SNURA ATEMA NYONGO, BIFU LAKE NA SHILOLE - "ANATAKA NIFE, ALINIABISHA MBELE YA RAIS"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • SNURA ATEMA NYONGO, BIFU LAKE NA SHILOLE - "ANATAKA NIFE, ALINIABISHA MBELE YA RAIS"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 248

  • @chawahirelmymashlalltaabar4949
    @chawahirelmymashlalltaabar4949 2 ปีที่แล้ว +9

    Snura she amazing woman

  • @leonardcharles9654
    @leonardcharles9654 2 ปีที่แล้ว +48

    Ila hata mm sku ile shsh nilimuona hana akili, alikudhaliliisha sana

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +1

    Shishi hakufikiii

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha unafiki

  • @amourdelicieuse2961
    @amourdelicieuse2961 2 ปีที่แล้ว +1

    We mdada snura achana na jina la shilole uko Mnafki sana,alikwambia ukweli you you you...na kuvaa vibaya mipaji lamiguu mbaya

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana shilole akapigwa na Uchebe kidogo atolewe jicho

    • @moseskiwele1054
      @moseskiwele1054 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂hasa inausikaje hapa ss

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 2 ปีที่แล้ว +1

    You you you 🤣🤣🤣

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +18

    Snura kweli umeamua kutoa dukuduku lako toa nyongooo😂😂😂😂

  • @lovenessgodson1075
    @lovenessgodson1075 2 ปีที่แล้ว +49

    Shishi anapenda sana sifa na kujitoa ufahamu sifa za kijinga tu

  • @wandomligite7889
    @wandomligite7889 2 ปีที่แล้ว +17

    Ongea dada usikae na maumivu moyoni utakaemkera mkere tu yaani tukerane tu kwasasa

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 ปีที่แล้ว +18

    SHILOLE ANA WIVU NA WASANII WENZAKE. ANAJIONA YEYE NDIO BORA KULIKO WENZAKE. KUMBE MSHAMBA HANA HATA PESA. SHILOLE NI MNAFIKI ASIPOPEWA DILI LA KUPIKA KWENYE SHUGHULI ZA MASTAA ANAKASIRIKA. ANATAKA TU YEYE AWEANAPEWA DILI LA KUPIKA TANZANIA NZIMA. MJINGA SANA

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +24

    Love snura 🥰🥰🥰🥰🇴🇲🌹👌

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 2 ปีที่แล้ว +17

    Na kweli majanga ilikuwa majanga kweli kweli 👌👌👌👌

  • @juyasalim3975
    @juyasalim3975 2 ปีที่แล้ว +18

    Kiukweli..yule shishi ni mshamba...xana!ata life yake ya kujikwaza

  • @faudhatymalembuka7151
    @faudhatymalembuka7151 2 ปีที่แล้ว +17

    Nakupenda xan snura

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi hili shoga la madevu kama siafu laitwaje?? Yani limekaa kishamba kila saa ni You you you you na maswali ya kisenge TU

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว +22

    Ila Mimi ShISHi simkubali ata kidogo, anaingia mno ni lidada flani ambalo halijiheshimu kabisa linaongea mpaka linavyokula

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 2 ปีที่แล้ว +2

      Acha upumbavu wewe umemzaa ww kwani mbaka umchukie mpumbavu mkubwa ww 😏

    • @alexkalonga5323
      @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว

      @@sukariyao6537 hahahahaaaaa anaongea Sana huyo B mkubwa mpaka anaboa

  • @HalediMndewa-i4n
    @HalediMndewa-i4n 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wewe mjinga xana mtu akusumbue ukifanya hivyo shishi fundi knoma

  • @mshihiliramadhani9088
    @mshihiliramadhani9088 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakweli snura hata mimi nilikua live sijapendezwa alivyofanya shishi

  • @swaumumustapha4926
    @swaumumustapha4926 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda snura Allah akufanyie wepesi kwa kila hatua dada yng kikubwa dua kipenzi achana na wanafki

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna haja ya kuhangaika dada Snura, wewe endelea na utulivu wako dada, wewe tulia, kaa kimya fanya yako dada, angalia yajayo na usonge mbele...

