyoovyo pumbavu.

    • @sarahtaste2876
      @sarahtaste2876 3 ปีที่แล้ว

      Asante studio mwaka huu wajipange tena waombe serikali iongeze magari ya zima moto

    • @mwanaidyrul357
      @mwanaidyrul357 3 ปีที่แล้ว

      Hivo tu wallah naapa hata Mimi saizi nipo tantion akizingua ni moto tu

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂nacheka utazania mazuri hahaha Alphonse huyo bana 😂😂😂Mwanaume mashine sura hata mbuzi anayo 🤣🤣🤣🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 3 ปีที่แล้ว +32

    Ila Bi Mkubwa ana fanana na Mume wake rangi hadi sura, Mwanaume ataenda kupata shida kwa bi Mdogo

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +9

      Unaambiwa mkikaa kwa mda mrefu mnafanana😂😂😂😂😂😂😂

    • @latifahrashid1273
      @latifahrashid1273 3 ปีที่แล้ว +1

      😄😄😄ni hatar

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว +8

      Mmmmmh Maisha hayaa, yote ni umasikini tuu huu ndio unaosumbua katika jamii,

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mdzainb3722 Miaka 8 sio Mchezo 😂

    • @sirimohammed785
      @sirimohammed785 3 ปีที่แล้ว +4

      Huyu mwanaume ndio kamfuja mwanamke mbona kwenye picha yupo mweupe mwanaume mweusi hivyo hi yo😂😂😂
      Tumeishi mpk tumefanana lakini wapi akaniacha

  • @rosenaheka7100
    @rosenaheka7100 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo bimkubwa na mme wake utafikiri watoto wa mzee Mpili

  • @thobywills1623
    @thobywills1623 3 ปีที่แล้ว +16

    Anachokiongea huyo mwanamke ni kweli wameishi na mwanaume huyo Ndele kwa mda mrefu sana toka mwaka 2014 yupo kwenye haki wanachomfanyia siyo jamaa huyo namfahamu vizuri sana

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mwenyekit kitu ningemfanya asingeamin 😢😢😢😢😢

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyo Bi Mdogo anachokitaka atakipata Hakuna kitu kina Uma kama Mapenzi ,,,Inaumiza saana hasa kwa tulioyapitia kumuachia Mwanaume Mali Ni kumtukuza Mungu Tu bila Ivo petroli inaweza ikatumika.

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa watu hawajui kukata case manake mke mdogo hawezi sema kwamba hataki uke wenza na bwana ni wa mwenyewe. Wangesema kila mtu na zamu yake .

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +34

    Zinaa jamani inagombewa kweri mwishowa Dunia

    • @nareensaleh4957
      @nareensaleh4957 3 ปีที่แล้ว +3

      Kwakweli watoto wazinaa wananadiwa waziwazi hakuna kificho wanawake watajaa masokoni natunayaona kwakweli allah atujaalie mwisho mwema

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      Mwisho wadunia hakuna mtu atakayejua ata watu wamiaka mingi kupita nao walikwisha kusema kama wewe usemavyo so Mungu amaweka siri kubwa katika jambo hilo

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

      mtihani

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 3 ปีที่แล้ว +1

      innallillah wainna illayhi rajiun

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanao gombana huwa hawaachani, Ila Asha Mie,upumbavuu siutaki ,Wala ukewenza siutaki aaende, zake wallah.maisha popote potelea mbali, yaaani hata mume wangu analijuwa Hilo

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 ปีที่แล้ว +9

    Jameni Nani Agetaka Kuachika Msimo Huu Wa Baridi, Kitanda Chenyewe ni Kibaridi, Mume Mwenyewe Amepagaa, Uswahilini Kuna Raha 😂😂😂♥️🇰🇪

  • @ashourahsaleh8958
    @ashourahsaleh8958 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa style hyo wanaume moto wenu upo hapahapa duniani

