Mtoto mdogo unawazidi tahweed na ilmu ya kumjuwa Allah mizee mizima na madevu yao ovyo kabisa, chaa ajabu njaa zimeamia, kichwani wanaichezea hii dini ya Allah watakuja kujuta xanaa na muda ambao hawata pata touba, huyoo frdaus na wapambe wake wote wanao mtetea watubuie na warejee kwa allah, cha ajabu mashekh wengine na heshima zao kabisa wanaburuzwa na pesa wanaifunka hakki.
Ukimuona/Ukisikia Mbwa yupo Juu ya Mti usishangae na Wala Usiulize Mbwa Kapandaje Juu ya Mti Bali Shangaa na Jiulize (Uliza); "Nani Kampandisha Mbwa Juu ya Mti?! Juu ya Kadhia hii (ya eti Sheikh Shariff Firdous) na wa Mfano, BAKWATA ndo wanafikisha/wamempandisha hapo (inawafikisha/inawapandisha hapo) na Wanadhima Kubwa BAKWATA mbele ya Allah/Siku ya Kiyama. WaAllahu Aalamu
Yani dini nzuri kama hii ataitowa wapi aisee naipenda sana ya utaniambia bin kigeni islam nidinii peke ❤🤲
MashaAllah mtoto mzuri Allah azidi kumuhifadhi yaa rabby....mm naomba sheikh Ramadhan azidi kupata tajwij zaidi
Mashaallah tabarakallah mungu akulinde na kila baya
Alllah akuhifadhi mwanangu na akulinde na mabaya nitakuombea kila ninapoomba dua zangu ❤
Manshaallah tabarakallah 🎉🎉mtoto huyo allah ampe heri nyingi
Mwenyez mungu azidi kumuongoza na yy anaye kufuru na mola awajalie watt wetu washikamane na dini ya kweli ambayo niya kiisilamu inshaAllah
Somo la tawhiyd n muhim sana kwa jamii ya waislam...
Mashaall akulipe kher kwa kuwatoa watu katik ujinga
sheikh kalela ,😂😂😂 kaka yako yupo bado Masasi au ,Ameshaoa au bado ila nimefurahi sana kukuona mtu wa kusini mwenzangu .
Mashaallah nimefurah pia
Mungu asiyezaa/asiyezaliwa huabudiwa Kanisani?!
Eti Kanisa ndo Sinagogi/Msikiti !!!🙌😳🤫🙆
Elim ndogo
Sinagogi na kanisa ni vitu 2 tofauti
Mtoto mdogo unawazidi tahweed na ilmu ya kumjuwa Allah mizee mizima na madevu yao ovyo kabisa, chaa ajabu njaa zimeamia, kichwani wanaichezea hii dini ya Allah watakuja kujuta xanaa na muda ambao hawata pata touba, huyoo frdaus na wapambe wake wote wanao mtetea watubuie na warejee kwa allah, cha ajabu mashekh wengine na heshima zao kabisa wanaburuzwa na pesa wanaifunka hakki.
😂😂😂🙌 Midevu, Miremba, Mikanzu/Miho ya Gharama ya Kutapelia Watu tu
@@alhadajjmohammedsmith9042😂😂😂😂
Huyu kijana firdaus ni jahli xanaa
Ukimuona/Ukisikia Mbwa yupo Juu ya Mti usishangae na Wala Usiulize Mbwa Kapandaje Juu ya Mti Bali Shangaa na Jiulize (Uliza); "Nani Kampandisha Mbwa Juu ya Mti?!
Juu ya Kadhia hii (ya eti Sheikh Shariff Firdous) na wa Mfano, BAKWATA ndo wanafikisha/wamempandisha hapo (inawafikisha/inawapandisha hapo) na Wanadhima Kubwa BAKWATA mbele ya Allah/Siku ya Kiyama.
WaAllahu Aalamu
Zama za mwisho hizi.... Majuha ndo watakuwa wanatoa fat-wa.
Kanisa siyo sinagogi sekta hiyo munchie mazinge tahadhari na elimu za kubishana
Mazinge mwenyewe amepata mtihani wa kuingia kundi sio... Tuombe mwisho mwema...