  • @Directortomwillz
    @Directortomwillz 2 ปีที่แล้ว +3

    Snura noma sanaaa unajua kuimba dadaye2
    Https://th-cam.com/video/wvhQshThSaw/w-d-xo.html

  • @leylahamady252
    @leylahamady252 2 ปีที่แล้ว +10

    Huyu Dada nampenda Sana jamn anajiamini shishi nmakelele t ht kuomba hajui ashukuru mungu anavihela kidg laasivyo

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 ปีที่แล้ว +1

    Toka.Sikh alokuzalilisha.nimchukia shishi.mpaka Leo kumdhalilisha.mwanamke mwenzio sio.poa

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana dada Snura, mvumilivu hula mbivu...

  • @jokhasaid8666
    @jokhasaid8666 2 ปีที่แล้ว +3

    Watangazaji achani kuchochea ugomvi. Hamna weledi aibu yenu

  • @jokhaseif893
    @jokhaseif893 หลายเดือนก่อน

    Ma nafik8 utawaona wengi ila funga ma skiyo najuwa watataka usiokoke ila Allah kakuokowa dada yangu

  • @charleswilliam6221
    @charleswilliam6221 2 ปีที่แล้ว +2

    Shilole aache uswahili kupenda misifa atulie kuimba kwenyewe hajui nyimbo zote anajisifia lkn hakuna wimbo wa maana aliyoimba snura big up endelea kukaza

  • @zainabuyohana3780
    @zainabuyohana3780 2 ปีที่แล้ว +3

    Shilole nae hakutakiwa kuongea Yale kwenye umati was watu mkubwa vile huko ndio kilicho mpeleka kule

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 2 ปีที่แล้ว +7

    Hakika hiyo ngoma ilifunika everysongs

  • @NginaBaruty
    @NginaBaruty หลายเดือนก่อน

    Na Hk walikuwa wanakulana kitambo na shilole Toka shishi akiishi kinondoni ,hata HK alikuwa anaishi kinondoni

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo wacheni vinyongo na mabifu haifai tukumbuke Duniani ni mapito tu

  • @husseinyassin3237
    @husseinyassin3237 2 ปีที่แล้ว +12

    Dada unauliza vitu makini sana salute

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwenyemidevu kama beberu aliepotelea mwituni usipende kumuigizia au kua unawaigizia watu wakiwa wanatoa elimu na ushauri

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Kadange hukoooo mwenzako anauza zake ubwa ubwa muache Tena umkome shishi wetu

  • @naomihamisi1502
    @naomihamisi1502 2 ปีที่แล้ว +2

    Majanga ilikua babu kubwa nabado naipenda

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg หลายเดือนก่อน

    Jamani msimkubushe hivyo vittu

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d หลายเดือนก่อน

    Shishi Kwa ujumla ana roho mbaya ya koroshho

  • @myndasteven7869
    @myndasteven7869 2 ปีที่แล้ว +3

    Huu mwaka watu wanatoa ya moyon haki wameamua kwakwel

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 ปีที่แล้ว +2

    Sinura ni msitarabu sana haki hana makuu, ila shishi anakiki za kijinga ndo maana alibakwa

    • @salamashabani7922
      @salamashabani7922 2 ปีที่แล้ว

      ALIBAKWA NA NANI HUYO ALIMSINGIZIA TU YULE KAKA, ANAONEKANA ALIKUWA MALAYA TU HUYO MAMA MINYONYO HANA AKILI KABISA

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 หลายเดือนก่อน

    Machozi yako hayatapotea bure

  • @josephshangarima1687
    @josephshangarima1687 2 ปีที่แล้ว +3

    Lakini Majanga ulimtungia nani mana ile ngoma ilikua na point au unachonga mbao upande wako tu?

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 2 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda Snura nampenda Shishi😘😘😘😘😘

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 2 ปีที่แล้ว +3

    Siingilii ugomvi wenu! Baadae mkipatana nisje nkaaibika mimi

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuh kumbe ukiwa na maendeleo chuki za waja zinaongezeka.

