Assalam alykum mm Niko na swali Ulisema MTU kuwa na style ya pekee ni alama ya kujiona sasa km sisi teachers kuiga style ya mwalimu mwengine kwa fiqra unaonekaniwa km hujui kusomesha au huko creative sasa inatubidi tufikirie vitu tofauti ili ubuni kitu kigeni ambacho ni tofauti na teachers wengine. Hii jee tutakuwa tunajiona na sisi?? Please replay
hana maana hiyo, kuna mtu kuwa na style pekee kwa mfano watu wanavaa tai na wewe ukawa hupendi tu kwa kuwa haina maana kwako na sio kwa ajili ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine ila hukupenda tu na maadam kuikataa kwako hakujakuwa ni kujiona huhusiki na ujub. pengine umeona pia wengi wanavalia saa mkono wa kushoto na ufaham wako katika uislam ni kuwa saa kwa kuwa ni kitu kizuri mkono wa kulia ndio bora ukafanya kwa kutaka radhi za Allah bila kujiona wala kuwadharau waislam wanaovalia kushoto. hapa huhusiki na ujub japo upo na style tofauti nao.
Good jazaka Allah khaira
yanii niajabukweli katikamasheikhewafrica wewendio unamuombeaduaa adharani basi tumuombeALLAH atuepushe nafitina yanyoyo jazakhallahuheri fiq mwenyezimungu akufufuwe na mashahi di amin
JAZAKAH ALLAH KHEIR SHEIKH YUSUF ABDI.MUNGU AKUZIDISHIE ILMU UZIDI KUTUONGOZA AMIIN THUMA AMIIN.
Aeshah A
Jazakallah khair
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah sh Yusuf
Sina hamu nashekh huyu sijui nafsi yangu ila darul nadwa
subhanalla Allah atuhifadhi na mitihani InshaAllah
Allah atunusuru na balaa hili la ujub, riyaa na sum a'a kwa hakika haya yamekuwa ni maradhi makubwa mno hususan katka zama hizi za fitan.
allah akuzidishie kher na ilm sheikh yuusuf. aamiin
Mashalah hutba zako wajitahidi kuangalia jamii wenye kufahamishwa tufahamishike name kutekeleza kivitendo
Allah akulipe kher kubwa
Mashaallah
Shukurani Allah atuepushe .
Mashaallah Allah akuzishie pia shkhe ntpataje mawaidha yako katka cm yangu
Download tu kupitia tube mate application. Mungu akuzidishie kupenda haki. Amiin
الله يحفظك يا شيخ
Njo outoutembeleye houkou comores
inshaallah Allah atuponye na maradh hyo
Amen yarab
Shukraan kwa ukumbusho wenye faida kwetu ...
Shukulan
masha allah shekhe
mashaallah very nice khutbah
Amem
Zz
Assalam alykum mm Niko na swali
Ulisema MTU kuwa na style ya pekee ni alama ya kujiona sasa km sisi teachers kuiga style ya mwalimu mwengine kwa fiqra unaonekaniwa km hujui kusomesha au huko creative sasa inatubidi tufikirie vitu tofauti ili ubuni kitu kigeni ambacho ni tofauti na teachers wengine. Hii jee tutakuwa tunajiona na sisi?? Please replay
hana maana hiyo, kuna mtu kuwa na style pekee kwa mfano watu wanavaa tai na wewe ukawa hupendi tu kwa kuwa haina maana kwako na sio kwa ajili ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine ila hukupenda tu na maadam kuikataa kwako hakujakuwa ni kujiona huhusiki na ujub. pengine umeona pia wengi wanavalia saa mkono wa kushoto na ufaham wako katika uislam ni kuwa saa kwa kuwa ni kitu kizuri mkono wa kulia ndio bora ukafanya kwa kutaka radhi za Allah bila kujiona wala kuwadharau waislam wanaovalia kushoto. hapa huhusiki na ujub japo upo na style tofauti nao.
Nataka kujua ni wapi salafi wa kweli,mana ckuiz kuna watu wanajiita ni masalafi na kuwapa kad watu wengne kua sio salafi
Hii log ya al answar mbona iko ki Freemason yaani hiyo alama wanatumia Freemason sana
Uliijuaje Salma
Shukulan