    • @mwanaidyrul357
      @mwanaidyrul357 3 ปีที่แล้ว

      Hivo hivo tunawakaanga tu kwa mungu wanaenda kumaliziwa

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 3 ปีที่แล้ว +13

    Ila we Geah mkanye huyo mwenyekiti aache hiyo tabia 🙁🙁 anamnyanyua mama mtu mzima hivyo?? Huo ni ukosefu wa adabu na haikubaliki 😏😏😏

  • @mylessmswelo7497
    @mylessmswelo7497 3 ปีที่แล้ว +7

    Ndo maana wanawachoma moto et mm nimeshapata mwanamke mwingine Aya sasa huyo ayende wap wakat umeshamuhalbia usichana wake kazana dada acikuwache huyo

    • @linus275
      @linus275 ปีที่แล้ว

      Wamehalibiana

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamani hivi nyinyi wanaume wazima mnaburuta mwanamke hivyo, hamna hata hata heshima kisha eti serikali ya mtaa. Aibu kwenu

    • @mariamanafi22
      @mariamanafi22 ปีที่แล้ว +1

      Ilitakiwa waitwe askari wa kike wamkamate sio wanaume kumburuza

    • @فيصلالبادي-ح1غ
      @فيصلالبادي-ح1غ ปีที่แล้ว

      Jamani kwaza 😂😂😂😂😂😂😂yani mume pipa wanawake mifuniko sijaona mume wa kugombewa hapo huyu bwana niwakulelewa ndio maana hana msimamo pala lile mngelitia mikofi hapo

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 3 ปีที่แล้ว +5

    Miaka 8 bila ndoa ksha munanunua viwanja cjui na nn, ndio manake munachomwa ovyo... Mapenzi mapenzi mabaya....... (in Saraharmonize voice)

  • @merickmalekela6493
    @merickmalekela6493 3 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂😂 Gea Gea Gea 🤣🤣🤣 nmekuita mara tatu

  • @mwamvitasaidi2630
    @mwamvitasaidi2630 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwanaume atarudi tu kwa huyu mwanamke wa kwanza

  • @maryamdunga3896
    @maryamdunga3896 3 ปีที่แล้ว +15

    Jamani zinaa inagombaniwa uwiii Allah tunusuru hizi aibu

  • @liliankisoka6183
    @liliankisoka6183 3 ปีที่แล้ว +8

    Sasa ndonaelewa kwa nn watu wanachomewa ndani yani unaachwa kirahisi ivyo

    • @awinji4097
      @awinji4097 3 ปีที่แล้ว

      Umeona eeh kinachimuuma kamkuta mwanaume hana maisha alaf leo kapata anaenda kwamwanamke mwingne

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 3 ปีที่แล้ว

      Kweli bora wanachezea mahisia zetu

  • @merryabiaza711
    @merryabiaza711 3 ปีที่แล้ว +9

    Arafu bi mkubwa hajari wara nn yupo konk asaaa

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 3 ปีที่แล้ว +5

    Kuna mtu nimemsikia hapo anasema "anacheza na Chilemba Chilemba akikugeuzia kibao ndio utamjua" 🤣🤣🤣 inaonekana huyo mwenyekiti hana maskhara loooh kumbeba mama mtu mzima kama mwizi si angamfukuza tu hapo ofisini kwake maana hiyo kazi ya jamii lazima uwe na busara

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 ปีที่แล้ว +17

    Wewe mume utasumbuliwa na mke mdogo hd ukome.

