SHEIKH OTHMAN MAALIM AWAHUSIA MAHUJAJI AIRPORT/NCHI NZIMA ZIMEPATIKANA NAFASI 10 TU ZA KWENDA HIJJAH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2024
- 🎯Msisahau enyi rafiki zetu wapendwa 😍
🤓 Kutufwata katika akaunti zetu kupitia kiunganishi (link)
🔗 linktr.ee/africatv2
#AfricaTV2 #Tanzania #IslamicChannel - บันเทิง
Mashaalh Mashaalh Allah awatakabalie Hijjah ya Mahujaji Dunia nzima 🙏🙏🙏
Shukrani sheikh othman maalim❤❤❤kufika kwamahujaji❤❤❤abariki zamzam ❤Africa tv❤❤❤❤
As alykum Mahujaji wote? Allah awafikeshe salama, awataqabalie hijja zenu na cye tunaomba dua zenu atuwezeshe tuweze kukamilisha nguzo. Aameen Yaa Rabby.
Bismillah mashaAllah tabaraka rahman Alhamdulilah wallahi machozi yamenitoka kuona watu kwenda makkah kufanya hajj ❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah wafanyie wepesi mahujaji hawa watarajiwa wafike salama, na hija zao ziwe zenye kukubaliwa, naomba allah anichague mimi kuwa ni miongon mwa mahujaji kabla sijafa na waislaam kiujumla
Mashaallah Allah atujaalie na sisi mwakani tuwe miongoni mwa mahujaji
Mashaallah awatakabaliye allah ❤❤❤hija mabruru ❤❤❤ wasaya mashukru waamali mutakabali❤❤❤❤amini❤❤❤ awape pepo yote amini❤❤❤❤❤❤
YARABI atusamehe thambi zetu. Pili nawa usoya nyie mlio jaaliwa kufaya ibada ya hijja muwakumbuke ndugu kwa Palestine kwa Dua kisha mtakapo kwenda ziara madina mumsalimiye mtume MOHAMMAD (S.A.W) sana. INSHA ALLAH.
Masha Allah
اللهم صل وسلم وبارك على نبينا محمد
Allah tunakuomba mahujaji wetu waende salama nauwarudishe salama nauwakubalie idada zao na sisi waja wako tunapenda utuite na utujalie mwakani na masiku yajayo utupe taufiq yako na ithibati tufike katika nyumba yako Yarabil laalamin.
Allah awaraqabalie hajj zenu
Hajj mabroor na dhambi maghfoor yarab… Allahuma amin yarab msisahau kuwaombea ndugu zetu wa palestina
Maashallh
Mashallah tabarakaallah inshaallah
Mubarak nyuma ya shekhe othuman maalim
Mashallah alhamdulillah mfike Salama na sisi inshaallah tudhuru nasi inshaallah
❤Ma Shaa Allah
Masha Allah tabarak Allah
Allah akujaalieni kheir inshallah mulifikie lengo la hijja na mupate ujira ulio mkubwa zaid
❤
Allah tupe rizki za halali tutekeleze hii nguzo
Allah
Mashallah tabarakallah mungu awajalie safari njema inshallah
Yarabby wafanyie wepes nass tujalie tuwe miongon tukaitikie wit wallah
Allahuma Ameen
Amin
.
Allah akufanyie wepesi Kila hatua Dua na awape wepesi katika safari yenu ya Hijja Inshallah na sisi ambao hatujafika Rabbiy tujalie na sisi tufike huko Makka
Amiin sio tufike tu tukahij na hija zetu zikubaliwe yarab.
No
.990