01: MAJIBU YETU KWA ABDUL-QADIR AL-AHDALLY kwa maneno yake yaliyotufikia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 227

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 4 หลายเดือนก่อน

    Allaah akuhifadhi abul abbas

  • @ShemsaUmmuFawzaan
    @ShemsaUmmuFawzaan 4 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah,Allah akuhifadhi sheikh wetu Abul Abbas, Shukran sana kwa kumrad huyu khawaarij kbsaa maana amezidi huyu hana hata aibu na anachokisema katika kuihalalisha maulid.Allah atuongoze na atuthibitishe kunako haqqi Duniani na Aakhhira na utuweke mbali na baatwil na watu wa baatwil kama hawa akina Abdul Qadir na mfano wake

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 4 หลายเดือนก่อน +2

      Assalaam Alykum vip hali Akhy muogope Allah, Watu hushindana ktk mema na sio ushabiki wa kufanyia raddi na kuitana majina ya ajabu.. Namuomba Allah atuongoze

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน +1

      Akhy apo umechupa mipaka Mimi mwenyewe siungi mkono hili Jambo la shekh Abdul kadiri kafanya makosa Ila usimnasibishie na kumvunjia heshima usimuite majina ya watu waovu MAKHAWARIJI ni watu waovu baadhi ya ulamaa wamewakufurisha baadhi wanaona waislamu Ila shekh japo na makosa yake usimuite hivyo unachuma dhambi akhy taratibu unapokosoa kitu kumbuka ulimi usiteleze kiasi hicho utaulizwa na Allah

  • @kassimabdillah5998
    @kassimabdillah5998 4 หลายเดือนก่อน

    Allah Akuhifadh Sheikh wetu Abul Abass Hassan Wazir
    Kwa kuwarudi hawa Mahizbi kwa sasa wameungana kua kitu kimoja na watu wa bidaa kuwapiga vita watu wa haqqi
    Hio ndio njia ya Manabii ya kupigwa vita na watu waovu
    Hawa masheikh wa kihizbi ni watu maslahi na kupenda ukubwa na sifa tuu

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 4 หลายเดือนก่อน

      @@kassimabdillah5998 mtu wa hakk atawaliwi na suudhwanny

    • @husseinfarouk1896
      @husseinfarouk1896 4 หลายเดือนก่อน

      Kwenda wewe nenda usome

  • @BinDaudy-ch2cc
    @BinDaudy-ch2cc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amjaalie shekh abdul qaadir asikujibu ubaki na huo upuuzi wakoo. Maana bila shaka dini waiona hiyo unayoijua wew ndio dini.

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      @@BinDaudy-ch2cc Allah hamjalii jitu la uzushi Abdul kadir ama ni jailani??🤣🤣

  • @HafidihAlly
    @HafidihAlly 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mnamtukana Imam Nawawwiy Rahimahullah, itakua Sheikh AbdulQaadir Hafidhwahullah. SOMENI ENYI VIJANA KWA UADILIFU, ACHENI KUWAKASHIFU WANACHUONI

    • @tibaasiligreatmoment8850
      @tibaasiligreatmoment8850 4 หลายเดือนก่อน +1

      Katukanwa Kwa Lipi?

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 4 หลายเดือนก่อน

      Je! Una ilimu yoyote Ili ututolee? Au أم بظهر من القول؟ (au ni maneno matupu tu)

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@HafidihAlly kuwekewa sawa katika uislamu ni muhimu wala so makosa raadi zinasaidia sana bila raddi watu wangetuhatibia dini na kupotosha ummah so halali tuuh ww unaona shekh kadhulumiwa hjaangalia madhara ya yy kupoteza ummah hiyo vzr tuuh uislamu au angaliii cheo Cha mtu wala wadhifa wa mtu ukiharibu watu watakuweka sawa Sabu tukiacha Allah atakwenda kutustaki muliona dini ikiangamia mikononi mwenu na ninyi hamkuinusuru na mkawaacha watu wazungumze wanavyotaka kwa matamanio yao mche Allah na iogope siku ya kiama kwa uzito wake usisani haya yanapita tuuh hamna kitu tunastareh bhasi hamna take care my friend

    • @HafidihAlly
      @HafidihAlly 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e wallahi Allah ayaweke haya Maneno yako na Akusimamishe Siku ya Qiyama na Sheikh Abdulqadir(hafidhwahullah) Umthibitishie Allah kuwa Sheikh anazungumza kwa matamanio Yake ya Nafsi na sio Haki kwa mujibu wa Elimu aliyonayo, na ukishindwa , Namuomba Mola wa Haki akupe adhabu inayolingana na Ww, na ukiweza basi Ampe Sheikh Adhabu inayolingana na Yeye. Namuomba Allah anikubalie du'aa yangu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@HafidihAlly hakki ipi kuwaambia watu maulidi yanafaa au acha kutoa viapo vyako ww kwani ni uongo fatuwa nyingi za shekh Abdul lkadiri za kwenda na watu mara nyingi huzungumza kwa kuhofia watu wew wa wapi mbona unataasubi na mashekh utaasibi na hakki kauli zake nyingi ni zakurizisha watu mahali penye bidaah yeye atakwepa kwepa kunyosha hiii ni bidaah na so yeye tuuh hata mdogo ake kishki ndo hivyo hivyo watu walichoka fatuwa hizo mpk wamemradi waniapiza mie mbona mtowa mada ujamuapiza kitu alichokizungumza ni hakki dini apelekwi hivyo ww mtume aliambiwa na mola wake fikisha muhammadi akafikisha akuangalia ukubwa wa watu wa makka kina abuu jahli na vyeo vyao kuwa nikisema wataninyima ukubwa na hishima alisema hii ni shirki na ndo inavyotakiwa kwa dai yeyote anajinasibisha na sunnah usimuangalie mtu usoni sema kweli japo kuwa chungu hiii ni hakki hiii batwil hii ni bidaah hii ni sunnah hii ni shirki hii ni tawheeed lakini huyu anaogopaga sehemu nyingi kusema kweli Sabu rafiki zake wengi ni wazushi watu wa bidaah na vile vile Wana mashule yao wanaona wakisema hakki watapoteza wateja Sasa dini haitaki hivyo viapo vyako havvitonidhuru kitu na Allah ni shahidi kwa nayosema ww ndo utakae dhuriwa ikiwa unatetea batwil mwenyezi mungu apokei viapo kama hivyo ww