    • @zuwenaalamin8985
      @zuwenaalamin8985 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana wanachomwa somo

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 3 ปีที่แล้ว

      @@zuwenaalamin8985 😃😂

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 ปีที่แล้ว

      Kwani mumewee wanazini tu iyo laaana Allah anamtia mitihani naasubiri nahuko Mbele ya haki sijui.atamwambia nini Allah

    • @mwanakombogodoro141
      @mwanakombogodoro141 3 ปีที่แล้ว

      Mme mwenyewe aona haya

  • @munaelmimohamed9912
    @munaelmimohamed9912 3 ปีที่แล้ว +24

    Damn I want to be a street police just to witness these kind of dramas first hand

    • @esadkulovic6777
      @esadkulovic6777 3 ปีที่แล้ว

      Mm pia😂😂😂

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว +1

      Anzia kwenye kuwa mjumbe wa nyumba kumi

    • @esadkulovic6777
      @esadkulovic6777 3 ปีที่แล้ว +1

      @@azizamohd5728 😁ndo apate muendelezo kamili wa uhondo mitaani😊.

    • @floryn1636
      @floryn1636 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅

    • @sittiramadhan782
      @sittiramadhan782 3 ปีที่แล้ว

      In Sh ALLAH nakuombea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว +3

    wanaume wameisha jamani inatakiwa sasa wadada waanze kukubali kushare ili kupunguza uhaba wa wanaume

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman wanawake tyjitambue jaman khaaa tukiachwa Tuachike Mwisho ndio Moto, mara oooh kachomwa kisu kisa kuganda na mahusiano yasio na ya Aman, mwanaume akutak yanin mgando, rizik popote jaman tujikubal wamama, wadada kamq ipo ipo tuuu

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nimezaa kula mtoto na baba ake nzao tatu,kwakero za wanaume Kwanza wanaumiza Roho, Roho yenyewe moja ikitoka Basi, Siwezi akikwanbia nimepeta mwingine muache aende,nakuke atatoka tu sinitabia yake,akirudi dawa yake akukute umepeta mwingine usimsubiri eti atarudi, upumbavuu siutaki,akirudi na magonjwa???

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

      @@ashamwandu6572 nalo tena, bora ta lawama kuliko fedhea

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 ปีที่แล้ว +10

    Bwana anauma nyie imagine hicho kitanda unaenda kulala mwenyewe looh... Baridiiiii 😂😂😂

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +18

    Huyo mwanaume mwenyewe kama katoka jela Leo alafu wanamgombania Bola nifanye kazi tu huku mapenzi badaee 🇴🇲🇹🇿

  • @moudboss2030
    @moudboss2030 3 ปีที่แล้ว +4

    Niliwai KUACHWA ,Nilikuwa Sitoki Nje Nashinda Ndani,Sili Chakula Vizuri.
    Moyo ulipoa lkn Akiri bado ilikuwa inamuwaza Ex wangu.
    Kikubwa Nilikuwa Nawaza Ucheshi wake,Mahaba yke,uthamini wake,upendo wake na vyote alivyonipa kwa Asilimia 100 eti amevifuta kwangu na kumpa mwingine.
    Nikamshukuru Mungu na ku move on.
    Alhamdullah 🤲 kwasasa Naishi Vizuri ingawa Bado Nampenda lkn si kimapenz,amebaki kuwa Ndugu yngu.
    Kauli yngu Ni MOJA kwake #SIWEZI KUMSAHAM LKN HAWEZI KUWA MAISHA YANGU" kauli hii imenipa Ujasili mkubwa na Furaha ya MAISHA.

  • @shamimuabdallah8801
    @shamimuabdallah8801 3 ปีที่แล้ว +5

    Badala ya kushukuru kuachana na zinaa ww bado waililia zinaa basi fungeni ndoa hapo hamna yeyote mwenye haki

  • @mtitagirloriginal9472
    @mtitagirloriginal9472 3 ปีที่แล้ว +6

    Narudia tena kupenda kubaya san huyu kaka anavyomjibu mwenzie kirahis eti simtaki nishampata mwingine daah vifo mnatafuta wenyew 😥😥mama kakonda mpaka kapoteza muelekeo utapendwa saa ngap huyo mama anaitaji faraja anatress

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 3 ปีที่แล้ว +2

      Na yeye ataachwa tu atajibiwa ivyo ivyo nimemuonea huruma huyu mama ningekua Tanzania ningemtafuta