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mama mtu mzima kama wewe kuzungumzia kitu kimoja kila interview pia utapotea kila siku jambo moja miaka karibu miwili hatujakuskia leo tena umekuja na hilo hilo bora ongelea kazi zako

    • @nurahathumani8467
      @nurahathumani8467 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameulizwa na ameambiwa aelezee

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa ww ulitak ajibu nini wakati kaulizw,

  • @jenniferfungo2424
    @jenniferfungo2424 2 ปีที่แล้ว +4

    Mm naikumbuka hii ishu shilole alikosea Sana

  • @violethbagila905
    @violethbagila905 2 ปีที่แล้ว +4

    Msamehe dada Mungu anajua

  • @tontourassa6834
    @tontourassa6834 2 ปีที่แล้ว +2

    Na kupenda mchaga mwezangu

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi hamumjui snura nimnafiki

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 2 ปีที่แล้ว +1

    Tapika amonize mbona ametapika ila wewe amkupeana mikono

  • @zou7470
    @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakwel shishi kipindi kile alizingua but huwa anajitosa akili anamisifa sana chichi beby 🤣🤣🤣

  • @plamedipascal9298
    @plamedipascal9298 2 ปีที่แล้ว +6

    Shilole ana chuki sana,kiasi kwamba ana mkosea adabu the king of bongo fleva.snura uko vizuri.from 🇨🇩

    • @Lilmbunda
      @Lilmbunda 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/KJ8wEYFq_I4/w-d-xo.html

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว +4

    Shishi hana ishima.vingi vimbele...mgala muuwe haki yake mpe..alipokuwa na uchebe kiasi heshima alkuwa nayo

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 2 ปีที่แล้ว +1

    Bingwena acha kumwita mwenzie yuyuyuyu

  • @jumangomuo-ho7il
    @jumangomuo-ho7il 6 หลายเดือนก่อน

    Kitendo alichokifanya shilole ni ujinga hajitambui

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 2 ปีที่แล้ว +3

    Shishi hana akilii kabisaaaa

  • @marymbogamboga8364
    @marymbogamboga8364 2 ปีที่แล้ว +1

    Haha Sasa konde kafungua milangooo🤣🤣🤣

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d หลายเดือนก่อน

    Snura uko vyema Sana

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 ปีที่แล้ว +2

    Alikuvua nguo kwa kweli

  • @chanchubasammy4562
    @chanchubasammy4562 2 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli huyu dada ana hekima sana

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +11

    Nampenda saana wallah 🥰🥰🥰shishi chizi yule

  • @mwanashazingas6684
    @mwanashazingas6684 2 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa sunura uko sna kwa upande wa kuongelea mwanaume

  • @muddymuddy9022
    @muddymuddy9022 2 ปีที่แล้ว +1

    Malkia wetu wa uswazi snura mushi

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Umkome shishi wetu humuwezi nyani ww

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 2 ปีที่แล้ว +2

    snura nakupenda bure dadaake

  • @felistawilliam6737
    @felistawilliam6737 2 ปีที่แล้ว +2

    Sema ajifunze👌👌👌👌

  • @frankkalanda872
    @frankkalanda872 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mtangazaji mwenye kikofia cha njano,mchonganishi

  • @chumbulajames9895
    @chumbulajames9895 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo yule n punguwan kitambo2

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu6731 2 ปีที่แล้ว

    Alivyo ongea ukweli kinds kuhuc daimond watu walisema Sana je! Nsura alivyo ongea ukweli kuhuc shilole je! Anamakosaaa,??

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +3

    Bora alivyokupa za uso ulizidi kujitia ujuzi kwenye ndoa yao na kujipa ukungwi wakumfundisha shilole wakati wewe mwenyewe hapo ulipo hata pete ya bati huna ulovyalisha,na alikukosea angekurarula kabisa na radi ya maneno palepale ili ukimbizwe muhimbili 😄

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 ปีที่แล้ว

      Alisema.ukweli mwanaume huezi kimdhalilisha mbele ya watu yeyee alimfahamisha

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว

      @@ukhtyrayyan7884 Angetaka kumshauri angemfata kwake na si kwenye media,

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +6

    Snura mkweli kabisa mungu atakusimamia

    • @hafidhsalim1077
      @hafidhsalim1077 2 ปีที่แล้ว

      Mtoto mzuri rukia

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

      @@hafidhsalim1077 mimi mtoto mzur😂😂😂

    • @hafidhsalim1077
      @hafidhsalim1077 2 ปีที่แล้ว

      @@rukiaiddyyahaya9506 naam mtoto mzuri sana MashaAllah

  • @dionisiajohn519
    @dionisiajohn519 2 หลายเดือนก่อน

    Shilole omba msamaha alimuumiza sana huyu Dada, acha ugomvi shishi.