  • @MujarabuMashallah
    @MujarabuMashallah 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallaha shehe wetu kwakumraddi uyu shehe wa maswufi uyukazoeya sana kueneza uswufi wamalize wazushi wote kama ulivyo mmaliza muhammadi bachu

    • @HasaniJuma-ew2kw
      @HasaniJuma-ew2kw 4 หลายเดือนก่อน

      Amfuate amfikishie

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin lkni Muhammad si mzushi akhi kuwa na inswaaf

    • @darajanida
      @darajanida 4 หลายเดือนก่อน

      @@MujarabuMashallah yani ukisema ukwel tu ushakuwa sufi hongera kwakulijuwahilo yani huyu shekh kashakuwa suf dah mawahab bwana hatar sana

    • @AsiaAa-s1d
      @AsiaAa-s1d 4 หลายเดือนก่อน

      Acheni jazbaa somenii

    • @JumaMwanga-xd9gy
      @JumaMwanga-xd9gy 4 หลายเดือนก่อน

      Mkiitwa kweny mijadara mnakimbia

  • @darajanida
    @darajanida 4 หลายเดือนก่อน +1

    alhamdulilah sisi watu watasauf hatuna kazi kubwa mtaimaliza wenyewe kazi mnavuna mlicho kipanda

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 4 หลายเดือนก่อน +1

      Allah akuongoze

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Ala! Eti nyinyi watu wa tasawuf??hamna kazi nyingi??bro skiza ni wewe unaona hivyo waulize mashee wenyu Ile uzito wanao pitia mpaka ifikie pahala penye Wana tumia hujja dhaifu ili kuipa nguvu usufi wao na mawalid zao alafu ww waona eti hamna kazi???🤣🤣🤣kazi ipo ufusi na ukristo Kuna tofauti alafu kazi waiona raisi duh!!

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Usufi ni ukristo tafta kitabu cha ibnu jauzzy tal bisu iblis uone vile usufi ni ujinga pamoja na aqwal za ulamaai ambao kwamba ni marja wa min hum al imam shafi uskie vitu mwanangu uta baini kweli hizo ni sarakasi mnafanyi shwa

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kazi ipo raddi baada ya raddi ahlu sunna hawa choki dawah salafiyyah ni tochi mta tiwa vipodozi mpaka mng'are

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mwendawazimu huyu amekiri mwenyewe

  • @AmiriJawadu
    @AmiriJawadu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh abdulqaadir haja sema maulidi inafaaa Hilo ndo tatizo la kukata vipande na kuchukuaa baadhi ya maneno

  • @jumannefeluzi7428
    @jumannefeluzi7428 4 หลายเดือนก่อน

    Allaah akuhifadhi shekhe ila mimi nilikua naomba namba zako tu

  • @hemedykhalid4600
    @hemedykhalid4600 4 หลายเดือนก่อน

    Comments zinaashiria wazi kwamba Sheykh Abdulkadir kipenzi cha waumini kakuzidi kila kitu Allah akudhalilishe kw kumkashfu mwanawachuoni tunaemtegemea skuzote anawahimiza watu washikamane na ikitokea ikhtilafu waheshimiane nyie bado mnaendelea kuugawa umma wa kiislamu na kujifadhilisha Allah awashushe chini kuliko walio chini

  • @adamngayonga9518
    @adamngayonga9518 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh hakusema kama wanapata thawabu amesema Wenda wakapatathawabu nahayo simaneno ya abdulkaadir ya ibn taimiya

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa. Wameweza kumpa mungu makaazi naviungo washindwe kuona pombe nibora kuliko maulid. Sibinaadamuawa

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  4 หลายเดือนก่อน

      @@SaidiMohamed-bj2wg th-cam.com/play/PL9dpfAzLEIcmrearBsYiZoLVCWQGDtZzJ.html&si=Q37-CCA2NjFoUBJO

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani nyie masufi mnajitoaga ufaham kwel yan, Mnasema eti Allah hana mikono eti kisa ni kumfananisha na viumbe wake,,, Hamjui kama pia kusema Allah hana mikono ni kumfananisha na viumbe wake wasio na mikono??? Au viumbe vyote vya Allah vina mikono??? Kuku ana mikono? Miti ina mikono? Milima ina mikono?
      Utangundua kuwa nyie ndo mnaopinga sifa za Allah alizojipa mwenyewe.... Usahihi ni kusema kuwa: ALLAH ANA MIKONO LAKINI MIKONO YAKE HAIFANANI NA MIKONO YA KIUMBE YEYOTE! Kusema kuwa Allah ana mikono haimanishi kuwa ana mikono kama ya kwetu! "Mfano: Sisimizi ana masikio na anasikia,na tembo ana masikio na anasikia,je Masikio yao yanafanana??? usikiaji wao unalingana??? Lakin yote si huitwa ni masikio???!!!" ACHENI UKILAZA MASUFI....!!!!