    • @hajeralqaidi2115
      @hajeralqaidi2115 3 ปีที่แล้ว +1

      @@yusrasalum yaani we acha

    • @mtitagirloriginal9472
      @mtitagirloriginal9472 3 ปีที่แล้ว +1

      @@yusrasalum yaan mi niliongea hivyo hivyo moyon

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 3 ปีที่แล้ว

      Eti kapoteza muelekeo. Wabongo mna maneno....? 🤣🤣🤣

    • @amaraemeka7442
      @amaraemeka7442 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakwambia yan kabaki kama mbuzi wa kafara zambi lakin

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila mke mdogo usifurahie mwenzio kuachwa ...mwenzako akinyolewa chako kitie maji

    • @happymboya8045
      @happymboya8045 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa kwakweli yaani IPO siku na mdogo ataachwa hivyohivyo.

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 3 ปีที่แล้ว +3

    Jinsi walivyomnyanyua c sawa,inafaa pia wapate counselling,kisaikilojia kaumia anafaa asaidiwe,kuepukana na ulokaa nae miaka 8 c rahisi,sema kimeumana nacho😁😂,simuachi huyu kadandia gari kwa nyuma😂😂,kazi bwana anayo na b mdogo watakoma wao.

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah , the victim of the domestic violences akiongea bila kujua ukubwa wa physical abuse aliyo suffer , Im glad angalau kajitambua kwamba amepigabia haki yake.

  • @mariambintsaid3814
    @mariambintsaid3814 3 ปีที่แล้ว +6

    duh uyo mwanaume adi kukata vidole anakata jamani! Na meno ango'a yeye! Kweli apenda kujeruhi..wanawake Mungu atunusuru na petroli ipande bei tu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      hata ikipanda bei tutanunua tu pesa gapi kwani

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 3 ปีที่แล้ว +4

    Ndio maana wanawake wanawachoma wanaume,

  • @irenejoster6331
    @irenejoster6331 3 ปีที่แล้ว +14

    Mwanaume macho anavoyapepesa sasa km kajamba ukweni

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 3 ปีที่แล้ว +1

      acha kuniua mbavu🤣🤣🤣

    • @renildevenerand9473
      @renildevenerand9473 3 ปีที่แล้ว +2

      Mimi bado nilikuwa namtafuta mwanaume anaegombaniwa😀😃😃😄

    • @mamaellen4790
      @mamaellen4790 3 ปีที่แล้ว +1

      ha ha ha hii coment imeniacha hoi

    • @mamaellen4790
      @mamaellen4790 3 ปีที่แล้ว

      mwanaume mwenyewe duu wanawake jaman

    • @irenejoster6331
      @irenejoster6331 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

  • @sophiasophia6945
    @sophiasophia6945 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwani we mama haujui sheli? kanunue petroli huko ala

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 3 ปีที่แล้ว +13

    Wanagombea mburula, huyo siyo mwanaume ni kivuli tu. Hakuna mwanaume anaye beba mpaka vyombo vya mwanamke🤣🤣🤣

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa ndugu yangu mimi niliwahi kumuachia mwanamke kila kitu na nikabaki na chumba tu vitu sio issue na vinatafutika

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 3 ปีที่แล้ว +5

    Watu wanagombea handsome wai na kitanda na godoro. Maisha haya😂😂😂😂

  • @pendogeorge1813
    @pendogeorge1813 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyo mwanaume aangalie sana.......vidumu vya petrol vitamuhusu😂😂😂

    • @khneesajumaa2052
      @khneesajumaa2052 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @zuberinyenzi1982
      @zuberinyenzi1982 3 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆

    • @mariamateo9051
      @mariamateo9051 3 ปีที่แล้ว

      Yaani we muache tu na ivi Bibi mkubwa alivyochangamka

  • @mariacassian8548
    @mariacassian8548 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka kweli yaani hivyo alivyo buruzwa 2simuachi mume wangu nampenda 3huyo mume anae gombewa sasa Viombo vinatoka lakini mume hapana

  • @happybryce9715
    @happybryce9715 3 ปีที่แล้ว +3

    Alphonce anagombaniwa watu Wana bahati jamn

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 ปีที่แล้ว +15

    Dada kubali kugaiwa vitu mume utapata. Usiwe king'ang'anizi ukaja chomwa moto bure.

