MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA NA PARADISE PRE AND PRIMARY SCHOOL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kuelekea miaka mitatu ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, Samia samia Hassan Mkurugenzi wa shule ya Patrick Mission na Paradise Mission Ndele Mwaselela ameahidi kuwasomesha wanafunzi wakike 100 pamoja na kuwawezesha vifaa vya shule watakao chaguliwa na kujiunga kidato cha tano 2024 katika shule za serikali
    Pia Ndele Mwaselela amesema wanafunzi 30 wanaotokea katika mazingira magumu watasomeshwa bure.
    Aidha Mwaselela amesema taasisi ya Patrick Mission na Paradise Mission inatimiza miaka mitatu tangu kuazishwa kwake hivyo taasisi hiyo inaandaa usiku wa miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan na Paradise Mission utakaofanyika tarehe 27 machi mwaka huu 2024 huku kauli mbiu ikisema ''Miaka mitatu ya Mama samia Mtoto wa kike ni kielelezo cha maendeleo ya Taifa letu''

ความคิดเห็น •