  • @AbdillahMassawe-k3e
    @AbdillahMassawe-k3e 4 หลายเดือนก่อน

    Ummenipotezea muda kukusikiliza kumbe hujui hata usuli,, nenda kasome Kwanza

  • @NurdeenMuhina
    @NurdeenMuhina 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mcheni Allaah acheni kuwazungumza vibaya wanawachuoni fahamuni ya kwamba
    لحوم العلماء مسمومة

    • @HasaniJuma-ew2kw
      @HasaniJuma-ew2kw 4 หลายเดือนก่อน +1

      TATIZO HAWA JAMAA HAWAWEZI KUMKABILI MWENYEWE WAKIJIFICHA CHUMBANI WANAWARARUA WATU,, WAKILALA WAKIAMKA WA NAWAZA KUWASEMA WATU TU

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 4 หลายเดือนก่อน

      Haqq lazima izungumzwe pia Haqq itabainishwa hadharan kwsbb mpotoshaji alizungumza hadharani​@@HasaniJuma-ew2kw

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 4 หลายเดือนก่อน

      ما معنى أشهد أن محمد الرسول الله ؟

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mnakurupuka sana, hiyo clip mbona ipo nusu.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ipo nusu kivipi? Kwan Abdul qadri hujui kama huwa anajibu pumba😂

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaenda kwa Shetani Basi

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 4 หลายเดือนก่อน

    Yeye na mdogo wake kishki wote ni kitu kimoja wanajipendekeza sana kwa masufi

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 หลายเดือนก่อน

      Sio wanajipendekeza. Bali walipokuwa wajinga enzi hizo walikufuru NA mawahabi wenzao. Sasa wana elimu washatubu NA wanakua sufi ili wafe salama. Hao vijana wapya nao baadae asaa watafaham. Wewe upo mkumboni tuu

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 3 หลายเดือนก่อน

    Mtafute mwenyewe umwambie na sio umtangaze kwenye social media.

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndomaana masheikhzetu wakawaita masalafi wasasa nimakhawaarij

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@SaidiMohamed-bj2wg nandio maana nusus zaoneshe nyinyi nima hizbi🤣🤣

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Ww endelea kufata mashee unaacha nusus ambazo ni mutawatir eti shee kasema jinga kweli usalafi ndio manhaj sahiha sio shee kasema vitabu ndio zafaa kutangulizwa

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

      Uwo ndoumwehu kwasababu unamkosoa ata mwenyezi mungu au hujaisoma Quran alivosema turudi kwamasheikh. Nyinyi mtabakuatu kua majaahil

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      @@SaidiMohamed-bj2wg wacha ujinga qurani haisemi hivyo yasema kwa ulamaa sio shee. Ww vipi fas Ala alal dhikri in kuntuma laa talamuun hio ni Aya ulikua hujui jahil ni ww sio sisi masalafi. Ispokua huyo shee atakapo fata hao ulamaa hapo tuta mkubali bi gairi thalika hatu wezi kufata. Alafu najua utaulza wapi kwa iyo aya imetaja ulamaa.. skiza hio dhikri wanao kusudiwa ni ulamaa . Hadith Sasa pata fawahid kwa salafi wa Kenya .hadithi ktk sahihein bukhar na Muslim rahimahumullah yasema kutoka kwa mtume salallahi alley hi wasalam Al ulamaa warathatul anmbiaa sio sheikh sawa bro kasome jinga ww

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 4 หลายเดือนก่อน

      Hao mashekh zenu hawaelewi wanacho kizungumza
      Makhawaariji walivyo kua wanasumbua mashekh wakihizbi walikua kama wamekufa
      Mashekh wakisalafi wakapambana katika kipindi hichi ambacho kilikua ni kigumu ,kubainisha na kuweka wazi shubha za makhawaariji
      Shekh KASIMU MAFUTA ALLAH AMUHIFADHI alimuandikia mpaka rogo ujumbe na akamtumia,
      Lakini chakushanga alivyo kufa rogo mskiti mkuu wa maanswari tanga ilikua vikitawanywa vipeperushi kuhusu kifo cha rogo

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 4 หลายเดือนก่อน

    Mzungumzaji anataka nae aambiwe anarradi kwanza. Watu hawa hatari sana kila mtu ni mtu wa bidaa ispokuwa wao tu .