  • @rahmamashaallah2355
    @rahmamashaallah2355 3 ปีที่แล้ว +7

    Bi mkubwa ng,andu bi mdogo ng,andu

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan nimeamin hik ukikiona kibaya wenzio wanakiona kizur yaan uyo mwanaume anae gombaniwa😀😀yaan nimecheka dah uyo mke wa kwanza anajikaza ila kiukwel anampenda

  • @maishayetufilm
    @maishayetufilm 3 ปีที่แล้ว +6

    Dada Geah huyo Baba anakelele Wakati ulipoanza kuhoji hapo, siku nyingine uwe unawavuta pembeni kama unavowavutataga pembeni wakati wa kuhoji dada yangu....🙏🏾

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 ปีที่แล้ว +13

    Yani hawa wanawake km wanaigiza vile...?
    Na huyo bwana ana bahati ya kugombaniwa. 😂😂😂😂🇹🇿🇴🇲

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว +9

    Siku si nyingi utasikia petrol 😂😂😂😂p

  • @hawahaji5108
    @hawahaji5108 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila inauma sanaaa kwa kweli kwa mtu yaliyomfika anajua maumivu yake ila anajikaza sana yaani laivu anamkataaa duh

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 ปีที่แล้ว +17

    Dah jaman 😂wanaume hawana huruma 😂😂

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 3 ปีที่แล้ว

      Mwanaume usimlie ukimlia kosa kubwa akichangamka lazima ahame
      Ukiona kakwama msaidie pale panapo bidi lkn ukibeba majukumu yake umekwesha

  • @sekomzungu2725
    @sekomzungu2725 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Dada achananae mudawako wakuishinaeumeisha utapata mwengine munguakipenda

  • @calisterbosibori151
    @calisterbosibori151 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake hawana masikio...usiwahi mlea mwanaume....wacha akulee la sivyo atafute wenya anapemda period.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 ปีที่แล้ว +16

    Daaaah ila maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tulinunua na kitanda cha kisasa lkn bado aliniacha🤣🤣🤣🤣

  • @victoriakyara8000
    @victoriakyara8000 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mume muda si mrefu atarudi kwa bi mkubwa, bi mdogo anaonyesha mkorofi

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 3 ปีที่แล้ว +10

    Hivi tu chanjo amuja chomwa je muki chanjwa si balaa 🤣🤣🤣🤣

  • @mauamrope7768
    @mauamrope7768 3 ปีที่แล้ว +12

    Wanawake tumegoma kuachika siku izi kaza dada mpaka kieleweke 😂petrol bei chee tu

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 3 ปีที่แล้ว

      acha ujinga🤣🤣🤣

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว

      Ila kweli petrol si zipo lakini mm simooo😃😃😃😃🤭

    • @mwanaidyrul357
      @mwanaidyrul357 3 ปีที่แล้ว

      Mie pia tachangia

    • @Jessy-f9w
      @Jessy-f9w 3 ปีที่แล้ว

      Nimecheka ka mazuri

    • @margarethndyamkama5537
      @margarethndyamkama5537 3 ปีที่แล้ว

      Tunaweza kuchanga kama hela haitoshi kupata Lita tano

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว +13

    ACHIA LIKE HAPO CHINI
    KAMA KWELI GEA LEO KAKUKOSHA
    KAMA MIMI.💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 ปีที่แล้ว

      💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼

    • @mamahafsa2867
      @mamahafsa2867 3 ปีที่แล้ว

      💃💃💃

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani sio vizuri kumdhalilisha huyu mwanamke mhhh yasikitisha wallahi

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona kuxalilishana kumuburuza hivyo ndonn sasa jamani siumwachie huyo bn AI

    • @haskao77
      @haskao77 3 ปีที่แล้ว

      Hukusikia aliambia aende kwa amani akakataa

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

      @@haskao77 wangemuacha angeamkaa mapenzi haya mwaka watachomwaa wengi huyo akivurugwaa naye atapindua serilakali

  • @ironefacemsovela4504
    @ironefacemsovela4504 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume ckuiz mnarogwa wanawake wachawi knoma,tena Hawa michepuko

  • @winnieminyalla9430
    @winnieminyalla9430 3 ปีที่แล้ว +4

    Kesho watarudiana hawa bi mdogo anamfundisha mume majibu anajua mapenzi huyu? Nyumba uliyoizoea ngumu kuiacha mtaniambia 😄

  • @shanawilliam1050
    @shanawilliam1050 3 ปีที่แล้ว +2

    Msema kweli mpz wa Mungu.

  • @angelkapimba2434
    @angelkapimba2434 3 ปีที่แล้ว +9

    kwani alphonce mwenyewe anasemaje. 😅😅😅 asije akachomwa tu moto....

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣ndo dawa yao

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 3 ปีที่แล้ว

      @@prettyh7509 achomwe moto🤣🤣🤣🤣

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 ปีที่แล้ว

    Daah uyo mke mkubwa amejikaza tu ila kiukwel kama mtu unampenda SI rahis kumtoa moyoni lkn kwakua Mwanaume amekir mbele za watu kua hamtaki itabid tu akaze moyo atazoea na maisha mengine lazma yaendelee

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 3 ปีที่แล้ว +7

    Bi mkubwa kaishi na mume miaka 8 had wamefanana wenyewe 😂😂😂

  • @jayjay173
    @jayjay173 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mm naishi Burundi 🇧🇮naitaji mchango nihamiye Tanzania 🤣🤣🤣sio kwa umbea huo 🤸‍♀️muna enjoy peke yenu 🙌🙌

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 ปีที่แล้ว

      Ukitaka kuhamia kwetu Tanzania jifunze Kwanza Kiswahili vzr 😂😂😂

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣❤️

    • @jayjay173
      @jayjay173 3 ปีที่แล้ว

      @@zuleyvendor6577 sindo pole pole 🤣🤣nanikijuwa ndo nitakufokea hadi ukome 🤸‍♀️

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 ปีที่แล้ว

      @@jayjay173 😂😂😂😂🤣

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtihan wallah huyu mwanaume mbaya sanaaa

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 ปีที่แล้ว

      Hayo ndo malipo ya zinaaa ndo yote hayo

  • @elizamwakitalu1194
    @elizamwakitalu1194 2 ปีที่แล้ว

    Mbona akitulia akiridhika akapaka ki rotion mzuri tuu uyu dada na ivo mchakalikaji Mungu atampa mwingine bora kuliko uyo ila uyo baba atamkumbuka

  • @maryamdunga3896
    @maryamdunga3896 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume mwenyewe khaaa embu wanawake tafuteni pesa mpate wanaume wamaana

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 ปีที่แล้ว +2

    heka heka siku si nyingi tutaona huyu mama akiwa analala nje mlangoni kwa huyu mume

    • @esadkulovic6777
      @esadkulovic6777 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapa b mdgo na bwana hawatapata amani,but vzuri huyu mdgo atachoka karibuni na bwana atarudi kwenye hekaheka zao,wamezoeana hawa inakaa hawaachani.

