SHEIKH JONGO AWARIPUA MASALAFI, MNACHUKIA RAIS KUOMBEWA? MTU AKIFA HACHEKWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 71

  • @feelfreetosee8961
    @feelfreetosee8961 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu MunguMungu kwa nini ulimi wako usimakinike na kusema Allah Allah Allah. Allah atuongoze

  • @abdullahissa7548
    @abdullahissa7548 5 วันที่ผ่านมา

    Masheikh siku hizi wanapiga makampeni misikiti na sehemu ya mikusanyiko ya waislamu hasibiallah

  • @arafatmahmud3547
    @arafatmahmud3547 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa watu wanahubiri Amani nchi hii kuliko Masalafi, lakini wanafanya hayo kutaraji radhia za Allaah hata kama hawapati pesa wala Bahasha yoyote kutoka kwa Waheshimiwa. Vitabu vya Aqida vimejaa mafunzo ya kuwaombea viongozi na watawala, kwa hiyo kuweni wakweli na waadilifu kwenye kazi yenu, kutaraji malipo kwa Allaah Ta'alaa.

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 6 วันที่ผ่านมา

    Lakini dua la kiongozi mwadilifu, aliedhurumiwa, aliefunga saumu, huwa azina wa kuzipeleka huwa zinajipeleka yenyewe mpaka mbingu ya saba sijui tumepokea visivyo mtatusahihisha na kama mnatuakikishia neema kama wakati wa arun rashidi basi toa hakikisho ili kila mmoja wetu aongeze dua lakini kikampeni si vyema kumtumia mwamvuli wa dini ili hali haki iko mbali ni hatari

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah 6 วันที่ผ่านมา

    Masheikh mnasaporty kuongozwa na mwanamke ? Wakati siyo saw?

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe kweli mzushi soma QURUANI acha kudanganya uma wewe na NABII Sweleiman nani yukokaribu na ALLAh je waislam hawjui kisa cha balkis umetangava vita na ALLAH kusapoti uongozi wa mwanamke kiislam inafaa je mtume mohamad sw kasemaje itafika zama wanawake watataka uongozi mjuwa mjuju wako karibu kitoka kuja kuwatafuna mashekhe kama hawa na wahatibifu wengine ALLAH tunusuru na adhabu yarabi tunuduru na mashekhe

  • @AbuwJuhaymah
    @AbuwJuhaymah 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mngejua madhara ya mwanamke kuwaonguza watu wallahi mngemnasihi aachane na Uongozi....nakama hamuwezi kumpa nasaha basi kunyamaza kwenu ingekuwa nibora sana lakini kumsapoti nikuuaminisha Umma wa kiislamu kuwa mwanamke anafaa kuongoza na nimbaya zaidi kwahilo vazi lenu la USHEKHE

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 6 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ni mjinga wa elimu ya tauhiidi, hakuna jambo linatendeka kinyume na utashi wa Allah hivyo kuwa rais wa Tanzania mama Samiat Allah alishampangia cheo hicho kupitia Izza yake wajalalihi kwakuwa Allah ni MUQADDIMU HADHA QABLA HADHA MUAKHIRU.
      Hata hivi Allah anajua kama Rais Samia atakuwa Madarakani ,Allah anajuwa Samia atatawala muda gani na atafanyanini katika utawala wake na ameishapitisha ni utekelezaji unamsubiri rais Samia. allahumma Allah amjaalie afya njema na utawala bora.

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@ismailhassan5209kwahiyo kwa udhuru huo hata hata firaun na Abuu jahl tuwape udhuru kuwa Allah Alipanga wawe wapingaji kwahiyo hakuna lawama kwao ndo unamaanisha eti

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani ss ndio tuliomchaguwa na hata ungevimba upasuke huwez zuia kuwa rais n sawa na adam kutolewa pepon half uje uanze kumlaumu nabii adam kwann alifanya kosa lkn n kusud la Allah lazm atoke pepon ila adam hakuwa anajuwa ndio maana kapewa mtihan, Sasa na ss huu n mtihani lazm tumuelekee Allah atupe Kher zake huyu rais kwasabb huwez muombea mabaya et kwasabb n mwanamke, itakuwa dini huijui ww wasomea gugo

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 6 วันที่ผ่านมา

      @@AbuwJuhaymah ww ulitaka waislam tumpinge kwa akili yako hiyo

    • @AbuwJuhaymah
      @AbuwJuhaymah 6 วันที่ผ่านมา

      Mimi nilifikiri mtanijibu kwamba Uislamu unaruhusu mwanamke kuwaongoza Wanaume....kinyumechake mnatoa maelezo meeeengi dah ujinga mzigo sana

  • @AbuwJuhaymah
    @AbuwJuhaymah 6 วันที่ผ่านมา

    Mnashindwa kutuelewa Masalafi....Sisi muislamu yeyote akifa tunamwombea Rahma na Maghfira....lakini pia hatuwezi kuacha kufurahi kufa kwa mtu mzushi aliyekuwa anaiharibu Dini hii kama tulivyofurahi kuuwawa kwa Abood rogo...yani tuhuzunike kuondoka mtu aliyekuwa anaiharibu Dini tutakuwa tunaakili kweli..!