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂wallahy nilikuwa nasema huyu shekh mbona watu awamradi na anahalalisha maulid kwamba so jambo zitoo anapoteza watu ni shekh wa kwenda na watu nkasema wanamuogopa nini sasa bora mulivyo mradi shukrani shekh kumuacha tuu mtu anapoteza ummah watajuwa maulid so jambo la kukemewa na mdogo ake kishki juzi aliitwa redio crown ya wapiga muziki kujibu swali la maulidi

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 4 หลายเดือนก่อน +1

      @Abdulssa-o7e. Assalaam Alykum vip hali Akhy nakuomba Ww jitahidi ktk ibada na Muimba Allah
      Akukubali ibada zako,, Achana na vishawishi na Ushabiki,, kwani hunjui na ni Allah amemchagua kuwa mja wake mwema, na atamuingiza peponi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน

      @@abdukhan4718 kwahiyo ibada bila kukatazana maovu ibada gani hiyo we utachukia lakini ukweli ndo huwo so mtume huyu lakini anapokosolewa ukiona kosa la kweli kubali ukiona kaonewa sawa wasema hapa shekh mmuonea lakini unakataa watu wasimrekebishe saasa atarudiji kweye mstari asipofanyiwa raddi hii dini yetu so kama ukristo padre au askofu akisema ndo sheria hapingwi no namim nikunasihi acha taasubi ikubali hakki hata ikitoka kwaa adui yako

    • @mulhat98
      @mulhat98 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdukhan4718pia Allah kaweka misingi ili hii dini ibaki vilevile alivyoiacha mtume

    • @HamisiR
      @HamisiR 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ila unajuabkuwa huyo Shekhe wako anaekosoa watu anakosea ivi unalijua ILO au huja soma wewe Allah amesema kwenye sura tili hujuarati kuwa wasidharauliane waumini sasa we unafurahi waisilamu wanavo zalilishana kinafiki huyo Shekhe wako ninafiki japo haifai kuzusha mambo kwenye dini ni dhambo ye anadhambi Sheria kama ye kakosea anatakiwa amfuate yeye kama yeye ila sio kuzalilishana

    • @nashodysiwa4456
      @nashodysiwa4456 4 หลายเดือนก่อน

      Raddi katika dini inaruhusiwa ata Allah alikua akiwapiga radi washirikina na makafiri kwaiyo sio jambo la asaivi lakupigan radd kwaiyo inaruhusiwa wallahu aaalaaam​@@HamisiR

  • @Bamatraf-gn5js
    @Bamatraf-gn5js 4 หลายเดือนก่อน

    Ni aibu kutaka ku-radd kila jambo, japo wakijua kuna masalafi wakubwa wakisapoti baadhi ya misimamo. Kazi ni kutaka kuwadogesha masheikh wa kisunnah tu. Tumcheni Allah subhanahu wataala na RUDUUD waachiwe ulamaa, ama tullabul ilm kujikita kwenye ruduud tena bila adabu na akhlaaq za manazil za kishekhe ni kujidogesha mwenyewe tu.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mmmh! hivi unajielewa unachoongea brother! Kwamba Tullaabul ilmu hawaruhusiwi kutoa ruduud? Duh! Upo mbali sana na Sunnah kijana!

    • @Bamatraf-gn5js
      @Bamatraf-gn5js 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x unaejielewa endelea ku enjoy, utovu wa adabu uliyopo ndani ya rududd za hawa vijana. Allah atuongoze kuijua haqi na kuifuata.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@Bamatraf-gn5js Kwo Abdul qadri wenu ni sheikh wa kisunnah...!!! Duuh! Mnachekesha asee

    • @Bamatraf-gn5js
      @Bamatraf-gn5js 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x endelea kucheka, ila kumbuka kusoma surat hujurat, inafundisha mengi katika adabu na akhlaaq.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@Bamatraf-gn5js kwo unataka asiraddiwe sheikh wako wakati kapotosha?

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shaa Allah! Alhamdulillah na huyu kaka yake Kishki mumeanza kumtahadhalisha... Mana nakumbuka kipindi manhaj yangu haieleweki nshawahi kupost darsa yake kwenye grup la masalafy, Nikaraddiwa vibaya mnoo ,Hahahhahahhaha!, Mimi nilijua ni Salafy asee! Baada ya kufatilia nkagundua ni walewale!
    Mwingine ambaye wengi bado wanajua ni Salafy kumbe ni Hizbi aliyekubuhu ni ABUU ALL MAAN WA TANGA, yule aliyemradd Shia Golo... Kumbe na yeye ni adui wa masalafy asee,Duuuh!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah nilianza kukuuliza akhy kuhusu huyu jamaa ukanambia ikhwaani nkaacha kumfuatilia baada ya siku1 kumsikia alivyokuwa anajibu maswali ya Maulid na qunut anajigingagonga hanyooki.

    • @hudhaifahsadru-xr2gg
      @hudhaifahsadru-xr2gg 4 หลายเดือนก่อน

      ABUBAAZ KUMBE DINI YAKO UNAWATAZAMA WATU WATASEMAJE? UMESEMA ULIPOTUMA KWENYE MAGROUP UKARADIWA NDO UKAJUA, SIO UKASOMA. JITAHID KUSOMA USIFUATE WATU KILA WANACHOSEMA.