  • @marycianaanthony6385
    @marycianaanthony6385 3 ปีที่แล้ว +7

    Hahahaaaaah jmn, NDOA zimekuwa ADIMU. Mweeeh

  • @samymacho6806
    @samymacho6806 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndo maana mnatiwa moto wewe mwanamke amekuvumilia miaka amekuokota uko unakuja kufanikiwa unamuacha mtu wakati mmeteseka wote inauma kwakweli na inaitaji busala sana na akiri vinginevyo kidumu kitausika tu

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 3 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahaaaa huyo mume atarudi hapo sio muda uso unaonyesha 🤣🤣🤣

  • @chunaaeddo3387
    @chunaaeddo3387 3 ปีที่แล้ว +1

    Serikal ya mtaa wasenge wanamdhalilisha mwanamke

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +9

    Jamani raha hivi sisi single tuna feli wapi😂😂

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio sawa hadi mke mwenza pia anamvuta kumuingiza kwa bajaji Jamani. Wenye viti nao ni wagongaji vichwa wanahongwa tu ni vigeu geu .

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 3 ปีที่แล้ว

      Mla huliwa ipo cku na yy atalizwa inshaallah 🙏

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 3 ปีที่แล้ว

      Uyo Mwanaume km mfungwa

  • @rahimaan6481
    @rahimaan6481 3 ปีที่แล้ว +5

    Duuh huyo mwanaumeee 🙆🙆😂😂 kwel wanaume dili 😀😀

  • @gracekulemba2264
    @gracekulemba2264 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu mbaya saaana huyo bi mdogo hataishi na huyo bwana kabisaaas huwezi jua bi mkubwa alikuwa anavumilia mangapi

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikiangalia sura zao kuanzia mume adi hao mahawara zake wote walevi

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 3 ปีที่แล้ว

      Hv kuwa na suraza hivyoo ndo ulevi amaa angekuwa mzaz wako anaaambiwa hvyoo ungejisikiajee acha majivunooo

  • @mtitagirloriginal9472
    @mtitagirloriginal9472 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mume atamkumbuka huyu mama yey haki ya mungu tena macho yamemtoka kama anazama baharini

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 ปีที่แล้ว +8

    Wanaume jamani ndo maana mna chomwa myoto 💔

  • @hawaahmad2107
    @hawaahmad2107 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila uyu mwanaume dhambi zitamtafuna

  • @emmajud1237
    @emmajud1237 3 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂 nimecheka kama mazuri khaaaaaa 😂😂

  • @rachealkitawa2153
    @rachealkitawa2153 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii story uyu mme atakuja kurudi kwa uyu mkeo mkubwa

  • @suhaymerhummu4793
    @suhaymerhummu4793 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume mwenyewe ss mm hoi unakaaje na MTU miaka 8 bila ya ndoa jmn

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      watu wengi mjini wanaishi bila ndoa

    • @khadijeegundumu4651
      @khadijeegundumu4651 3 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 nikwer kbs

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      @@khadijeegundumu4651 utasikia mtu anasema mme wangu kumbe hakuna mme

    • @khadijeegundumu4651
      @khadijeegundumu4651 3 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 awa wanaipenda zina balaaaa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      @@khadijeegundumu4651 halafu umri uneenda na bado hawajitambui kuwa kifo kinasogea

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mtazamo wangu huyo mke wa mwanzo ni chakaram lakini ni mke bora kwake,mvumilivu na alikuwa anamapenzi ya kweli huyo wa pili ni mkimya lakini mmmm sioni watadumu bwana atarudi mwenyewe kwa mkubwa wanapendana hao ni tamaa ya kimwili na ibili tu huyo bwana imemuingia ila nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mapenzi haya mashaka matupu.

  • @gmwanaabc7492
    @gmwanaabc7492 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mwanaume mwenyewe sasa anae gombaniwa kanyata 🤣🤣🤣

  • @carolcamilla2662
    @carolcamilla2662 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ndio wanawake tunapofeli,unawezaje kuishi na mwanaume Miaka nane bila ndoa

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 3 ปีที่แล้ว +4

    Kudhalilika kote huku kisa nini? si aachane tu na huyo mwanaume