وعن عوف بن مالك رضي الله عنه قال " قمت مع النبي صلي الله عليه وسلم ليلة فقام فقرأ سورة البقرة ولا يمر بآية رحمة إلا وقف وسأل ولا يمر بآية عذاب إلا وقف وتعوذ
Assalamu alaykum warahmatullahi shaikh mbaarak awes 1. Unatoa hukmu gani kwa aalim (anaekubalika kwa waislam/maulamaa wa kiislaam) anaesema jambo fulani ni bidaa na aalim mwingine kusema si bidaa 2. Aliesema jambo fulani ni bidaa (kwa daliil) na likaungwa mkono na maulamaa wa pande zote wa kiislaam, ikatokea akakubali jambo fulani (bila dalili) linafaa, jambo hilo hilo likawa halifai kwa mwanazuoni/wanazuoni mwengine/wengine (kwa dalili) je jambo hilo litakuwa lafaa au halifai kufanywa? Shukran
Wapi MTUME amefundisha watu wafanye mashindano ya qur-ani ?? Kama wanaosoma MAULID ni watu wa bida'a kwasabb mtume hajafundisha .... basi pia wanaofanya mashindano ya QUR-ANI ni watu wa bida'a . Maana MTUME hajafundisha hii ndio lnswafu.
Kwa hivyo mtume صلى الله عليه وسلم alipofanya hivi inaitwa sunnah ama bida'a. Musidanganywe na watu wasojielewa hawatofautishi baina ya gumba la mkono wala la mguu.
@@maalimhamad1297 NDUDU YANGU (( maalimhamad) kwa jawabu lako kama ni mtihani UMESHAUFELI . KWASABABU UMEULIZWA MASWAHABA WALIFANYA MASHINDANO YA QUR-ANI ?? JAWABU LINALOTAKIWA USEME NI : IMMAA !! *** NDIO WAMEFANYA na ulete ushahidi wako . AU ** HAPANA : MASWAHABA hawakufanya mashindano ya QUR-ANI .
Imam ibn uthymeen ni mwanadam anakosea asiekosea ni mmoja tu Mtume sala na salam Ziwe juu yake kwa hiyo kama hakuna kauli ya Mtume au kitendo chake au kitendo kimefanywa na maswahaba zake halafu hakukataza hui utakuwa ni uzishi
Suali : Kama unakubali KUWA jambo ambalo halina kauli ya MTUME wala kitendo chake wala ridhaa yake ni uzushi ... Jee mwenye kuukubali au kuunga mkono uzushi huo anakuwa ni mtu gani ???
وعن عوف بن مالك رضي الله عنه قال " قمت مع النبي صلي الله عليه وسلم ليلة فقام فقرأ سورة البقرة ولا يمر بآية رحمة إلا وقف وسأل ولا يمر بآية عذاب إلا وقف وتعوذ
Assalamu alaykum warahmatullahi shaikh mbaarak awes
1. Unatoa hukmu gani kwa aalim (anaekubalika kwa waislam/maulamaa wa kiislaam) anaesema jambo fulani ni bidaa na aalim mwingine kusema si bidaa
2. Aliesema jambo fulani ni bidaa (kwa daliil) na likaungwa mkono na maulamaa wa pande zote wa kiislaam, ikatokea akakubali jambo fulani (bila dalili) linafaa, jambo hilo hilo likawa halifai kwa mwanazuoni/wanazuoni mwengine/wengine (kwa dalili) je jambo hilo litakuwa lafaa au halifai kufanywa?
Shukran
Ustadh je ni kwely kusoma tawasul ni bidaa
Mawahabi wana Ufahamu wa kilokole
Na heri katika musabaqa watoto wahifadhishwa maneno ya Allah na sio maneno ya kishirki wanayosomeshwa kwenye maulidi.
Wapi MTUME amefundisha watu wafanye mashindano ya qur-ani ??
Kama wanaosoma MAULID ni watu wa bida'a kwasabb mtume hajafundisha .... basi pia wanaofanya mashindano ya QUR-ANI ni watu wa bida'a .
Maana MTUME hajafundisha hii ndio lnswafu.
Sawa kabisa @@SaidiOmy
Yani wewe ninyani anaemcheka nyani mwenzake.
Issue ni wapi mtume alifnya ama sahaba zake? Au ndo kunya anye kuku akinya bata kahara?😂😂😂
@ huo msemo jitayarishe kumuuliza Allah atakapokuuliza kuhusu bida'a zenu alafu utapata jibu ya kisawa sawa
Wewe shekh mbona mishipa yakutoka sana?
Nini wewe elewa kwanza hoja usitafute upenyo
WAO NDO WANAJUA ZAIDI NA WANAELIMU ZAIDI KULIKO WATU WOOOOTE.
Kwa hivyo mtume صلى الله عليه وسلم alipofanya hivi inaitwa sunnah ama bida'a.
Musidanganywe na watu wasojielewa hawatofautishi baina ya gumba la mkono wala la mguu.
WATUJIBU MASHINDANO YA QURAN KAMA TUNAVYOFANYA SASA YA KITAIFA KIMATAIFA MIKOA NA WILAYA MASAHABA WALIFANYA??
Mashindano ya quran sio dini ama bidaa nijambo lililo katika dini
@@maalimhamad1297
NDUDU YANGU (( maalimhamad) kwa jawabu lako kama ni mtihani UMESHAUFELI .
KWASABABU UMEULIZWA MASWAHABA WALIFANYA MASHINDANO YA QUR-ANI ??
JAWABU LINALOTAKIWA USEME NI : IMMAA !!
*** NDIO WAMEFANYA na ulete ushahidi wako . AU
** HAPANA : MASWAHABA hawakufanya mashindano ya QUR-ANI .
Imam ibn uthymeen ni mwanadam anakosea asiekosea ni mmoja tu Mtume sala na salam Ziwe juu yake kwa hiyo kama hakuna kauli ya Mtume au kitendo chake au kitendo kimefanywa na maswahaba zake halafu hakukataza hui utakuwa ni uzishi
Bado hujamjua aliekua hakosei ila Mtume anakosea
Suali :
Kama unakubali KUWA jambo ambalo halina kauli ya MTUME wala kitendo chake wala ridhaa yake ni uzushi ...
Jee mwenye kuukubali au kuunga mkono uzushi huo anakuwa ni mtu gani ???
Ujinga wa mawahabi watasikia mambo ya haqq lakini bado watapinga Tu
Kama mwaikubali hadithi inayokataza bidaa nashauri ukiona mtu afanya bidaa mzuie hilo ni katazo kutoka Kwa mtume
We zuzu hebu nenda kasome taarif ya bidaa kwanza kisha uje uongee matope yako hapa
@@asa9268 haya nishamaliza niandike tena kwa hyo ama utajibu hyo hyo
Kasome
@@mohamedmasanga9134 Kwa nini mnapenda kujikweza?? Yani umeaminishwa we tayr ushasoma??!! 😂😂😂
@@jumamaabadiunaelewa nin maana ya bidaaa kwanza au unarukia kweny hadithi imekataza bidaaa ile hali bidaa yenyew huijui??