    • @MwalimJecha
      @MwalimJecha 4 หลายเดือนก่อน

      Na nyie Kila kitu bidaa mbona iyo midevu yenu mnayoifuga ni kero Kwa watu inanuka hamuishughulikii.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy Eee hawezi kunyoka kwa sabab ataharibu kibarua chake... hahhaha! hao watu wao wa karibu ni masufi kabsa, bora hata bachu, Duuuh! Japo wote manhaj zao hazieleweki.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@hudhaifahsadru-xr2gg Khaaa! Kwan kuraddiwa sio kusomeshwa?!!! Mimi kwa taarifa yako nimewajua mahizbi kupitia hizihizi ruduud, either mimi mwenyew kuraddiwa au mwingine kuraddiwa!
      Nilivyoraddiwa nilisomeshwa vzr tu na huyo aliyeniradd na Alhamdulillah nilimuelewa sana! Lakini haikutosha baadaye nkawa nafatilia mienendo yake katika kujibu maswal nkazidi kuthibitisha uhizbi wake, Allah amuongoze!!!

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza unakaa kusomesha wakat hujui ata bidaa inayoshinda maasia mwalimuganiwee mbona wana wachuoni wamekuekeawazikabisa bidaa inayoshinda maasia lkn umchache wavitabu ndomaana. Nasheikh abdu qaadir yuposawa weweapo najopulako ndomamwehu

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eti kwa akili yake ndogo ,kwani hamuwezi toa hoja mpaka muweke na maneno ya kuudhi au kashfa ?

  • @BinDaudy-ch2cc
    @BinDaudy-ch2cc 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh wangu kama elimu ndio hiyo unayo mraddi huyu shekh abdul qaadir sidhani kama atakujibu maana ni utumbo mtupu sijaona elimu uliyo zungumzaa hapo zaidi ya kutaka kufundishwa .

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 4 หลายเดือนก่อน +1

    WEWE UMEONA BIDAA YA MAULIDI TU MBONA NYNY ZENU BIDAA SUNA WENGINE BIDAA MBAYA ,ACHENI UKAFIRI WENU

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      @@ExcitedCave-cx9rx ww acha takfir ni upi ukafiri uliouona punguza jazba ww maamuma

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo shekh Abdul lkadir anataka ahamini maneno ya sufian al thauri taabi huyu aliposema bidaah ni mbaya zaidi kuliko mahsiaa, shekh anataka kutuambia anaekunywa pombe ni mbaya kuliko mzushi aloweka sheriah katika dinni ya Allah na akapoteza kizazi waone ile ndo dinni hilo hata mimi simuungi anasema anaenda maulidini yupo sahihi kuliko anaenda bar kulewa sasa wa maulidini anasema anaenda kufanya kheri gani na anaenda kumshilikisha Allah sabu ndani ya maulidi mna shirki watu wakatae wafe yule anae fanya shirki na kuzusha katika dini ya Allah ana kheri gani mtu wa mawlid?? Ndani ya mkusanyiko ule mna urongo, ndani yake zinatajwa pombe ndani yake watu kwwkuwa hawaji kiarabu huitikia tuuh swala lahu, muda mwengine hajatajwa mtume zinasifiwa nyimbo, nai ruzi mbali mbali muziki humo wa kudance na mchanganyiko wa wanaume na wanawake hapooo😂😂😂 wwtu kupeana kodi za kwenda kufanya zinaa na urongo humoo anatajwa waliii wao alikufa wqtu huitikia swala lahu, urongo ndani yake kumfufua mtume katika kaburi yake kila mfungo 6 et anakuja mawlidin watu wanasimama yeye Abdul lkadridil haoni miharafati hiii chungu nzima useme anae enda maulidini anaenda kumsifu mtume, mtume asifiwi ndani ya swwla kila swala lazima tumswalie mtume, na ukitaka hayo maliza swala yako mswaliee mtume mpk midomo ivimbe, shkh Abdul lkdari na ilmu yake yote hajajuwa maulid yana shirki ndani yake aseme anae lewa ni hatari zaidi kuliko aendae mawlidini so sahihi kabisa mlevi anjuwa lile ni kosa, anaogopa na rahisi kutubia sasa huyu mzushi ana enda mshirikisha Allah ndani ya mkusanyiko huoo na kumzulia Allah hakukamilisha dini kwa mtume wake anafanya ibada ya kumzulia mtume hiyo ni hatari zaidi na Mtume amesema allah akubali touba ya mushi mpk aache uzushi.nimepitia comment nyingi humu wanaounga mkono shekh Abdul kadir ni makhurafi wa kishia na kisufi, ndo wakipataga mtu anaejinasibisha na sunnah katetea uzushi wao watampenda kweli, mimi najuwa hata baazi ya maanswari sunnah wengi wao nawo walikuwa hawafulahii fatuwa za huyu sgekh sema bhasi tuuh! Ndomana naona coment nyingi za makhurafi wa kisufi sabu anawqteteaga uzushi wao huooo😂😂😂

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzunguzaji anaropoka tuuu elimu hana, na itachukua muda kuipata hiyo elimu maana katawaliwa na kibri na jazba hamna cha maana na kweli Mawahabi dunia mzima ni wapiga kelele ilmu yenye manufaa hawana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@MohamefMullah masufi ndo Wana ilmu yenye maufaa kuwaabudu masharifu makaburini ndo ilmu yenye manufaa au siyooo

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 4 หลายเดือนก่อน

    KWENYE VITABU VYENU KUNA MPAKA KUPIGA PUNYETO MWEZI WA RAMADHANI ,NI KIRUUSU WAFUASI WENU WAPIGE PUNYETO ET AITENGUI SWAUM ,KUWENI WAADIRIFU NYNY MAZAYUN WAKUBWA WAFUASI WA NAJID

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  4 หลายเดือนก่อน +1

      Dawa imefika kwenye ugonjwa bila shaka

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahahahah! ni wapi masalafy wamesema inajuzu kupiga punyeto mwezi wa Ramadhan😂😂😂, Uongo wa Babdeo umeanza sasa!