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ananajikisha tuachie shishi wetu

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 ปีที่แล้ว +1

    Jianaume lina madevu na mdomo kama mdada

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว

    Mtu akikudhalilisha huna sababu ya kujibizana nae unatakiwa kumsamehe na kupita

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +10

    Snura kweli ngoma ya majanga ilikuwa babkubwa! Shishi linskuonea wivu,mtu mwenyewe lilikuwa lauzaga nyanya,ndo likaletwa town na tanboy,ndo akaja liowa.

    • @omarymzenji6435
      @omarymzenji6435 2 ปีที่แล้ว

      Kuma la mama ako mbwa ww

    • @irenejoh1242
      @irenejoh1242 2 หลายเดือนก่อน

      Team shishi sie ommy❤❤❤​@@omarymzenji6435

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada snura. Ulifanya kitu cha maana sana kunyamaza

  • @luciamziray2114
    @luciamziray2114 2 ปีที่แล้ว +1

    Snura nakupenda sana shishi asikuvuruge

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Punguza unafiki snura

  • @costantinebahakaso3736
    @costantinebahakaso3736 2 ปีที่แล้ว +1

    Wivuuuu kakupita maendeleo

  • @samwelntelemko9165
    @samwelntelemko9165 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada snura unajielewa sana maana hukulupuki

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 2 ปีที่แล้ว

    Piga kazi sister,,,,achana na watu ambao hawana hekima katika kutafuta

  • @omarymzenji6435
    @omarymzenji6435 2 ปีที่แล้ว

    Majanga haikua nyimbo yako ya kwanza acha unafkia mwanadada

  • @muddymuddy9022
    @muddymuddy9022 2 ปีที่แล้ว +1

    Snura hawakuwezi dada yangu

  • @kiya0910
    @kiya0910 ปีที่แล้ว

    Tatizo la shishi apenda sifa nakujifanya anajua

  • @alberthndiuka8087
    @alberthndiuka8087 2 ปีที่แล้ว

    Watangazaji mbona kama mnamchora snura, mnamchimbachimba!🤔🤔

  • @anithasulle9107
    @anithasulle9107 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe we na shishi haviivan mpak leo jamn🤣🤣🤣mwish wa mwaka huu 🥺🥺

  • @ramadhanrajabu6772
    @ramadhanrajabu6772 2 ปีที่แล้ว +2

    Wala usingefanya umeumia apo ingemuuma zaidi shilole tunakukubali sana snura ww ni bora mara elfu ya huyo mbwa koko

  • @WelimaAdonias
    @WelimaAdonias 2 หลายเดือนก่อน

    Shilole saiv kapat kiboko yake😅😅

  • @lucyheigre3125
    @lucyheigre3125 2 ปีที่แล้ว

    YA NIPE MKONO,YAMEHAMIA KWENYE YOU YOU, YOU🤣🤣😅KHAAA

  • @shamayzawahir2508
    @shamayzawahir2508 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana mwanaume abakie kuw mwanaume. Tu

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo shishi anampenda sifa hatizami pahala pa kutafuta sifa

  • @younggraphers8819
    @younggraphers8819 2 ปีที่แล้ว +3

    SANTE SNURA

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Snura ni mnafiki

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 ปีที่แล้ว

    Baba le anatia aibu na mke wake anakazi

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nibmnafiki

  • @mariamsalim4052
    @mariamsalim4052 2 ปีที่แล้ว +3

    Wee mbea unaongea uongo ulisahau uliposema amefanya vizuri kupigwa mwanamke unafurahikiaje mateso ya mwenzako wivu utakuuwa

    • @edinawilliam2943
      @edinawilliam2943 2 ปีที่แล้ว

      Kiukweli kusema ivyo alimkosea alimshusha hadhi kweli japo sijui wanamashida gani ila pale kwa watu wengi pia angekaa tu kimya nimiaka imepita

    • @mariamsalim4052
      @mariamsalim4052 2 ปีที่แล้ว

      @@edinawilliam2943 hata yeye alisemà mbele ya watu hata kama una chuki na mtu usimchekeelee mwenzako wakati wamabaya mwenzio amepigwa nusra kutolewa macho unaschangia wakati unajua sio sawa

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 ปีที่แล้ว

      Ulimwona?

    • @mariamsalim4052
      @mariamsalim4052 2 ปีที่แล้ว

      Tema ata utumbo tit for tata usolipenda mwenzio usimfanyie

    • @mariamsalim4052
      @mariamsalim4052 2 ปีที่แล้ว

      @@rithadonatus8110 waniuliza kama nanii

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo alisha uza uwanaume wake ni chawa, hahaha