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw 6 วันที่ผ่านมา

    Kazi ya kiongozi wakisilamu ni kuwaunganisha waumini.yuko kiongozi nyinyi mlioko chini mnamanono sana jonngo na wengineo. Sifa zimezidi.

  • @thabitsaidi1507
    @thabitsaidi1507 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mkishamaliza kuzungumza ntwambie bilion 2 ziko wapi
    Bado hatujasahau naona mnataka kujipendekeza kwa mama kwakuwa mnajua mlichokifanya

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 วันที่ผ่านมา

    WALLAHI UBAKWATA NI MTIHANI

  • @SaidOmar-u7c
    @SaidOmar-u7c 5 วันที่ผ่านมา

    Katika uislam hakuna kiongozi mwanamke Wacha kupotosha umma wa kiislamu

    • @jacksonhantik7597
      @jacksonhantik7597 4 วันที่ผ่านมา

      Kwani anaswalisha hapo? 😅😅

  • @arafatmahmud3547
    @arafatmahmud3547 6 วันที่ผ่านมา

    Nadhani hawa waandishi huwa na ushabiki na kukosa uadilifu katika kazi zao, halafu ukiwakosoa wanakuwa wakali na maneno ya kejeli, sasa hapo katika maneno Jongo Masalafi wanaingiaje?!

  • @AbdallahAbedy-yk9ft
    @AbdallahAbedy-yk9ft 6 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwani baathi yamashehe mnaugawa umma wakiisilam kwakotokua nautulivu katika jumbezenu hakunamtu anaesema kumuombea raisi Dua nibidaa hionichukitu kwawana sunna napia tumieni midia vizuri kuunganisha umma wakiisilam faida itapatikana

  • @hasani-mq6ei
    @hasani-mq6ei 4 วันที่ผ่านมา

    Tatizo sio dua tatima wewe kuagiza maika umevumka mpaka alafu kuwa makini na matamshi yako hii ina dhirisha kwa watu ushrikina wako kwa kutumia majini ..mucheni MOLA wenu na semeni ya haki.

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 6 วันที่ผ่านมา

    Acha upotoshaji,hakuna pote lolote duniani linaongoza kuwaombea viongozi,kuwa na Rahma nao,na upole kwa viongozi,Bali kuwadhania dhana njema,Hadi wakafikia kuitwa ghulaat altwaa'a wachupaji mipaka wa kutii watawala,

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 6 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania hii hakuna watu wanaomuombea dua njema Raisi Kama masalafi Unazungumza uongo sana Hem sikiliza khutba zao

  • @AbbasMosi-g4s
    @AbbasMosi-g4s 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mzee ana jambo lake tu!!

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 6 วันที่ผ่านมา

    Acheni malumbano waislam kwa waislam tunaifundisha nini jamii haya mambo hayana msingi toeni mafundisho mazuri kwa ummah sio kukaa katka viriri kukosoana sote ni waislam

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 5 วันที่ผ่านมา

    Comedian

  • @KarimuIddy-w8x
    @KarimuIddy-w8x 6 วันที่ผ่านมา

    Tatizo uchawa ni mwingi kuliko haki

  • @Nabeel-22
    @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา

    Yaani Uyo jongo ata uelewa hana hajui ata nini alichopigwa kuongea Yaani Ni Debe tupuuuuuuu

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 6 วันที่ผ่านมา

    Wee jongo unajitoa ufahamu hujui salaf na answar

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 วันที่ผ่านมา +1

    Watu hawachukii kuwaombea dua watu taratibu mnazotumia haziko ktk mafundisho ndio watu wanawalaumu

    • @omarymanzi7733
      @omarymanzi7733 6 วันที่ผ่านมา

      Taratibu gani ambazo hazipo katika mafundisho ??

    • @mohamedihashim7420
      @mohamedihashim7420 6 วันที่ผ่านมา

      Waambie wafanye wao ili waigwe

    • @selemanifaikii1276
      @selemanifaikii1276 6 วันที่ผ่านมา

      Kimekuwa kikundi cha wapuuzi tuu elimu iliyokosa ufanisi ni uchafuu tuu mmekuwa wachafuu

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 วันที่ผ่านมา

      Huelewi kwamba amesema anawaamuru malaika na majini wamuembee rais Samia

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 6 วันที่ผ่านมา

      Hao masali wenzako na mawahabi wenzako lin mmeombea nchi Dua kwa namna hiyo mnayoitaka nyinyi ili ss tuliokosea tuwaige au n unafik na majungu tuu

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 6 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo jongo c umewatuma malaika fisadi mkubwa

  • @IssaNassor-c9p
    @IssaNassor-c9p 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee akalime apumzike kosa la mtu mmoja at wachache walioshangilia kufa kwa abuu iddi anawasingizia watu wote WA sunnah..huyu mzee anajipendekeza sana kwa mufti ni bonge la chawa

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 6 วันที่ผ่านมา

    Kilicho watukanisha nikusema malika wamuombee mama samia

    • @omarymanzi7733
      @omarymanzi7733 6 วันที่ผ่านมา

      Nani aliesema malaika wamuombee mama samia??