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      @@ExcitedCave-cx9rx una zungumzia puchu vipi bas kuhusu barzanji yua ruhusu watu kuabudu makaburi na mayyit.

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Jee puchu na shirk Sasa wachukulia kupiga puchu Lina uzito kuliko shirk??? Nawala hakuna maamrisho yaku jichua Yani punye yafaa huo ni mlango mpana waki ilmul fiqy sio unakurupuka tu matatizo ni ufupi wa mashee zako na ujinga wako waku zaliwa hutaki kukaa kitako usomeshwe..

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Taja kitabu gani Chaki salafi kinao ruhusu kupiga punye?? Ufupi wa fikra na ujinga waku zawa ndio problem

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wa bidaa wanahalalisha maulid na kuona kwamba na utaratibu wa dini kumbe ni uzushi haukufanywa na Mtume wala maswahaba sasa msiwapoteze watu nyinyi watu wa bidaa

  • @MashangoHamissi
    @MashangoHamissi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh rekebisha makhaarij yako kwanza mbovu kutamka herufi vzur pia mtihan

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Not our case! kama umeishiwa hoja kalale... hahaha!

    • @AbrahamanSaidi-uf1dw
      @AbrahamanSaidi-uf1dw 4 หลายเดือนก่อน

      Kakosea kutamka nini wapi kwenye dakika ya ngapi?

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kabisa hata akimradd kimasai ili mrad ujumbe umefika inatosha.

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      Tulia usikizie Dozi

  • @AbdulrahmanAden
    @AbdulrahmanAden 4 หลายเดือนก่อน

    Huna uwezo wa kumpiga Raddi shekh Abdulqadir huna maa'rifa kumzidi kaa kwanza soma

  • @Muislamu
    @Muislamu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Awateteya mashirifu wenzake ...masufi wanampenda sanaa mpka muhamad albidh wa mambrui kipenzi Chao

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni wahuni elimu hamna

  • @ShemsaUmmuFawzaan
    @ShemsaUmmuFawzaan 4 หลายเดือนก่อน

    Naam Sheikh pia angalieni namna mnaweza kumradi pia huyu khurafi suruuri huu kishki maana ni kama amezidi kbsaa, ya'ani kwa sasa hachungi mipaka yake kbsaa.mradini tafadhali huu kishki maana lengo ni kuupotosha ummah huu na kuiharibu imma kuitia dosari da'awa salafiyya.lakini bitaufiqillah hataweza kbsaa

  • @khamisthomas12
    @khamisthomas12 4 หลายเดือนก่อน

    achane ushabiki wa kiupofu someniiii msilete mapenzi ya sheikh fulani na madhehebu fulan mtabaki kuwaa watumwa wa misimamo

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna Hadithi gani ya Kukataza Maulid Sheikh Au Umetowa kichwani Mkwako

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Bro wacha kuulizia maswali hayana meno ww si ulete Aya inayo juzisha yafaa!!!maswali yaki Sufi mashia nama hizbi hamna hujja mwatapa tu

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 4 หลายเดือนก่อน

      NaWewe unayohadithi inayoruhusu maulidi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@JifunzeKiarabu Sasa kama hamna hadithi ya kukataza na ww upo wapi hadithi ilivyo kubali hayo maulidi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@JifunzeKiarabu itakujaje hadithi ya kukataza kitu ambacho kimekuja nyuma ya dini kukamilika inamana halikuwepo na halikufanywa na ww unafanya ndo uleze wapi umekitowa

    • @JifunzeKiarabu
      @JifunzeKiarabu 3 หลายเดือนก่อน

      @@IsmailGavara-n9p Nyie wanyewe kwa wenyewe munajiraddi kisha mnajigonga,ukisema Maulidi Hayafai kunavitu kwasababu hakuyafanya mtume au Maswahaba au hayakuwepo katika zama za mtume nikuulize je kuna vitu vingapi wewe unavifanya wakati huo wa Mtume havikufanywa wala havikuepo ,lazima uwe na mizani,na tukiangalia kwa mtazamo huo hata wewe utakuwa ni Bidaa Tena بدعة ضلالة

  • @fakihkombo6065
    @fakihkombo6065 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani Allah ndiye anaemjua nani mcha mungu na nani si mcha mungu acheni kujitakasa kujiona nyinyi ndio wasafi au naiyo pepo mushabashiriwa kuwa nyinyi ndio mutakaoingia wengine hawamo balaa tu

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      @@fakihkombo6065 hakuna aneji zakhi katika masalafi bro skiza vizuri hujjah kazi yako na mm nikuskiza sio kutuhumu

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 4 หลายเดือนก่อน

      Mashallah Akhy

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh,mtume anasema usinywe pombe,hakika ya pombe ni kichwa cha maovu yote,
    Nakuuliza kipi mlevi hawezi kufanya?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      bida'a ni mbaya Zaid acha kutetea ujinga