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 6 วันที่ผ่านมา

      @@omarymanzi7733 Sio huyo Jongo aliwaamrisha malaika au hujasikia ile qauli??

  • @selemanifaikii1276
    @selemanifaikii1276 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo mmekuwa machawa badala ya mashekhe 😂 shame on them 😢 mnanisikitisha sana mimi Ahlu sunnah waljamaa lakini salafu wapo clear kabisa kwa sasa acheni uchawa mwisho munakiwa wanafiki licha ya elimu mlio nayo

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 6 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe n mjinga kbsa, kwasabb mtume asema kupenda nchi ako n alama ya imani, sasa kunakupenda bila yakuombeana dua amani iwepo, kwaiyo kuombeana dua ndio uchawa, na hatakama n uchawa kwan uchawa haramu?

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 วันที่ผ่านมา

      @@jaabirbakar2081kwako wewe unaona uchawa ni sawa au hujui maana ya uchawa

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 6 วันที่ผ่านมา

      @@MgazaMhina ,uchawa n mapenz, labda kama mm sjui uniambie ww maana ya uchawa pengn sifaham

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 วันที่ผ่านมา

      @@jaabirbakar2081 uchwa ni kujipendekeza kwa mtu kwa lengo la kupata maslahi furani,neno hili limetokana na tabia za mdudu chawa ambaye anaishi kwa binadamu kwa rengo la kumnyonya damu,kwahiyo kuwa chawa sio jambo jema,sasa mashekhe zetu wanaongea vitu mpaka wanafika sehemu mbaya,kuna crip ya nyuma Shekhe Jongo amesema kwa mamlaka aliyonayo anawaamuru Malaika na Majini wamuombee Dua mama Samia,jambo hilo haliko sawa

    • @selemanifaikii1276
      @selemanifaikii1276 6 วันที่ผ่านมา

      @@jaabirbakar2081 haha unanistaajabisha sana unapenda nchi inayojaa zulma kwa watu wake, kil siku mauaji, mwizi,uwasheraji , wameshindwa kutumia elimu yao kukemea mambo haya wanatumia kusifia utawala wa kisenge kisa matumbo yao

  • @Nabeel-22
    @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa yule dogo ndio Salaf yaani nyinyi watu wa Bidaa ni watu wa Machuki na mipasho kaimbeni taarab tujue tu ..

  • @BouShakuri
    @BouShakuri 6 วันที่ผ่านมา

    Masalafi walichukua kauli yako ya kusem unatak malaika na mashetani wa mfukoni wamuombee mama amna salafi anae chukia raisi kuombew,,na Boss wako mufti pamoj na Walid wakafrahi kweli kwamba ulichoongea kilikuw sahihi,,hii ya Bakwata kuleana na kubebana itawapeleka kubaya

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 6 วันที่ผ่านมา

    Waislam tunaviongoz wabov sana,,,ni wkt sasa tuwe na viongoz ambao ambao sio tu wanaelim ya din pia wawe na elim ya kisekula sio hawa mashekh tende ,,,kwa akil ya huyu jongo kwel waislam tunaweza ht kuja kumilik chuo au mashule yetu waislam ,,,asee wakristu watatuacha mbal sana

    • @BouShakuri
      @BouShakuri 6 วันที่ผ่านมา

      Bakwata hawahitaji watu wa sekula wanabeban ndo maan hutoshangaa kuskia b2 za msikiti zimeliw,, kwasababu ya kuw na poor management leo kazi ya uhasib anapewa mzee wa mskiti ukiuliza why unaambiw aah unjua huy mzee bhana mzee wake ndo alikuw muasis wa mwanzo mwanzo wa mskiti sa tumeona tulipa fadhila kwa mwanae,

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot 6 วันที่ผ่านมา

      @BouShakuri Elim ya kisekula Ni Elim ya kidunia ,,,

    • @BouShakuri
      @BouShakuri 6 วันที่ผ่านมา +1

      @rahimsadru-ct4ot nafkir umenielew,nimekuelew pia

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot 6 วันที่ผ่านมา

      @@BouShakuri kama huyu jongo ukimuachia sadaka zitakua Salama kwel ??

    • @BouShakuri
      @BouShakuri 6 วันที่ผ่านมา

      @rahimsadru-ct4ot 😂 wazee wa kariakoo

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 6 วันที่ผ่านมา

    Na wewe kuffaa kwa chuki zako. kwani nani aliesema usimuombee au umekatazwa shirki ktk maombi yako