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x dalili nini,

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kisha sitetei bidaa,but munapomradd mtu msiirazimishe alichomaanisha kiwe mnachotaka ninyi ili mumradd,
      Ndo nakuuliza,nsaidie dall kwa sababu mulio wengi mmeacha bidaa mkaingia ktk Sunnah,
      Na wapo walio toka ktk maasiya na bidaa na walipotubia wakaacha vyote,ndo nakuuliza mlevi hawezi kufanya bidaa,ni dhambi gani mlevi hawezi kufanya? Inabidi ujibu si kulalamika mpuuzi mmoja

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@hafidhwajina6718 Duh! unanipa waswas... Hivi hadi leo hujui kuwa Bida'a ni mbaya kuliko maaswiya? Sema dalili sijaikalili ila Sikiliza hzo ruduud zote au ukasikilize radd ya Abuu Khawlah kwa Mziwada ya majuz kati, alitaja dalili juu ya hilo...!!! Kijana hilo hulijui duuuh? Nyie ndo watu wa Sunnah mnaokalibia kuwa masufi kama alivyo Abdul qadri wenu

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 4 หลายเดือนก่อน

    huyu wa maraddi anatakiw akasome vitabu maana haiwezekan kufany maulid iwe dhamb kubwa kuliko kuzini …! hili haliwezekan mpk kiyam kitasimam na kama ana ushahid alete

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi mtu akifa na imani ya tawhidi tatu hufa ni mzushi . Mshirikina au mtu wa sunna?

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

    Kitu kinachoitoa maulid nimaneno yamtumi aliposema bidaa hasan. Nasayyia hunauwezo wakujua waache wenyewe tafuta mengine dini sifaniyako inawenyewe wanaoweza. Mwehuwewe

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona shekh anakitabu chake kandika kuhusu bidaa ya maulid.

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo ulichoraddi nikipi akhii

  • @AhmedMohamed-un4zh
    @AhmedMohamed-un4zh 4 หลายเดือนก่อน +4

    Maneno ya sheikh yapo wazi
    Hauwezi kufananisha maulid na kunywa pombe
    Adabu hamuna hatuwalaumu mkipelekwa mahakamani kama shee wenu abuu hashim mnaanza kulia lia
    Wapumbavu nyinyi
    Adabu 0
    Elimu 0

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyinyi dini mmeijua Jana tu mnaleta mambo mengi kupigiana kelele sasa wewe unae mwambia huyu hivyo wewe au na wenzako ushekhe huo umeupata wapi ikawa ndio dalili kuwa una elimu iliyo komaa

  • @mhusinigau3231
    @mhusinigau3231 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu anakaa anasikiliza darsa za huyu mtu mjinga aliyepotea njia ama kweli watu wajinga hawaishi duniani

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyinyi mawahabi baba zenu walikufa wakiyatetea maulid hebu tupeni hukmu yao maana kila kitu kishabainishwa

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 4 หลายเดือนก่อน

      Assalaam Alykum, umeuliza swali zuri sana,, Ba kutoka na Majinubyao wanayonjibu ni KUWA WAMEKUFA KTK ITIKADI POTOFU...

  • @AmiriJawadu
    @AmiriJawadu 4 หลายเดือนก่อน

    Abuu albaass kama ulisomewa maneno ya ibnu uthaymiin kuhusu usalafiyyah na hukuelewaaa huyu shekh huto muelewaa

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 4 หลายเดือนก่อน

    DUH KWERI SHETAN AKIWAPAMBIA JAMBO LENU ,MNAKUWA AMUWEZI KUONA ,MBONA NYNY AMJADIRI BIDAA MLIZO NAZO ,???KAMA KWERI NYNY MNAFATA SUNA ,IV MIBIDAA ILIYO JAAA KWENYE MAMBO YENU AU MNAJIZIMA DATA ,TUMEWAJUENI NYNY NI MAZATUNI WAFUASI WA ROMAN KATORIKI

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      Bidaa gani twafanya???!!! Zitaje Sufi wew

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 4 หลายเดือนก่อน

    Yani ili abbas kapewa nawazee kweliuyu

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana sasa hivi uzinzi na ulevi umetamalaki mbona ndio mafundisho ya Dini yenu?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      Lini tumefundisha watu wakazini?

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 4 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x unaposema Zinaa ni Bora Kuliko maulid unakua unamaanisha nini

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      @@husseinsaid8021 Mfanya zinaa ni rahisi kutubia kuliko mfanya maulid (Bida'a) kwa sabab anayefany maulid anajiona kuwa yeye yupo sahihi na mwisho anajikuta amekufa katika bida'a bila kutubia! Ni sawa na mtu ambaye ni shia, huyu akifanya zinaa atatubia lakin hawez kutubia juu ya ushia wake koz anajua yupo sahihi...!!!

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 4 หลายเดือนก่อน

    Kama hutaki maulidi nenda huko utakako ukazini

  • @SuolFat
    @SuolFat 4 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi kazi yenu ni fitna tupu na husda

  • @universitylink
    @universitylink 4 หลายเดือนก่อน

    Anakusudia ni msiba mkubwa kufananisha kwennda bar na kwenye maulidini ni msiba mkubwa

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u 4 หลายเดือนก่อน

    kweli bidaa ni hatari Amal yako haiende kwa Allah mpaka uwache bidaa yako

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulikimbia maswali hukondo unafika?😂 unaelimundogo kwakweli

  • @abdallahkiwe7737
    @abdallahkiwe7737 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni jaahili km majaahili wengine wa kisalafi kwanza mtume mpk anakufa anapigania uislamu nyinyi mmekuka mnapigania usalafi mbali mbali kabisa

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kwani tawhidi tatu ni sunna au bid.a?

    • @IsmailGavara-n9p
      @IsmailGavara-n9p 4 หลายเดือนก่อน

      Kafunzwe na walimu zako ilimu za aqsamul tawhidi na ikiwa hujui tawhidi imegawanyika bas haufahamu qurani kasome bro

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 4 หลายเดือนก่อน

    Porojo hujasema chochote Abdul Qadr anatengeneza nyie mnavunja

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      Hebu tueleze katengeza nini kwa mfano

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuurayaan3902
      bidaa

    • @JifunzeKiarabu
      @JifunzeKiarabu 3 หลายเดือนก่อน

      @@abuurayaan3902 kama mnachakusema zungumzieni Mayahudi linganieni Makafiri na wasio kua waislamu mtapata Ujira mkubwa wacheni kutafuta Makosa ya Watu Nyinyi mnamakosa Kibao

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 4 หลายเดือนก่อน +1

    yan ww mjing zina una ifananiz na bidaa una akil ww

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo ujinga unakusumbua ndomaan yanayozungumzwa huyaelewi kwasababu si nafasi yako

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 4 หลายเดือนก่อน

      Mtume anasema yeyote anaemuamini allah na siku ya mwisho aseme kheri au anyamanze sheikh anataja mambo makubwa yakielim we sio revo yako lililobora kwako nikuikaakimya

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@ismailkizakama unavyomsumbua huyo mropokwaji wenu kauzidi ujinga

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@ismailkizaHakuna wahabi hata mmoja mwenye ufahamu katika elimu duniani kote

    • @shabanrashid6009
      @shabanrashid6009 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kuifanyia dini ushabik ww kaa soma na sio kusoma tu bali usome kwa watu wa haqqi

  • @nyatya199
    @nyatya199 4 หลายเดือนก่อน

    Porojo tu

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo ulichoraddi nikipi akhii

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sub hanallah! Wewe si ni shabiki wa bachu kabsa wewe! Umefikia hatua ya kuwa kinyume na wana sunnah wanaopinga maulidi...!!! Au wewe ni Sufi kabsa!

    • @amryally6232
      @amryally6232 4 หลายเดือนก่อน

      Angalizo :-
      1- We chipukizi wa elimu , laiti ungefundisha watu mambo ya msingi kwanza yanayowafaa zaidi kuliko kufuatilia nani kasema nini na ujikalamue kujibu .
      2- Sheikh Abdulqadir amejibu swali kulingana na alivyoulizwa hajasema kama Maulid inafaa ama vipi .
      3- Hujawa na adabu wala busara katika elimu , kwa sababu iliwezekana kumtafuta sheikh abdulqadir na ukamuuliza ni kwa sababu gani alijibu vile .
      4- We umshambulia sheikh Abdulqadir na kumpa majina ,Sufi , ikhwaniy ,,,, bila Burhani yoyote , hiyo ndo elimu ulosoma kukurupuka kuongea .
      5- Unajenga hoja zako kwa kutumia maoni ya wanachuoni ,, sheikh Abdulqadir naye pia anajenga hoja kwa dalili na maoni ya wanachuoni. Iweje wewe hoja zako ndiyo sahihi na hoja za wengine sio sahihi??!
      6 - Wewe haumjui sheikh Abdulqadir Manhaji yake , Pia hujui msimamo wake kuhusu Maulid. Nitafute nikuelekeze.
      +255714839860.
      7- Nakuusia kijana usiwe mwepesi wa kuropoka kwa kila unachohisi unakijua .
      ليس كل ما يعلم يقال ،،،،،، وليس كل ما يقال يقال في كل مكان

    • @amryally6232
      @amryally6232 4 หลายเดือนก่อน

      Angalizo :-
      1- We chipukizi wa elimu , laiti ungefundisha watu mambo ya msingi kwanza yanayowafaa zaidi kuliko kufuatilia nani kasema nini na ujikalamue kujibu .
      2- Sheikh Abdulqadir amejibu swali kulingana na alivyoulizwa hajasema kama Maulid inafaa ama vipi .
      3- Hujawa na adabu wala busara katika elimu , kwa sababu iliwezekana kumtafuta sheikh abdulqadir na ukamuuliza ni kwa sababu gani alijibu vile .
      4- We umshambulia sheikh Abdulqadir na kumpa majina ,Sufi , ikhwaniy ,,,, bila Burhani yoyote , hiyo ndo elimu ulosoma kukurupuka kuongea .
      5- Unajenga hoja zako kwa kutumia maoni ya wanachuoni ,, sheikh Abdulqadir naye pia anajenga hoja kwa dalili na maoni ya wanachuoni. Iweje wewe hoja zako ndiyo sahihi na hoja za wengine sio sahihi??!
      6 - Wewe haumjui sheikh Abdulqadir Manhaji yake , Pia hujui msimamo wake kuhusu Maulid. Nitafute nikuelekeze.
      +255714839860.
      7- Nakuusia kijana usiwe mwepesi wa kuropoka kwa kila unachohisi unakijua .
      ليس كل ما يعلم يقال ،،،،،، وليس كل ما يقال يقال في كل مكان

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2